Asante Mzee wangu Kimiti Mungu azidi kukubariki nimeipenda hiyo tatetitotu uko vizuri sana kwenye katekisimu hasa mizizi ya dhambi (Bene Dixie) well spoken baba
Mzee kimiti ni yule yule,miaka ya sitini na kitu,alikuwa ukiriguru,tukiimba naye kwaya.lakini hadi leo anaendelea kumuhudumia mungu kule parokia ya ununio.mungu aendelee kukubariki.

Atukuzwe Mungu milele
Mzee kimiti ni yule yule,miaka ya sitini na kitu,alikuwa ukiriguru,tukiimba naye kwaya.lakini hadi leo anaendelea kumuhudumia mungu kule parokia ya ununio.mungu aendelee kukubariki.
Mzee hatukujua
Wazee Hawa ni Hazina kubwa Sana .
sumbawanga moja hiyo nyumbani nyumbani
Wafipa woeeeeeee