Mume Auza Mke Kwa Sh. 900, Kakamega

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.พ. 2014
  • Na katika tukio lisilo la kawaida, wenyeji wa kata ndogo ya Matunda katika eneo bunge la likuyani kaunti ya kakamega wameachwa vinywa wazi baada ya mwanamume mmoja hilo kumtoa mkewe kama malipo ya deni la shilingi mia tisa alilokuwa akidaiwa. Yadaiwa mwanamume huyo alikuwa akidaiwa deni hilo na jamaa mmoja aliyekuwa amemfanyia kazi ya kumtengenezea matofali. Badala ya kulipa deni hilo, mwanamume huyo alidinda huku akimtaka aliyekuwa akimdai kumchukua mkewe mahala pa deni hilo.

ความคิดเห็น • 175

  • @anthonywanyonyi3451
    @anthonywanyonyi3451 5 ปีที่แล้ว +5

    Waluhya aja kutuabisha na kuuza mabibi bibi ni golden gift from God bana

  • @nyauskobies5522
    @nyauskobies5522 5 ปีที่แล้ว +8

    Inaonekana hawa watu walikuwa na kulana kweli kisiri.

  • @barnabaswaswa8095
    @barnabaswaswa8095 5 ปีที่แล้ว +1

    Mapenzi hayani rika wala umri, Mungu awatende mema kwa ndoa yenu mpya, Amen.

  • @joyrosemwangi
    @joyrosemwangi 7 ปีที่แล้ว +5

    kenya we need Jesus

  • @mondaonyancha8823
    @mondaonyancha8823 5 ปีที่แล้ว +7

    Ni Kama walianza kitambo. Story ya matofali ikatimiza malengo yao.

  • @mikesolomon7256
    @mikesolomon7256 5 ปีที่แล้ว +7

    Nimekwama hapo kwa 'gari si body, bora uangalie engine'

  • @phanicesimiyu9990
    @phanicesimiyu9990 6 ปีที่แล้ว +1

    Eeeeei Kali kweli waaa 🙆gari si body ni Engine 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yani unagawa wife aki lakini ata uyo mama pia alimake decision cos unaskia alikua akishikiwa panga waaa aki amevumilia so at least amepata new lover 👊👊mum

  • @sopiaahmad7795
    @sopiaahmad7795 7 ปีที่แล้ว +4

    pole mama,mungu atakusaidia

  • @dr.njorogemuthami
    @dr.njorogemuthami 4 ปีที่แล้ว +1

    This woman was waiting for the slightest opportunity to leave his husband😂😂😂😂😂😂😂😂😂 am happy for her

  • @princesshumbled6768
    @princesshumbled6768 5 ปีที่แล้ว +7

    i think gharama ya maisha Kenya imepanda sana hadi kuchangia watu kuruka vichwa...na ww mama huna qwenu ndio ubalishe ndoa kaa nguo

    • @phanicep
      @phanicep ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

  • @phanicesimiyu9990
    @phanicesimiyu9990 6 ปีที่แล้ว +1

    Lakini aki uyo mama amevumilia Mara kushikiwa panga ata sai hana jino moja kisa na maana ngumi from her hubby 😂😂😂😂😂so ameona Wandavwa atamlinda poa bila sarakasi ya panga ovyo ovyo All the best nimeenda kwaheri 🙌🙌🙌

  • @SuperGbola
    @SuperGbola 7 ปีที่แล้ว +4

    PLEASE, TRY TO WRITE THE ENGLISH INTERPRETATION FOR US WHO DON'T SPEAK YOUR LANGUAGE...WE LOVE YOU.

    • @letssee204tuone2
      @letssee204tuone2 5 ปีที่แล้ว +1

      Mathew Akinfenwa It's a Swahili session...So I don't think they can..just check on the English Session

  • @hellenmukhweso9519
    @hellenmukhweso9519 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa

  • @okamasnr4891
    @okamasnr4891 2 ปีที่แล้ว +1

    Where are these people 7 years later?

