🅻🅸🆅🅴 : TUNDU LISSU AZIDI KUFICHUA YANAYOFANYIKA NDANI YA CHADEMA/ADAI VIDEO ZIACHIWE BILA KUHARIRIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @babitojnr4886
    @babitojnr4886 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mwaga Baba mwaga,mwaga madudu yote yakutoke😂😅😅

  • @njanjimlwale
    @njanjimlwale 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi sana Lisu, ukweli siku zote ni mchungu kwa mtu muongo lakini ndio dawa pekee ya kuondoa rushwa na unafiki katika taasisi

  • @MahyoroKalokola
    @MahyoroKalokola 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Lissu nakubaliana na wewe katika mambo mengi lakini suala la Zitto Kabwe unalipotosha. Zitto alikuwa anajiandaa kugombea dhidi ya Mbowe kwenye uchaguzi uliokuwa unafuatia. Kampeni za uchaguzi ni kama biashara. Kabla ya kugombea ni lazima utengeneze mpango wako wa kampeni. Na Zitto na Kitilla walitengeneza andiko linaloitwa "Mkakati wa Ushindi" ambao lilielezea mikakati yao ya kampeni na jinsi watakavyoshinda uchaguzi, ikiwa ni pamoja na kulinganisha sifa na mapungufu ya mpinzania wa Zitto na yeye. Na hiyo ni kawaida sana kwa kila mgombea na najua hata wewe utakuwa na mpango huo ndiyo maana unaweza kuelezea mapungufu ya Mbowe na kupeleka ujumbe wako kwa wapiga kura kirahisi. Sasa kwamba huo mpango mkakati ilikuwa ni mipango ya kile mara nyingi unachoita mapinduzi ni kitu cha ajabu sana kusema. Maana chama hakina dola. Unafanyaje mapinduzi kwenye chama? Wewe na Slaa na wengine mliwakosea sana Zitto na Kitilla. Siyo vibaya mkikiri makosa yenu maana mnayopinga leo wenzenu waliyaona zamani. Hata hivyo kila la heri kwenye kampeni zako. Maana ukilinganishwa na mshindani wako Mowe wewe kwa sasa ni bora zaidi katika kuipeleka Chadema mbele.

  • @nuruabdallah809
    @nuruabdallah809 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba kama simba. Salut😂😂😅😅😅

  • @MediatrixNgabona
    @MediatrixNgabona 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Lissu hataki rushwa safisha nyumbani kwako Kwanza upate uhali Wa kwenda nyumbani Kwa mwwnzako

  • @brysonmandari5694
    @brysonmandari5694 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Club house hawapigi kura itakula kwako mnyapaa!

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 30 นาทีที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ukweli umuweka mtu huru lissu shkamooo

  • @PoliteJustine-s9z
    @PoliteJustine-s9z 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    My President ❤

  • @jetymagereja4058
    @jetymagereja4058 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii njemba inaakili sana ukimpinga ww hamnazo

  • @dicksonbenedict9005
    @dicksonbenedict9005 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lissu kwa haya uyanenayo hakika hawakuachi kiti😅😅😅 hawakupiiii

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe Tanzania ina watu wenye akili kubwa kiasi hiki? Hiki kichwa cha Lissu kina akili kubwa sana. Huyu mtu anafaa si tu kuwa Mwenyekiti bali hata kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

  • @RobertJohannes-n3c
    @RobertJohannes-n3c 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lisu wewe ni mwamba tatizo la watanzania wengi hawapendi ukweli wewe ndio mwarubaini wa rushwa ktk nchi hii Achana na huyo anaeleta
    Ujinga kua kustafu wenyekti ni umri

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba ubaya ubwela ajaribu atashangaa atabaki na kinantobi

  • @mkoma49
    @mkoma49 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nachompendea jamaa ni mkweli na anaonekana hataki rushwa

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyu Jamaa ni Kiongozi Shupavu sana.

  • @florianmodest6215
    @florianmodest6215 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Huyu jamaa hafai kuwa mwenyekiti wetu kwanza ana chuki na fitna sio kiongozi mwenye uvumilivu na busara.

    • @goodluckypaul-d3s
      @goodluckypaul-d3s 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Busara anayo Mama Yako eti kwa kumvulia chupi baba Yako mbwa wewe

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Hakufai wewe na genge lako msiopenda kuambiwa ukweli.

    • @goodluckypaul-d3s
      @goodluckypaul-d3s 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@monicamwita7865 hizo ndiyo levo za busara zako ulizotoa kwa baba Yako good

    • @EmmaNkuba
      @EmmaNkuba 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We Kuma tu

    • @EmmaNkuba
      @EmmaNkuba 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kumanyoko, acha unoko fala wewe

  • @edmundmakoye7322
    @edmundmakoye7322 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukweli ndio chuki?