VIDEO HIZI ZILIZOSAMBAA ZNZ MASAI WAWAPIGA WATENDAJI WA SERIKALI, DC ATOA MISIMAMO HII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 392

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 หลายเดือนก่อน

    Serekali uchukue hatua kali . No kweli kabisa unavoongea upo vizuri. MASHAALLAH.

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 9 หลายเดือนก่อน +5

    Safi sana masai . ASHENALEEEEE🕺🕺

  • @fatmahassan7467
    @fatmahassan7467 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wamasai wanaasili ya ugomvi sana ao watolewe Zanzibar watatuharibia mji wetu

  • @mbaraksalum-of3sv
    @mbaraksalum-of3sv 9 หลายเดือนก่อน +32

    Nyie mnaosema Maasai wafukuzwe warudi kwao, na wao wakisema Waznz walioko Bara na kwao Arusha wafukuzwe warudi kwao itakuaje? Ni lazima watu wajifunze kufikiri vizuri.

    • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
      @AbdulRahmanAliy-sr7gw 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hafukuzwi mtu hapa
      Usihofu

    • @khamismgunya4519
      @khamismgunya4519 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ww uko mjinga swali cio kufukuzwa shida ni kuweka cime nyumban na rungu bc

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 9 หลายเดือนก่อน

      Nadumila Mila ile nyingine kwisha Shindwa 😂😂😂😂

    • @nuruurio8319
      @nuruurio8319 9 หลายเดือนก่อน +2

      Na walivyojazana huku arusha kama hawana kwao

    • @fahmiwaummy4293
      @fahmiwaummy4293 9 หลายเดือนก่อน

      @@nuruurio8319 skia hata huku wako kibao kuliko ata nyinyi mlio kua si sisi
      Mzanzibar hawezi kuja bara hali yakua hajui pakulala wala sehem ya kufanya kazi

  • @athumaniyuba935
    @athumaniyuba935 9 หลายเดือนก่อน +11

    Viongozi waonevu. Hawataki kusikiliza kero za wananchi wanajifanya wao wanaweza kila kitu. Hiyo ndiyo dawa yao. Safi sana wamasai hongereni. Pigeni hao waonevu mpaka wanyoke kama anavyowanyosha MAKONDA

    • @SagafuAngelo
      @SagafuAngelo 9 หลายเดือนก่อน

      U chizi ubongo wako haufany kazi

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@SagafuAngelo we ni balozi wa nyumba 10 nn mbona makarisiko sana. Wamasai walitakiwa wawakamateni af wawafire kumanina zenu

  • @LeilaKanyinyi
    @LeilaKanyinyi 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mkisha ajiriwa serekalilin mna jigeuza waungu watu Safi Sana wa masaai

  • @LeilaKanyinyi
    @LeilaKanyinyi 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera Sana wa wamasaai angai yaiyi

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 9 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa kapigwa rungu mpaka kazirai sio poa mzee baba 😎😎

  • @KulwaGuga
    @KulwaGuga 9 หลายเดือนก่อน +5

    Wamasai ni watu waungwana sana tatizo lipo kwenu

  • @LeilaKanyinyi
    @LeilaKanyinyi 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana jr said kwa maoni yako

  • @Max9_captain
    @Max9_captain 9 หลายเดือนก่อน +3

    wazanzibar ni wabaguzi sana wanauduanzi mwingi, wanauzi kwakweli.

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 9 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera mkuu"safisha mji mkongwe

    • @salma0000
      @salma0000 9 หลายเดือนก่อน

      Operesheni fukuza wanaokunya njiani halafu hawanawi ( wanuka uchi) 😂😂😂

  • @rajabushaban4621
    @rajabushaban4621 9 หลายเดือนก่อน +3

    Vita ya Masai hamuiwezi

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 9 หลายเดือนก่อน +3

    mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 ♥️ ❤️

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 9 หลายเดือนก่อน +6

    Dc ni kijana mdg sana,,,,,,l appreciate it.

  • @MgoriHc
    @MgoriHc 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wazanzibar mna ubaguzi mwingi, sikutegemea kiongozi azungumze maneno ya kibaguzi kiasi hiki.

