This is why I love tanzania and its people ni watu wa kusaidiya bila ubaguzi wowote long live tanzania ndio mana nime owa mwanamke mtanzania na sirudi UK ❤
poleni sana allah awaponye majeluh ila naishauri selekali ifanye ukaguzi kwenye majengo yakariakoo majengo yamejengwa kwajili yamakaz sio stoo ikiwa stoo uzito unakua mkubwa kiasi kwamba hayato wezakuhimilr uzito
Nimeamini Tanzania tupo nyuma kwenye maendeleo 😢walh ingekua nnchi za wezetu vikosi vingekua vingi sana n vip fast tena kungekua n waokoaji wa anga na wa chin ila Tanzania tume n ufisadi tu z pesa serekal inachukua posho kubw san kod za wananchi lakin akuna lolot likikufika ss wenyew ndio tunajiokoa
Umaskini Tanzania sio kwa sababu ya Mataifa ya magharibi kuzuia misaada kwa sababu ya Serikali ya Tanzania kuwakamata mashoga na kuwasaka na kuwategea na kuwafunga vibaya kwa ukatili kwa kazi na training wanayopata wapelelezi wa Tanzania kushika mila za Tanzania na sheria ya kikatili lakini ni kwa sababu ya ufisadi wa Serikali ya Tanzania na sivyo wanavyosingizia European Union, IMF na Benki ya dunia au Mataifa ya magharibi wanatoa hela ili wawakamate mashoga na kuwafunga kikatili
Wanaume tumeumbwa kwa udongo special sana kila aina ya tatizo sisi nso hua watoa misaada long live all mens in the world
Wanaume mmeumbea kwa udogo nasie tumeumbwa na ni i
Nimejisikia raha jinsi wanavyowapokea kwa upendo ❤njoo mwanangu njoo mwanangu njoo pole pole njoo mwanangu dah😢
That is spirit of our country hatuna maisha mazur lakini tuna upendo na amani ambao mataifa mengine hwana kabisa❤
@@RamadhaniMkimbilile-z8tkabisa mungu awafanyie wepsi ndugu zetu
@@Frola-r9z amiiiin kk
Mungu wangu iponye Tanzania 🇹🇿, Mungu ni mwema majeruhi wote wa ajari mpone kwa jina la Yesuu
This is why I love tanzania and its people ni watu wa kusaidiya bila ubaguzi wowote long live tanzania ndio mana nime owa mwanamke mtanzania na sirudi UK ❤
Hapa ingelikuwa Nairobi kwanza wangeanza kuiba kisha kuokowa badae poleni sana mungu awazidishie imani nakuvu bungu zetu watanzaniya ❤❤
Mungu awalipe heri wote waokoaji❤
Jamani nimelia ee mungu wangu wabariki wote waliojitolea kuwaokoa wengine
Poleni sana ndugu zetu Watanzania Mungu awafanyie wepesi
Hapa ingelikuwa Nairobi kwanza wangeanza kuiba kisha kuokowa badae poleni sana mungu awazidishie imani nakuvu bungu zetu watanzaniya ❤❤ 2:14
poleni sana allah awaponye majeluh ila naishauri selekali ifanye ukaguzi kwenye majengo yakariakoo majengo yamejengwa kwajili yamakaz sio stoo ikiwa stoo uzito unakua mkubwa kiasi kwamba hayato wezakuhimilr uzito
Asante sana vijana wa MUNGU 🙏🫡
Poleni sana mwenye gorofa mzembe utachimbaje chini awajibike kwa uzembe huo
Nilijuwa sky utaenda kutupatia habari mubashara asante
Dada mama ametoka ila analiliya wanawe jamani mzazii kweli achenii aitwe mzazii jamin paka nimeliya kweli mama nimama 😢😢😢
Congratulations sns... watching from Texas..Full team iko ground...Ata boss Leo ako ground.
Allah( sw) awafanyie wepesi
Asante waziri mkuu kwaku fika hapo ninacho tupunguze jam watu watolewe haraka
Kweli Kaka maneno yako Mungu akusaidie,Acheni habari muwasaidie huko..jumba likianguka hakuna MTO ila muwaokowe
Atukuzwe Mungu juu mbinguni, Mungu awabariki sana ndugu zetu mliojitolea kuokoa wenzetu, kweli binadamu tunategemeana.
Poleni sana wahanga wote
From #EconomicallyGrowthMusicians Duh, so 😢 😭 Mungu jaalia wepesi ktk hili
Sky Leo uko filled.....poleni sana🇰🇪🇰🇪
Da Mwenyezi Mungu awalipe kwa jitihada mlizozufanya kwa ajili ya wenzetu waliofikwa na maafa hayo
Allah awafanyie wepes na awatie nguvu wafiwa hakika ni qadar ya allah
Poleni sana watanzania wenzetu
Mungu waokoe wote walio pata ajali aisee!
