Mkutano wa Lissu ulivyovamiwa kwa mawe Hai.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • #Hai
    #CHADEMA
    Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our TH-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

ความคิดเห็น • 146

  • @octavianmushi928
    @octavianmushi928 4 ปีที่แล้ว +9

    Nny itv mnachagua habari za kuaminisha upinzani haukubaliki... Post na ya mbeya tuone...

  • @SamuelCharles-111
    @SamuelCharles-111 4 ปีที่แล้ว +9

    Mmeshimiwa naomba aendelee na Safari yake sisi tushuhuliki na Hawa fisi😂😂😂😂

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 4 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo la CCM wana matumizi makubwa sana kuhakikisha wanabaki madarakani kwa kufanya kampeni kwa fedha nyingi sana. Wamenunua ndege nyingi sana ambazo hazikuwa na sababu zozote. Tunayo mashirika makubwa sana yanayotoa huduma za Kitalii kutoka nchi nyingi sana Duniani. Kumbukeni Watalii wengi hawatoki Tanzania ila wanakuja Tanzania kutokea Nchi nyingi Duniani na tiketi hizi zinauzwa kule kule nchini mwao tena kwa beni nafuu sana. Tanzania ilitakiwa isitishe kwanza ununuzi wa Ndege nyingi na kufufua viwanda. Ndege hizi hadi leo hazina viwanja vya kutua Ulaya na Marekani kwani Magufuli mwenyewe hana mahusiano mazuri na viongozi wengi Duniani. Tanzania imekuwa kama kisiwa kilichotengwa kibiashara na nchi zingine Duniani. CCM wanadai viwanda vina hasara ndio maana waliviua wakitafuta wawekezaji. Hawa wawekezaji nao wanadai Tanzania sio mahali salama kwa mitaji yao kwa ajili ya usalama na kodi kubwa sana ambazo Serekali inalipisha. Ukweli wacha Watanzania wafurike kwenye mikutano ya Tundu Lissu kwani wameona ndie mgombea pekee anaeweza kufufua matumaini yao ya viwanda nchini. Magufuli ameshindwa kufufua viwanda vingi sana nchi nzima ambavyo Mwalimu Nyerere amevianzisha. Kila Mkoa Tanzania ulikuwa na viwanda zaidi ya 30 kulingana na Kilimo na mazao yaliyokuwa yanapatikana katika maeneno ya Mikoa Mbali mbali nchini. Siasa za Tanzania ni za kibaguzi sana na upendeleo. Vyombo vya Serekali wakiwepo wateule mbalimbali wa Rais, ikiwepo tume ya uchaguzi na Jeshi la Polisi wamekuwa wakitumika kuwazuia wapinzani kufanya Siasa na hasa CHADEMA. Hiki chama kina nguvu kubwa sana kuliko CCM na Watanzania wanayo mapenzi na mahaba na Mgombea wa CHADEMA ambaye ni Tundu Antipasi Lissu. Wavunja amani wa nchi ya Tanzania ni CCM wakitumia wateule wao na Askari Polisi ambao kisheria wao ni walinzi wa amani na mali za raia. CCM wanaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA ni chama cha fujo wakati toka Tundu Lissu ameanza kuomba wadhamini haijawahi CHADEMA kufanya fujo mahali popote zaidi ya kule Hai ambako CCM kwa kumtumia DC Sabaya na OCD wa Jeshi la Polisi waliwaruhusi na kuwalipa vijana wamfanyie fujo Tundu Lissu na Msafara wake. CCM wana hali mbaya sana kisiasa maana wamekuwa wakiwadhulumu Watanzania haki zao za msingi. Watanzania ni Taifa linaloongoza kwa kukosa furaha Duniani. Wakati Magufuli ameingia madarakani aliwafukuza Wafanya kazi 15,008 bila kuwalipa stahiki zao. Baadhi yao wakiwa wamefanya kazi toka enzi za Mwalimu. Toka Magufuli aingie madarakani kumekuwa na utekaji, mauaji ya kutatanisha, kiasi kwamba Watanzania wamekuwa na hofu kubwa. Watanzania wa vyama vingine vya siasa wamekuwa wakipata matatizo makubwa sana kupata uongozi kwa kuwa imekuwa ikitumika rushwa kubwa sana kuhakikisha wagombea wa CCM wanashinda hata mahali hawakubaliki. Tunaomba Mataifa yote Duniani yanayopenda Amani yafuatilie uchaguzi wa Tanzania kwa sababu nchi hii ndiyo yenye vivutio vizuri sana Duniani ambavyo vinawafanya Watalii wengi sana kuja kuvitembelea. Siasa za Tanzania zimekuwa zikiwaogopesha sana Watalii hasa kutokana na Jeshi la Polisi kupiga watu hadi kufikia kutumia Risasi za Moto. Siasa za CCM na Magufuli ni aibu tupu tunaomba wasituharibia Amani tuliyoenzi miaka mingi sana.