    • @fakijecha
      @fakijecha 9 หลายเดือนก่อน

      Sasa ubaguzi gani alosema unataka watu waishi km kwenu sisi hatujazoea ayo ndugu hujawai kuskia kubagiliwa mtu Wala kufukizwa na mahotel walokua wanafaya kazi wengi wageni uwo ubaguzi uko wap kisa mtu kaongea ukwel ukingia nchi za watu mufata ustarabu adabu

  • @janethandendekisye2681
    @janethandendekisye2681 9 หลายเดือนก่อน +3

    Wazanzibar ni wabaguz sana mnatesa wabongo sana

    • @nobody07241
      @nobody07241 9 หลายเดือนก่อน +1

      Nyinyi hamjioni ubaguzi wenu😅 mnachekesha kweli

    • @jumaabrahman1169
      @jumaabrahman1169 9 หลายเดือนก่อน

      Mie na niwe lakini msije Zanzibar mnatuharibia utaduni wetu

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 9 หลายเดือนก่อน +1

      Tuacheni na ubaguzi wetu mbwa nyinyi

    • @nobody07241
      @nobody07241 9 หลายเดือนก่อน

      @@OmerSuley-gl7go kabisa watuache

    • @yassirkhamiss2895
      @yassirkhamiss2895 9 หลายเดือนก่อน

      Na nyie fanyeni muwapige huko tuvunje muungano kirahisi

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 9 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar ni nchi ya Watu wastaarabu Sanaa.thankx

  • @LucasSalimLiamaLiama-vq7qh
    @LucasSalimLiamaLiama-vq7qh 9 หลายเดือนก่อน +2

    Yani kiukweli wamasai hawana shida ila kuna baadhi ya viongozi wadogo wa serikali wanazingua sana ila si wote mana kama kunasheria zimetungwa bac wao wanatumia vibaya

  • @HajiKassimu-ww5oz
    @HajiKassimu-ww5oz 9 หลายเดือนก่อน +7

    Safi sana

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 9 หลายเดือนก่อน +3

    WAMASAI HUWA HAWAPIGI MTU HAO WALIOPIGWA NAO WAHOJIWE HUWENDA KUNA JAMBO LINGINE. MKIONA HAWAFAI KUWEPO HUKO SEMENI MSIWAPE SHIDA WATU WETU.

  • @evansmtalo9406
    @evansmtalo9406 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeamini Kuna nchi ya Zanzibar na Tanganyika.wamasaii kumbe huko ni wageni😊!

    • @sports007tv4
      @sports007tv4 9 หลายเดือนก่อน

      Kwan ww unajua ni nchi moja huoni kma kuna ma raisi wawili au hukusoma ww

  • @maryamrashid8499
    @maryamrashid8499 9 หลายเดือนก่อน +15

    Mmasai kawa na nguvu kuliko mzanzibar muungano oyee

    • @eliachalamila2259
      @eliachalamila2259 9 หลายเดือนก่อน

      We mpumbavu kwani mmasai sio mzanzibari? Nyie wenyewe mlifika hapo kama watumwa kutoka continental Africa ( bara)

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 9 หลายเดือนก่อน

      @@eliachalamila2259 maasai wengi wanatabia za kishenzi ingawa sio wote, na sio Zanzibar tu hata Tanzania bara wamekuwa wakivamia mashamba ya wakulima na kulisha kimabavu ng'ombe wao ktk mashamba hayo, wakulima wasithubutu kuzuia ng'ombe hao wataambulia kipigo nà kujeruhiwa na hata kuuwawa kwa marungu na sime za wamaasai hao. Njoo Morogoro uone mabalaa wanayoyafanya hawa washenzi. Baba zangu mimi walpigwa na hawa washenzi nusu wauliwe ktk mashamba yao wao wenyewe walipowaingizia ng'ombe pale bonde la mto Rufiji. Kiuhalisia wamasai hawakuwa moja ya makabila ya hapa Tanzania, walitokea Kenya kupitia bonde la ufa tukawakaribisha kama waafrika wenzetu lakini malipo yao leo ni kuwafanyia wenzao unyama.

