Busara iliyojaa ndani yako inadhirika kwa kuongea na kwa matendo na historia nzma ya maisha yako ni funzo kwa vijana wadogo kukua katika maisha ya nidhamu viva Baba askofu ❤
Hongera sana Baba Askofu Mteule. Tunamshukuru Mungu kwa Uteuzi huu. Mungu akusindikize katika Utume wako. Muunge mkono Baba Askofu Mkuu kujenga kanisa letu la Mbeya. Asante sana Mungu kwa kulitembelea Jimbo letu la Mbeya.
Hongera Sana baba na Mungu aendelee kukuongoza. Kupitia wewe na kaulimbiu yako kanisa na watangulizi wako mdumu Sana katika kusimamia misingi ya kanisa/mama kanisa ili mpate kutuongoza vyema.
Naibu wa Askofu kwa kiingereza ikitamukwa kama Vicar General (VG). Huyu anakuwa ni Padre anayeteuliwa na Askofu wa Jimbo husika kama msaidizi wa ofisi yake kwa kipindi cha utumishi wake. Askofu Msaidizi anateuliwa na Papa na kupewa wakfu katika Daraja hilo la Uaskofu na kiuongozi/kiutendaji anafanya kazi chini ya maelekezo ya Askofu Mkuu wake lakini kiwakfu yupo sawa kabisa na Maaskofu wengine
Naibu wa Askofu kwa kiingereza ikitamukwa kama Vicar General (VG). Huyu anakuwa ni Padre anayeteuliwa na Askofu wa Jimbo husika kama msaidizi wa ofisi yake kwa kipindi cha utumishi wake. Askofu Msaidizi anateuliwa na Papa na kupewa wakfu katika Daraja hilo la Uaskofu na kiuongozi/kiutendaji anafanya kazi chini ya maelekezo ya Askofu Mkuu wake lakini kiwakfu yupo sawa kabisa na Maaskofu wengine.
Busara iliyojaa ndani yako inadhirika kwa kuongea na kwa matendo na historia nzma ya maisha yako ni funzo kwa vijana wadogo kukua katika maisha ya nidhamu viva Baba askofu ❤
Hongera sana Baba Askofu Mteule. Kila jema unapowekwa wakfu siku ya leo na utume mwema..
Hongera sana Baba Askofu Mungu aimarishe utume wako
Hongera sana Baba, Mungu akuongoze.
Hongera sana Baba Askofu Mteule. Tunamshukuru Mungu kwa Uteuzi huu. Mungu akusindikize katika Utume wako. Muunge mkono Baba Askofu Mkuu kujenga kanisa letu la Mbeya.
Asante sana Mungu kwa kulitembelea Jimbo letu la Mbeya.
Hongera sana baba kwa kuteulewa kuwa kuhani.. Kila la heri🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hongera sana baba. Mungu akutunze sana.
Hongera sana Baba Askofu naku takia kila la heri .Catholic Church sasa ina ikamata Mbaya ❤❤❤❤
Hongera Sana baba na Mungu aendelee kukuongoza. Kupitia wewe na kaulimbiu yako kanisa na watangulizi wako mdumu Sana katika kusimamia misingi ya kanisa/mama kanisa ili mpate kutuongoza vyema.
Asante sanaaa Mungu akubariki Baba. Mama Jimmy anayo furaha pamoja na wana Kyela. Ni mtoto wetu lakini sasa ni Baba yetu. Karibu sana Kyela.
Mungu akubariki kasungu kitu🎉kila la kheri Baba Mwasekaga
Hongera Baba mungu aendelee kukutunza.
Born to serve God. Hongera Sana kwa zawadi ya wito.
Congratulations🎉🥳 baba Askofu Msaidizi
Mungu wetu aendelee kukutunza na akuwezeshe kuifanya ipasavyo kazi yake 🙏🙏🙏
Askofu wa kwanza Mnyakyusa wa R.C hongera sana!!!!!!
Je askofu mkuu ni kabila gani
Asante sana Baba, Mungu Baba aendelee kukutunza ktk wito wako
Hongera sana Baba Askofu. Mwenyezi Mungu akuongoze katika kazi yako kuongoza watu wake
Hongera sana Baba Askofu Mteule
Hongera san baba Askofu mteuzi Mungu akutie nguvu katika utume wako
Hongera sana baba Askofu. Mungu akutangulie katika utume huu pia
Ubarikiwe sana Baba Askofu. Nimependa sana kauli mbiu hyo.
Hongera sana baba Mungu akutunze sana
Hongera Sana Baba Askofu Mteule.
HONGERA SANA BABA
Hongera baba Askofu mteule
Hongera baba Askofu
Hongera sana baba askofu
Hongera sana mkuu.
Hongera sana
Naibu wa Askofu na Askofu msaidizi Kuna tofauti gani!
Naibu wa askofu ni padre lakini Askofu Msaidizi ni lazima apewe daraja ya uaskofu
Naibu wa Askofu kwa kiingereza ikitamukwa kama Vicar General (VG). Huyu anakuwa ni Padre anayeteuliwa na Askofu wa Jimbo husika kama msaidizi wa ofisi yake kwa kipindi cha utumishi wake.
Askofu Msaidizi anateuliwa na Papa na kupewa wakfu katika Daraja hilo la Uaskofu na kiuongozi/kiutendaji anafanya kazi chini ya maelekezo ya Askofu Mkuu wake lakini kiwakfu yupo sawa kabisa na Maaskofu wengine
Askofu msaidizi hupewa jimbo ghushi ili kutekeleza kanuni ya askofu kuwa na jimbo la kutawala
Hongera Sana.
ASKOFU ANAVUTIA
Kwelii kwenye Ukoo wa Mwasekaga,Alikuwa padri,Yeye alitokea Mwakaleli
Naibu wa askofu ni vicar general
Ndio
What do Tanzanians mean by Naibu wa Askofu?
Naibu wa Askofu kwa kiingereza ikitamukwa kama Vicar General (VG). Huyu anakuwa ni Padre anayeteuliwa na Askofu wa Jimbo husika kama msaidizi wa ofisi yake kwa kipindi cha utumishi wake.
Askofu Msaidizi anateuliwa na Papa na kupewa wakfu katika Daraja hilo la Uaskofu na kiuongozi/kiutendaji anafanya kazi chini ya maelekezo ya Askofu Mkuu wake lakini kiwakfu yupo sawa kabisa na Maaskofu wengine.
Hongera baba askofu msaidizi mteule