Hongera said mjomba pararukapo hushoni asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Na huyo kama alimkataa sulhu iliyotolewa ni kaka yake alimkataa na kumdhalilisha Sasa kashapigwa ni gombe chogo nende atakako maana sasa kashakuwa naakili.Kamwendeye tena Rovi akukatili.
Huo ni ujinga wa kufukiria kambla ya kutenda ulikuwa na mawazo tasa ukadhanibkuachika ndio suluhu umekosa mwana na maji ya moto pole sana dada kaa kwa kituo sasa
Said mjomba safi sana nakubali kaz
Mashallah kazi mzuri
Said mjomba tunakupenda sana
majutoooo mjukuuuu hy ndio inayowakuta wanawake wengi wa sasa
kshaahadaliwaaa huyoooo
Safi kaz Ina mafunz makubw San San mashaallah ❤️😊😊😊 big up
Umemuomba talaka mumeo bila sababu sasa wataka kurudi pole ulitakakupima maji kwa mkono saidi mjomba hongera zako
Wa mwanzo😊
Hongera said mjomba pararukapo hushoni asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
Na huyo kama alimkataa sulhu iliyotolewa ni kaka yake alimkataa na kumdhalilisha Sasa kashapigwa ni gombe chogo nende atakako maana sasa kashakuwa naakili.Kamwendeye tena Rovi akukatili.
HONGERA said Mjomb na hekm yako
Jamani wana wake mualimu wetu ni kipofu tunapenda kudanganywa haya sasa yakukute
Uhakika ❤❤❤❤❤
Ujumbe umefika
👌😂😂😂ok
😊😊😊😊❤❤❤❤
Akida hii imeenda said wa dodo
Huo ni ujinga wa kufukiria kambla ya kutenda ulikuwa na mawazo tasa ukadhanibkuachika ndio suluhu umekosa mwana na maji ya moto pole sana dada kaa kwa kituo sasa
Mchezo ila uko serious naona😂😂
Akida hii imeenda said wa dodo