    • @massaweibrahim4346
      @massaweibrahim4346 9 หลายเดือนก่อน

      Rudii darasani mkuu inaonyesha huna hojaa yakisomiii ​@@eliachalamila2259

    • @saimonwantango9569
      @saimonwantango9569 9 หลายเดือนก่อน

      Hoja ni mnasai kûtumia slaha au kuwa na nguvu kuliko mzanzibar bro mbona mbona hujui kuchanua sentensi badoga unakalilishwa ujiga ndo unatembea,usiwe unapayuka wew mwenyew ni msukuma mmoja uliobobea zzibar,

    • @jumaabrahman1169
      @jumaabrahman1169 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@eliachalamila2259
      Toka lini mmasai kuwa mzanzibar?????? Toka lin

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 9 หลายเดือนก่อน

    Uyo Wenda Alifanya Kusudi Huo Mpango Wa Kuwafukuza Wamasai Sio Sawa Kwasababu Iyo Ni Asili Yao Kutembea Na Ivo Vifaa Tamaduni Ni Asili Je Misuli Sio Utamaduni Kama Utamaduni Basi Shelia Zifuatwe Akuna Cha Fimbo Wala Marungu Mbona Hao Wengine Walikua Na Marungu Nao Vipo Utamaduni Wao

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 9 หลายเดือนก่อน

    Wameluusiwa Wenyewe Wa Mji Mkongwe Kufanya Biashala Inamana Wageni Awatakiwi Tamaduni Zenu Zikubalike Lakini Za Wengine Amzitaki Eti Waeshimu Tamaduni Za Kwenye Nchi Yenu Inamana Apo Pana Tatizo Ingekua Nchi Moja Basi Tamaduni Zingekua Sawa2

  • @seifsingadube7800
    @seifsingadube7800 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asalam aleykum. Nakuunga mkono mkuu wa wilaya. Wakuuwengine wa wilaya Waite mfano wako hasa sehem za east coast . Kiwengwa umekua nikero kwa wageni liangalieni hilo

    • @abdulhussein3265
      @abdulhussein3265 9 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga wew ubinafsi wenu wa kujiita wazanzibar ni upumbavu
      Huyu mkuu wa wilaya hairuhusiwi kuvaa hizo nguo hizo kanzu ni value zenu?
      Tumieni akili tunawa jali wazanzibar huku bara lakini nyie mtu akija visiwa ni kama khafiri kaja
      Akili zenu ni zeroo

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 9 หลายเดือนก่อน

    WAZANZIBARI NA NCHI YAO NA BADO MNALETA DHARAU 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @eddyeddy1337
    @eddyeddy1337 9 หลายเดือนก่อน +5

    Hao jamaa washazoea maisha ya porini

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu kapigwa na kitu kizito ,bila shaka alikua anaona nyota pale chini..😎

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 9 หลายเดือนก่อน

    Na wamasai wapo wengi kweli Zanzibar sasa mpaka ngambu huko utakutana nao magurupu.ila hawana noma

  • @kdpretoria780
    @kdpretoria780 9 หลายเดือนก่อน

    wazanzibar ni wabaguzi hapo kuna unyanyasaji unaoendelea

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 9 หลายเดือนก่อน

    Wapigwe tu, Wamasai sio wakorofi

  • @JUMAAME-w3b
    @JUMAAME-w3b 9 หลายเดือนก่อน +1

    Watoa coment wengi mna Stress.

  • @inga1034
    @inga1034 8 หลายเดือนก่อน

    Масаи такие же граждане Танзании

  • @LosaiLukumay-uh5dy
    @LosaiLukumay-uh5dy 9 หลายเดือนก่อน

    Kwan wamasai Tanzania nzima hawatembei na sime na marunguu ,ni uko znz tuu acheni uchokozi na ubaguzi na uchochezi

  • @KasangaKalanga-vo6od
    @KasangaKalanga-vo6od 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli mnatubagua Sana, MTU mmoja amepigwa badala ya kusema wananchi wamepiga MTU mnasema wamasai, mbona matukio mengi Tu yanatokea mjini

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 9 หลายเดือนก่อน

      Wamasai, sasa wao ndo wanoranda na visu na marungu mjini na istoshe znz hakutaki urande ivooo huku hakuna misituu, mila ya marungu na visu ukiwa maporini ukoo huku sawa vaeni ayoo mashuka lakin visu vya nini?