  • @johnsonmarick45
    @johnsonmarick45 4 ปีที่แล้ว +7

    Makonda ashapumzika na sabaya Naye apumzike siasa za maji taka zinatuharibia nchi

  • @angelmaganga9482
    @angelmaganga9482 4 ปีที่แล้ว +9

    Ila jmn tuwe wakweli hao hao hawaezi Fanya hvo

  • @felistamaembe4895
    @felistamaembe4895 4 ปีที่แล้ว

    Safari hii CHADEMA mlinde sana kura zetu CCM na Polisi watuue kwenye nchi yetu maana hawa kina Polepole wameanza kusema Magufuli ameshinda kwa asilimia 85 na uchaguzi bado hizi ni mbinu za kuiba kura wakati wa uchaguzi. CHADEMA ndio watashinda kwa asilimia 72 za wapiga kura tarehe 28/10/2020. Watanzania tumechoshwa na Rais asiyejali afya za watu anawaza Ndege tu na hatuzioni zinaingizia Watanzania pato gani. MUNGU tunayemuabudu ni MUNGU wa kweli na haki. Nchi nyingi Duniani zimewakopesha Wafanya biashara wake kuwapa uwezo wasiue biashara zao Magufuli anakusanya kodi hata kuuliza watu wana matatizo gani jamani mimi simpi kura yangu kabisa nampigia Lissu waiibe wapate dhambi. "MIMI NA FAMILIA YANGU TUMECHOKA KUDANGANYWA NA CCM"

  • @marcogodfreymboya7349
    @marcogodfreymboya7349 3 ปีที่แล้ว

    Lengai Ole Sabaya

  • @egdiomgaya2342
    @egdiomgaya2342 4 ปีที่แล้ว

    Huyu asikali anajiewa kweli sifutiliechanzo nini

  • @ziadaomeri6058
    @ziadaomeri6058 4 ปีที่แล้ว

    Fukunza huyo kabisa choma moto

  • @husseinhajjihussein6898
    @husseinhajjihussein6898 4 ปีที่แล้ว

    Hawa polis Roho zao mbayaa

  • @yobchristiansen9295
    @yobchristiansen9295 4 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂ndo maan sinaga muda wakufatilia siasa yoyote ile.pambaneni nahali zenu bhn.

  • @mashakakapona629
    @mashakakapona629 4 ปีที่แล้ว

    Kamanda wa police huyo anadanganya uma

  • @Brandmedia2019
    @Brandmedia2019 4 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/3q9TaJR9yC0/w-d-xo.html
    WAJUMBE Episode 1

  • @frozen4rozen475
    @frozen4rozen475 4 ปีที่แล้ว +4

    Duu aijawahi kutokea 😂😂😂

  • @justice607
    @justice607 4 ปีที่แล้ว +8

    Watanzania awakutaki lisu, nenda singida kalime karanga

  • @denisngowi2955
    @denisngowi2955 4 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo nikazi ya lengai ole sabahi

  • @happinesssimon4476
    @happinesssimon4476 4 ปีที่แล้ว +6

    Naulizaa hivi mtu huyu kwenye anaepokelewa na watu kiiila mkoa hajapigwa mawe huu uchokozi wa watani wangu jaman wanatoa wapi hii aibu da

  • @nostusmchilo6672
    @nostusmchilo6672 4 ปีที่แล้ว

    Sabaya kazi Anayo namwisho wake atauona

  • @sanaremolel4711
    @sanaremolel4711 4 ปีที่แล้ว +1

    ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✔️

  • @janekichonge4957
    @janekichonge4957 4 ปีที่แล้ว +5

    Shida ni chama cha wasera wanafanyiana fujo wao kwa wao wasingekuwa wamevaa sare za chama chao wangesema ni ccm ccm ni chama cha watu wenye akili siyo cha wavuta bangi na wanyoa viduku jobless

