Nakuelewa sana Kaka,mimi pia napenda kuwa mwandishi au mtunzi wa filamu.napenda Aidia za Action na love story,je hatua ya kwanza wakati nahitaji kuandika story,,naanza vip...
Je garama inakua Bei gani Kaka kweli unakuta naitaji kuwa mwandishi mzuri wa story but how I can afford cost ndo inakuja kuwa tatizo m nisaidie hapo na je natumia mda gani kukamilisha course nzima up to see my idea Is film 🙏🙏🙏🙏
Kwel
Naomba kufaamu majukumu ya crew ya kila umoja
Nakuelewa sana Kaka,mimi pia napenda kuwa mwandishi au mtunzi wa filamu.napenda Aidia za Action na love story,je hatua ya kwanza wakati nahitaji kuandika story,,naanza vip...
Kweli kaka
Kuna kitu Sasa najifunza mwalimu wangu
Brother vp kuhusu TENA.mim ni miongon mwa washirik
Je garama inakua Bei gani Kaka kweli unakuta naitaji kuwa mwandishi mzuri wa story but how I can afford cost ndo inakuja kuwa tatizo m nisaidie hapo na je natumia mda gani kukamilisha course nzima up to see my idea Is film 🙏🙏🙏🙏
Bro natamn kujifunza jins ya kushoot film ntakupataje
Wewe ni director mkubwa but kwenye darasa lako una aploud vipande vidogo vwavidio ambavyo vinashindwa kutupeleka moja kwa moja kwenye points
Somo zima lipo kwenye mtandao. Ukijisajili utapata somo zima ingia www.swahilifilmclass.com