  • @KidoKasimu-fr4fz
    @KidoKasimu-fr4fz 9 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Kiongozi .

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 9 หลายเดือนก่อน

    WA KULAUMIWA RAIS SAMIA SULUHU KWA KUWAFUKUZA KTK SEHEMU ZAO ZA LOLIONDO NA MAENEO MENGINE

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 9 หลายเดือนก่อน +5

    Manispaa ya stone town waungwe mkono mji uwe safi, vyombo vya usalama vitende haki wahusika wote washughulikiwe kwa mujibu wa sheria hata kama si wote ni wamasai..

  • @twalibnurdin4494
    @twalibnurdin4494 9 หลายเดือนก่อน +5

    Kichwa cha habar kingetakiwa kiwe hivi wananchi wawapiga watendaji wa serikali na sio hivo mlovoandika ya kwamba wamasai wawapiga watendaji wa serikali sie pia ni raia kwa nin kla kukicha mnatunyanyapaa au kwa kuwa tunavaa mapazia😕

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 9 หลายเดือนก่อน

      Mapazia si yanawekwa dirishani na mlangoni umemuona nani kuvaa😂😂

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 9 หลายเดือนก่อน +1

      Wamasai, sio wananchii ao si wananchii Znz si mnasema hakuna nchi tena wananchi ao wanatoka wapi Wamasai

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa hakuna simba wala chui, sasa visu marungu ya nn? Wamasai na sio wananchi ao sio

    • @jombadulla
      @jombadulla 9 หลายเดือนก่อน

      Wew hujui kitu, hii operation inafanywa na watu wa baraza la mji, siku hii wamasai walionekana wao wamepanga sehem isiyo rasmi,wakachukuliwa vitu vyao ili wakaeleze, hawakukubali ndio wakampiga yule ofsa chini akazimia,aliepiga hapa ni masai si mwengne,

    • @jumaabrahman1169
      @jumaabrahman1169 9 หลายเดือนก่อน

      Mmasai Hana uraia halisi wa Zanzibar kitaratibu za serikali ingawa n Tanzania lkn Zanzibar Ina utawala wake wa ndan na kitambulisho Cha mzanzibar mkaazi ndio kielelezo Apo angekuwa n raiya lkn kwavle hana n mmasai km wamasai wengne

  • @joshuamwalusambo2391
    @joshuamwalusambo2391 9 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania hatujui Kama wamasai ni jeshi lililo tayar kwa mapambano wakat wanaona mda wote wako na siraha

  • @CheerfulDirtBike-gn7lt
    @CheerfulDirtBike-gn7lt 9 หลายเดือนก่อน

    Tuseme ukweri 2 wabongo atupendwi na wznzb

  • @michaelmoryo4836
    @michaelmoryo4836 9 หลายเดือนก่อน

    Mkuu umedanganya hapa nipo na mzee wa kizanzibabari ana kisu kiunoni

  • @swahibually8349
    @swahibually8349 8 หลายเดือนก่อน

    Wamasai KAZI yao kubwa ni Ufugaji,sasa huko Zanzibar wanafuga nini?Hawa wafukuzwe huko maana Tabia zao hata za uvaaji ni za kishenzi kabisaaa.Watolewe huko warudi Morogoro maporini na manyara wakafuge HUKO

  • @tonyaron1194
    @tonyaron1194 9 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibar ndo wanaongoza kwa kutembea na visu nyongani mtumishi wa serikali anathubutu kusema uongo eti wazanzibar hawatembei na visu tatizo ubaguzi ndo unaowasumbua, uzuri siku hizi hamtuwezi tena Wabara maana tulishajaa tele karibia nusu nzima ni wabara

