IMANI NA UFAHAMU (III) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 มี.ค. 2024
  • KANISA LA REALITY OF CHRIST MINISTRY (ROC) LIPO SINZA MORI DAR ES SALAAM LINAONGOZWA NA WATUMISHI WA MUNGU PASTOR SUNBELLA KYANDO
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our TH-cam: th-cam.com/channels/67L.html...
    #sunbellakyando #pastorsunbellakyando #pastorjohnsembatwa #realityofchrist

ความคิดเห็น • 6

  • @peteroderobarasa5205
    @peteroderobarasa5205 4 หลายเดือนก่อน

    Ninapenda huyu pastor Mungu Hupe ufunuo kweli kweli

  • @champion.906
    @champion.906 2 หลายเดือนก่อน

    Hii elimu ni kubwa sana nadhani katika channel hii nzima hili somo ndio zito kuliko masomo yote uliofundisha...
    Hapa mtu utaelewa jinsi ya kujinasua kwenye vifungo vingi..if you know the knowledge then you are free

  • @BeatriceMtenga
    @BeatriceMtenga 4 หลายเดือนก่อน

    Namshukuru sana Mungu kwa ajili ya kuachilia hili neno kwa mtumishi wake. Naamin kwa Imani ufahamu wa neno la Mungu kuhusu shida yangu nitatoka hakika

  • @maureenmugambi8631
    @maureenmugambi8631 4 หลายเดือนก่อน

    Niko Kenya na ningependa kukutana na mtumishi SUNBELLA ningeomba ni siku gani ya kumpata.

    • @maureenmugambi8631
      @maureenmugambi8631 3 หลายเดือนก่อน

      Nitawasiliana na wasaindizi wake Kwa nambari ipi?