All in all sisi mashabiki hatupendi wale vijana wagombane tunataka wapatane tunaomba nyie sns na wadau wengn wengi wa mziki wakalisheni yaishe hatutamani kuwaona wakigombana jamn😢walikua na chemistry nzuri sana na hiko ndo tunachokitaka ngm akiwa jaiva,omary na chino zinakua kali sana
Sanaa yaan dash mwenyewe sijapenda kama Kuna uwezekano wakuwapatanisha basi itakua nzur mnooo music akikaa bad,chino wanaman na jaivah zinakuaga Kali sana
kwa kweli yani mtu eti umemutoa mbali sasa,asifanye yake😅😅😅 kila kitu akutegemee wewe chino anakipaji mnoooo❤mariooo amesikia roho mbaya kwaju ameona abby kwenye chow
Hii nchi inaujinga mwingi,na kwenye mziki hatufika mbali watu walikua wanafanya vizur wanachemistry nzur then wanagombana,Sasa hatutafika mbali tutumie akili tuache uswahili,maongomv sio mazur, try to grow up guys,mm nawapenda wote,Marioo na Chino kidd ila sasa sijui ata nifanyaje aah😮
Hawa ndio wanataka ku mu intermediate marioo na kumshusha.Huyu msikiliza mwanzo alikuwa anaenda sawa ila mwisho kajikuta anaongea why yuko hapo kumtetea chino na kumkandamiza Mario.You don’t have to be rocket scientist kujua hii ni syndicate inatengeneza na watu wazima wasio jitambua.Mtu yoyote anae fuatilia mziki wa Tanzania atajua kwanini hawa machawa wako upande wa chino.Inawezekana kuna shida kati ya marioo na chino.Lakini it is obvious hawa machawa na maboss wao wako kumtaka kumkandamiza marioo kwa vile amekataa kuwasujudia hawa.SHAME ON THEM
Marioo tamaa bn alafu All in All guys nimeishi Sana Dar nawatyu wa morogoro wastaarabu Sana hivyo Iman yangu inanituma kabisa marioo kajawa natamaa H.baba Niko upande wako we mkweli Sana
Hii Chanel hua naipenda sana...ila mnatakiwa muangalie watu wakuwapa platform..sabbl huyu kiumbe ni mtu mwenye roho ya chuki tu..yani uchawa wake hatta hamnufaishi ndio maana wenzie wako vizuli...h acha roho mbaya na wivu
Kweli h baba kaongea kweli mtupu chino anaga shida na mtu
kama wamuelewa H baba utaona anasema kweli
Kweli ukweli mtupu sema watanzania huwa atutaki ukweli
Hakuna lolote huyu kwa sababu ameona marioo na hamonaiz wana kolabo basi yeye ndo inamuuma😅😅😅
H-Baba Umetisha SANa aiseee
All in all sisi mashabiki hatupendi wale vijana wagombane tunataka wapatane tunaomba nyie sns na wadau wengn wengi wa mziki wakalisheni yaishe hatutamani kuwaona wakigombana jamn😢walikua na chemistry nzuri sana na hiko ndo tunachokitaka ngm akiwa jaiva,omary na chino zinakua kali sana
tena mno
Sanaa yaan dash mwenyewe sijapenda kama Kuna uwezekano wakuwapatanisha basi itakua nzur mnooo music akikaa bad,chino wanaman na jaivah zinakuaga Kali sana
True say 💯 H Babba 👍
Fact 👍
Umeongea point saiz naon machaw mumeanz kuongea hak
Sijawah kumfagilia huyu jamaa ila kwa hili kaongea ukwer yaan kanyoosha 👊👊👊
Daaa ametisha sana H BABA
H baba ni msanii safi sana anapenda sana kusema ukweli
Good for you
kwa kweli yani mtu eti umemutoa mbali sasa,asifanye yake😅😅😅 kila kitu akutegemee wewe chino anakipaji mnoooo❤mariooo amesikia roho mbaya kwaju ameona abby kwenye chow
Mafahar wawil hawawez kuish zizi moja
True h.baba
H baba unaongea fact kabisa kaka angu bunda moja msukuma mwezangu
Duh leo jamaa jaongea fact sn me bunafisi sijapenda marioo kugomban na chino wafanye t wamalize ya ishe t
H baba sjawahi kukupenda ila umeongea. Maneno ya msingi yenye ukweli wenye kueleweka🔥🙌
True
Watu wafupii wanavituko aka kamario pia kadudu kabaya kumbe n kanajifanya kapole siku zote boss hua hapendi wafanyakazii wakisogea 😂
H baba umeongea facts 💯💯
Kweli
True🎉
Sema sns hbaba muwe mnamuangalia hapo kaogopa tu kuropoka tu kuwa hata ajal ile,,eeeh
Leo umeongea fact
Tatzo wanapenda kunyenyekewa sana et kisa umemsaidia mtu , ata kama unamsaidia mtu usisubili shukrani 😒 na ndo mana Mungu si binadamu sabb binadamu 👐
Kweli Mario ana roho mbaya
Ukosaiii sanaaa 😢😢😢 leo ndonimekuelewaaaa 😢😢😢 sikupingitenaa minawa juwaaa ao watotooo soyeeetuuu kalibiaoteee
Mimi nipo na Wanaman but huyu Mbaba anapenda kiki..😅😂
Lakin anaongea ukwer
Upi uwo?
