Jinsi ya Kushoot Video Cinematic Kwa kutumia Smartphone

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Katika Video hii nimelezea na kuonesha Jinsi ya Kushoot Video Cinematic Kwa kutumia Smartphone. Kwa kutumia smartphone unaweza kushoot Video na kuwa mbunifu zaidi.
    Vifaa nilivyotumia
    Samsung A70
    Zhiyun Smooth 4
    Canon 6D katika Kushoot Behind the scenes

ความคิดเห็น • 136

  • @visionman8277
    @visionman8277 4 ปีที่แล้ว +18

    Haya sasa ndio nimekuwa wakwanz leo nipeni likes zangu tunaomkubali richadi

  • @Kichomi_og
    @Kichomi_og 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka elimu yako nzuri nimeipenda hii. Hatamimi natumia cm yangu kushoot na comedy zangu zina trend vizuri mbaka nashangaa duh.

  • @undamediapro.
    @undamediapro. 4 ปีที่แล้ว +4

    Mi nimeipenda hiyo,,,
    Nahitaji package ya namna ya kuedit video as a beginner

  • @EmanuelDaniel-rs2sl
    @EmanuelDaniel-rs2sl 4 หลายเดือนก่อน

    Vizr kaka👏👏💥

  • @Onesmoboyz
    @Onesmoboyz 29 วันที่ผ่านมา

    Kaz nzur

  • @Con-gy4hc
    @Con-gy4hc 2 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana kaka

  • @brightlastborn4440
    @brightlastborn4440 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah asee bro nimependa sana sana sana hiyo mambo make natamani kuwa , photo grapher mzr , nazani ntajifunza mengi kwako

  • @placidelulinda2009
    @placidelulinda2009 4 ปีที่แล้ว +1

    Na nilipenda sana hii kazi ya smartphone pamoja na gimble congratulations!

  • @moesenior2157
    @moesenior2157 4 ปีที่แล้ว +1

    Maeneo ya homehome kabisa daaah safi sana Rich Star

  • @user-kl6gk9gt9k
    @user-kl6gk9gt9k 9 หลายเดือนก่อน

    Duu aise nimekubali Sana ticha wewe ni shida

    • @Richstartz
      @Richstartz  9 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwalimu Wangu Wa NGUVU Ni Kweli inapendeza unapotukumbuka na ss wa smartphone ambao tunahitaji ushauri wenu Kama huu Mungu Akuongeze NGUVU Na Maisha Marefu Brother Naamini sana Uwepo Wako Mm Channel Yangu Isingefika Hapa Bila Mafunzo Yako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @lizzydiy4590
    @lizzydiy4590 2 ปีที่แล้ว

    We kaka ni 🙌🔥🔥🔥🔥

  • @VictorPaison
    @VictorPaison ปีที่แล้ว

    Nimependa kaka kazi nzuri

    • @Richstartz
      @Richstartz  11 หลายเดือนก่อน

      Asante

  • @olemerypaulo2777
    @olemerypaulo2777 2 ปีที่แล้ว

    Kwanza kaz nzuri Sana video za msimamo wa simu na za mlazo wa si ipi bora

  • @DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169
    @DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169 2 ปีที่แล้ว

    Naitaji kuji funza kutengeneza video

  • @danielmaiko1513
    @danielmaiko1513 ปีที่แล้ว

    Da . Mmetisha . Nahitaji namm kujifunza zaidi . Mko vizuri sana nazaidi ya sana .

