Jamaa Amua Mume Aliyepatikana Na Mkewe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Wanaume wawili wameuawa katika mtaa wa kariobangi south hapa nairobi kwa kile kinachotajwa kuwa ni kutokana na mgogoro wa kimapenzi. Yadaiwa mwanamume mmoja alimkuta aliyekuwa mkewe kwani walikuwa wametalikiana akiwa na mwanamume mwingine, alipokuwa akimpelekea pesa za matumizi ya mwana waliyekuwa wamezaa naye. Mzozo ukaanza kati ya wanaume hao kabla ya mwanamume aliyepatikana chumbani kuchukua kisu na kumdunga na kumuua mwenzake. Umati wa watu ukafika na kumuua mwanamume muuaji huku polisi wakimnusuru mwanamke huyo kutokana na ghadhabu za umati huo.

ความคิดเห็น • 59

  • @umiy1971
    @umiy1971 6 ปีที่แล้ว +12

    Tusiwe mahodari kujaji shida ya wengine keshasema mtoto alikuwa analia njaa nyinyi munajua ni muda gani huyu mama na mtoto hajakula ? tena wameshaachana najuaje kama atarudi na kama atarudi nilinii?? we mathe ngoja wewe tu .......wanawake mara zote hatusimamiani kiukweli.

  • @biblefanatic2902
    @biblefanatic2902 3 ปีที่แล้ว +6

    Waah,hii area kila mtu anakaa mlevi

  • @dianawabaha8815
    @dianawabaha8815 6 ปีที่แล้ว +28

    Huyu mathe ako na makosa gani? If they had already divorced she has a right to get another guy

    • @emcarsonem4072
      @emcarsonem4072 ปีที่แล้ว

      Hatuelewani. Ex wake ndio alikuja kulala kwa his new husband. Makosa kubwa

    • @agneswanjau559
      @agneswanjau559 ปีที่แล้ว

      @@emcarsonem4072 she was with the new man and ex came na akaingia nyumba by force. Then he was killed by the new lover of his wife thru being knifed.

    • @emcarsonem4072
      @emcarsonem4072 ปีที่แล้ว

      @@agneswanjau559 whah

  • @azzahssn3624
    @azzahssn3624 6 ปีที่แล้ว +5

    Usiku kucha wakishiriki mapenzi??we reporter nawe wachha izo,,

    • @Marcellalewa
      @Marcellalewa 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @athmankarisa7058
    @athmankarisa7058 ปีที่แล้ว +2

    Only God knows the truth, but this is very sad, ukiachana na mtu mwaache na maisha yake.

  • @suzeemnati8356
    @suzeemnati8356 5 ปีที่แล้ว +7

    Mimi niliachwa 8 years ago with 5 children na baba watoto hajui wanakula nini ama wanasoma na nini kazi yake ni umalaya tu na bado ananitishia asiwai niona na mwanaume .......please men tukiwazalia hua tunaamini tuna jega falimia sio veterinary wakutuzalisha tu

  • @carowanjiku3126
    @carowanjiku3126 5 ปีที่แล้ว +2

    Advice to fellow women, remain a single mother mkiachana, stand up on your own hata kama utafulia watu nguo......be a lady until the right person comes akuoe akupeleke kwake. Mwanaume ngani anahakiri hulala kwa mwanamke.???????.

  • @allutacontinua5900
    @allutacontinua5900 2 ปีที่แล้ว +1

    Ata akiwa mpenzi wake shinda Ninini mngechoma uyo muhuwaji Ii maisha ukishindwa namtu niuwachane nayeye mnauwana nini

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 2 ปีที่แล้ว

    Woiyi soo sad

  • @abdishukriguliyewhytoknow5290
    @abdishukriguliyewhytoknow5290 6 ปีที่แล้ว +4

    Huyo dem ana bonga sheng kali

  • @assumptavyenna640
    @assumptavyenna640 6 ปีที่แล้ว +2

    Ngoja ngoja humiza matumbo ukiachwa ajika hata bustop huwezi ngoja Gari la samoja likukujie sambili

  • @Kenyan_Duke
    @Kenyan_Duke 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saa mbili asubuhi jamaa bado yuwalala!!!