H baba kaongea point sana 💯
Mario anashida aligombana na mbosoo bila kusema sababu roho mbaya tu
H baba upo perfect kabisa ww huna moyo wa unafki muwek saw marioo c tunakusaport
Kwel kosa ❤ila Mungu ni nani
Jaiva mbona co mkali kiivo chino kid mkali
Acha mambo ya watu fanya ya ayo kuhusu hapo mziki tu we nimekushinda bana tuache
itakuah jaivah roho mbayah
Upo sahihi
Bro kuongea point sanaa💥🚀
true
shull out my brother
Mnatuchanganya bhana jaiva anaongea ivi...h baba nae anaongea ivi but tusiwe na jealous jamani
mfano diamond akimchukua chino awe nae wasafi jama wakina d voice chino atafika mbali zaid
Umeongea ukweli ila lengo lako nalijua😄
Huyu H mama huyu yaani anaomba interview ili kuongelea maisha ya watu,badala aongelee kazi zake...!
Kafulia sasaivi ataongelea nn
Usieke hapo mambo yako na harmonize ww h mama tamaa zako ndio zilikuponza,
Harmonize alikurudisha mjini tamaa zikakuponza ukamsaliti.
Hii nchi inaujinga mwingi,na kwenye mziki hatufika mbali watu walikua wanafanya vizur wanachemistry nzur then wanagombana,Sasa hatutafika mbali tutumie akili tuache uswahili,maongomv sio mazur, try to grow up guys,mm nawapenda wote,Marioo na Chino kidd ila sasa sijui ata nifanyaje aah😮
Tu❤❤❤❤❤😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nkbl hbb❤❤
Ukweli Marioo ni fundi na Hawa wakina h baba kwenye Mambo Kama haya mbona ndo mnaonekana Sana au ndo machawa nn😅🤪😜
✌️👊👍.
H baba tangu nimufuatilie interview zake yani anaongea ukwel kbx hasemi uongo ndomaana watu wanamchukia
Sasa hbaba umetokea wapi?😂😂
Hivi Fredrick yani umeona huyu mjinga H-Baba afike hewani kupitia SNS yetu?
Sasa huyu katokea wap jmn😂😂😂😂😂😂
Unatafuta pakutokea kwakuwa unepotea kwenye gem
Tengenezeni socket iyo kwa ukuta aisee
Nmechekaaa 😂😂😂 daaaa kweli mbovu imetepeta😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kwa sauti..sikutarajia kabsaaaa🤣🤣🤣🤣
Wewe umepotea nani kakupoteza hivi mbona wakongwe wa mziki ndio awamekua machawa..
Wewe kubwa jinga...mbwa tu ww
Hawa ndio wanataka ku mu intermediate marioo na kumshusha.Huyu msikiliza mwanzo alikuwa anaenda sawa ila mwisho kajikuta anaongea why yuko hapo kumtetea chino na kumkandamiza Mario.You don’t have to be rocket scientist kujua hii ni syndicate inatengeneza na watu wazima wasio jitambua.Mtu yoyote anae fuatilia mziki wa Tanzania atajua kwanini hawa machawa wako upande wa chino.Inawezekana kuna shida kati ya marioo na chino.Lakini it is obvious hawa machawa na maboss wao wako kumtaka kumkandamiza marioo kwa vile amekataa kuwasujudia hawa.SHAME ON THEM
Hujitambui
@@aidankakulu398 It takes one to know one
Kwendaaaaa hujitambui
Marioo anazngua alianza kwa mondi akaja kwa Abby chams then mbosso sasa chino hyo hyo marioo wenu
Marioo tamaa bn alafu All in All guys nimeishi Sana Dar nawatyu wa morogoro wastaarabu Sana hivyo Iman yangu inanituma kabisa marioo kajawa natamaa H.baba Niko upande wako we mkweli Sana
Kumbe huyu jamaa sometime anaongea ukweli
Ulinza kuongea points ila na wewe una chuki na Harmonize kwanini usiongelee kua haya ni kama ya Diamond na Harmonize kua walianza kumfanyia figisu
Huu ndio ukweli lkn watanzania hawapendi ukweli
H baba n baba wa chino na jaivah pia na ndo mana anaongea ukwel kabis Chino hana kosa marioo ndo kafel brow
Hivi huwaga jamaa ni kubwa jinga hili 😂
YANI HUYU HARMO ANAMUUMA BALAA ANAJIKUTAGA KAMA YEYE DIAMOND WAKATI KAMVAMIA TU KWA UCHAWA SEMA HARMO ALIPI MACHAWA 😂😂😂😂
wewe nae sio msemaji wa serikali au wa music mengine kaa kimya zama zako zilishapita wacha music wako uishi hakuna asiyejua kama wewe ulikua h baba
Ila kaomary kanakaa kuwa na roho mbaya ukweli
Don't judge a book by it's cover😂
H Bb mlopokaji sna itakuponza
JAIVA MNAFIK kama MARIO
Jaiva kashaongea
Hata mngefanya figisu lakini hamuwezi kumshusha marioooooooooooo
🦾🦾🦾🦾💪💪💪💪🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Huyu mumemletea nini humu jaman mwanaume anaongea kama muimba taarabu simpendi kwakweli
Lakin anaongea ukwer
Kwani kuna ubaya upi kaongea
Anaitwa kwasababu anasifa zakuitwa hapo mbona we hujaitwa
Hii Chanel hua naipenda sana...ila mnatakiwa muangalie watu wakuwapa platform..sabbl huyu kiumbe ni mtu mwenye roho ya chuki tu..yani uchawa wake hatta hamnufaishi ndio maana wenzie wako vizuli...h acha roho mbaya na wivu
Kwani ameongeya nini kibaya, kwani amemtukana mtu? Mbana anaongeya facts bro msikilize vizuri tu ❤
Contents bro
Wew bila kusema hamo huwez kunya.....xai ushamuingilia omari pia.....huna jipya.
Machawaaaa
huyu jama saliombewa ace ucawa😢😢😢
True
True