ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Heshima kwenu New star record mnaendelea kuweka viwango, filamu zenye theme ya Kizanzibari, background music on point, maudhui on point, scene and location on point, actors and extras on point👍👍👍
Kidundo umeua mdau zaid ktk pande zakukata mauno
kidundo ww usinge zaliwa mamaako engekuwa mgojwa nakupenda bureee
Hahahahahah...
Haaaaaaa kidundo zohali pemba mashaka
Daaaah nimecheka sanaaa ..kidundo big up👍
Hongera sana kidundo hii movie inaelimisha vya kutosha kwaio tunakuombea uzidi kurefusha hiziovie
😂😅🤣😁😄😃😀😆🤓 Eti mze zoali hahahahahahahahaahahahaha
Kidundon unaweza big up bro
Asanteni kwa ujumbe mzuri tuiona watu tusio wajuwa tusiwavaee tuuu
Eti basi kwa mze zoali hayupo hahahahahhaha 😃🤣😂😁😀😅😄
Babu yako kidundo n mchawi Sanaa, umrithi au🤣🤣🤣
Aka
Hahahaha
Hawatujuwi wapemba
Kidundo kama kidundo🇦🇪🇦🇪🇦🇪✌️🇹🇿
Kidundo njoo zako dar utatoka kimaisha zaidi
Basi kwa mzee zoaali apa hayupo
Kidundo uko juu sn Tazaniya. Na kupenda sn sn. Kwa visa vyako
😄😄😄 hongera kidundo
Hahahaha mjomba said na kidundo wameingizwa mjini
Hahahh, jamaa lazima akahadithie
Komedy
Dah wabara matapeli kweli kidhahiri hili swala lilitaka kunikuta siku Moja ila nikauruka mtego wao hvy hvy alivyofanya jamaa
N,ganga nweneye🤣🤣🤣🤣🤣
Pemba mberemba ukenda na joho wauka na lemba
Kidundo unajeshi la majini nayaona hapo walokutangulia aloona jeshi la kidundo tujuwane
Mganga n'gweyeee
😂😂😂😂😂Dah, hatari,, visa kweli kweli
Hahaaaaa Atapata birihi eee baada ya zohali
Sio birihi inaitwa mirihi
@@MAPETEE hahaaaa😀😀kumbe sawa mirihi
Mm vyote nimvutiwa n hy mandhari jamani ♥️♥️♥️
Karibu hio ndio mandhari ya pemba
@@sultanamour8501 shukran
Safi kamanda
kidundo ww unafurahisha mbavu zangu
Kali sana
Guud
Saidi njomba weee nakupata mie dadio
jamani mganga tapeli
Hhhhh korongonjo duh shida Kweli
Uko ndo kwetu nkpenda bure 🤩🤩🤩
😂😂😂😂😂😂
Kidundo ujanja wote huo leo umeibiwa
Daaaaa umetisha kidundo
hakika hii nimeikubali ina ujumbe wa kutosha
Jamn mm nampenda San kidundo maana ana visa
Hi
Zohaliiiiiiik🤪🤪😘
Yaani nimecheka mpaka basi
🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀😀
Yani alila juu ya #Bahar na alipoamk #mkeka mkavu🤣🤣
Safi sana wambie awo wakija pemba ya na adabu na heshima
Dah! kweli mganga ni wewe!
Hhhhhhhhhhh
😂😂😂
😄😄😄😄😄😄😄
😂🤣
🤣🤣🤣
Kweli watu wabara watufanya wajing
😃😃😃
Hii kali kweli
Dada huu ndio uwongo
@@ahmedjuma2674 ndio lakini inachekesha
@@fatmasaid9765 wana tutilisha aibu hyo yalisha pita maswalia ya kusomewa punda na kufa
@@ahmedjuma2674 nikweli maneno yako mengine wanatutia aibu
@@fatmasaid9765 ila hya mana kila mtu anajua wapemba ni wachawi tu ila swa
Eti atapata Birihi,Birihi ndio nini?
Sio birihi inaitwa mirihi mirihi izo ni nyota
Inaitwa mirrikh ni nyota mfano wa iyo zohali yny kuonesha maana mbaya.
Sio birihi ni Mirihi, ni jini shetani wa kutizamia nyota za watu
Mganga nwewe kidundo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Eti atapata Birihi,
Birihi ndio nini?