  • @suzeemnati8356
    @suzeemnati8356 5 ปีที่แล้ว +4

    Wacheni kuwekelea huyu mama moto kwa kichwa Coz hawa watoto hatuwezi wauza ama kuwaua lazika kuwatafutie .........sasa ikiwa mwanaume amekuacha utakula watoto warundi kwa tumbo ama .......then l know well lazima huyo mwanaume ata yeye tangu waachane bado alikua anatomba wake wengine kumanina zake

  • @thepowerofsilentsoul2135
    @thepowerofsilentsoul2135 2 ปีที่แล้ว

    Mm Niko three kids two Wa teacher Na 1niwa police,,Na hakuna mwenya huwa ananisaidia,, sometime life is so hard,,,Kila MTU ako Raha zake Na mm Na watoto tuna Kula shida,,,,, kama mm sioni makosa YA Huyu mama

  • @emmienyarnoah5039
    @emmienyarnoah5039 5 ปีที่แล้ว +1

    Uyo dem wa sheng ni goon wa gheto😂😂😂😂😂

  • @peternyongesa8229
    @peternyongesa8229 ปีที่แล้ว

    Very bad

  • @Priscillazawadi
    @Priscillazawadi 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapa Kila mtu alikuwa Maji vye Wanaka

  • @abijahwairimu8753
    @abijahwairimu8753 ปีที่แล้ว

    Iyo nyanga,o ifugwe

  • @jacklinembae8139
    @jacklinembae8139 6 ปีที่แล้ว +9

    Ukiachwa tafuta mwingine kwani iko nini

    • @dianawabaha8815
      @dianawabaha8815 6 ปีที่แล้ว

      Jackline Mbae hivo hivo

    • @kenlubisia7045
      @kenlubisia7045 6 ปีที่แล้ว

      Jackline Mbae + yes iko nn. Kula mali mama.

  • @محمدمحمد-ن7ط3ح
    @محمدمحمد-ن7ط3ح 6 ปีที่แล้ว +1

    Njeri wewe unaweza patia mwanaume aje usingizi

    • @gladysnjuku9255
      @gladysnjuku9255 5 ปีที่แล้ว

      Eish they were already divorced read btn the lines the lady said they had no food so what do u expect!!??where was that idiot ..nway im not supporting killing

  • @paulinepolly1750
    @paulinepolly1750 6 ปีที่แล้ว

    sad indeed

  • @احمدخالد-ف6خ1ز
    @احمدخالد-ف6خ1ز 7 ปีที่แล้ว +1

    wewe mma mwenzangu iyo nitama kama baba mtoto muliachana mukikutana kwa barabar ana kupa kidogo nn ingine kama sio tama utosheki siunge tafuta job uji saidie pale una lemewa.una ona sasa lahana kwako..salume omushibo.

  • @georgebwanya2382
    @georgebwanya2382 4 ปีที่แล้ว

    kariobangi north

  • @marynjeri8607
    @marynjeri8607 6 ปีที่แล้ว +1

    Kula yamikoni yako

  • @njerikangethe6143
    @njerikangethe6143 6 ปีที่แล้ว

    Mama hana makosha coz alikua anatafuta food

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 2 ปีที่แล้ว

    Mama ulikuwa na makosa kubwa

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 2 ปีที่แล้ว

    Alikuja teke

  • @hildamodoni
    @hildamodoni ปีที่แล้ว

    Hii

  • @zilpahcharlotte3856
    @zilpahcharlotte3856 5 ปีที่แล้ว

    Na mwenye kupewa mahali PA kulala alisikia utamu Sana akachelewa kutoka mapema ama kuliendaje

  • @jannet506
    @jannet506 6 ปีที่แล้ว +1

    Pia madame tujiheshimu ,,,walai siwezi leta mwanamme kwangu atakama tumeachana na X jamani

    • @steveswakei9600
      @steveswakei9600 6 ปีที่แล้ว +1

      jamaa hawezi kukupeleka kwake cause bibi ako na anakungoja na uji moto. lodging hadi lini na hizo doh ndo unawachiwa, pengine mwingie kwa mahindi shambani

  • @iminzaiminza5813
    @iminzaiminza5813 6 ปีที่แล้ว

    No comment

  • @ussimapweza5214
    @ussimapweza5214 6 ปีที่แล้ว

    Hii

  • @chesiretsiret2638
    @chesiretsiret2638 7 ปีที่แล้ว

    waah

  • @ruzzswizz729
    @ruzzswizz729 8 ปีที่แล้ว

    so sad

  • @brigidmua9558
    @brigidmua9558 7 ปีที่แล้ว

    Weeeeeee

  • @maryodanga140
    @maryodanga140 5 ปีที่แล้ว

    Na si walikua wameachana

    • @emcarsonem4072
      @emcarsonem4072 ปีที่แล้ว

      Hapo ndio naona watu kwa comments hawaelewi.

  • @mura5615
    @mura5615 5 ปีที่แล้ว

    sasa wewe mama ndio umefaidika na nini na mtoto atafaidika na nini kutokana na kugoganisha hão- wanaume mpaka wakauana?

  • @sarahnjeringige1451
    @sarahnjeringige1451 5 ปีที่แล้ว

    Mnaacha mtu mkidhani mtu amefika mwisho

  • @marykalei3277
    @marykalei3277 6 ปีที่แล้ว

    Wewe unatulia ukia.,,,

  • @beckybeto4328
    @beckybeto4328 7 ปีที่แล้ว

    So sad

  • @flomrembowakenya5524
    @flomrembowakenya5524 7 ปีที่แล้ว

    so sad