    • @mwidiniharuna9618
      @mwidiniharuna9618 4 ปีที่แล้ว

      Unatumia akili gani kufikiri wewe hao vijana wa Sabaya waala hawahusiki na Chadema

  • @mwitawambura2548
    @mwitawambura2548 4 ปีที่แล้ว +17

    Ni ushamba tu, Kama hamumtaki mtu si msubiri kwenye sanduku la kura mnafikiri mnamdhalilisha kumbe mnadhalilisha nchi
    Nyie ndiyo wale wale mliovuruga mkutano wa mbowe
    Swali la msingi ni kwamba Tanzania ni kubwa, mbona hatujaona vitendo vya kishamba Kama hivi? Kwa Nini hai tuuu? Kwani maeneo mengine hawampendi magufuli? Hizi ndizo siasa za mihemko, uchochezi hauko upinzani tuu Bali hata ccm na baadhi ya viongozi wandamizi wa serikali wanashiriki uchochezi. Watanzania tuwe makini

    • @jacksonmasam8603
      @jacksonmasam8603 4 ปีที่แล้ว

      Anasifa ya urais afai

    • @AK-is9xi
      @AK-is9xi 4 ปีที่แล้ว

      Ndio sanduku la kura likaamue sio kufanyiana ushamba njiani

    • @lukasingunda2791
      @lukasingunda2791 3 ปีที่แล้ว

      Vvvv

  • @obadiasapi9360
    @obadiasapi9360 4 ปีที่แล้ว +1

    Chadema hawawezi kufanyahivo mtanzaniawasasa mwelewasana

  • @deodatikweka6795
    @deodatikweka6795 4 ปีที่แล้ว +2

    amna ukweli hapo visa tuu

  • @abuumaryam1628
    @abuumaryam1628 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani km Kuna aliyeelewa anisaidie
    Vurugu zimeanzaje

  • @danielbwiso5033
    @danielbwiso5033 4 ปีที่แล้ว

    C

  • @dinnamanga1741
    @dinnamanga1741 4 ปีที่แล้ว +1

    Hikichama cha machizi 🤣🤣🤣🤣

  • @brightmwazembe841
    @brightmwazembe841 4 ปีที่แล้ว

    Ni yeye

  • @davidjeremiah2961
    @davidjeremiah2961 4 ปีที่แล้ว +2

    This is Tanzania Uhuru uko wp

  • @estajoan1285
    @estajoan1285 4 ปีที่แล้ว

    Ningekua Magufuli ningefunga sanaa hi timu ya group ya lisu

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 4 ปีที่แล้ว +1

    Sio sahihi hawa watu kuleta vurugu sheria ifuate mkondo wake huu ni uhuni ambao haukubaliki hawa wanaweza kuharibu mkutano wowote haijalishi ni chama gani.

  • @yusuphamani72
    @yusuphamani72 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania siasa haina ladha kabisa

  • @mkapamwitamwita4440
    @mkapamwitamwita4440 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwel penye ukwel tuongee kwel

  • @shinertzzyby8638
    @shinertzzyby8638 4 ปีที่แล้ว

    Maumbwa nyie mnatupaje mawe kishonga hivo adi wanaume mnanyanyua nyoro kabisa watu wazima turusha mawe chadema imepita nyie sio kitu matako nyie

  • @diahemedsalumdia6594
    @diahemedsalumdia6594 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣Ata mvuto bora waache tu kampen

    • @aggyoc7549
      @aggyoc7549 4 ปีที่แล้ว

      Nisaidie kunielewesha kilichotokea hapo mana mi sjaelewa

    • @aminahussein5418
      @aminahussein5418 3 ปีที่แล้ว

      Chadema wamezoea fujo

  • @geitaamb4152
    @geitaamb4152 4 ปีที่แล้ว

    Huku kwetu mtu yeyote atakaye jaribu kuvuruga mkutano wa chadema huyo ni halali yetu kabisa kila mtu nachama chake.

  • @shedrackboniphace7755
    @shedrackboniphace7755 4 ปีที่แล้ว

    Kaskazini kuiyumbushi ni ngumu sana,hii ni nchi nyingine kabisaaaa

  • @ibrahimusheshe7856
    @ibrahimusheshe7856 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwani askari wetu wana nini mbona wananchi wanawachukia sana why???

