KNIGHT TEMPLARS JESHI HATARl LA KAT0LIKI LINALOHUSIANISHWA NA FREEMASON

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @haizurumakombo580
    @haizurumakombo580 ปีที่แล้ว +22

    Mimi naweza kuandika makala kama hizi naombeni support

    • @berberaboy9277
      @berberaboy9277 ปีที่แล้ว +7

      Wenzio hawaombagi ndugu binadam watakukatisha tamaa we fanya kam uwezo upo watakubali

    • @Baday_8
      @Baday_8 ปีที่แล้ว +1

      @@berberaboy9277 📌💯💯

    • @yakoboesenga5754
      @yakoboesenga5754 ปีที่แล้ว

      @@berberaboy9277 ume mshauri vyama kabisa yy aanze ss tuta anza ku view videos zake

    • @onetake2292
      @onetake2292 ปีที่แล้ว +1

      Post TH-cam.. tutaiona kama ina content kama hizi

    • @JustineMathias-wj7bd
      @JustineMathias-wj7bd ปีที่แล้ว

      ongea na justine shed atakupa mwongozo

  • @epmzmusifiwar6694
    @epmzmusifiwar6694 ปีที่แล้ว +4

    From Uganda 🇺🇬🇺🇬 to Tanzania Justin she'd 🥰🥰🥰♥️🥰🥰🥰

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 ปีที่แล้ว +5

    Asante Justin, hakika unatupa tunachostahili.
    NAOMBA KISA CHA BIKRA MARIA KUHUSU KUZAA AKIWA BIKIRA NA KUFARIKI AKIWA BIKRA na alikuwa na mme na yesu alikuwa na ndugu 🙏🙏

    • @juliusjacob2590
      @juliusjacob2590 ปีที่แล้ว

      Yesu alikuwa na Ndugu Sio wa kuzaliwa Kwa bikra Malia ni wale watoto wa ndugu yake na bikra maria ndio ndugu zake

    • @shadrickmwanjabala4681
      @shadrickmwanjabala4681 ปีที่แล้ว +1

      Hakufariki akiwa bikra Bali aliendelea kuzaa watoto wengine na yusufu

    • @edwarddavid8076
      @edwarddavid8076 ปีที่แล้ว +2

      Nenda kasome mwenyewe biblia acha kutaka kutafuniwa kila vingine utalishwa matango Bwana anasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

    • @EdwardMangwe
      @EdwardMangwe หลายเดือนก่อน

      Itakusaidia nini ukijua kuhusu hilo? Yaliyowekwa wazi ndo yenye kutufaa sisi katika mwendo wa imani

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 ปีที่แล้ว +6

    Hao ni mafreeman

  • @MAAGOSPEL
    @MAAGOSPEL ปีที่แล้ว +2

    Asante brother naomba simulizi ya Israel

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 ปีที่แล้ว +1

    Historia yako hii hebu ifuatiliwe vzr Kisha uilete,

  • @aronindibalema4964
    @aronindibalema4964 ปีที่แล้ว +1

    Sasa twende kazi

  • @kikongajoel5172
    @kikongajoel5172 ปีที่แล้ว

    Kz nzuri

  • @gh7naa
    @gh7naa ปีที่แล้ว +3

    Suleiman na masjeed al agsa ni za waislam sio za walio toka Europe

  • @gh7naa
    @gh7naa ปีที่แล้ว +1

    Hakuna mahujaji wa kuzungu hata alagsa ni kwa kirabu na bet lehrm ni kiarabu

  • @luckie9093
    @luckie9093 ปีที่แล้ว

    Kaka vipi .....naomba ufafanuzi wa historia ya waturuki na wakristo......

  • @fely_wily
    @fely_wily ปีที่แล้ว

    Justin shed nakukubali sana Mimi naitwa FelyWily naomba unipigie video ya historia ya Lil Deep

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri ila Kuna vitu unafanya Sana

  • @filberthenrick
    @filberthenrick หลายเดือนก่อน

    Hiyo sio misalaba bali ni alama ya kujumlisha

  • @gmavoice1893
    @gmavoice1893 ปีที่แล้ว +1

    Acha ku chonganisha imani zawatu brw andika kitu kizuri lakini kuwa makini sana na maandiko yako Angalia sana kuwa makini sana .. ..

  • @maxkim5361
    @maxkim5361 ปีที่แล้ว +1

    Mimi wa pili

  • @pascalwawa7023
    @pascalwawa7023 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka Justin me shabiki yako naomba nifanyie ya Kioo.. ukweli na maajabu yake maana naskia kioo sio kitu cha kawaida

  • @cyncyacyncya3204
    @cyncyacyncya3204 ปีที่แล้ว

    Haki ulichokisimulia ndo nilichokiona kweny movie ya KNIGHTFALL.

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 ปีที่แล้ว +2

    Hii history ni uongo uislam Ulianza miaka ya 600 labda ungesema wayahudi hapo sasa

  • @adammj6258
    @adammj6258 ปีที่แล้ว

    Tofauti kabisaa!! Sijui anatoa wapi hizi story

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 ปีที่แล้ว +1

    Hao ndo freemasons wa ss

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏✌️.