  • @tonyodhis
    @tonyodhis ปีที่แล้ว

    Pole sana mam

  • @jahdaughterwambotosh7906
    @jahdaughterwambotosh7906 6 ปีที่แล้ว +15

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂eish usijali atleast uliuzwa more than Jesus😭😭😭😭😭

  • @spreadthevibe
    @spreadthevibe ปีที่แล้ว

    Happy couple🎉 wishing them well. They deserve a good life.❤❤

  • @joewamwai315
    @joewamwai315 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyo kijana mjinga kabisa,siwezioa mamayangu,..kijana angesahau hiyo pesa kwa akili yake naye huyo mama atafute pahali safe akae..huyo mzee kwa ulevi yake anaweza kuwaua usiku akisema alipokonywa bibi..

  • @gnmmng4203
    @gnmmng4203 7 ปีที่แล้ว +8

    😆😆😆😆😆😆😆😆😆"Face your fears"
    kila la kheri
    nimeenda kwaheri🙌🙌🙈

    • @letssee204tuone2
      @letssee204tuone2 5 ปีที่แล้ว +1

      Gnm mnG Face your fears..drive your dreams..

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 6 ปีที่แล้ว +2

    Na mbona huyu mwanamke akakubali kwenda huko kwani hakuwa na pa kuenda..unabadilisha ndoa na hujui uendako...kkkkk you pple you will styleup

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 5 ปีที่แล้ว +1

    inaonekana engine iko sawa😂😂

  • @Chris-cb2dj
    @Chris-cb2dj 7 ปีที่แล้ว +2

    hahahaaaaaa siungerudi kwenu nyumbani😂😂😂😂😉😉

  • @joyceandal4531
    @joyceandal4531 5 ปีที่แล้ว +1

    Alijua tu nyinyi mlikua mnafanya mapenzi....haha 😂

  • @emilykendi933
    @emilykendi933 7 ปีที่แล้ว

    Hahaha noma sana

  • @maggynish4341
    @maggynish4341 5 ปีที่แล้ว +1

    Wonders shall never end😂😂

  • @azzahssn3624
    @azzahssn3624 6 ปีที่แล้ว +5

    Gari si bodi ni engine?aaiissseeee

  • @sautiyadhamani
    @sautiyadhamani ปีที่แล้ว +1

    Hata mimi nitaenda kupika matafwali nipewe pipi...😂

  • @slukoko26
    @slukoko26 10 ปีที่แล้ว +2

    Wonders shall never end,kweli dunia imefika mwisho

    • @josephkanyugi3799
      @josephkanyugi3799 ปีที่แล้ว

      Dunia haifiki mahali. Kumbuka Jamaa anaitwa David. Alipoona mwanamke mrembo kichakani, alitafuta na kuua bwana yake ili atumie huyo mwanamke sustainably. Huyu jamaa hakuua mtu.

  • @wendycharles9232
    @wendycharles9232 5 ปีที่แล้ว +1

    Not just from no where.kuna venye kulikua 😀😀😀😀😀

  • @millynanjabakhoya9422
    @millynanjabakhoya9422 7 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaaa. Wacha ni cheke tu it's funny sure

  • @nicholasmakau7171
    @nicholasmakau7171 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣Ati aliambiwa toka uende kwa bwanako na akajitoa akaeda???Lord have mercy

  • @ennethnasimiyukhisa8472
    @ennethnasimiyukhisa8472 5 ปีที่แล้ว

    Hongera mamamkwe

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 3 หลายเดือนก่อน

    Waluyah na maajabu mengi

  • @magdalinemwaura7614
    @magdalinemwaura7614 5 ปีที่แล้ว +1

    It's only in Kenya 😂😂😂😂😂

  • @melvinlokiwial8820
    @melvinlokiwial8820 6 ปีที่แล้ว +4

    I wish she could know the message on her shirt "face your fears"

