MJENGO ANAOISHI NANDY MBEZI BEACH ANALIPA MILIONI 2.5 KWA MWEZI, ANAISHI NA BILLNASS.?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- NI Headlines za mwimbaji kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae leo amezindua wimbo wake mpya aliyomshirikisha Koffi Olamide uitwao Leo mbele ya Waandishi wa habari nyumbani kwake Mbezi Beach Dar es Salaam.
Sasa Ayo TV & Millardayo.com ilifanikiwa kuzungumza na Dada yake na Nandy & Meneja yake kuhusu yake tusiyoyaju...'Wimbo ni mzuri tunashukuru leo tumeuzindua rasmi hapa mbele ya waandishi wa habari na mapokezi ni mazuri'- Dada yake na Nandy
Aidha Dada yake na Nandy pia alifunguka kuhusu Mjengo anaoishi Nandy na akasema..'Hapa ndipo anapoishi Nandy ambapo amepanga na analipa Milioni 2.5 kwa mwezi ila ana nyumba mbili zipo zinaendelea na ujenzi moja ipo Mbweni na nyingine ipo Goba'- Dada yake na Nandy
Ukop sana dada angu jenga nyumb zako taratib ibua mijengo Allah akusimamie inshallah pia nimempnd dada ako anajib in a good way I like it keep it up my sister I love you so much nandy 🎶 💕💕💕💕👏👏👏👏👏
Aisee hongera sana.
Daah! hongera sn Nandy nakukubali sn Msanii wng...ila nakushauri tu kwa Upendo tu bora ujenge nyumba yako Mwenyew itapendeza zaid kufanya Mambo yako kwa utulivu zaid....
Hujambo kipenzi 😋😋😋😋😋😋
N dada yako Aysha nkiwa jordan😋😋🤣🤣😘😘🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
maisha yanamuhitaji Mungu, bila yeye utaishi kwa akili yako, mwisho wa siku kifo, yakujifunza zero. hatari!!
Hongerazake ,Ila ujanja kumiliki mjengo mjini .
Sasa mnapendana ninyi kwa ninyi ...muje congo
Usenge wa kujionyesha tu, wabongo bhana tunapenda sana kiki,, isitoshe mama ake au ndgu zake wanahali ya kawaida harafu we uharibu hela zote izo badala ya kujenga na kusaidia ndgu zako ukapata baraka kwa Mnyazi Mungu.
Jasho lake muache ainjoy
Kumujua mungu ndio chanzo Cha hekima. Mali na pesa inapita ila hukumu ya mungu yaja . Kila mtu atakaa mbele ya kitu Cha hukumu kumjibu mungu wa mbingu Yale matendo yake yote duniani. Tisho!
Mambo
Ongera kwa mjengo nandi
mwangu M 2 zote si bora ajichange ajenge hata slop, ustaa mzigo wa mwiba fanyeni malengo PESA zitaisha
Kweli kabisaa!
Alaf wakiporomoka kimziki wanabaki maskini, ndio mana wengine badae wakiumwa huko wanaomba watanzania wamchangie
Silop nimbali vyombo vya kulia chakula hana, chefuu huyuuuu
@@eddyeddy2907 jmn Dada take kashasema anajenga nyumba 2
Uho wimbo ukipita sukari ya zuchu na toka WCB
😂😂😂
Ela ndogo kwa wenye pesa
Dada wa nandy yuko na aibu sana alafu mtangazaji unanenepa tu kwa MB zetu
😂😂😂😂😂Eti unanenepa kwa mb zetu😂😂😂
@@tantinebettynduwimana380 😂😂😂😂😂ivo yaani au mwenzang ujamuona uyo mtangazaji alivyo vimba
@@zakyahya4645 sasa ni mb ndo zinamvimbisha😂😂😂
😂😂😂😂🤗mb zetu jmn
@@fettymussa5932 😂😂😂😂😂❤️
Ajenge bas heee
Niambie
Hio nyumba si apartment nand anakaa vyumba viwili vya choo Cha ndan na sebule na jiko na daining lakini sio mnaleta uongo wa kusema kuwa nyumba nzima ivi mnatuonaje sisi ni wakudanganywa au
poleni
Nice
Yani huyu dada anasema kodi kwa mwezi million 2 na nusu na analipa kwa mwaka mie huku tumbo linatetemeka wallah,, alafu hiyo ya pete ya uchumba kupotea sio ishara nzuri kwa sisi wakristo wenye macho, hiyo ni ishara mbaya sana kuhusu mahusiano yao, bila kuomba Mungu hayo mahusiano hayafiki mbali.