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekupenda sana ww mkuu wa wilaya natamani nchi nzima Jamhuri ya muungano nzima wamasai wanatembea na visu mno

    • @AhmedHassan-vl5zf
      @AhmedHassan-vl5zf 9 หลายเดือนก่อน

      Wewe mjinga Masai ni nembo ya utali Tanzania na Kenya na watali watali huyo mkuu. WA mkoa NI mpumbavu Tu

    • @nuruurio8319
      @nuruurio8319 9 หลายเดือนก่อน

      Wamasai wanatembeaga navyo kama mila tu hawabebagi kama silaa wala hawanaga nia ya kudhuru mtu visu vyao vinkuaga vya kula nyama na virungu ndo mila yao

    • @martinchambala9399
      @martinchambala9399 9 หลายเดือนก่อน

      @@nuruurio8319 Ni heri wakatazwe wengine wameanza kutumia Kama siraha kunasehemu nyingine stendi walichomana wenyewe mpaka kupelekea kifo

    • @martinchambala9399
      @martinchambala9399 9 หลายเดือนก่อน

      @@AhmedHassan-vl5zf Mjinga mwenyewe

    • @saumsaid1966
      @saumsaid1966 9 หลายเดือนก่อน

      NDO ATEMBEEE NA KISU@@AhmedHassan-vl5zf

  • @ibrahimyahyayussuf7947
    @ibrahimyahyayussuf7947 9 หลายเดือนก่อน

    Wahame hao Zanzibar sio jaa la maskini

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 9 หลายเดือนก่อน

    Saivi wamejua kuoga walikuwa wanakuja zanzibar wananuka km nguru tia jema mbwaooo

  • @Jackielfamily
    @Jackielfamily 7 หลายเดือนก่อน

    Serikali hamuwezi wakataza wamasai kutembea na sime na rungu hiyo ni never

  • @mustafamuhunzi4047
    @mustafamuhunzi4047 9 หลายเดือนก่อน

    Ukiangali hiyo picha hawapo wamasai pekee, ubu jaribuni kuwa wakweli sio kuoneaonea tu

  • @justinebalaguyu7769
    @justinebalaguyu7769 9 หลายเดือนก่อน

    Serikali na viongozi wa Tanzania bara na visiwani hata siku moja tangu dunia ianze hapa Tanzania haijawahi kutokea WACHUKUWE MAONI YA WANANCHI na KERO ZAO wakatatua kwa amani kama wananchi wanavyodai haijawahi kutokea kila kitu ni maamuzi na mipango ya Viongozi wetu na serikali.

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc 9 หลายเดือนก่อน +1

    DC kaongea vizuri sana.

  • @AbdallahHamisi-s4h
    @AbdallahHamisi-s4h 9 หลายเดือนก่อน

    Mpemba Ana duka karikoo mzalamo Ana duka unguja

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 9 หลายเดือนก่อน

    Mnakosea sana kusema wamekuja kwenye nchi ingine utamaduni ingine wakati nchii hii ni Moja mnakosea sana pia kuwanyanganya rungu na sime ni sawa na wazanzibari wakija Arusha wasiruhusiwe kwenda msikitini mnakosea sana

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 9 หลายเดือนก่อน

      hawajanyang'anywa usipotoshe

    • @thamani5842
      @thamani5842 9 หลายเดือนก่อน

      Si unyamaze km huna cha kuandika? Rungu na msikiti wapi na wapi? Ilo rungu ndo ukalifananishe na msikiti? Uko Sawa ww?

    • @jesusbrother7684
      @jesusbrother7684 9 หลายเดือนก่อน

      Halafu Zanzibar ya Waafrika lakini ime jaa wageni toka nchi zingine, afadhali hao wamasai wapo katika ardhi yao ya Afrika hapo Zanzibar!

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona kama vile nchi imekosa usimamizi wa sheria,kama hakuna taratibu nzuri,hawa mamlaka wa mji mkongwe wenyewe ni tatizo,wamekataza magari yasiingie mjini wameruhusu vibajaji,maana yake badala ya kueka gari moja unaweka bajaji kumi zilizozagaa na ghasia tu,sisi yetu macho tu

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hapana wanyama wakali ila binadamu wamekuwa worse than hao wanyama. What if it was self defence?

