Mashalah mashalah mashalah...kajitahidi Sana ...mungu azidi kumjalia Kila la heri...naona asaiv wasanii na watu maarufu wanashindana Kwa kujenga safiiiiiiiiiiiiiiiiii..since mwijaku chawa ameonyesha mjengo wake nakujenga imewatia hasira wasanii na watu maarufu kushindana Kwa kujenga safi
Nana alianza hiyo nyumba wiki nyingi. Nandy aliwajengea wazazi wake kabla ya kujenga ya kwake. Lulu ana nyumba nyingi anapangisha. Hao wengine wanaongeza makalio 😂😂😂
Huwa napenda sana vile alivyo na discipline na matumizi ya hela yake. Nilishamsikia hawezi nunua wigi la milioni 2! Hela yake anawekeza na kufanya vya maana pia alisema ana ndugu wanaomtegea. Big up kwake 🎉🎉
Dar kujenga sio kazi maana material yako na bei nzuri changamoto ni bei ya kiwanja tu iko juu sana ambayo ukija mikoani unajenga nyumba kbsa Heshima yake 💯💯🙏🙏
Jamani ajenge kutumia mwili wake ama Chocho kujenga sio kitu rahisi..je wewe unaeonge una nyumba . kujenga ni barakha za Allah sio uwe malaya au single mothers...mungu ndo kambariki wanao wamakufa ata kumiliki nyumba duniani awakujaliwa tuachane wivu
NANA maana yake ni mungu mwanamke au semiramis hiyo mungu mwanamke kazi yake nikutowa umaarufu kwa wasanii, ndomana waabudu shetani wote hupenda kuimba nyimbo ziitwazo ,Nana! Mf rihana,diamond,madona ,makoma, nawengine ,nahuyo mungu mwanamke au Nana ndiyo alianzisha ushoga na jicho la tamuz, fikirini maisha baada hapa dunian
Kweli Bwana aliyezaa nae ana hela lakini hii nyumba aliiongelea siku nyingi. Kubari msichana ana akili sio hao wanaongeza matako 😂😂 badala ya kufanya cha maana
Nakumbuka nanak akisema alipewa pesa ya cm 😅 akanunue pesa alichukuwa akaenda kuitengeneza ile ile iyoharika na kulikucha tu lazima kukomaa kwenye malengo😂😂😂 hya
Mimi hongera nampa nana ju yeye bado mdogo wolp amejenga akisha zeheeka na akiwa ndani y’a ndoa wakati wao walikua ni maskendo mabaya y’a kudate ila tofauti na nana tumemujua juzi ila ona akili zake hongera kwa nana na shishi nandy wolp hao wamejenga wakiwa wake zawatu 😅
Dah Dada zangu hata msihamaki hawa wanawake wny umaarufu kwny sana wanamambo mengi sana nyuma ya pazia ukitaka kuamn hilo bahatka ujue malipo ya kaz wanazozfanya wakaonekana kwny media n hakuna😂😂😂 so mjiongezee
hvi kwel nana bila sponsor hapo atatoboaje? acheni kuogopa umma, mtu ana harrier apartment analipa sponsor yy hela zake na sponsor juu lazima ufike hapo tu
Sio kweli! Aliiongelea hiyo nyumba siku nyingi, labda miaka kama miwili nyuma. Kila interview anasema yeye ni bahili anachopenda ni kuwekeza na kuongeza pesa na kujenga
Yaa Allah siku moja na mi nione nakuomba sana nataka kua na nyumba atakama sio ya kifahari 😢🤲🏻
Mungu atakupa usjali🙏
Ameen Mungu atupe sote
Amen inshalaah atupe sote 🙏
1:04 mungu akupe kipato utimize ndoto yako kwa njia iliyo harali na yakumpendeza mungu
Never give up don't loose hope. Wengine sisi tumetokea pagumu ila Allah kabariki Alhamdhulillah
Mashalah mashalah mashalah...kajitahidi Sana ...mungu azidi kumjalia Kila la heri...naona asaiv wasanii na watu maarufu wanashindana Kwa kujenga safiiiiiiiiiiiiiiiiii..since mwijaku chawa ameonyesha mjengo wake nakujenga imewatia hasira wasanii na watu maarufu kushindana Kwa kujenga safi
Nana alianza hiyo nyumba wiki nyingi. Nandy aliwajengea wazazi wake kabla ya kujenga ya kwake. Lulu ana nyumba nyingi anapangisha. Hao wengine wanaongeza makalio 😂😂😂
mashindano yameamia kwenye mijengo woou
huyu dada jamani hela ya boom aliiweka akanunua gari imebaki kidogo akaiendeleza kwenye ujenzi sasa wengine tunafeli wap kwenye kutunza😂
Huwa napenda sana vile alivyo na discipline na matumizi ya hela yake. Nilishamsikia hawezi nunua wigi la milioni 2! Hela yake anawekeza na kufanya vya maana pia alisema ana ndugu wanaomtegea. Big up kwake
🎉🎉
Ongera Nana Dollz 🎉🎉❤
acha ajenge mjini bora nyumba hongera kwake
😂TULIA TU APO APO
Dar kujenga sio kazi maana material yako na bei nzuri changamoto ni bei ya kiwanja tu iko juu sana ambayo ukija mikoani unajenga nyumba kbsa