    • @ezekielmwadomba4675
      @ezekielmwadomba4675 4 ปีที่แล้ว

      HAHAHAAAA!! UMEULIZA VEMA,SABU POLISI INALINDA VIONGOZI WA CHAMA TU! NA SI RAIA!

  • @hamadchild8544
    @hamadchild8544 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna mtu anayeweza kupiga mawe chama chake wacheni ujinga hizo nguo mumewapa wafanyie fujo .

    • @mwidiniharuna9618
      @mwidiniharuna9618 4 ปีที่แล้ว +1

      Wanatuona sisi wajinga sijui kwanini

    • @zunzulushu3345
      @zunzulushu3345 4 ปีที่แล้ว +1

      ipo cku Hawa ccm watakubaliana na lissu Wala cyo muda mrefu

  • @Brandmedia2019
    @Brandmedia2019 4 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/3q9TaJR9yC0/w-d-xo.html
    WAJUMBE Episode 1

  • @angelomedard
    @angelomedard 4 ปีที่แล้ว

    Wanainchi ebu tuitazameni kesho yetu Na vizazi vyetu vilivyopo Na vya baadaye tuacheni mambo ya siasa zenye Fuji ya aina hii
    Inasikitisha sana

  • @esterbengtsson2166
    @esterbengtsson2166 ปีที่แล้ว

    9

  • @josephatraymond4902
    @josephatraymond4902 4 ปีที่แล้ว

    Chadema siyo kwamba akili hawana wanayo .busara , hekima , ndo hawana mtu anaye Lusha mawe ameacha watoto ajui kitendo cha kujibizana tena jeshi ndo unaliponda yataka moyo mnalewa sjui kwanza

  • @abdallahnassoro7563
    @abdallahnassoro7563 4 ปีที่แล้ว

    Kwanini usituli wewe mbona unapotosha watu

  • @ismailhassan5662
    @ismailhassan5662 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe una wafaham.

  • @victoriasimoni5764
    @victoriasimoni5764 4 ปีที่แล้ว

    Atajibeba lisu mwaka huu

  • @noreenlyimo4887
    @noreenlyimo4887 4 ปีที่แล้ว

    Mbn wanatupiga vita sana hao ccm

  • @khadijacharles2433
    @khadijacharles2433 4 ปีที่แล้ว +9

    Watanzania wamechoka nini? Acha ujinga weww watanzania tunamtaka magufuli bwanaaa

  • @enockkagomba1261
    @enockkagomba1261 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiii wilaya ina kiherehere

  • @reginalasway7816
    @reginalasway7816 4 ปีที่แล้ว

    Moshi kuwa makini baba watakuua

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 4 ปีที่แล้ว

    Watu wanahamu ya kumuona live mbelgiji

  • @bonemzuma9814
    @bonemzuma9814 4 ปีที่แล้ว

    Hatakiwi uyo

  • @janethmrishi5370
    @janethmrishi5370 4 ปีที่แล้ว +3

    Hicho chama matatizo mumfurahiye tu huyo jambazi lissu baadae mtajuta DCM oyeeeeee

  • @davevichekesho1379
    @davevichekesho1379 4 ปีที่แล้ว +2

    2020✌️

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 4 ปีที่แล้ว

    Sabaya anakoelekea sasa

  • @jamesmilia724
    @jamesmilia724 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii Kali jamani,, duuuu!!

  • @geoogeoo7731
    @geoogeoo7731 4 ปีที่แล้ว

    Umechoka ww ss kwanz

  • @zubeirali6323
    @zubeirali6323 4 ปีที่แล้ว +1

    Hhhh

  • @shanelmbunga7522
    @shanelmbunga7522 4 ปีที่แล้ว

    Lisu unataka haki gan?

