MTANZANIA AFANYA UWEKEZAJI MKUBWA ZANZIBAR - AFUNGUA HOTELI KUBWA - WAZIRI AFIKA KUIFUNGUA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 17

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Jamaa Mkenya sio Mtanganyika

  • @maskatitravel
    @maskatitravel 11 หลายเดือนก่อน +2

    Waondoweni wamasai Zanzibar, wamasai kwao ni Tanganyika. Tunataka Wazanzibari waoneshe utamaduni wao ZANZIBAR.

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 11 หลายเดือนก่อน +1

      @maskatitravel. Wanapinga Uislam Kuzambaza Upagani.
      VINYAGONIZATION IS CULTURAL
      IMPERIALISM
      AGAINST ISLAMIC HERITAGE

    • @isakhamisi8923
      @isakhamisi8923 หลายเดือนก่อน

      Wacha ubaguzi,huko bara wapemba wamejaa nani kawabaguwa.

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 22 วันที่ผ่านมา

      Naona huko Tanganyika pia nako utawakuta labda ungemuomba M/Mungu akawaondoa kabisa duniani ukabakia wewe na Uzanzibari wako peke yako.
      Mshenzi sana wewe na roho yako mbaya.

    • @isakhamisi8923
      @isakhamisi8923 22 วันที่ผ่านมา

      @@maskatitravel wacha ukabila wewe hao ni watanzania sawa na nyinyi wapemba

  • @IsmailMajani
    @IsmailMajani 4 วันที่ผ่านมา

    Kumbe Kuna tanzania na WA Tanzania wake na Zanzibar na WA Zanzibar wake global?

  • @IsmailMajani
    @IsmailMajani 4 วันที่ผ่านมา

    Zanzibar ni wapi na mtanzania yupi huko Zanzibar?

  • @hamynas
    @hamynas 2 หลายเดือนก่อน +1

    NI HOTEL AU BAR?

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaalah

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wazanzibari mko wapi??? Nafasi zote kama hizi zinachukuliwa na watu kutoka nje ya Zanzibar! Kwann????

    • @colletatesha5265
      @colletatesha5265 หลายเดือนก่อน

      Mhhhhh wewe ni wale wale mbona wazanzibar wapo bara na wanawekeza

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s หลายเดือนก่อน

      Tuanze na weyeee,we upo wapi

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s หลายเดือนก่อน

      Utawawez wazanzibar wapo wapo2 kama pumbu

    • @isakhamisi8923
      @isakhamisi8923 22 วันที่ผ่านมา

      @@kamalbashir5127 wazanzibari wako foro wanakula urojo

  • @LesingoBaraka
    @LesingoBaraka 7 หลายเดือนก่อน

    Hoteli sio yao waongo demu wa salumu kamsulumu

  • @IsmailMajani
    @IsmailMajani 4 วันที่ผ่านมา

    Kumbe Kuna tanzania na WA Tanzania wake na Zanzibar na WA Zanzibar wake global?