Njia rahisi ya ku design Logo au nembo ya photography
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2017
- Kuna njia nyingi ila hii binafsi nimeiona ni ya kipekee zaidi kwa sababu ndiyo inayotumika. Ni kama sign lakini, kwa hio unaweza ku scan sigh yako au ina lako, au unaweza uka tumia tu fonts za handwritten ukafanikiwa pia
- แนวปฏิบัติและการใช้ชีวิต
kazi nzuri kaka na asante napata ujuzi kupitia ww shukrani sana
nakukubali sana kaka unafanya kweli asante kwa kunifunza vingi nipo na wewe
Much respect mchango wako tanzania mpk nnje mkubwa tunazidi kukuombea uzima ili utupe vitu zaid
From what I saw in this tutorial, you got yourself a new subscriber and a fan. I'm your new entry in subscription 👍
ASANTE KAKA
Ngoja nifanyie kazi
Thank you for this... umenisaidia sana
ikovizuri sana shukran nyingi sana
oi rich nashida na ww bro
naomb namb zako bro
hua ninafownload hizo beat za richstar .. kama hio uloweka kwenye outro . So swari langu ni kwamba we mwenyewe ndo mtengenezaji wa hizo beat na mtu yeyote yuko free kuzitumia?
Nice
imetulia sana
No more, uko vzuri bro
Ukishadownload hzo font style unaziwekaje ndan ya Photoshop
Kaka nimeanza kupata mwanga thanks
unaenda haraka haraka punguza kasi kumbuka sio wote wanaojua
No yako ya picha pliz
kaka mekuelewa kinoma sasa nawezaje kwenye tutorial zako
Kaka MBINA KWANGU SIIONI PNG JE KUNA NYINGINE INAWEZA IKAWA INA FANANA NA PNG
sorry mm nataka kufaham jins ya kutengeneza hiyo sehem ya mwanzo inayo badilisha picha kama inakwama kwama ya mwanzo wa video yako
Richstar nisaidie namna ya kutengeneza logo kama yako ya R
Richstar ile unayowekaga kwenye video zao yenye herufi R Imezungushiwa na flame 3 za pembe tano. Ninaipenda kwa sababu ukiiweka kwa video haizibi video yako
Software gani imetumika hapo ?
Mi ni mpya kwenye design
Naweza kuipata wapi maana machine yangu ni mpya
Nitakupaje maana nilikuwa nahitaji sana hiyo program,Namba yangu 0766243074
asante sana kaka rich nimekuwa nikikufatilia sana nitakupataje? nicheki 0712253204
asante sana kaka rich nimekuwa nikikufatilia sana nitakupataje? nicheki 0712253204
thanks lazima nikutafute mkuu