  • @DeezyRaka
    @DeezyRaka ปีที่แล้ว

    Kaka unajua

  • @LucasKanuti-cg7lj
    @LucasKanuti-cg7lj ปีที่แล้ว +1

    Uko wap broo

  • @Mrkibisho
    @Mrkibisho 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwakutupa elimu sisi vijana wako

  • @olivierdepro829
    @olivierdepro829 2 ปีที่แล้ว

    Hapa mzee nakupa 100% iko safi
    Bali ungeonyesha jinsi ulivyo edit mwanzo mwisho maana tunataka kujifunza pia

    • @Richstartz
      @Richstartz  2 ปีที่แล้ว

      Video yake ipo baada ya hii inayofuata

  • @maalimchemwiye9773
    @maalimchemwiye9773 2 ปีที่แล้ว

    Duh good nice, ila sehemu za slow motion umeidit ama katk kurecod!!

    • @Richstartz
      @Richstartz  2 ปีที่แล้ว

      Sija edit slomo, Ni simu yenyewe nimeweka Slow motion

  • @MedyBeker-s1b
    @MedyBeker-s1b หลายเดือนก่อน

    Naomba niulize kitu

  • @PhanuelyJuma
    @PhanuelyJuma 6 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥🔥👊

  • @sebajaybrand
    @sebajaybrand 4 ปีที่แล้ว +1

    Always doing Bravoo bro..asante sana kwa elimu next time naomba utuelimishe kuhusu adobe primere pro kwa first beginer..✍

    • @user-vx8pi3ns5f
      @user-vx8pi3ns5f 11 หลายเดือนก่อน

      nakazia hapo tunaomba bro

  • @nessyvibetz7389
    @nessyvibetz7389 3 ปีที่แล้ว

    Nzurii Sana nimeipenda

  • @philiposimon1392
    @philiposimon1392 3 ปีที่แล้ว

    Mi nataka kijifunza editing

  • @kitinegraffixtutorialps8447
    @kitinegraffixtutorialps8447 4 ปีที่แล้ว

    Tupe ujuzi broo

  • @dottojumanne1687
    @dottojumanne1687 4 ปีที่แล้ว

    Tisha sana br

  • @fasanitzfasanitz9631
    @fasanitzfasanitz9631 4 ปีที่แล้ว +1

    Imepita iyo nimeielewa 🔥🔥

  • @amoury1481
    @amoury1481 4 ปีที่แล้ว +3

    8:52 dakika moja lakin mm mimi kuna siku nilikuwa nafanya visual effect video ya sekunde nane ilinichukua saa tatu kumaliza editing

  • @user-sd5cs3mn8f
    @user-sd5cs3mn8f 6 หลายเดือนก่อน

    Natamani sana uwe mwalimu wangu kaka mnapatika wapi

  • @mambotv1233
    @mambotv1233 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri kaka

  • @khanwizzytz4130
    @khanwizzytz4130 ปีที่แล้ว

    Naomba Namba Yako

  • @iyanboy4786
    @iyanboy4786 2 ปีที่แล้ว +1

    Oya brother napata wapi hiyo stendi

  • @mbagalaonlinetv2652
    @mbagalaonlinetv2652 4 ปีที่แล้ว

    Brother shukran sana nimepata ktu kama jinsi ya kushika smartphone wakati kshout nitaanzia hvyo

  • @placidelulinda2009
    @placidelulinda2009 4 ปีที่แล้ว +1

    Nili itaji kujuwa brother Richstar, camera gani ulitumia kwa ku shoot hii tutorial mzima. Si maanishi kuhusu smartphone, hila nazungumuzia wakati wanaki wana ku shoot wewe bro Richstar camera gani? Cannon gani au sony gani au Nikon gani Asante sana naomba unijibu kaka Richstar.