  • @johndevi2153
    @johndevi2153 ปีที่แล้ว +1

    Tupe story ya Six days war

  • @djumadjumbe6907
    @djumadjumbe6907 ปีที่แล้ว

    Kaka some time una boa
    Historia zingine una zisoma kivingine
    Unabadirisha mambo unavyotaka

  • @MALENGWE
    @MALENGWE ปีที่แล้ว

    Watano

  • @erickphilipo6058
    @erickphilipo6058 ปีที่แล้ว

    Wa tatu

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 ปีที่แล้ว

    Hakuna aliyekuwepo hicho kipindi wala hakukuwa na simu wala kamera vyote tunahadisiwa tu ila kuna kenge bado wanabisha wanaleta udini🤣 manina

  • @royalpriestsmusic5685
    @royalpriestsmusic5685 ปีที่แล้ว

    WAPROTESTANT WA KARNE HII NI MBUMBUMBU WALE WA AWALI WALUPIGANIA UKWELI WA SASA MBUMBUMBU WANAFUATA MAPOKEO AMBAYO WENZAO WALIYAPINGA.AIBU KWA WAKRISTO WOTE AMBAO HAWAFUATI BIBLE WANAFUATA MAFUNDISHO YA KIPAGANI YASIYO KWEPO KWENYE BIBLE MUNGU ATAWAFUTILIA MBALI WOTE WASIOFUATA UKWELI WA MAANDIKO

  • @gh7naa
    @gh7naa ปีที่แล้ว

    Du kuhuji tena hija ni kwa waislam wamefaradhishiwa katika nguzo tano kwa mwenye uwezo hai wanao toka ulaya ni mafrimason tu

  • @obed_artz5418
    @obed_artz5418 ปีที่แล้ว

    Leo wakwanza kukoment.😄

  • @apolomaster1060
    @apolomaster1060 ปีที่แล้ว

    Duu hii misalaba miyekundu binafsi inanitishaga sn

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 ปีที่แล้ว +1

    😄🤣😂😆😄🤣😂😆, hapo kwenye hii story umedanganya wazi wazi, EZRAEL haijawahi pigania ukiristo hata siku moja, na ukiristo hajawahi kuchukua nafasi kwenye miji ya EZRAEL hata siku moja licha yakua walifanya jitihada kubwa, ikiwa history huijui endelea kufanya research, na kwenye ukiristo hakuna HAJJI kwa hiyo neno MAUJAJJIH halipo kwenye ukiristo, na EZRAEL ukiristo haujawahi kuchukua nafasi wala hakuna mji mtakatifu wa wakiristo kwenye miji ya EZRAEL

    • @edwarddavid8076
      @edwarddavid8076 ปีที่แล้ว

      Mwe mwe mwe mwe! Israel ipo kabla hata ya uislam miaka ya 600's dini ya Uislam ndio inaanza, kabla apo ya kilikuwa na Ukristo hata kwenye quaran ipo dini za mwanzo zilikuwa ni Ukristo na uyahahudi.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 ปีที่แล้ว

      @@edwarddavid8076 😄🤣😂😆😄🤣😂, lete andiko kwenye QURA'AN linalosema dini ya mwanzo ni ukiristo, acha uongo wewe,hivi unahabari kua mataifa ya EZRAEL ukiristo ni 2% mpaka kufikia sasa? Mungu hajui dini inayoitwa ukiristo, ukiristo kwenye QURA'AN umetejwa kwenye tafsiri lakini originally language hakuna neno ukiristo lipo neno manaswara, alafu ukiristo uko na mwanzo kama mnavyodai kua wakiristo ni wafuasi wa kristo, kumbuka uislam ni maana ya neno ISLAM, KUJISALIMISHA KWA MAPENZI YA MUNGU/KUNYENYEKEA KWA MUNGU, sasa ni nabii yupi hakunyenyekea? Hayo maesabu yako ya uongo peleka kanisani, uislam ndio dini aliyopewa nabii Adam A.S upoooooo, yesu mwenyewe hakuacha makanisa wala udude unaitwa ukiristo, ukiristo ulibuniwa na Paulo baada ya miaka 14 yesu kuondoka duniani

    • @edwarddavid8076
      @edwarddavid8076 ปีที่แล้ว

      @@fatumamwalimu5765 unacheka kwaiyo tafsiri ya kiswahili ilikosewa kasome hata kwa lugha yake then tafsiri mwenyewe uje uniambie kama maana yake ni ya uongo, Maneno meengi hata mtume wenu aliwambia msome na vitabu vilivyotangulia Injili,torati na zaburi sasa we unafikili hivi vitabu walianza katumia nani awali ya hapo kama sio wakristo, hata quaran mnayoiamini ilikuja baada ya hivi vitabu sasa unabisha nini.

    • @edwarddavid8076
      @edwarddavid8076 ปีที่แล้ว

      @@fatumamwalimu5765 16:125 quaran nenda kasome iyo afu uje ubishe apa.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 ปีที่แล้ว

      @@edwarddavid8076 tatizo mnachukua nabii Muhammad ndio mnamlinganisha na uislam na mnaacha manabii wengine wa MUNGU kua walikua waislam pia !!!!,kasri la nabii Suleiman nisikiti

  • @freyzoo124
    @freyzoo124 ปีที่แล้ว

    5