hii kweli ledio ya familia mambo gani haya sasa na ww sara acha kutafuta kiki mtumwenyew unaonekana chapombe sana ww achakulazimisha mambo muache zuchu wetu na mondi wake
Sara anaonekana alikua cha pombe bia kama zote, enzi zako zimeshapita Sara acha kulazimisha historia muache Mondi aishi maisha yake wewe mbona umeishi yako mpaka umemaliza ?
Old is gold .zuchu utajua hujui this time
Shes a good story teller
And listers r good listers too.😊😊😊😊😊😂😂😂
Sara. Unasauti Nzuri Sanaa na ulitendwa pole Sana
Matukio hayajaanza leo kumbe😂😂😂zuchu tulia tu
Much love from Kenya guys like back❤😂
Sarah nakupenda bure wewe ❤❤❤👍👍👍
Uyu mwana dada ana mpenda ku ukweli diamond na ndiyo sababu hataki ku muita jina lake!!
Nakupenda sana sara❤
Fanya yakwako mjini masimba masimba dangote haumuwezi sara
Sarah mwanamke mzr sana sio mcharuko
sara nampenda sana ❤❤❤❤❤❤
Wanaume bwana wanajijua wenyewe
Ila wanaume wabaya duuu
Oboojoo😂😂
ulimpa nn nyonyo tam
Kama Kuna story inanifuraisha ni ya awa watu wa 2. Next pls
Sara umeshaa choka bwana saiv ni zuchu
Sara Kwa nini umevaa sunglass
Dada bora uwe unaogea ukweli coz tuta kulaan na zuchu
Mengine anapitiliza ok sina usemi yatapita kama upepo
😂😂😂 Village people 😢😢😢
sara napenda unavyo onge bila kuficha
Muongo mamake zuchu hakuongea lolote kuhusu Sarah
Utakuwa umezaliwa juzi samahani
🤣😂🤣😂😂
hii kweli ledio ya familia mambo gani haya sasa na ww sara acha kutafuta kiki mtumwenyew unaonekana chapombe sana ww achakulazimisha mambo muache zuchu wetu na mondi wake
Lakini na wewe sara ivi hukumbi diamond iko na zuchu na wewe ukamkumbatiya diamond kweli ivi mwanamke mwenzako huoni kuwa anaumiya
So sad 😂😂😂 ,,🦁 just everything
Ata mtoto hukomaa
Wa mbea nyie watangazaji
Over 😂😂😂
Sara anaonekana alikua cha pombe bia kama zote, enzi zako zimeshapita Sara acha kulazimisha historia muache Mondi aishi maisha yake wewe mbona umeishi yako mpaka umemaliza ?
Nyoosha maelezo mlikuwa wote vipi na alikuaga vipi alikupiga mshedede ndo akakuaga au sema radio hii wambea 😂🙄😂😂
Kwan ww uritak ufe na mond mwachie zuch kwanz wana endan bwan ww mbona wa2 wana achaw kwan ww nani utki kushindw