  • @emanuelkilangilo5585
    @emanuelkilangilo5585 9 หลายเดือนก่อน

    Hii sawasawa iwefundisho kwaviongozi na watanzania wote, kwann watembee na masime na marungu. Hii nchi ya ajabu sana WATU wanatembeza mpaka sumu (Wanauza sumu) visu mitaani.

    • @saumsaid1966
      @saumsaid1966 9 หลายเดือนก่อน

      HAHAA SUMU YA PANYAA

  • @LeilaKanyinyi
    @LeilaKanyinyi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwarabu ali waachia wazanzibar laana ya ubaguzi

  • @khamushamad8857
    @khamushamad8857 9 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Msaraka Simai

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 8 หลายเดือนก่อน

    Fanyeni mambo ya muhim siyo kusumbua wananchi. Mnajidharirisha kwamba hamna akili.

  • @abelimwakijungu1226
    @abelimwakijungu1226 9 หลายเดือนก่อน

    Udhibiti ni muhimu sana ili kulinda desturi na biashara ya utalii, bila hivyo mambo yatakuwa hovyo. Vizuri sana kiongozi.

  • @rajabushaban4621
    @rajabushaban4621 9 หลายเดือนก่อน

    Mbao hmna mjini?

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 9 หลายเดือนก่อน

    Wamasai ni watu wastaarabu sana kama kuna wachache wamefanya vurugu wachukuliwe hatua ila kujaribu kuwafanyia uonevu wamasai wote waliopo Zanzibar kwa kuwakamata ovyo itakuwa siyo halali bali ni ubaguzi na uonevu jambo hilo litaleta chuki.

  • @bahatilaizer8706
    @bahatilaizer8706 9 หลายเดือนก่อน

    Kitawaramba tu Hiyo Hiyo sheria mtaweka Huko Zanzibar tu Arusha lazima tuvae

  • @MelamilekokoLengisho
    @MelamilekokoLengisho 9 หลายเดือนก่อน

    Tombuwa za zimbar wote ni mesema ifo naniko arusha na me ni masai nasitarajii kama nitakuja zanzibari kuma nyimy

  • @abuuridhwan3661
    @abuuridhwan3661 9 หลายเดือนก่อน

    Nakuunga mkono mkuu

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 9 หลายเดือนก่อน

    ZANZIBAR NI DANGURO ATAKAE NA AJE, CHROSTO DR MWINYI OYEEE😂😂😂

  • @StephanoLaiza
    @StephanoLaiza 9 หลายเดือนก่อน

    Vijana wengi wakizanzibar mbona wana visu

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 หลายเดือนก่อน

    Wanatisha vooo na mijisu yao

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 9 หลายเดือนก่อน

    Watu 60-100 watawezaje kuishi chumba kimoja? Kiongozi hapa kadanganya.

  • @LeilaKanyinyi
    @LeilaKanyinyi 9 หลายเดือนก่อน

    Hii yote ni ccm ndo inayoleta mkibadili katiba hakuna kama hayo

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 9 หลายเดือนก่อน

    Mkuuu sio sime narungu tu hata ayo mashuka pia yanatutisha tunawaogopa saivi halafu hayo mashuka yao yananuka hawayafui

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu wa wilaya unatumia kauli za kibaguzi sana

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 9 หลายเดือนก่อน

      Kauli gani ya kibaguzi alioitumia?acha ujinga

    • @Josephineexsuper
      @Josephineexsuper 9 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndo uache ujinga. DC anatumia kauli za kibaguzi​@@saidkhamis9507

    • @shammhagama2527
      @shammhagama2527 9 หลายเดือนก่อน

      @@saidkhamis9507 Na we si ndo walewale tu wasiokuwa na akili.