    • @letssee204tuone2
      @letssee204tuone2 5 ปีที่แล้ว +1

      melvin lokiwial Maybe she knows but understanding is the main issue

  • @njengamwaura3257
    @njengamwaura3257 4 ปีที่แล้ว +1

    Ooh dear lord.ooh I for a minute forgot that we share the same republic with these very intelligent logical beings.Amen

  • @carolyneogutu6489
    @carolyneogutu6489 ปีที่แล้ว

    Kama ni mlevi na mwenye vita akae peke yake. Congrats to the new couple. Hadi kumng'oa jino?????❌

  • @sophiamakokha9669
    @sophiamakokha9669 ปีที่แล้ว

    Kweli Kenya ni busy country masaa ndo machache

  • @paulinepolly1750
    @paulinepolly1750 5 ปีที่แล้ว

    woooi 😯😯😯😯ni wapi sasa ????

  • @stevekio5510
    @stevekio5510 5 ปีที่แล้ว +1

    Heheee .....ati gari ni engine. ..lo.......ata tingatinga ina engine. Yake ni ya v8 ama ni fyat........cc ngapi?
    Nauliza tu......

  • @davidjosphat
    @davidjosphat ปีที่แล้ว

    Wewe mwanamke mlikuwa mnakaa na uyu jamaa alikuwa anashinda bibalua kwenu za kukata matopeli juu mliambiwa muende naye umeoa mamako senzi

  • @tonnykirwa
    @tonnykirwa 5 ปีที่แล้ว

    Her T-shirt says it all - kwa raha zao!

  • @suziecutecute6274
    @suziecutecute6274 5 ปีที่แล้ว +1

    Ati wachatu nikae vile amenipangia🤣🤣🤣

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว

    Hahaha huyu bibi alikua ana chachua kaenda kirahisi kweli?

  • @janemathenge3004
    @janemathenge3004 5 ปีที่แล้ว

    Haahaaa,,,Jehovah hii ndio ile green weed kabisa,,Lazima nitafika western siku moja nioje

  • @fortnataangelo4805
    @fortnataangelo4805 4 ปีที่แล้ว

    Mh, Nako Kenya hakikisha vituko,, Kila leo

  • @milkamugomomugenimgomo6824
    @milkamugomomugenimgomo6824 5 ปีที่แล้ว

    😆😆😆😆😆😆 kakamega vituko haviishi gari c body unangalia engine 😂😂😂😂

  • @mercykkjonny1540
    @mercykkjonny1540 5 ปีที่แล้ว

    900 thousand or shillings?

  • @Diana-Andi
    @Diana-Andi ปีที่แล้ว

    Oh 🤣🤣🤣🤣Mungu nisamehe kucheka ...please followup this story tujue wamefikia wapi🤣🤣

  • @nancykiberenge5597
    @nancykiberenge5597 2 ปีที่แล้ว

    Woii

  • @evanschaedirectoreffortcon6264
    @evanschaedirectoreffortcon6264 28 วันที่ผ่านมา

    Waluhya na vituko😂😂😂

  • @nyanchokalisah9628
    @nyanchokalisah9628 5 ปีที่แล้ว +1

    Gari si body ni engine he he he...

  • @salmamasoud6055
    @salmamasoud6055 7 ปีที่แล้ว +8

    ila kenya kwavisa na vituko mmezidii

    • @aishashabani4406
      @aishashabani4406 6 ปีที่แล้ว

      salma masoud afadhali sema wew dear

    • @jumasalim7899
      @jumasalim7899 6 ปีที่แล้ว

      Kenya shida sana kila kukicha visa tuuu

    • @saidalumuli4938
      @saidalumuli4938 6 ปีที่แล้ว

      Mia 900 Itapendeza Zaid.