  • @eliasjillanga3158
    @eliasjillanga3158 4 ปีที่แล้ว

    Sasa hapo walioanza ni akinanan maana inanekana vzr sana walioanza vurugu

  • @emanyamhanga2767
    @emanyamhanga2767 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyo asikari anachekesaha sana kwamba wakatiyao wakaanza kurusha mawe

    • @sabatoelia312
      @sabatoelia312 4 ปีที่แล้ว

      Uciniueee mbavu😃😃😃😂😂😂😂

    • @crissxavery2887
      @crissxavery2887 4 ปีที่แล้ว

      Unafki kazi sanaaaa

  • @mwidiniharuna9618
    @mwidiniharuna9618 4 ปีที่แล้ว

    Vijana wa Sabaya hawana Kazi kwelikwel

  • @djgeorgekiller3617
    @djgeorgekiller3617 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu tundu lisu katumwa aje alete fujo Tanzania

  • @mamabonu3083
    @mamabonu3083 4 ปีที่แล้ว

    H

  • @robertterry8909
    @robertterry8909 4 ปีที่แล้ว +2

    Piga huyo kiazi

  • @hadijamasanilo6056
    @hadijamasanilo6056 4 ปีที่แล้ว

    ITV mnapost mabaya tu mazur hampost IPO siku yenu tu maisha aya

    • @musasaid964
      @musasaid964 4 ปีที่แล้ว

      Wewenawe mtoto wa nje ya ndoa unaongea nn

  • @danielmwasi5450
    @danielmwasi5450 4 ปีที่แล้ว

    Dy

  • @gloriamichael3698
    @gloriamichael3698 4 ปีที่แล้ว

    Mawe ya nini jamani

  • @africavibe8467
    @africavibe8467 4 ปีที่แล้ว

    Asa apo mume pigwa au mumepigana

  • @wolterdavid8979
    @wolterdavid8979 4 ปีที่แล้ว

    Tazama video hii utajifunza kitu, bonyeza hapa>>>th-cam.com/video/5hHU_-PQiCI/w-d-xo.html

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 4 ปีที่แล้ว

    .

  • @prophetmoseskisandu3629
    @prophetmoseskisandu3629 4 ปีที่แล้ว

    Hatukutaki we mganga

  • @anordkibona4615
    @anordkibona4615 4 ปีที่แล้ว

    imechosha ccm adi wenye ccm yao wameichoka ma babu

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 4 ปีที่แล้ว

    Sabaya anakoelekea sasa

    • @berthandollo3227
      @berthandollo3227 4 ปีที่แล้ว

      Kweli uyu ni sabaya aje arusha sabaya. Anajikuta anaelewa sana mtu mwenyewe kawekwa tu tu kwa ( )

  • @faithhumble3780
    @faithhumble3780 4 ปีที่แล้ว +2

    Sisi Watanzani hatujachoka na Magufuli Ila tumechoka na wewe Mchochezi. Tutamchagua Magufuli tu.

    • @karamajunior2193
      @karamajunior2193 4 ปีที่แล้ว +1

      sema nitamchagua usiseme tutamchagua

  • @hamisimbaruku4989
    @hamisimbaruku4989 4 ปีที่แล้ว

    Wanachama kidogo sanaaa!

  • @ziadaomeri6058
    @ziadaomeri6058 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣

  • @Brandmedia2019
    @Brandmedia2019 4 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/3q9TaJR9yC0/w-d-xo.html
    WAJUMBE Episode 1

  • @joshuaswai653
    @joshuaswai653 4 ปีที่แล้ว +3

    Ni magaidi hao wanaongozwa na mkuu mmoja asiyejitmbua

  • @sboykavu228
    @sboykavu228 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani chadema wanafujo

  • @kennedymboma8268
    @kennedymboma8268 4 ปีที่แล้ว +2

    Maishajuhudiyako walasiochama vijanawajinga sana

    • @adamkayombo2401
      @adamkayombo2401 4 ปีที่แล้ว

      Wachache walio tumwa kuharibu ipo day

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 ปีที่แล้ว

    Nchi haiko huru hii

    • @aminahussein5418
      @aminahussein5418 3 ปีที่แล้ว

      Nchi iko huuru Ila nimtu mmoja ndo Ana sababisha angekufa tu watu tutulie

  • @feiz3180
    @feiz3180 4 ปีที่แล้ว +2

    yaani vijana wa CCM hawana la kufanya ila uhuni.

  • @judykimaro2271
    @judykimaro2271 4 ปีที่แล้ว +1

    hai ni kwet siamin kama wajinga hivyo jaman?!