  • @amaniupendo1078
    @amaniupendo1078 ปีที่แล้ว

    Asante sana.
    Namna gani ku set vizuri camera ya simu Google Pixel 3A

  • @cgm4onlinetv745
    @cgm4onlinetv745 ปีที่แล้ว

    Naomba mawasiliano Kuna vitu nataka kujua zaid

  • @vicheko498
    @vicheko498 ปีที่แล้ว

    Mwenzio nnashida na kuipata programu ya premier pro

  • @brownmsigwa5429
    @brownmsigwa5429 4 ปีที่แล้ว

    Umetixha mzee bonge la somoo

  • @MOSES_FIMBO
    @MOSES_FIMBO 28 วันที่ผ่านมา

    Nifundishe jinsi ya kuunganisha audio na clip yaani video.usiache jamaa yangu

  • @its_smat
    @its_smat ปีที่แล้ว

    Bro sasa kwenye sauti ukiedit mazungumzo si yanaalibika kama ni filamu kabis au

  • @machuamusic3205
    @machuamusic3205 4 ปีที่แล้ว

    Hatari sana hyo Gimbal ✌️

  • @WagumutzNyawenda
    @WagumutzNyawenda 5 หลายเดือนก่อน

    Nitaji kujifunza jisiya kuediti vidio kwenyesimu

  • @martinchuwa1433
    @martinchuwa1433 ปีที่แล้ว

    Me nataka kujuwa nivipi unajirekodi video huku ukiimba nyimbo flani lakini hautoi sauti ya nyimbo na uendane na beat ya mziki

  • @momadinofficial3573
    @momadinofficial3573 3 ปีที่แล้ว

    Ukusha edit ukitaka kuweka color compyuta ipi n nzur zaid

  • @shijamashima5511
    @shijamashima5511 2 ปีที่แล้ว

    Bro me najua kuedit lakn nahitaji kujifunza Zaid unaweza nipatia hiyo tutorial nijifunze zaid

  • @kufulanikufulanibacar-uj4tf
    @kufulanikufulanibacar-uj4tf ปีที่แล้ว

    Asante

  • @iyanboy4786
    @iyanboy4786 2 ปีที่แล้ว

    Samahani brother naomba unisaidie namba yako nahitaji hiyo stend ya simu

  • @KlLAKITUTV-qu8el
    @KlLAKITUTV-qu8el ปีที่แล้ว

    Natakaka nijue app nzuri kuedit Movi baada record

  • @officialmellah137
    @officialmellah137 4 ปีที่แล้ว

    Mm nataka kujifunza kushuti kutumia smartphone ma kuediet unaniidiaje nipo dar

  • @kitinegraffixtutorialps8447
    @kitinegraffixtutorialps8447 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali

  • @zaidyidrissi27
    @zaidyidrissi27 3 ปีที่แล้ว

    Namimi nashut clip kwa kutumia simu ila naona kama na shoot vibaya nipe elimu hapo

  • @salumrashidjr
    @salumrashidjr 4 ปีที่แล้ว

    Genius
    Safety hand

  • @TunduComedyFamily
    @TunduComedyFamily 4 ปีที่แล้ว +1

    Kijana mambo vipi?? Nawezaje kupata software ya adobe premiere pro. Tofauti na kununua mtandaoni??? Ntashukuru kama nitajibiwa.

    • @iteefmedia8483
      @iteefmedia8483 4 ปีที่แล้ว +3

      Nicheki Kwa Software Zote Za Video Na Audio Production. Full Versions, Hauna haja Ya Kununua Mtandaon.
      Contact: 0653241856

    • @TunduComedyFamily
      @TunduComedyFamily 4 ปีที่แล้ว

      @@iteefmedia8483 upo wp wewe

    • @fizzoh_graphics60
      @fizzoh_graphics60 3 ปีที่แล้ว

      Download mtandaoni

  • @marcomalale12gmail
    @marcomalale12gmail ปีที่แล้ว +1

    VIP kwa upande wa sauti akiwa upo mbali nakamera haita affect?