    • @letssee204tuone2
      @letssee204tuone2 5 ปีที่แล้ว +1

      It's mainly in Western Kenya not Kenya in general... tena sio lazima huzuni au visa via kuogofya kila mara

  • @vennyvenna4772
    @vennyvenna4772 ปีที่แล้ว

    Kwani ilikuwa serious

  • @lionrocksman
    @lionrocksman 6 ปีที่แล้ว

    Ski waluhya punguzeni bagi 😂😂😂😂😂

  • @innocentkenyan3960
    @innocentkenyan3960 6 ปีที่แล้ว

    Kenya jamani, waluyha jo

  • @sammykahindi4510
    @sammykahindi4510 5 ปีที่แล้ว

    Hapa hakuna ndoa ya kudumu, baada ya mda atoa rika lake

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 ปีที่แล้ว

    Mumenia angusha Leo marafiki zangu daah

  • @bhokejulian7385
    @bhokejulian7385 5 ปีที่แล้ว

    Tobaaa.... makubwa

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 7 ปีที่แล้ว

    heheheee aiyaaa

  • @carolwamuyu613
    @carolwamuyu613 5 ปีที่แล้ว

    Hii Kenya si ina bangi aki 🤣🤣🤣

  • @breechinginlet652
    @breechinginlet652 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂kweli meno ime ngoka 😂😂 aiii hehehhh

  • @nancynyutu4091
    @nancynyutu4091 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂hi nayo ni kali waa

  • @marynoni3712
    @marynoni3712 5 ปีที่แล้ว

    mh yani kenya kunavituko mpka basi

  • @beckybeto4328
    @beckybeto4328 7 ปีที่แล้ว +1

    Haiya na ubaya ni wajui hali yao

    • @omondimusee8868
      @omondimusee8868 5 ปีที่แล้ว

      Masikini haitaji hali, umasikini ni hali tayari.

  • @swartzcopkennedy9690
    @swartzcopkennedy9690 7 ปีที่แล้ว +7

    Huyu jamaa amekuwa akikanyaga mama na matofali...........

    • @kendiireen1803
      @kendiireen1803 6 ปีที่แล้ว +1

      Swartzcop Kennedy very true

    • @lazarekassi5824
      @lazarekassi5824 6 ปีที่แล้ว +1

      Kendi Ireen 🤣🤣🤣Aki wa kenya mumenishinda tabia

    • @kendiireen1803
      @kendiireen1803 6 ปีที่แล้ว

      lazare kassi 😂 🤣 mungu angilie kati

    • @cipladapretty8617
      @cipladapretty8617 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahahaa

    • @letssee204tuone2
      @letssee204tuone2 5 ปีที่แล้ว +2

      lazare kassi Usi'generalise the whole Kenya juu ya MTU mmoja

  • @kennedyrutto4249
    @kennedyrutto4249 5 ปีที่แล้ว

    Engine light

  • @Young-Dove
    @Young-Dove 5 ปีที่แล้ว

    Nani aliroga hawa watu wa kk?

  • @wascomuri6214
    @wascomuri6214 8 ปีที่แล้ว +1

    hatari makubwa

  • @matropanalangwa7788
    @matropanalangwa7788 6 ปีที่แล้ว +3

    Future husband,usiniuze tafadhali

  • @fixershi6561
    @fixershi6561 7 ปีที่แล้ว

    aibuuuuu

  • @jeremiahmkubwa693
    @jeremiahmkubwa693 5 ปีที่แล้ว

    huyu mwanamke alikuwa na mabwana wawili hawawezi juana kwa siku moja na waoane

  • @trizanjeri5888
    @trizanjeri5888 5 ปีที่แล้ว

    Hiyo n ufala sana

  • @marionoletiptip1112
    @marionoletiptip1112 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂wanajuana si Siri !

  • @biwotisaac9851
    @biwotisaac9851 7 ปีที่แล้ว

    3.17 pwahahahahahhahahahhahaaha engine kitu gani

  • @miriamgodblessuwanderi2940
    @miriamgodblessuwanderi2940 7 ปีที่แล้ว

    ma bi na mabwana tutatokelezea wapi? ???