  • @makongoronyerere2595
    @makongoronyerere2595 4 ปีที่แล้ว

    Niwatu wasyo julikana,

  • @respchiza357
    @respchiza357 4 ปีที่แล้ว

    Tazama BIASHARA Bora ya KUKULIPA MILLIONI 1.5 (1,500,000) kwa MWEZI
    th-cam.com/video/FUOOXe9vJS0/w-d-xo.html

  • @emeliusdominickkyaluz7569
    @emeliusdominickkyaluz7569 4 ปีที่แล้ว

    Na bado mawe yanawahusu

    • @simonikores954
      @simonikores954 4 ปีที่แล้ว +1

      Mbona mnapigana mawe wenyewe msije mkasema niccm

    • @rosetreffert6727
      @rosetreffert6727 4 ปีที่แล้ว +1

      Piga hao wajinga

    • @bahatisanga8664
      @bahatisanga8664 4 ปีที่แล้ว +1

      Huu ni mchezo wakutengenezwa ili tuingie vitan jamaa lisu anajua

  • @kramsjunior4447
    @kramsjunior4447 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @jeremiakaridushi7974
    @jeremiakaridushi7974 4 ปีที่แล้ว +2

    Hivi nyie chadema mspo fanya vulugu huwa mnajiskiaje watu wenyewe mnatembelea magongo nataka magongo mengine au

  • @mhojandugunamiti7645
    @mhojandugunamiti7645 4 ปีที่แล้ว

    Kweli wajinga ndo waliwao hivi mtu anaweza kujipiga mwenyewe kwa uniform hawa ni wanachadema lkn wanawashambulia wenzao hii imetengenezwa kutuaminisha uongo

    • @AK-is9xi
      @AK-is9xi 4 ปีที่แล้ว

      Kwani kuna aliekuuliza au kutaka mawazo yako hapa?

  • @papafikiri
    @papafikiri 4 ปีที่แล้ว +2

    Lissu anaharibu amani ya nchi

  • @khadijacharles2433
    @khadijacharles2433 4 ปีที่แล้ว

    Yaani chadema mnatafuta uwezekano wa kuichafua ccm kwa mipango ila haitswezekana mbinu alizokuja nazo lisu zitakwama

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 4 ปีที่แล้ว

    Bado hawaja yingia madarakani wanauwa watafanyaje badae?

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 4 ปีที่แล้ว

    Piga Huyo mbelgiji

  • @emeliusdominickkyaluz7569
    @emeliusdominickkyaluz7569 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo ndo zawadi yenu

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 ปีที่แล้ว

      Kuma la mamako hao mashoga wenzio waje kipindi cha campaign tuwaonyeshe mkundu wewe

    • @nuhhumwakanyamale4771
      @nuhhumwakanyamale4771 4 ปีที่แล้ว

      @@emmapaul1766 Sasa ukiwaonyesha mkundu si ndio utafirwa ndg yngu, Usiwaonyeshe bwana hawata kuacha salama.#ushauri tu SIKUFOKEI*

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 ปีที่แล้ว

      @@nuhhumwakanyamale4771 wewe kuma la mamako kafirwe pamoja na hao mapunga wenzio

    • @laylasuliman5805
      @laylasuliman5805 4 ปีที่แล้ว

      @@emmapaul1766 Adabu ni nusu ya akili

    • @mzeesimba315
      @mzeesimba315 4 ปีที่แล้ว

      @@laylasuliman5805 y

  • @farzanakhani2043
    @farzanakhani2043 4 ปีที่แล้ว

    Huyo ndio anasababisha fujo mtu Mzima ovyoo mbona vyama vingine havina fujo chadema Wana matatizo

    • @adamkayombo2401
      @adamkayombo2401 4 ปีที่แล้ว

      Mtoto wakambo huteswa

    • @adamkayombo2401
      @adamkayombo2401 4 ปีที่แล้ว

      Ifahamike inaandikwa kwa god.

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 ปีที่แล้ว

      Wewe ni mkundu kama mikundu mingine unafirwa kuma wewe na ccm yako mwaka huu tunawanyoosha na hao wahuni waje kipindi cha campaign zikianza waone

    • @masuseleman978
      @masuseleman978 4 ปีที่แล้ว

      Kama huna akili ya kufikilia kaa kimya sio lazima ukoment. Mkundu weeh

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 4 ปีที่แล้ว +1

      @@emmapaul1766 😜😜😜 Kama mingine au km wako?