Yesu aliwafundisha wafuasi wake yakuwaMUNGU NI MMOJA TU WAPEKEE NA WAKWELI NA HAJAWAHI HATA SIKU MOJA KUWAFUNDISHA KUWA MUNGU NI MMOJA KATIKA NAFSI TATU wala kufundisha kuwa yeye ni MUNGU bali alifundisha kuwa yeye ni mtume wa MUNGU aliyetumwa kwajili ya wana wa Israel tu SOMA baadhi ya mafundisho yake Mathayo: 10:5 6 MATHAYO 15:24 mathayo 10:23 Yohana 17:3 Yohana 5:30 40 Luka 18:18 Marko 12:28 YOHANA20:17 Waefeso4:4 timetheo 2:5 na sehemu nyingine nyingi tu
Hakuna mtu yoyote duniani anaye mwamini yesu na akamjua vizuri halafu asiwe MUISLAMU kwani moja ya imani ya waislam ni kumwamini yesu kuwa ni mtume wa MUNGU aliyetumwa kwajili ya wana wa Israel tu na baada yake akatumwa mtume Muhammed saw kwaajili ya watu woooote.
Asante sana Baba,karibu sana ktk Jimbo letu la Dodoma,M/ Mungu akutangulie ktk utume wako.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Hatimaye
KIla lakheri ktk utume wako Amina
Yesu aliwafundisha wafuasi wake yakuwaMUNGU NI MMOJA TU WAPEKEE NA WAKWELI NA HAJAWAHI HATA SIKU MOJA KUWAFUNDISHA KUWA MUNGU NI MMOJA KATIKA NAFSI TATU wala kufundisha kuwa yeye ni MUNGU bali alifundisha kuwa yeye ni mtume wa MUNGU aliyetumwa kwajili ya wana wa Israel tu
SOMA baadhi ya mafundisho yake
Mathayo: 10:5 6 MATHAYO 15:24 mathayo 10:23
Yohana 17:3 Yohana 5:30 40
Luka 18:18 Marko 12:28 YOHANA20:17 Waefeso4:4 timetheo 2:5 na sehemu nyingine nyingi tu