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 9 หลายเดือนก่อน

      @@shammhagama2527 mm ungelinijibu tu wapi ameongea kauli ya kibaguzi?ndio hoja

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 9 หลายเดือนก่อน

      @@shammhagama2527 au mukifanya ujinga muachiwe tu?

  • @Mbingu77
    @Mbingu77 9 หลายเดือนก่อน

    Kwanni mseme wamasai msiseme watu wa jamii ya kimasai zingatia neno watu

  • @salimahmadi-fg8sw
    @salimahmadi-fg8sw 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mliwa fukuza Ngorongoro mnategemea nn mtavuna mlicho panda CCM hoyeee3ee

  • @kelivinwambuikamau
    @kelivinwambuikamau 9 หลายเดือนก่อน

    Tueshimiane wasaai sio wachokosi zime na rungu ni asili yetu mkomee kabisa ingorotii nang,uu

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 9 หลายเดือนก่อน +1

    sio mjini tu hii marufuku iwe sehemu zote znz ,mambo ya tamaduni wakafanyie longidoo

    • @SelijusiMalambo-q2u
      @SelijusiMalambo-q2u 9 หลายเดือนก่อน

      Zanzimba wabaguzi sana kwetu mkija tunawasitai sana

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper 9 หลายเดือนก่อน

    Hapo wanaokimbiza gari na kupiga wengi hawajavaa rubega, masai ni wachache hapo, dc acha ubaguzi. Siungi mkono wananchi kichukua sheria mkononi lkn pia napinga ubaguzi... Hakuna sababu ya kusema wazanzibar oo wamasai... Huku kwetu bara sisi hua hatuwabagui nyinyi

    • @ElvisMulenga-j5w
      @ElvisMulenga-j5w 9 หลายเดือนก่อน

      Anaeonekana mwenye rungu na kupiga ni nani?

    • @ElvisMulenga-j5w
      @ElvisMulenga-j5w 9 หลายเดือนก่อน

      Acha kutetea uhalifu hao watu wanatembea na marungu na majambia wewe unaona ni sahihi

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 9 หลายเดือนก่อน

      @@ElvisMulenga-j5w Ni sahihi kwa sababu hao wanadumisha mila zao kutembea na hivyo vitu haimaanishi kuwa ni uhalifu!wee ushawahi kusikia masai kaua mtu kwa kutumia hivyo vitu

  • @maimunaussi-lr3ze
    @maimunaussi-lr3ze 9 หลายเดือนก่อน

    warudi kwao wew umeona wapi mzazibar akaaza kupigan na viongozo arusha ..hawana ustaarabu

  • @franciskobelo
    @franciskobelo 9 หลายเดือนก่อน

    Yani kosa la mtu mmoja ndo mmewajumuisha wote si sawa

  • @HusseniNgondae-u5y
    @HusseniNgondae-u5y 9 หลายเดือนก่อน

    Kwahyo selekali inavyouwa raiya mnasikialaha wao wakichapwa fimbo wananchi wabaya nyinyi ndoo watakatifu

  • @samuelmwaipopo1302
    @samuelmwaipopo1302 9 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi anasema watu hawana mahali pa kulala, wanalala wengi chumba kimoja. Angekua kiongoz makini angejua kuwa hilo suala linamuhusu yeye kama kiongozi.

  • @saimonwantango9569
    @saimonwantango9569 9 หลายเดือนก่อน +2

    Tunajua mmasai anadumisha mira na desturi lakini hawa jamaa ni wa ajabu kweli kweli anaweza kukuchokoza akijivunia sime na lungu na sisi wakurya ni jadi yetu kutembea na panga kiunoni mtuluhusu bac na sisi,safi sana kiongoz na huku bara wapigwe marufuku,panga na lungu watumie wakiwa mkoani kwao halisia

    • @NOORMOHAMED-sg9lo
      @NOORMOHAMED-sg9lo 9 หลายเดือนก่อน

      Hadumishi bana.
      Anavaa kufuli.
      Zamani hawaji mjini na hawavai .........
      Kila mtu Ana mila zake makabila yapo zaidi ya 23 TANZANIA

