HUU HAPA UKWELI WA MAJENGO HAYA MAKUBWA YANAYOJENGWA ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #Habari #KtvTzOnline
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Juma Maulid
    cc: Masoud Maganga
    cc: Sauti Byego
    cc: Tunu Salum
    cc: Maryam Busara
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Mwarabu Mmadi
    Nassor Shaibu
    Abdallah Dula
    Editors:
    Juma Maulid
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 38

  • @chefmedy9868
    @chefmedy9868 4 ปีที่แล้ว +5

    Labda sijaelewa, miradi inajengwa na PESA ya chama au na PESA ya kodi ya wananchi???

  • @salehothman449
    @salehothman449 4 ปีที่แล้ว

    It's good to see more it done on investing towards education and infrastructure! It's a good time also to focus towards health and waste management as well.👍👍

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana Kwa kuwajali wananchi wenu viongozi nyote Allah atujaalie mafanikio mazuri kwa uwezo wake Allah

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 4 ปีที่แล้ว +1

    Ipakeni japo chokaa majumba ya michenzani😚

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 ปีที่แล้ว

    Shukran Ktv tz online hakika hii ni fahari yetu

  • @latenitepiano
    @latenitepiano 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana 👍🏽! Ndiyo inavyo takiwa 🙏🏾✌🏾

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 4 ปีที่แล้ว

    hongera ccm.tufungulien mirad saiv

  • @LaBboogo
    @LaBboogo 4 ปีที่แล้ว +6

    Uchaguzi umekaribia ila Inshaaallah mara hiii mnaondoka madarakani

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 4 ปีที่แล้ว +1

      Wataondoka inshalaha tuko hoi daah

    • @samsungjsevenprime5717
      @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว +1

      TUPO TUNASUBIRI USHAHIDI KAMILI KUONDOKA MADARAKANI Inshaallah

    • @ankallypandu7648
      @ankallypandu7648 4 ปีที่แล้ว

      Hiyo yako ni ndoto tu

    • @LaBboogo
      @LaBboogo 4 ปีที่แล้ว

      @@ankallypandu7648 kama ilivokus yako

    • @samsungjsevenprime5717
      @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว

      @@ankallypandu7648 sio ndoto ni kuombeana dua tu Allah akatujaalia tukaishi kwa Amani na utulivu maana kila uchao hali ya maisha na uchumi inazidi kuwa ngumu hayo maendeleo kwao wao tu wakubwa wa kazi sio kwa wananchi

  • @jeannetteholbrook6958
    @jeannetteholbrook6958 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwani lazima mvae nguo za ccm hamutofautishi mambo ya kijamii na chama wacheni upumbavu huo hayo majengo ni pesa za walipa kodi

  • @josej9888
    @josej9888 4 ปีที่แล้ว +6

    Miradi inajengwa na chama cha CCM au inajengwa na kodi za wananchi??

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 4 ปีที่แล้ว

      😞hujarudi kusema Ccm oyeee kama nahuku utanikimbia kibia Ccm oyeeeeeee😲😂😂😂😂👍

    • @josej9888
      @josej9888 4 ปีที่แล้ว

      @@zayyatiyussuf9566 ngoja nikufanyie mazoezi maana naona unanitafta🏋

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 4 ปีที่แล้ว +1

      @@josej9888 👍

  • @el_chilubi7458
    @el_chilubi7458 4 ปีที่แล้ว

    Barabara mbovu kila chochoro.... ndio ilan ya ccm isemavyo itakuwa

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 ปีที่แล้ว

    Mim namkubali sana ayubu daa

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah hongera na mm nakuja kupiga kura nipate maji Ccm ndio naichagua Ccm oyeeeeee

    • @josej9888
      @josej9888 4 ปีที่แล้ว +1

      😏

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 4 ปีที่แล้ว

      @@josej9888 🙄kwema? Sema oyeeeeee😲bas

    • @josej9888
      @josej9888 4 ปีที่แล้ว

      @@zayyatiyussuf9566 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 4 ปีที่แล้ว

      @@josej9888 🙄kuja hapa unakimbilia wapi?

    • @suleimansaid769
      @suleimansaid769 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahahhahahaha hahaha miaka zaidi ya 50 watu hawana maji

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว +3

    Nyie wanga yale majumba ya michenzani yabomoweni mana hamuna haja nayo .yasije kuuwa watu.

  • @suleimansaid769
    @suleimansaid769 4 ปีที่แล้ว +1

    We ayoub mda mwngne unakua unazungumza vitu au kufanya vitu vya kupigiwa mfano ila mda mwngne dah nakutoa Saman kbc sijui unafeli wapi mkuu

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @ankallypandu7648
    @ankallypandu7648 4 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa mkoa wa kusini Ayoub nakukubali sana kidumu chama cha mapinduzi

  • @mohdsalum3832
    @mohdsalum3832 4 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 4 ปีที่แล้ว

    Kiziwi ndie atakae kusikilizeni. Shenzi tijp

  • @chefmedy9868
    @chefmedy9868 4 ปีที่แล้ว

    Je vyama vingine vinaweza kwenda kukagua??maana hiyo in kodi ya wananchi na wala sio ya ccm

  • @ichikhamis4576
    @ichikhamis4576 4 ปีที่แล้ว

    Kila kitu Ilani ya chama

  • @suleimansaid769
    @suleimansaid769 4 ปีที่แล้ว

    Hahahahahhahahaha haha miaka zaidi ya 50 watu bado wanalia na maji

  • @ussihassan8111
    @ussihassan8111 4 ปีที่แล้ว

    Yani wapinzani munaumia nn mm nitabaki kuipenda ccm daima hapa nikazi tu