Umbea mbea Wana media
Mnapenda kuishia Mivyumba mizur kwel mwishowasiku pesa zoko zote unazozipata zanaishia kulipa kodi yapango
Bora hata hajasema au kujiongopea kuwa nyumba yake good thing
Noma mbayaa
Kweli umalipa million 2.5 kwa mwezi!!!!! kwa nini usijenge nyumba yako tuu????
Amejengea wazazi wake tayar
Kujenga si mchezo we acha tuu alaf kununua kiwanja mbezi Beach ni bei kubwa sana
@@ilynpayne7491 Kwani lazima aishi Mbezi Beach?
@@nebuchadne33ar Dada kila mtu na dream zake na hajashindwa kulipa kodi..by the way unajuaje kama anajenga au hajengi?
Kashajenga
Kwa ushauri tu namuomba Nady ajenge nyumba yake life is dynamic when you get money just do good something for you
Kweli pesa yote iyo
Ndo yale ya Darleen kutimuliwa kodi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂🤣🤣🤣
@@sherrysalim50 mie naishi chumba cha giza 25 nikitoka huwezi juwa buana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, Siumizi kichwa kwajili yakodi
Yaani ulipie 2.5M kwa mwezi msanii mzima hesabu hana na kwa mwaka unadhani ni kiasi gn umespend. Badala ya kujenga nyumba yko unaendelea kulipa
Wala husiumize kichwa binadam tumetofautiana,kila mtu ana ukubwa na udogo wa kipato chake na mahamuz yake kwahiyo yupo sahihi,kwahiyo yeye yupo sahihi tu acha mimi na ww tupigane na hali zetu
Inatakiwa ujuwe kwanza anaingiza ngapi @Luway yussuf
@@jastinemwinuka1132 ndugu yangu utatakiwaje kujua kipato cha mtu?mimi na ww tupigane kutafuta maisha yetu na siyo kujua kipato cha mtu mwingine itakusaidia nn wakat yeye hata kukujua hakujui na hata shilingi yake hatokupa!!??
@@wazirmlogi7532 najuwa hilo maisha ya wasanii anaishi kulingana na anachokipata anapopata kikubwa anaamini anastahili kutumia kikubwa ndio mana inapofika anaingiza kidogo kurudi kwenye matumizi ya kawaida huwa ni changamoto.
@@jastinemwinuka1132 ndiyo hivyo,huyu tumuache akifeli atajua ye mwenyewe,kwanza mtu mwenyewe kaishagongwa sn na Ruge na watu wanasema ana moto kwahiyo hatuwez kujua labda ana moto kwelu kwahiyo kaamua kula bata maana maisha yenyewe mafup haya😄😄
Lkn huyu Dada anajibu vzr
Nilitaka
Kashangaa msanii mkubwa Kama @Nandy asiwe na kibanda Bigg up Sana
Nandy
Kweli umasikini au utajiri hautokani na kipato, tatizo sio unaingiza kiasi gani bali unabakiza kiasi gani.
dadake nandy mzuri sanaaa
Mzuri sana wote wazuri
Wake au kapangisha maana wasanii wanapenda kuonyesha majengo kesho wanafukuzwa kumbe siyo zao ni za kupanga
Hivi hawa mastar tatizo liko wapi 2.5m ni laki kadhaa huku kenya by miezi sita umekamilisha mjengo mnafeli
Ongera dada
m2.5 wapi mnatfta kiki za kishamba mkataa kwao mtumwa na usimgeze tembo kunya mavi mengi nandy ulikuwa unafaa ubaki kweny HUBA uendeleze bongo move
Pazuri
Jenga yako dada pia tusaidie hata sisi masikini tuweze kuinuliwa hata kwa kuuza mitumba to
Kwel huo ni ushamba mtu unapanga nyumba ya hela hiyo then mwisho wa siku inakuaje lbd duh pole sananaa
Mbezi beach mtaaa wa kobe kama vile
Hiv kwanini asijenge yake jamani
Kumbe naye anapanga😀😀😀
Jmn 2.5million kupanga na huku viombo vya kupakulia vya plastiki 🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna vitu ni interest na sio kakosa pesa ya kununua viombo ...waja mna midomo
@@rehemaswaliki1062 tena midomo y kunuka alitaka anunue vyombo vy gold au
Si bora wajenge yao kwa pesa hizo kwa mwezi mwaka tuu nyumba imesimama vizuri tuu.