  • @jemimahtopista9434
    @jemimahtopista9434 7 ปีที่แล้ว

    Watu na vituko!

  • @jamilamoo8209
    @jamilamoo8209 8 ปีที่แล้ว +1

    hahahaha waluhya hamuachu vituko

    • @eunicenelima9485
      @eunicenelima9485 6 ปีที่แล้ว

      Jamila Moo si waluhya, tapia ya uyu mama ana heshima ata .

  • @jomokenyatta4236
    @jomokenyatta4236 5 ปีที่แล้ว

    Kweli bangi si cabbage.......

  • @janetrixomulama2867
    @janetrixomulama2867 8 ปีที่แล้ว

    Heee! Dunia isimame nishuke

  • @yangkuyang5781
    @yangkuyang5781 7 ปีที่แล้ว +3

    "ngari si body ni engine"

    • @consolataanyango6369
      @consolataanyango6369 6 ปีที่แล้ว

      bisi mwania 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @phanicesimiyu9990
      @phanicesimiyu9990 6 ปีที่แล้ว

      yes u heard him.Gari si body ni Engine aki 😂😂😂😂😂😂eeeeish my ribs

  • @sarahmunyiva5769
    @sarahmunyiva5769 5 ปีที่แล้ว

    Haaaaaahaaaaa uuuuwi hata mi nipeanwa jamen

  • @zwaziemeli6024
    @zwaziemeli6024 5 ปีที่แล้ว

    Kenya hatuhami ngoo.....

  • @rozenahbrian3557
    @rozenahbrian3557 8 ปีที่แล้ว

    Haha crazy

  • @mkenyahalisi6551
    @mkenyahalisi6551 6 ปีที่แล้ว

    hahahaha...usiangalie body angalia ingine

  • @pendoedward2846
    @pendoedward2846 5 ปีที่แล้ว

    Mtaaja bangi watu wa Lugari, ukajukuwa nguo zako vane

  • @loisegitau4897
    @loisegitau4897 5 ปีที่แล้ว

    kwani bibi ni malenge ama ovacado? wewe bwana mjinga kweli na wewe bibi kaa chonjo huyo bwana yako si Mzuri.

  • @lenciejoram4878
    @lenciejoram4878 6 ปีที่แล้ว

    mama na hyo uzee yote wachana na mtoto Wa mwenzio

  • @paulineshivele3154
    @paulineshivele3154 7 ปีที่แล้ว +1

    haaaaaaa bangi ndiyo nyingi

  • @nancykiberenge5597
    @nancykiberenge5597 2 ปีที่แล้ว

    Nilichoka🤣

  • @eunicenelima9485
    @eunicenelima9485 6 ปีที่แล้ว

    tapia nayo haaa

  • @ibrahimsimime7123
    @ibrahimsimime7123 6 ปีที่แล้ว +1

    Mother kuangalia umuri alichoka😂

  • @simpleladyliz2131
    @simpleladyliz2131 6 ปีที่แล้ว

    😀😀😀how can u give out ur life to other money because 900ksh

  • @amirishauur5795
    @amirishauur5795 ปีที่แล้ว

    gari si bodi 😂😂😂😂😂

  • @joshuamule4398
    @joshuamule4398 5 ปีที่แล้ว

    Waluyha si muwache bangi kwani ni lazima mvute

  • @rosemutinda4671
    @rosemutinda4671 5 ปีที่แล้ว

    Waluhya wanamasaibu jameni

  • @mwassmwass6832
    @mwassmwass6832 5 ปีที่แล้ว

    Luhyas are comedians by default lol

  • @hagmannserah2337
    @hagmannserah2337 7 ปีที่แล้ว +25

    Waluhya punguzeni bangi

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 5 ปีที่แล้ว

    Masomo ndio ndogo ama ni nini

  • @lmmaculatetoto3957
    @lmmaculatetoto3957 5 ปีที่แล้ว

    Ukisikia wakitukana wakikuyu na tabia kwao bofu zimewalemewa