  • @NeemaKmussa
    @NeemaKmussa 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @yamungukakokorubeni2739
    @yamungukakokorubeni2739 ปีที่แล้ว

    kaka naitaji kujifunza kushut video zote na kukubali

  • @MateCroTanzania
    @MateCroTanzania 11 หลายเดือนก่อน

    mim bro rich ningependa kujua unawekaje ule muonekano wa video background yake kama haionekani vizur yaan borka

    • @Richstartz
      @Richstartz  11 หลายเดือนก่อน +1

      Huwa natumia Low Aperture. 1.8 - 2.8fstop

  • @JASIRIMIKAONLINETV
    @JASIRIMIKAONLINETV 4 ปีที่แล้ว

    Brother mamb VP kiongoz?
    Aise mm naomb kwanza kuuliza hivi hiyo gimbal ya smartphone shingap inauzwa? Na ya camera shingap? Inauzwa broo mm mwenyew broo ni youtuber lkn sina vifaa xaiz natak kutafuta camera nzur ya kuanzia pamoja na gimbal so naomba msaada Wa bei na mahali vinapo patikana mm Niko mkoa Wa rukwa sumbawanga

  • @issambarouk474
    @issambarouk474 18 วันที่ผ่านมา

    Bro hbr yko nhtj nmba ako

  • @abuuthaammaweijj5283
    @abuuthaammaweijj5283 4 ปีที่แล้ว

    daaaah!!... iko poa sanaaa, ila ni program gani umetumia?.

  • @jayboymusc3147
    @jayboymusc3147 4 ปีที่แล้ว +1

    Nazipataje mawasiliano

    • @Richstartz
      @Richstartz  4 ปีที่แล้ว

      0714250356

    • @handboytz7942
      @handboytz7942 4 ปีที่แล้ว

      @@Richstartz hapo sawa nimeipata namba shukurani

  • @offical_deoboy
    @offical_deoboy 7 หลายเดือนก่อน

    Je kurecord kama nyimbo unatka kutoa video

  • @minjingumines7573
    @minjingumines7573 3 ปีที่แล้ว

    Niko na ww sambamba kaka kwaiyo iyo stendi nitapatapatae

  • @bmmaster3136
    @bmmaster3136 8 หลายเดือนก่อน

    sorry
    Nifundishe namna ya kushoot movie ili ilete hisia
    Au namna ya kurekod movie
    Please sir🙏🏿🙏🏿🙏🏿naomba hata namba yako ya whatsapp

  • @jeffmastertz
    @jeffmastertz 4 ปีที่แล้ว

    kaka mambo vp

  • @directorfredyezzy7742
    @directorfredyezzy7742 4 ปีที่แล้ว

    Naihitaji programe ntaipataje kk im begginer

  • @directorfrowin
    @directorfrowin 4 ปีที่แล้ว

    Real cinematic

  • @ngoyatvonline1181
    @ngoyatvonline1181 4 ปีที่แล้ว

    Haya ndugu rich

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa ulicho kufanya nimejua kuwa unaweza ukawa na Vitu vidogo na Ukaanzia hapo hapo nimependa Sana hiyo Smartphone gimbo I wish nipate ntaitafuta Android. Samsung A50 smartphone gimbo ili nianze cinematic but Rich Unatuelimisha Sana Bro
    Ila ningeonmba ytoe darasa Kam kuna uwezekano wa kuunganisha Wireless mic/ Headphones nikiwa na shoot kwa kutumia smartphone

  • @JosephMarcus-kt9sz
    @JosephMarcus-kt9sz ปีที่แล้ว

    Duuu niatari sana kaka unyama mwingi nitumie namba yako

  • @its_smat
    @its_smat ปีที่แล้ว

    Ume2mia PC kuedit au ata sim 2

  • @augostinopaul3601
    @augostinopaul3601 4 ปีที่แล้ว +1

    Tufundishe kuediti kwa smartphone

  • @Jabir-gq4ck
    @Jabir-gq4ck ปีที่แล้ว

    Nahitaji kamera yakuanzia ntapata

  • @gastomwanyingili9426
    @gastomwanyingili9426 ปีที่แล้ว

    Vina uzwaje na vina patikana wap

  • @athumaniahmad699
    @athumaniahmad699 4 ปีที่แล้ว

    Nataka adobe premiere pro bro download vipi kaka

  • @johnrubenga4910
    @johnrubenga4910 4 ปีที่แล้ว +2

    kudadadeki.. leo nimefumania ya motooooooooooooooooooo

  • @natv206
    @natv206 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo package Mimi nahitaji kiingozi