Dada wa NANDY mrembo ajabu
Niijua pekeangu nimeona hilo
Sana anaongea vizuri
Kumamake wallah haya maisha ya wasanii haya sasa milioni izo zote khaaa
We zak unaapa alaf unatukana maanaake nini
Wasanii niwapumbavu maana yake awaelewi maisha ya kesho unapanga Nyumba garama ya million Mbili na nusu ungejenga uge seve shilling ngapi mkiumwa mnaomba misaada Kama sajuki na wengine kibao na majuto Wote awana akiba ila nenda tu
Si bola ajenge ya kwake
tena uyu nandi yupo vizur ira sifa msengeee punguza sifaaaa
yani ana anaboa muda mwingine
Ajenge yake
Achia comment kama unaona huu ujinga,
🔥🔥🔥🔥🔥
Huo niujinga baada ya kujenga nyumba yake anaishi kwa kupanga huo niushamba
Ndo kinaco warudisha nyuma ndugu zetu
Wasanii nyinyi bure sana amujengi cjui mulikosa nni.
Hapo ndipo baadh ya wasanii wanashangaza kupanga nyumba ya bei kubwa ila kujenga ni ntihan
Haws nao pesa zao utadhani zamajini, kujenga hawajengi, kazi kulipia Nyumba za Watu Bei Mbaya , mwisho wao nikama gueen darling kutolewa na maneno
Yani sijui kujenga ni Kaz dah asa siBora kujenga
2.5 milion mara mwaka dada angu hapo ni bonge la nyumba aise sjui kwa nn wanafer
Sasa si ni bora ujenge tu mdogo ang maan ake unapotez hela nyingi tu...!! Na nyumba yenyew c ya kutisha fanyen malengo mjenge nyumba nzur zaid ya hiyo
Chizi huyo kwanini asije ge yake
wanamuziki wengi hata wa nje wanapanga wabongo acheni kukariri
Hata me nawashangaa wanavo pangia matumiz pesa za wenzao
Sema wewe mamy ...alafu wapo wawili wanashea kodi
Naifahamu hiyo nyumba
Wasanii wengi hawana pesa ya kujenga nyumba inayoendana na lifestyle yao, that's why wanapanga. Alafu kumbuka nyumba sio mkundu. Especially a mansion
Fact...
kaa huyo ni mpumbavu kwamba hana kwake amepanga🙂🙂🙂🙂
Uyu nandy ni mpare wawapi mbona hyo milion 2.5 kwa mwenzi mbona kwa mpare ni nyingi sana khaa 🤔
Analipiwa
Wa rombo
Hahaha umenichekesha jmn maana wapare si kwa ubahili uwo🤣🤣🤣🤣🤣
@@courtoiskimweli2506 rombo ni wachaga nandy anatoka usangi upareni
Nikwa mwaka bhana
Mshenzii sanaa huyo kahabaa kama anaweza si ajenge nyumba yake aache kiki
Jealous zamaisha ya wa2 hizo
Uandishi wa habari ni zaidi ya umbeya
Tz bana
Kabisa aiseee
Wabongo kwa kupenda kupanga kuliko kujenga duh kichwa mchungwa nonsense 🤒🇹🇿.
Yaani bro unawaambia watu watumie vipi hela zao, je wangekuwa wanatumia hela zako kulipia kodi ingekuaje? 😄
Hivi wasanii kwa nini hawajeng baada wakipta shida wana tia aibu
Ushauri jenga majengo wako toka kwenye hiyo nyumba katafute nyumba million 1 zipo hiyo 1.5 weka jenga nyumba yako
Mtapanga mpaka lini?
