ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
@Richstar wewe ni mwalimu Bora duniani 🤗
❤ naipenda Sana hii tutorial ilikua nzuri Sana na yenye faida kwangu big up bro
Asante sana kaka 🙏🙏✅
Asante Bro,ila vp tutorial ya fl complete course
30,000 bei yake
Ahsante mwalimu
Kaka maguluko we unajua sana, sio mchoyo kutumegea kile mungu alichokujaalia, mungu akujaalie uwe na roho hiyo hiyo na moyo wa upendo..
Asante sana
Hongera ni mwalimu mzuri
Asante kwa elimu❤
Amazing look😱👍richstar tuekee hili somo la cinematic light Setup leo umetisha video inamuonekano mzuri light zimekaa powa na wide angle io hatarii
Sawa nitalifanyia kazi
Nice bro
Shukrani
BIG UP IMENISAIDIA SANA HIYI VIDEO NIMEYIHANGALIA KWA UMAKINI SANA KBS
Nice
Thanks
Muongozo mzuri sana brother.
Nakukubali san kaka
Lete course ya camera complete kaka.tunaisubiri kwa hamu
Thanks bro
You are welcome
Ungeweka labda na Adobe podcast enhance😅
Kivipi😅
tunaomba utufundishe kuhusu FL kwamba kituhiki kikilia hiyo beat inakuwa rege au hiki kikilia hiyo itakuwa RnB nk nashindwa kuuliza vizuri samahani kama sijaeleweka
mkn
Kaka nakukubali Sana though nimejiunga juz tuu kwa channel yako
Bro hili ni somo kubwa sana .ila naweza kutumia hiyo adobe audiation bila ile website na nikapata matokeo mazuri?.
Bro utanisamehe nipo ninje na maada ya leo Ila utanisamehe mm shida yangu ni kufanya biashara nilikuwa nataka sample bro nisaidie bro rich
Yaani nilikuwa naifikiria sasa ivi.
Maelekezo mazur kaka tufel sisi tu
Sure mzee
kijana 😂😂😂😂
Baada ya kupata ili somo nimejaribu na imenipa matokeo mazuri sana, ahsant mwalimu wangu
Shukrani sana. Kila la heri
Mamb uko aje natamani unipee namari yako ya whastapp
Br nipe no yako unifundishe ninue vitu vinavyotakiwa kabla sijatoka omani nataka niwe mwanayoutube
Tuwasiliane 0714250356
Hii app inaweza kusupport kwenye android
Yes
Oky Sawa
Kaka we nimashine ungekuwa unaacha na namba zako za cm kaka hata za WhatsApp
07142502356
Bro naomba unioneshe jinsi ya kuweka video na music wa copyright ao no copyright tena bila kuweka audio yeyote please
Bro naomba unijib please 😢
Ujaelewka
Sijakuelewa. Unawza ukafafanua ama nitumie voice ktk instagram instagram.com/richstartz
Tuelezee forex kama unaifahamu bro
Sasa kama ni mazingira ya nje?
Kama mazingira ya nje Zingatia niliyaeleza mwishoni
Shukran broo
@@frankkasilati5465 Kila la heri
@Richstar wewe ni mwalimu Bora duniani 🤗
❤ naipenda Sana hii tutorial ilikua nzuri Sana na yenye faida kwangu big up bro
Asante sana kaka 🙏🙏✅
Asante Bro,ila vp tutorial ya fl complete course
30,000 bei yake
Ahsante mwalimu
Kaka maguluko we unajua sana, sio mchoyo kutumegea kile mungu alichokujaalia, mungu akujaalie uwe na roho hiyo hiyo na moyo wa upendo..
Asante sana
Hongera ni mwalimu mzuri
Asante kwa elimu❤
Amazing look😱👍richstar tuekee hili somo la cinematic light Setup leo umetisha video inamuonekano mzuri light zimekaa powa na wide angle io hatarii
Sawa nitalifanyia kazi
Nice bro
Shukrani
BIG UP IMENISAIDIA SANA HIYI VIDEO NIMEYIHANGALIA KWA UMAKINI SANA KBS
Nice
Thanks
Muongozo mzuri sana brother.
Nakukubali san kaka
Lete course ya camera complete kaka.tunaisubiri kwa hamu
Thanks bro
You are welcome
Ungeweka labda na Adobe podcast enhance😅
Kivipi😅
tunaomba utufundishe kuhusu FL kwamba kituhiki kikilia hiyo beat inakuwa rege au hiki kikilia hiyo itakuwa RnB nk nashindwa kuuliza vizuri samahani kama sijaeleweka
mkn
Kaka nakukubali Sana though nimejiunga juz tuu kwa channel yako
Asante sana
Bro hili ni somo kubwa sana .
ila naweza kutumia hiyo adobe audiation bila ile website na nikapata matokeo mazuri?.