Eee mwenyez mungu akusaidie ww pamoja nandug yako maana umetoaa msaada mkubwa sana kaka angu 😢😢😢
mungu tuhurumie baba! wastili wenzetu
SISI NDIO WATANZANIA HATUNA MFANO AFRIKA MASHARIKI AFRIKA NZIMA NADHANI HATA DUNIA. WATANZANIA TUPO TOFAUTI KWENYE UHAI WA MTU HASA MTANZANIA.
Kweli
Duuh asante Mungu kwa Uzima huu
Poleni Sana ila serikali yetu ijifunze jiji lishakua kubwa jeshi la uokozi dogo vitendea kazi hamna poleni.
Dah😢 Mungu wafanyie wepési wahanga wote🙏💔
Allah awafanyie wepesi lnshallah ndugu zetu dua tunawaombea
Ameen
Poleni wenzetu mungu awasaidie jamani mtoke salama tunawaombea salama wahanga wote!
Poleni majirani kwa ajali
Poleni sana ndugu zetu
Polen sana mungu awape nguvu
mungu awape.wepesi.ote
Tenda bwana tenda bwana siku ipite
Pole sana
Yaa Allah wafanyie wepsi waj wako
Mungu mwema TANZANIA NI MFANO AFRIKA
Inna illah waina illah rajuin pole sna jirani zetu
Mungu awasaidie wezetu😢
Mungu wangu hili ghorofa limepatwa na nn jaman polen sana 😢😢😢😢
Acha upuuzi waziri mkuu waziri mkuu , okoa watu chini watu wanateseka ardhini wewe unaongelea jua😢
Mamjui hata namna ya Kuwaulizaa..sio poleni sana ndugu yaliyowafika.imekuwaje hali hii..vipi tuweze wasaidia kwa Haraka.
tumieni na darubini kuona watu wapo pahali gani
Pole ni sana
Suban Allah poleni Sana 😢
Mungu awanusuru
Safi sana SKY
Mungu awaponye 😢
Daaah Tanzania yangu majanga gani tena haya
Dah inauma sana
Polen sana wapendwa
Poleni sana
kadri muda unavozid kwenda ndo ishu inavozidi kuwa serious jaman dah Mungu wasaidie wenzetu jmn
Poleni sana 😢
Pole n sana
Polenisanahuko.
Poleni sn jaman😢😢😢
Bora upate asara kuliko kukatshwa uhai jaman.
Nimeamini Tanzania tupo nyuma kwenye maendeleo 😢walh ingekua nnchi za wezetu vikosi vingekua vingi sana n vip fast tena kungekua n waokoaji wa anga na wa chin ila Tanzania tume n ufisadi tu z pesa serekal inachukua posho kubw san kod za wananchi lakin akuna lolot likikufika ss wenyew ndio tunajiokoa
❤😢
Daaa,😢😢😢
Tanzania tunagush had vifo wamefarik watu kibao et ni mmoj Bora nikamatwe ila kiukwel tuko nyuma sana
Mkandalasi wa Hilo jengo ni campuni gani
selekali iangalie hayo magolofa ya zilipedwaba yata maliza wengi wabomoe wajenge ya kisasa la sivyo hao wahindi wata geuka dafu
Kwakweli skupingi
Majengo ya kariakoo yana insurance (BIMA)?
Aaah wap tatzo nyumba za urithi alaf ndugu wanatamaa atar ikifika kwenye kod Awana huruma
Dah atar
Hakuna watu wengine wanaoishi umo ghorofani Zaid ya wafanya biashara inavoonekanwaa
Kiongoz ameingia kazini mwenyewe
Polen sana
Wakisubiri MSAADA sio ...
So sad development 😭😭
sasa kwanini wamechimba shimo uko chini jamani mbona wanafanyq vitu vya ovyo
Polenisana
Umesema ukwer
Siku zote umoja ni nguvu
🙏🙏🙏🙏🙏🇩🇰🇹🇿❤️❤️
Duu polen jaman
Kwani walikuwa wanafanya ukarabati bila Kibali? Wakaguzi wa majengo hawapo kariakoo?
😭😭😭😭😭😭😭😭🇸🇧🇸🇧🇸🇧
ITV
This country your leaders are not seriois
MUNGU tenda miujiza
Umaskini Tanzania sio kwa sababu ya Mataifa ya magharibi kuzuia misaada kwa sababu ya Serikali ya Tanzania kuwakamata mashoga na kuwasaka na kuwategea na kuwafunga vibaya kwa ukatili kwa kazi na training wanayopata wapelelezi wa Tanzania kushika mila za Tanzania na sheria ya kikatili lakini ni kwa sababu ya ufisadi wa Serikali ya Tanzania na sivyo wanavyosingizia European Union, IMF na Benki ya dunia au Mataifa ya magharibi wanatoa hela ili wawakamate mashoga na kuwafunga kikatili
Point yako ni nn
Poleni sana