    • @saimonwantango9569
      @saimonwantango9569 9 หลายเดือนก่อน

      @@NOORMOHAMED-sg9lo Sasa hivi wazinguaji tyu wako karibu kuzalisha na vibaka mjini, Mimi naona wapigwe marufuku Tanzania nzima kwa kutembea na sime

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran9933 9 หลายเดือนก่อน

    Hao wamasai wote warudi porini wakachunge, yaan Kumbe vyoo hakuna, wanalazimisha watu wanunue vitu, mh warudi porini wote hao

  • @sporahsende9738
    @sporahsende9738 9 หลายเดือนก่อน

    Kwan hamkujua kuwa wanasai wanaushirikiano kuliko ata kunguru

  • @thulanimashaba8491
    @thulanimashaba8491 9 หลายเดือนก่อน

    Masai nao marungu na sime za nini?Hakuna kuchunga wala kuchinja ng'ombe huko zenji.

  • @ephrahimkivuyo4275
    @ephrahimkivuyo4275 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona wakipigwa loliondo hamsemi ????

    • @Bmsecret
      @Bmsecret 9 หลายเดือนก่อน

      Loliondo haituhusu

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@Bmsecret Juha mkubwa, hivi bado hujajua kama wewe ni mali yetu? wewe mkeo na wanao ninyi nyote ni sawa na Wamaasai tu. hutaki goma kula

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 9 หลายเดือนก่อน

    Ndo maana wakaitwa maasai waache watembee na virungu vyao hawaja Anza Leo kutembea hivo.Tusizuie mabasi kutembea eti ajali moja imetokea Si sawa.

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 9 หลายเดือนก่อน

      Sasa hayo ni matumizi mabaya ya virungu na sime

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 9 หลายเดือนก่อน

    Nyie wachekeeni tu hao watu poli wanajeuli sana

  • @LeilaKanyinyi
    @LeilaKanyinyi 9 หลายเดือนก่อน +2

    Khamis ally ni sahihi yaanzie huku tanganyika mashungi na kanzu yaondoke tanganyika maana tuna ogopa tuna hisi wa arabu wataka kutufira

  • @makongoronyerere1564
    @makongoronyerere1564 8 หลายเดือนก่อน

    Saf masai pga wasenge ao

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 9 หลายเดือนก่อน

    Sema Tabia Ya Kutembea Na Kisu Rungu Fimbo Hi Sio Sawa Mila Zibaki Kwao Mbona Waazabe Mila Zao Kwao Nasio Mjini Sema Tabia Ya Ovo Isivuke Mipaka

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 9 หลายเดือนก่อน +1

    Use Psychology rather than energy. Ndo maana Masai kawapiga

  • @athumanisese
    @athumanisese 9 หลายเดือนก่อน

    Fukuza Masai hao wakorofi

  • @zabronkirumbi6368
    @zabronkirumbi6368 9 หลายเดือนก่อน

    Wabaguzi hao

  • @adblmajid109
    @adblmajid109 9 หลายเดือนก่อน

    Huo si utamadun kama utamadun kwanin wakikerwa wanazitumia? Ilitakiwa wakikerwa waziweke chini wapambane mikono mitupu, wakizitumia sio utamaduni itakuwa silaha. Zipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu wakitaka mambo hayo wafanye wakiwa porini huko kwenye misitu hapa hakuna misitu yenye simba wala chui.

  • @AlanMbilinyi
    @AlanMbilinyi 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe mkuu wa Wilaya toka uzaliwe umewahi kusikia Wamasai wametumi sime au rungu kupiga mtu ? Huku Tanganyika wanatembea na visu sime mjini kama Dar Mwànza umewahi kusikia wamemdhuru mtu ?

  • @SelijusiMalambo-q2u
    @SelijusiMalambo-q2u 9 หลายเดือนก่อน

    Wamasai sio wezi ndugu zenu ndio wezi achakudanganya

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 9 หลายเดือนก่อน

    LAZIMA LAZIMA LAZIMA WAHESHIMU KABLA YA MAUTI HAYAJAMFIKIA BINAADAMU YOYOTE 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tukiwarudisha kwao wasme tuan wa bagua