UTAFITI WA PROFESA IMMACULATE NIGULA KUHUSU LAANA ZA MABABU NA MILA NA DESTURI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @CharlesMkumbo-gh6eh
    @CharlesMkumbo-gh6eh 5 หลายเดือนก่อน

    Imekaa vizuri sana, Prof. Nhigula. Tafadhali, fikiria kuandika kitabu na Mungu akuwezeshe.

  • @DennisMungai-pf6rb
    @DennisMungai-pf6rb 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maarifa ni muhimu,,,,huwezi kuishi ni rohoni tu bila maarifa ni kujidanganya..hongereni

  • @geofreymshama8211
    @geofreymshama8211 6 หลายเดือนก่อน

    Congratulations Dr but your research create different question to me especially when you preach and start deliverance service about that manifestation of word.

  • @haningtonkabuta9387
    @haningtonkabuta9387 6 หลายเดือนก่อน

    This has been so powerful. Tunaombaa vyuo vyetu vya Biblia viwe vinafanya matukio kama haya mara kwa mara.

  • @jothammalale8702
    @jothammalale8702 6 หลายเดือนก่อน

    Yes Uwasirishwaji wa Mada ngumu na mhimu Kama hizi Upanuliwe zaidi na vyuo vyetu .ni saa ya kuponya kanisa

  • @pastorm.e.mwakalonge7020
    @pastorm.e.mwakalonge7020 6 หลายเดือนก่อน +1

    It was very powerful

  • @feliciankabasa8995
    @feliciankabasa8995 6 หลายเดือนก่อน

    Huu ni mdahalo mkubwa sana,suala hili linahitaji muda,of course presentation ni nzuri kwa Dr.i appreciate your doctrines

  • @christopherchisuligwe512
    @christopherchisuligwe512 6 หลายเดือนก่อน

    A Good lesson

  • @umojaupendo6020
    @umojaupendo6020 6 หลายเดือนก่อน

    Sijui wenzangu mna mtazamo gani kuhusu utafiti maana naona kama baadhi wanauchukulia kama jambo linalopingana na mpango wa Mungu. Anachokiongea Profesa hapo ni sahihi kabisa. Kumbuka huyu ameitwa na Mungu Kwa ajili ya kufundisha Kweli ya Injili. Amekubali kuitika. Ameyatoa Maisha yake kama sadaka. Ameenda shule ili ajue kweli zaidi. Isitoshe yawezekana wakati anaandaa utafiti huu amesali sana, amefunga ili Mungu amjalie hekima ya kupima Kweli . Yawezekana wakati wa kuiandaa pia hakulala n.k. Hii yote ni kuhakikisha anatafuta suluhu la kibiblia kuhusu suala la laana. Watu wa namna hii wanapaswa kutiwa moyo maana kazi yao ni ya sadaka sana. Tusipinge utafiti huu kwani umefanywa na mtu aliyeitwa na Mungu kwa ajili hiyo.

  • @alex_vincent
    @alex_vincent 6 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah

  • @franaelisumari5108
    @franaelisumari5108 6 หลายเดือนก่อน

    Glory be to God

  • @DennisAnthony-j5y
    @DennisAnthony-j5y 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mtanzania au muingereza? Ongea kiswahili mama

    • @J7-Steny
      @J7-Steny 5 หลายเดือนก่อน

      Acha kulalamika

  • @J7-Steny
    @J7-Steny 5 หลายเดือนก่อน

    Nimemsiliza huyu resercher ila right off the bat she is biased, second genetics do affect behavior which is indeed generational so you might be suppressing your success because of a behavior that you aquire genetically , enough research has been done on identical twins to prove that behavior is indeed genetic. Separated twins from infancy tend to dress the same, have the same hobbies, choose the same kind of careers and so many things even though they have never met... About curses. Third, Covenants do follow generations depending on how they were made but they can be broken, by faith in Jesus ofcoz.

  • @kamtanzania
    @kamtanzania 6 หลายเดือนก่อน

    Kama laana za ukoo zina waathiri na walio okoka basi Kifo cha Yesu msalabani ni kazi bure. Hiyo ndo ile Injili nyingine ambayo Paul alisema ikihubiriwa na yeyote hata kama ni Malaika au wao wenyewe wakirudi kuhubiri tofauti na walicho hubiri kuhusu wokovu basi na alaaniwe.