  • @fredmbowe5546
    @fredmbowe5546 2 ปีที่แล้ว

    Swali langu kak iyo stendi Ina uzwa shingap

  • @NaetweTumaini-ou6xm
    @NaetweTumaini-ou6xm 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba uni tumie namba zako

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka hiyo stend ya kushikia simu zipo zinauzwa?

    • @Richstartz
      @Richstartz  4 ปีที่แล้ว

      Yes wapo watu wanaouza

    • @handboytz7942
      @handboytz7942 4 ปีที่แล้ว

      @@Richstartz namba zao tunapataje naomba ututumie 0746068587

  • @sidaryotv8821
    @sidaryotv8821 4 ปีที่แล้ว

    Uko pow najifunza mengi

  • @Kiristofa
    @Kiristofa 4 หลายเดือนก่อน

    Namunayaku unganishavpi

  • @YUSTINAMINDE-ij5kj
    @YUSTINAMINDE-ij5kj ปีที่แล้ว

    Niemeikubal sn

  • @philiposimon1392
    @philiposimon1392 3 ปีที่แล้ว

    Mic zinapatikAna wapi

  • @herinedance4679
    @herinedance4679 4 ปีที่แล้ว

    ivi izo tripod za sim wanauzaje

  • @amilisidifo149
    @amilisidifo149 4 ปีที่แล้ว

    nakukubal

  • @sidaryotv8821
    @sidaryotv8821 4 ปีที่แล้ว

    Tuelekeze njisi ya kuchza adobe illastruleta

  • @kstv6875
    @kstv6875 2 ปีที่แล้ว

    Number yko bro

  • @qlanbeats5820
    @qlanbeats5820 4 ปีที่แล้ว

    👍

  • @nesterkjofficial1735
    @nesterkjofficial1735 4 ปีที่แล้ว

    Rich star tufundishe jinsi ya kushot na mkino man wagine awana sitend mkuu

    • @Richstartz
      @Richstartz  4 ปีที่แล้ว

      Nunua stand zinapatikana kwa bei nafuu

  • @songoclassic1126
    @songoclassic1126 2 ปีที่แล้ว

    Kaka wewe niprodza wamziki

  • @amaniupendo1078
    @amaniupendo1078 ปีที่แล้ว

    Pongezi

  • @wisdomcalvin7017
    @wisdomcalvin7017 4 ปีที่แล้ว

    Daimond

  • @mvungigaming
    @mvungigaming 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu nishasubscribe naweza pata contact yako

    • @Richstartz
      @Richstartz  4 ปีที่แล้ว

      0714250356

    • @mvungigaming
      @mvungigaming 4 ปีที่แล้ว

      @@Richstartz 🙏

    • @akhyhassan5398
      @akhyhassan5398 4 ปีที่แล้ว

      Nami naichukua kiongozi, ninufaike zaidi
      Sijui iko active whatsapp?

  • @williamgeyonga3519
    @williamgeyonga3519 ปีที่แล้ว

    Kwakwi wewe

  • @handboytz7942
    @handboytz7942 4 ปีที่แล้ว

    naomba namba za wanao uza hzo stend utanitext namba yangu ni 0746068587

  • @magemasaki7854
    @magemasaki7854 4 ปีที่แล้ว

    Model anakwambia hawata ona kama 😃😃😃🤣🤣

    • @Richstartz
      @Richstartz  4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

  • @godyfreygidion5143
    @godyfreygidion5143 4 ปีที่แล้ว

    Nahitaji camera ya kushoot 0783121391