Mgaagaa na Upwa: Mhudumu Chumba cha Maiti

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2011
  • Mtazamaji, utakubaliana nami kwamba kifo ni adui wa binadamu ijapokuwa ni lazima kwa kila binadamu. Na si ajabu basi muda tu mhusika anapofariki, ni wachache mno wanaotaka hata kumkaribia, licha ya kuwa huenda alikuwa rafiki yao. Kinyume cha hivyo, ni kuwa kwa wengine, kifo kinapotokea, huwa mwanzo wa kazi kwa wengine. Mwanahabari wetu Job Mwaura, alikutana naye Michael Njuguna,ambaye kwa muda wa mwaka moja sasa amekuwa akifanya kazi katika chumba cha kuhifadhi maiti. Na hii ndio taarifa yake kwenye makala ya kila jumanne ya mgaagaa na upwa.

ความคิดเห็น • 251

  • @mikeantony9463
    @mikeantony9463 11 ปีที่แล้ว +87

    Thenx guys for your appreciations...its al bout life and am really proud of my job am now a manager in a Funeral Home in Kenya..God bless you.

    • @myrakenya8790
      @myrakenya8790 7 ปีที่แล้ว +3

      mike antony
      God bless you sir...that job needs courage it's by grace to make it.big up👍👍

    • @malikialindapeter3882
      @malikialindapeter3882 4 ปีที่แล้ว

      God bless you more

    • @nyambokjoash
      @nyambokjoash 4 ปีที่แล้ว +1

      I would love to work with you. I have always love the work morgue attendants are doing. And I want to be like you also. This is my number 0721968101

    • @childofthemighty1341
      @childofthemighty1341 4 ปีที่แล้ว

      Beautiful. Thank you for taking care of the people

    • @carolinedoeppes2252
      @carolinedoeppes2252 4 ปีที่แล้ว

      mike antony
      Waoh... great job. May you be granted strength and courage to serve. As you said, one can see it on your face.. it’s like Calling...i don’t know why we fear the dead... death is only a transition from one realm to another🦋🙏🏿

  • @gladyswanjiku2362
    @gladyswanjiku2362 4 ปีที่แล้ว +11

    Hii ni talent kutoka kwa Mungu..sio kazi rahisi... congratulations Brother kanyangia hapo... kila mtu ako na kosi yake...

  • @rosekaibunga6768
    @rosekaibunga6768 3 ปีที่แล้ว +6

    He is so handsome.

  • @stellanafuna871
    @stellanafuna871 8 ปีที่แล้ว +23

    Kazi Ni kazi yule anakutharau Kwa iko siku atakusalimia Kwa heshima usife moyo kaka fanya kazi yako

  • @edwinopiyo7058
    @edwinopiyo7058 5 ปีที่แล้ว +9

    i thank God he gave me this courage and many people appreciate my job

  • @aishaaisha9653
    @aishaaisha9653 5 ปีที่แล้ว +31

    Montezuma and Monalisa is a very good, clean and professional funeral home. I abruptly lost my brother at home, we had a friend give us reference to the funeral home, they came home and picked the body free of charge, handled us very well, they had the government pathologist talk to us at lengthy the cause of my brother's demise, and preserved my brother very well. Thank you so much for making our burden lighter during that very trying period in our lives... God bless you for respecting even the dead who can't talk.

  • @user-ol5rv2sr1r
    @user-ol5rv2sr1r 7 ปีที่แล้ว +35

    mbele kwa mbele bro usirudi nyuma heri kuosha maiti kuliko kuiba mungu ubariki kazi ya mikono ya mutu.
    salume omushobo.

  • @allanopar3639
    @allanopar3639 ปีที่แล้ว +3

    Wow I really wonder how that man is such courageous.

  • @gracewangechi3310
    @gracewangechi3310 4 ปีที่แล้ว +11

    Wooow,,,am training for the same profession......am so passionate about this.thumb up💓

  • @lydiawanjiru6876
    @lydiawanjiru6876 3 ปีที่แล้ว +4

    I always love the job and wish to get there

  • @charliebruce7793
    @charliebruce7793 4 ปีที่แล้ว +1

    Ulihamia citizen tv job mwaura, great job

  • @malikialindapeter3882
    @malikialindapeter3882 4 ปีที่แล้ว +7

    Hongera. I really do appreciate your hard work.

  • @justinnoderosa9
    @justinnoderosa9 7 ปีที่แล้ว +27

    i will never 4get di name "montezuma monalisa funeral home" my mom passed away 15 August 2007...from Nairobi hospital and he was transported back to Tanzania by montezuma servises....i dont know if the guy in this video was there when my mom passed away.....i dont know if he was the one who took care of my moms body....but all i can say is thank u so very much 4 ur services and plz dont get tired of doing what ur doing.....

  • @josej9888
    @josej9888 5 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU azidi kukulinda nakukuongoza kwenye kazi yamikono yako.

  • @rosendungwa1915
    @rosendungwa1915 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana..office ya mtu usiidharau

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 ปีที่แล้ว +3

    Usikate tamaa ayo ndio maisha usisikize ya watu, god bless you

  • @georginaopati5196
    @georginaopati5196 7 ปีที่แล้ว +8

    Jeremiah 29:11 for I no the plans that I hv for you declares the lord

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 ปีที่แล้ว +3

    mbona mm naogopa hii hali ndio warembo hupenda kuuliza mwaume una kazigani kabla uwe nae he una mwanaume kazi ni hiii 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @araphamlangi8186
    @araphamlangi8186 7 ปีที่แล้ว +3

    mungu ndiye upanga Riziki uwezi kujua riziki utoka wp,, Arapha Hassan from Tz

  • @guntermathias3852
    @guntermathias3852 5 ปีที่แล้ว +4

    Pongezi!God bless you so much

  • @lilianngare4747
    @lilianngare4747 5 ปีที่แล้ว +5

    love this God bless u

  • @jacquelinejackson6124
    @jacquelinejackson6124 7 ปีที่แล้ว +26

    congrats u hv a strong heart n ur soo handsome

  • @dorsilaanyango3940
    @dorsilaanyango3940 5 ปีที่แล้ว +12

    The fear i have for coffins, let alone dead bodies i honestly wish i could be strong as you when it come to this sector. God bless aki.

    • @georginahmutuku2514
      @georginahmutuku2514 ปีที่แล้ว +2

      Me too

    • @annastaciamutaiti2103
      @annastaciamutaiti2103 ปีที่แล้ว

      Kazi,.Ni.kazi..brother.endelea.cos.msipofanya.hivo.watu.wakikufa.wataudumiwa.nanani.kwa.sababu.cio.watu.wengi.ambao.wanastaimili.kuona.maiti.keep.on.good.job.hio.ni.neheema.kufanya.kazi.ka.hio.cio.rahisi

    • @duncanoonyango5635
      @duncanoonyango5635 ปีที่แล้ว

      Be strong. It's normal

  • @judithcherono4141
    @judithcherono4141 5 ปีที่แล้ว +2

    barikiwa na mungu abariki kazi ya mikono yako

  • @rhodahnyambu5847
    @rhodahnyambu5847 5 ปีที่แล้ว +5

    I salute you bro..big up

  • @lucymkenya956
    @lucymkenya956 7 ปีที่แล้ว +4

    wow I like it bro ,kazi ni kazi

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe😥🙏

  • @pastordoriskajuju.savedbyt5958
    @pastordoriskajuju.savedbyt5958 7 ปีที่แล้ว +3

    kusafi sana, congratulations

  • @SmartVictor
    @SmartVictor 7 ปีที่แล้ว +4

    Inspiring God bless you Njuguna

    • @asmasalum675
      @asmasalum675 3 ปีที่แล้ว

      Safi. Sana. Kaka. Kwani. Ao. Wanazalau. Kazi iyo wakumbuke. Ao. Maiti. Walikua kama. Sis. Kila. Ktu. Walikua wanafanya wenyewe. Kikitokea. Kifo. Ata. Awe. Nani. Autajiweza. Kwa. Lolote. Lazima. Uogeshwe. Uvalishwe.na.uduma
      Zingine.kila.bnadamu.ni.ivo.

  • @maberamainchurch9182
    @maberamainchurch9182 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki kaka uskate tamaa

  • @kihotijohn12
    @kihotijohn12 6 ปีที่แล้ว +1

    Wao bro I like you and I admire being a morgue attendant bro keep it up

  • @kenethmaina6036
    @kenethmaina6036 ปีที่แล้ว

    Ican like thus job

  • @jacintamuindi
    @jacintamuindi ปีที่แล้ว

    Kazi ni kazi Bro

  • @davidkimaru149
    @davidkimaru149 4 ปีที่แล้ว

    Waaah! Kali sana...naeza pata job uko bro. ...

  • @nusaibahassan5842
    @nusaibahassan5842 5 ปีที่แล้ว +4

    Big Up 👏Brother

  • @somalidevelopmentplan6837
    @somalidevelopmentplan6837 4 ปีที่แล้ว +1

    Brother you have good job keep going

  • @indivirabonnymatenje7290
    @indivirabonnymatenje7290 8 ปีที่แล้ว +2

    kazi ni Kazi bora pesa

  • @voicejoachim1370
    @voicejoachim1370 4 ปีที่แล้ว

    Thanks for take care of of:)🇹🇿

  • @assumptavyenna640
    @assumptavyenna640 5 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ni kazi bora uhai

  • @doreenkioko1912
    @doreenkioko1912 3 ปีที่แล้ว

    I love the guy he is handsome...

  • @lovinaakinyi4397
    @lovinaakinyi4397 7 ปีที่แล้ว +7

    Gloria onditi walio kufa pia walikwa to ni watu kama sisi kwanini usimudumie akiwa ako helpless sasa. mimi kwangu mimi sioni ikiwa ni job mbaya na mapenzi haichagui job utakiwa anafanya wapi .so usiseme angekutaka ungekata imagine kilamtu atakufa but tukiwa na wenye wamejitoa kutu tudumia nivizuri hatuwezi kukuliwa na mafisi uko njee

  • @faridashaban8853
    @faridashaban8853 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana

  • @leenkamur7544
    @leenkamur7544 9 ปีที่แล้ว +10

    I love this job it has always bn my drm n I'll achieve t beside my parents denial

    • @justusotenyi5872
      @justusotenyi5872 6 ปีที่แล้ว

      Leen Kamur 😂😂😂😂 kuwa serious

    • @johnnyjohnte4339
      @johnnyjohnte4339 4 ปีที่แล้ว

      What are the qualifiaction since my parents have been discouraging me but at long last i will make sure nimefanya job uko

    • @daniellaibuni889
      @daniellaibuni889 4 ปีที่แล้ว

      Khai

    • @emilykiruku5516
      @emilykiruku5516 4 ปีที่แล้ว

      Keen kamau same here.

  • @aminohasan2860
    @aminohasan2860 4 ปีที่แล้ว +1

    Good job my brother

  • @janeokousha7561
    @janeokousha7561 8 ปีที่แล้ว +6

    kazi ni kazi

  • @vivianachieng1535
    @vivianachieng1535 8 ปีที่แล้ว +2

    keep it up, confidence is what we need

  • @lydiahmoraa9475
    @lydiahmoraa9475 6 ปีที่แล้ว +2

    Job, Hukuogopa ulipoingia hapo woyeeee, Gai. I love the spirit of The man. Job how was the experience there?

  • @evpaschalkohereth357
    @evpaschalkohereth357 5 ปีที่แล้ว +1

    Uwe hodari na moyo wa ushujaa brother

  • @shikokaguka4864
    @shikokaguka4864 8 ปีที่แล้ว +1

    ii inahitaji courage si mtu ka mm.kama kuona ata ya mtu wetu mi shida

  • @sofiaahmed8880
    @sofiaahmed8880 6 ปีที่แล้ว +2

    very good job!

  • @damarisnatasha8936
    @damarisnatasha8936 5 ปีที่แล้ว +6

    I admire him may God bless him

  • @irenesheriza2511
    @irenesheriza2511 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ni kazi

  • @janetjuma8994
    @janetjuma8994 6 ปีที่แล้ว +2

    waaa iyo job inahitaji roho ngumu

  • @kilimamarkmusyoka2980
    @kilimamarkmusyoka2980 3 ปีที่แล้ว

    Hustle ni hustle Broh never mind

  • @user-wx9iq6yg5s
    @user-wx9iq6yg5s 7 ปีที่แล้ว +1

    kazi ni kazi bro

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 5 ปีที่แล้ว +5

    *Kama ulikua unataka kuwa soldier, naamini utakua na hiyo roho ya kuonana na Maiti kila siku, Ndio maana tunaambiwa, jinunulie sanda lako KABISA uliweke kabatini, ukija kufa usihangaishe watu na usijihangaishe nafsi yako iliyo kufa, kifo huja ghafla* !

    • @cynlym1847
      @cynlym1847 4 ปีที่แล้ว

      atinis uko tayar umenunua👀

  • @shilaali802
    @shilaali802 6 ปีที่แล้ว +1

    Ako sawa masha Allah

  • @lorenshiawaweru6855
    @lorenshiawaweru6855 8 ปีที่แล้ว +1

    it tykes courage....oh my God it's difficult

  • @pamelalino3470
    @pamelalino3470 ปีที่แล้ว

    Ni safi

  • @rahapaulina1451
    @rahapaulina1451 7 ปีที่แล้ว +2

    kazi Ni kazi we jali kipato kaka angu

  • @miriamgodblessuwanderi2940
    @miriamgodblessuwanderi2940 7 ปีที่แล้ว +2

    kp it up bro ....that's a power from God .

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 3 ปีที่แล้ว +1

    🙆🙆🏿‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏻‍♀️ am afraid, ata km kz Ni kz lkn🤒🤒🤒😒😒😱😱👋👋

  • @prideofafrica_254
    @prideofafrica_254 7 ปีที่แล้ว +1

    nice story

  • @roseawino2099
    @roseawino2099 ปีที่แล้ว

    Ya mungu ni mengi ,Wacha mungu afanye kazi yake

  • @lovinaakinyi4397
    @lovinaakinyi4397 7 ปีที่แล้ว

    in fact ningependelea nikifa wanilete apo kwako juu nikusafi sana since I am a clean gal napenda clean things atanikifa niwe pahali clean kama hapo. God bless your job bro

    • @salamakadzo240
      @salamakadzo240 7 ปีที่แล้ว

      lovina akinyi 😂😂😂😂😂😂

  • @Eva-el6xx
    @Eva-el6xx ปีที่แล้ว

    very clean

  • @isabellakarimiwilke7806
    @isabellakarimiwilke7806 8 ปีที่แล้ว +5

    ohh GOD Help him😢😢😢Courage

  • @tundaclassic2704
    @tundaclassic2704 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka Kwa ujasiri wko

  • @tremophat8244
    @tremophat8244 5 ปีที่แล้ว

    God bless u

  • @kaibungarose4207
    @kaibungarose4207 ปีที่แล้ว

    You look so handsome

  • @rehemshehoz8704
    @rehemshehoz8704 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh

  • @cgggfgghsxzfghg
    @cgggfgghsxzfghg 8 ปีที่แล้ว +2

    he is handsome

  • @tabithakaranja9254
    @tabithakaranja9254 8 ปีที่แล้ว

    uuuuuhh it take courage to do this......kip up

  • @josephatogori3352
    @josephatogori3352 2 ปีที่แล้ว

    I love citizen souch but on my side I can't work at mortuary .

  • @pennyjane6167
    @pennyjane6167 4 ปีที่แล้ว

    Good work

  • @princesskim8568
    @princesskim8568 7 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂mpaka nimeamka can't sleep again......that guy so cute oh

    • @janemukono4549
      @janemukono4549 5 ปีที่แล้ว

      Princess Kim íininbninibn. ninninin i ii iii

  • @naomimoraa7953
    @naomimoraa7953 ปีที่แล้ว

    Kasi n kasi bora doo

  • @richardgona2227
    @richardgona2227 4 ปีที่แล้ว

    Good job

  • @maryakajj4127
    @maryakajj4127 6 ปีที่แล้ว +3

    Ngaii

  • @christinahachieng996
    @christinahachieng996 5 ปีที่แล้ว +2

    Where can I be trained am willing

  • @vincentkipronongetich1927
    @vincentkipronongetich1927 ปีที่แล้ว

    I need this job

  • @zipporahwairimu2063
    @zipporahwairimu2063 3 ปีที่แล้ว +2

    Congrats bro, how can I get that job

  • @fixershi6561
    @fixershi6561 7 ปีที่แล้ว +4

    Jesus I r strong bro me hiyo job joh cwezi

  • @suzeemnati8356
    @suzeemnati8356 7 ปีที่แล้ว +7

    hapo kwa kugonga MTU na chupa kumeni jazz😹😹😹😹😹

  • @nyanjoma
    @nyanjoma 12 ปีที่แล้ว +4

    we need you..mad respect your work is important to society

  • @joycekengmail.comjoyce1236
    @joycekengmail.comjoyce1236 8 ปีที่แล้ว +4

    Kaxi ni kaxi jipe moyo sana

  • @liliannasengo7369
    @liliannasengo7369 3 ปีที่แล้ว

    Na morg yenu ni safi kabisa

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama 5 ปีที่แล้ว +1

    🙆‍♀️

  • @bintlola3127
    @bintlola3127 5 ปีที่แล้ว +7

    Kaka kama haujaoa mm nipo buree..niko tanzania

    • @miltonnorbert7212
      @miltonnorbert7212 5 ปีที่แล้ว +1

      Unataka hela tu we

    • @yusraabdulla4947
      @yusraabdulla4947 4 ปีที่แล้ว

      @@miltonnorbert7212 🤣🤣🤣🤣

    • @faridaoman149
      @faridaoman149 4 ปีที่แล้ว

      @@miltonnorbert7212 hahahahaha umenichekesha eti anataka hela hahahahaha,apana kaka tupo wengi tunahitaji kuolewa siyo kuwa tunahitaji pesa ila nimecheka

  • @merciecellie9149
    @merciecellie9149 5 ปีที่แล้ว

    wow where can I find u please... if u wont mind

  • @jahdaughterwambotosh7906
    @jahdaughterwambotosh7906 6 ปีที่แล้ว

    Kkk Respect

  • @samuelmaloba4939
    @samuelmaloba4939 4 ปีที่แล้ว

    Montezuma is very clean try your hand at city mortuary

  • @justhere5905
    @justhere5905 6 ปีที่แล้ว +2

    This is my dream. I believe it's my calling

  • @mathiasyombo8998
    @mathiasyombo8998 8 ปีที่แล้ว +1

    Mazee hiyo maneno yako iko poa ilaaa......

  • @emillywanjira
    @emillywanjira ปีที่แล้ว +1

    Emillywanjira

  • @miriamwambui1023
    @miriamwambui1023 8 ปีที่แล้ว +2

    You are not alone brother

  • @dinahchogo
    @dinahchogo ปีที่แล้ว +1

    Edirian rivuge

  • @christinembithe4664
    @christinembithe4664 5 ปีที่แล้ว

    Demn.. Na venye uko mhot, chapa kazi

  • @nicolealyssa8197
    @nicolealyssa8197 ปีที่แล้ว

    Ft

  • @mohammedhussein6146
    @mohammedhussein6146 5 ปีที่แล้ว

    hiyo kiswahili ya Magaagaa na upwa ndiyo poa