Mpaka atakapo hamua mwenyewe kujenga
Mbona ameshajenga
We umejenga wap au unaongelea wenzako tu
Wajinaaaa celine
Huo ni ushoga na ufala mnao fanya ndio mkifulia mnarudi kwenu vijijini mbona msijenge yenu
Yasije kuwa ya kanumba
Business matter 💰
Respect sana brooo
Nauongo umo
Kulipa ml 2 hiyo nayo nizifa au upuzi kwann usijenge kujenga ndosifa
Kumbe huu uzinduzi ulifanyika kwake
Analipa million 2.5 kwa mwez pumbavu kabisa mm nilijua niyaakwake kanunua au kajenga
Umewaza Kama mm,nikajua amejenga au amenunua kumbe kapanga afu wanamsifia
uo niujinga sana ukipga kwa miez kumi ana nyumba nzul tu
Mshenz an
Analipa kwa Mwaka bhana sikiliza vizuri, millard kakosea kuandika tu
Kwa mwaka
Pete imepotea🤣🤣🤣🤣
Na penzi litapotea
Mapito.ayoooo.
Huyo ni msanii imepotea kazini afanyaje sasa
Mjengo hauna vyomboo
Kwa mafunzo ya kilimo cha mkataba please subscribe kwa channel yangu
wanataka misifa kukaa kwenye mijumba yagolofa waonekane milionimbili na lakitano siujenge mijengomikali yakwako au unaona ukikaa kwenye nyumba ya laki kwamwezi utajizalilisha
Minaona kafungwa
Kwa dola inakuwaje ?
Jenga ya kwako acha sifa pesa zinapita
Kwnn dada nandy usijenge jumba lako?, kama uwezo wa kulipa kodi kama hiyo?
Kumbe na umaarufu wote huo nyumba hana sasa siwehu huo unalipa pesa hiyo badala yakujenga nyumba yake na uwezi anao
Kwanini asijenge yake? Hiyo akiporomoka kimuziki unakuta hana haya nyumba ya kuishi
Wanamziki wa Tz ni Maigizo tu sasa mil 2.5 si bora ajenge yaani miezi 10 tu itakuwa imeisha
😃😂😃😂hatariNipoOMAN.
Anajenga wakati anasubiri iishe nyumba akae wapi na mtu anajenga nyumba kulingana na kazi zake na wageni wake hadhi zao lakini pia na usalama nyumba za bei rahisi uswahilini so atapigwa mapanga watanzania tujifunze kila levo unavyofikia unatakiwa uishi maeneo gani kupanga sio dhambi hata serikali inapanga
Ndo hapo sasa wengne umu had wanazeeka hata hata chumba na seble hawana
Akiugua anaanza kutembeza bakuli wasanii bwana
Milioni 30 kwa mwaka ushapata nyumba nzr yakuishii
Nyumba ya milion thelathini inafananaje? Msanii kama yeye aweza kukaa?
Naomba nikukabidhi mil. 30 unijengee please🤣🤣
@@Di9797-t4f lete uwone
Tanzania 🇹🇿 bado sana
😷😷😷😷
Fridge la dada ake nandy haligandishi majibu yamenyooka
💰
Samahani mbele ya yote, sasa ni kwamba wasani wote wa Tanzania wana ishi kwa kodi? Mnieleweshe kwanza
Acha tu thts shows tuko kwenye giza bado
Hata Mimi sija elewa kabisa
Nikweli kbs
Mashaambiwa anajenga bado hajamalizia mnasikiliza vizur nyie
😅😅😅😅😅😅
Daah wigi la dada yake nandy liko bayaaaa
Kwahyo sisi inatusaidia nn
Eluminata
Kwanini msanii mkubwa kama Nandy ajinyime na kununua nyumba. Anyway let me mind my business.
Anajenga Goba na mbweni anazijenga kwa pamoja ,na anajenga Apatimen Dodoma ,na alishawajengea wazazi ,sasa hela zinatosha kwanini asiishi akafaidi ...na uzuri anawekeza tu
Elimu