Jinsi ya Kushoot na Ku edit scene ya maongezi kwa kutumia camera Moja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @henrymohamed4832
    @henrymohamed4832 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana mualim nimefaidi mafunzo

  • @up60production67
    @up60production67 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana richster nimejifunza kitu nakufatilia sana kama unanifungua sana

  • @UkhutFatyBakari
    @UkhutFatyBakari 6 หลายเดือนก่อน

    Gud broo

  • @mwalukasatvonline4886
    @mwalukasatvonline4886 6 ปีที่แล้ว +1

    go go go richstar 🔥🔥🔥🔥

  • @zefaso_24
    @zefaso_24 3 ปีที่แล้ว

    Iko pp brother

  • @best_gan
    @best_gan ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥💯💯💯💯💯

  • @lameckjohn9760
    @lameckjohn9760 6 ปีที่แล้ว

    Tisha sana

  • @ramafrica9016
    @ramafrica9016 5 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @abdulkibazo1291
    @abdulkibazo1291 5 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana ila tuelekeze mahali unapotoa darasa

  • @robertmwambengale116
    @robertmwambengale116 6 ปีที่แล้ว +1

    BRO ME NDO NAANZA KUTUMIA ADOBE PRIMIER PRO ILA SUBTITLE INANISHINDA MWISHO WA MOVI MAJINA YAENDE SLOSLO

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 4 ปีที่แล้ว

    Unaweza una shoot Field ila Sauti ukaingiza Studio @RichStar

  • @HooDTvTz01
    @HooDTvTz01 7 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana Rich...

    • @fatmaafriqa9392
      @fatmaafriqa9392 6 ปีที่แล้ว

      Sas kak kam video ya haruc inakuaj kuhusu saut

  • @PeterMuli-m3k
    @PeterMuli-m3k 9 หลายเดือนก่อน

    Simu pia inaweza edit vidio kama hizo

  • @zainamzirai7943
    @zainamzirai7943 5 ปีที่แล้ว

    brother jinsi ya kurecord sound pembeni siunaeza kurecord kwa kutumia microphone pin mic

  • @Azad_khan7799
    @Azad_khan7799 4 ปีที่แล้ว

    mi mlikua naomba k2 kimoja labda utufahamishe na kwa simu jinsibya kushoote maana wengi tunatumia simu

  • @smatfilm
    @smatfilm 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka sas naedit kwa sim vip aiwezekani

  • @bennymwampanga9378
    @bennymwampanga9378 5 ปีที่แล้ว

    KWEMA BRAZA! mimi naitwa beni nirishawai kijifunza tu jinsi ya kushika kamera ila naomba msaada wako ili nijifunze zaidi je nitaipata vipi iyo software uliyoitumia kiedit hichi kipande

  • @maarifadayle1897
    @maarifadayle1897 3 ปีที่แล้ว +1

    Broo vp naweza kutumia premiere pro Kwenye windows 7, Bila project kukwama kwama??????

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 ปีที่แล้ว +1

      Kukwama kwama kwa video husababishwa na Uwezo wa kompyuta hasa upande wa RAM, Graphics card na Processor

    • @maarifadayle1897
      @maarifadayle1897 3 ปีที่แล้ว

      @@Richstartz kwa kawaida inatakiwa ram isiwe chini ya gb ngapi?

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 ปีที่แล้ว

      @@maarifadayle1897 Isiwe chini ya 8GB

    • @maarifadayle1897
      @maarifadayle1897 3 ปีที่แล้ว

      @@Richstartz shukrani

  • @Kanyaga_leatherIndustry
    @Kanyaga_leatherIndustry 6 ปีที่แล้ว

    brother nina shida ya adobe package kam unayo tunawez kuongea kibiasha nije kuifata

  • @Kanyaga_leatherIndustry
    @Kanyaga_leatherIndustry 7 ปีที่แล้ว +1

    Swali langu
    je kam ukirecord video n sound in one camera nataka unisaidie kunielekeza jinsi ya kutoa back sound ambayo hautaki isikike

    • @Kanyaga_leatherIndustry
      @Kanyaga_leatherIndustry 7 ปีที่แล้ว

      +Richstar saw asante brother

    • @Kanyaga_leatherIndustry
      @Kanyaga_leatherIndustry 6 ปีที่แล้ว

      Samahank brother naomba uniambia au unielekeze jinsi ya kutoa iyo noise kwenye Adobe premier pro CS5

    • @Kanyaga_leatherIndustry
      @Kanyaga_leatherIndustry 6 ปีที่แล้ว

      Richstar kwenye Denoiser unacopya ya stereo, Mono, au 5.1 na pia Hertz zake utaweka ngapi