LULU AWACHANA WANAWAKE BAADA YA HILI LA CHIOMA NA DAVIDO “VUMILIA PANAPOVUMILIKA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @user-qo8eu1br6f
    @user-qo8eu1br6f หลายเดือนก่อน +2

    Lulu mwenye Hekima zake hapa bongo i love you 😍 😘🥰🔥🔥🔥

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 2 หลายเดือนก่อน +11

    Ni bora ulie machoziiiii kwenye rolls Royce model ya 2023 kuliko kulia machozi kwenye kirikuuuuu, bajaj au bodaboda uwezi kuvumilia utaondoka ila kwenye rolls Royce ukilia gari inakubembeleza na ile A/c hatuondoki 😅

  • @dialukando8605
    @dialukando8605 หลายเดือนก่อน +3

    Well said Lulu❤uvumilivu gizani haiwezekan

  • @Bisekoson
    @Bisekoson 2 หลายเดือนก่อน +8

    😂😂 naangalia comments za wadada, mnavyopenda pesa. Muulizeni mke wa Bezos, au Bill Gates. Fedha sio kila wakati ni jawabu. Fedha haziwezi kuzuiia hisia za kuumizwa. Omba yasikukute tu. Lulu ameongea vizuri kwa ukomavu.

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 2 หลายเดือนก่อน +6

    Uzur chioma hajapigana😂😂😂anatulia tuu jamaaa anarudi…kwanza pesa anazo chioma

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n หลายเดือนก่อน +2

    Hapo ni MUNGU TU HAMNA CHENGNE🙌

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 หลายเดือนก่อน +3

    Panapovumilika❌
    Penye HeLa ☑☑

  • @magrethjames5950
    @magrethjames5950 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona yeye anavumilia matukio kila siku ako kambilikimo nako 😂

    • @neemanyove9130
      @neemanyove9130 หลายเดือนก่อน

      Unaishi nae na una uhakika?

  • @aimerancedunia9447
    @aimerancedunia9447 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 หลายเดือนก่อน

    Elizabeth

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tukio la Nigeria tanzania tumejua gossip day of town sisi matukio yetu kwao wanafuatilia ya kwetu

  • @user-yk8em1bh8g
    @user-yk8em1bh8g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uzinz 2 ku2bu aaaaah 😂😂😂.

  • @stanleyvenge
    @stanleyvenge 2 หลายเดือนก่อน

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 หลายเดือนก่อน +1

    Sio wote tunapenda wali nazi na nyama vitani😅😅😅kwasababu ukipata depression hakuna wakukusaidia.. nitakula dagaa kwenye amani.. Mali ambazo tunaziacha duniani aende zake sina shida nazo😅😅😅

  • @IreneMwanaa-zo2wz
    @IreneMwanaa-zo2wz 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika