Huyu Padri Kamugisha ana upako wa hali ya juu mno, Mimi ni Mwislamu, Lakini mahubiri yake yamenigusa sana, Pia nafikiri kila aliyefungua hapa ameguswa, Mungu akuinue, akupe umri mrefu ili Kuelimisha jamii, Aamina.
Waaaoh, hongera sana Padre Deusdedit Byabato.... Miaka 25 ukiwa Padre siyo Haba... Fr. Faustine Kamugisha uwa nakupenda saana kwa references zako katika mahubili na maandishi yakoo...
Huyu Padri Kamugisha ana upako wa hali ya juu mno, Mimi ni Mwislamu, Lakini mahubiri yake yamenigusa sana, Pia nafikiri kila aliyefungua hapa ameguswa, Mungu akuinue, akupe umri mrefu ili Kuelimisha jamii, Aamina.
Amina
Jembe letu Baba
Nimeipenda Sana
Waaaoh, hongera sana Padre Deusdedit Byabato.... Miaka 25 ukiwa Padre siyo Haba...
Fr. Faustine Kamugisha uwa nakupenda saana kwa references zako katika mahubili na maandishi yakoo...
Nimefurai sana baba mubarikiwe najisikia niko nyumbani mwakora mno homukama habarinde Amina
Amina sana baba padre Kamungisha Mungu akupe miaka elfu mbele uendelee kutuimarisha kiimani Baba
Padre Dr.Faustine Kamugisha our former AJUCO principal, very humble man and talented
Asnte sana baba kamugisha mungu akuongee kipaji
Hongera Baba Deusdediti kwa kutimiza miaka25 ya upadre Mungu azidi kukuongoza katika safari yako ya utume
Proudly catholic.
Asante sana kwa that sermon, umbarikiwe
Amina Baba Kamugisha
Namkubali sana tena sana
Mwakola muno
Barikiwa sana Baba,nimecheka sana
Nashkru
mungu akuongoze
Aamiyn
Asante rev. Ta father
John Tonshwe Daar kweli mungu yupo nimeona kazi zake
Padri waiyuka Muno na wakola emigani
Hongera sana
Baba Asante nimefalijika kwa tafakali
Nanurilwa bwana mkulu,mwakola munonga
Nimefarijika sana
Mahubiri yana ukweli ndani yake. Wagira mayo waitu.
Hahaha umenikumbusha msemo huu "Entasimwa eabwa bike
Wakola muno fr kwakweli Nashemerwa muno
Ubalikiwe baba iombee familia yangu ipate padri.
Tumsifu Yesu Kristu,Nimebarikiwa sana na mahubiri haya.
amina padr nimebarikiwa sana
Amina