Joel umefanya Mambo mengi mazuri, katika jamii lakini umesahau kwamba Kila kitu kinaendana na muda. Kama unaweza chakwanza duniani hatuishi milele, jaribu kufundisha kulinga na umri na miaka ya watu, mafanikio ya Africa yanachelewa Sana kwasababu ya kuchelewa kujitambuwa,
Barikiwa sana Kaka Joel
Hongera sana kazi yako si bure
Barikiwa
Jaman wale tulioanza mirror exercise tujuane@joelnanauka
Joel nanauka respect brooo
Asante kwa mafundisho yako my bry
Kaka joeli nakuomba Sana Sana tena Sana jamani kuongea na wewe tafadhali
Elimu nzur sana
Bomba mnoo
Absolutely bro you taught right thing I feel inspired Sana when I listen you
Kwel kabisa
Joel umefanya Mambo mengi mazuri, katika jamii lakini umesahau kwamba Kila kitu kinaendana na muda. Kama unaweza chakwanza duniani hatuishi milele, jaribu kufundisha kulinga na umri na miaka ya watu, mafanikio ya Africa yanachelewa Sana kwasababu ya kuchelewa kujitambuwa,
Huo ni mtazamo wako
I’m with it 2021😍
Ilove you my brother
Thank you Sir may God bless you Abundantly 🙏🙏
Ameen
Kweli mwalim
Ni kweli watu wanang'ang'ania kuishi na watu hats kma sio zahihi kwao
Safi nanauka
Asante sana my brother from another mother
Daaaaa Kaka Joel jamii inakupenda Sana, mawazo yako yanaelimisha
KATIKA MAISHA YANGU NASHUKURU MUNGU KWA KUNIFANYA NIWAJUE
1)JOEL ARTHUR NANAUKA
2)PASTOR GEORGE MUKABWA
MMENIBADILISHA SANA MUNGU AWABARIKI