Heshima yake 💯💯🙏🙏
Endelea kujidanganya
MashaAllh ❤
Jamani ajenge kutumia mwili wake ama Chocho kujenga sio kitu rahisi..je wewe unaeonge una nyumba
. kujenga ni barakha za Allah sio uwe malaya au single mothers...mungu ndo kambariki wanao wamakufa ata kumiliki nyumba duniani awakujaliwa tuachane wivu
Watu Wana wivu badala ya kujifunza kupitia wanye mafanikio
Honger! Unapenda mazoezi pita hapa kuna video za mazoezi
Sio wa wolpa ni wote wa wili msimpe credit wolpa kisha tumzarau ule Rich👌
😂😂😂
Tafuta wa hamisa utuletee pls❤
na yeye nasikia Ivo Ivo ana nyumba ila mbona atuiyoni
iyo nyumba yanana uko wapi
Nilisikia ana nyumba Kinondoni so fikiri kuna nyumba gani Kinondoni, nadhani Mange alisema hayo
Mashaa Allah
She deserves 🎉
NANA maana yake ni mungu mwanamke au semiramis hiyo mungu mwanamke kazi yake nikutowa umaarufu kwa wasanii, ndomana waabudu shetani wote hupenda kuimba nyimbo ziitwazo ,Nana! Mf rihana,diamond,madona ,makoma, nawengine ,nahuyo mungu mwanamke au Nana ndiyo alianzisha ushoga na jicho la tamuz, fikirini maisha baada hapa dunian
Heeee! Usinambie! Mmmh! Kaaazi ipo, Mungu aturehemu
❤❤❤❤❤❤
Huku Nairobi hatushtuki tukiskia madem wana mkwanja cz tunajua zinakotoka
ما شاء الله❤👏👏👏
Sponsors hao,wazee! Akili kichwani hapo.
😂😂😂
Kweli Bwana aliyezaa nae ana hela lakini hii nyumba aliiongelea siku nyingi. Kubari msichana ana akili sio hao wanaongeza matako 😂😂 badala ya kufanya cha maana
😂@@MsAggie5
Taft naww sponsa Kama ni rahisi
Nakumbuka nanak akisema alipewa pesa ya cm 😅 akanunue pesa alichukuwa akaenda kuitengeneza ile ile iyoharika na kulikucha tu lazima kukomaa kwenye malengo😂😂😂 hya
Kweli kabisa anafaa apewe hongera na hao wanaomsema vby shame on them
Mimi hongera nampa nana ju yeye bado mdogo wolp amejenga akisha zeheeka na akiwa ndani y’a ndoa wakati wao walikua ni maskendo mabaya y’a kudate ila tofauti na nana tumemujua juzi ila ona akili zake hongera kwa nana na shishi nandy wolp hao wamejenga wakiwa wake zawatu 😅
Mwijakuu jeee😂😂
Dah Dada zangu hata msihamaki hawa wanawake wny umaarufu kwny sana wanamambo mengi sana nyuma ya pazia ukitaka kuamn hilo bahatka ujue malipo ya kaz wanazozfanya wakaonekana kwny media n hakuna😂😂😂 so mjiongezee
Sanaaaa inalipa jaman
Kweli siku hizi Sanaa inalipa
hvi kwel nana bila sponsor hapo atatoboaje? acheni kuogopa umma, mtu ana harrier apartment analipa sponsor yy hela zake na sponsor juu lazima ufike hapo tu
Mtoto mdgo kawapita adi mashangaz alowakuta kwny indust
Kutangulia si kufika. Watu wana majukumu mengi kifamilly kujenga inakuwa ishu
Hao wengine ni kuongeza makalio 😂😂😂
Yan nina wa mute maana media kubwa kama nyie mba sambaza taarifa za uzushi
Ludi shule😂😂😂
Majibu ya nyumba kaa yake au sio yake tutayapata kutoka kwa Mangi kimambi Mangiiiii tunakusubiri anytime ataibuka na hiyo story
Sometimes huyo Mange wala simuamini. Aliongea negatives kuhusu Nana na akamjibu! Mange aliongopa
WEMASEPETU 🥺🥺🥺🦻🦻🦻🦻
Si uliona mama ake alionyesha kiwanja
hizo kina maembe sio hao ndio wanaofanya muwe hapo ni sisi hapa wasikilizaji hebuu rekebisheni hapo....
Watapata wapi hela ya kununua internet na mishahara yao? Sisi tunaoangalia bure?
Kifupi mimi napenda ivyo washindane na kwenye maendeleo waache maneno maneno,ila kuusu wema vip maana mmmh Nina mashaka😅😅😅 😅😅
Wasanii WA zamani akili zao ni kuvaa na mawigi 😂😂
Mmezid matangazo.tutawakimbia sasa matangazo wekeni.mwishonii ukoo
Mjini hapa akili tuh uwe nayo😂😂😂😂😂
Kwahiyo nyumba ya Nandy na Billnas ndiyo mnajifanya mmeisahau kbisa wakati kawakalisha wote hao
Ko iwe inazungumzwa yao tu😂
Hujui kitu kajambe mbele
Nandi kapanga wewe usiongee hivyo watakucheka watu
Alishajenga kwake na ameshahamia juzi kati hapa duu!!!@@MikiGermany210
@@MikiGermany210 😄🤣😂 wasikucheke wewe uliyekurupuka ambaye hadi leo unajua Nandy kapanga 😄🤣😂 nahisi umekuja mjini jana na mafuriko
Mjengo wa jamaa yake anayemiliki FUEGO..sio wake..Yeye akiachika anaondoka na rambo lake tuu.
Sio kweli! Aliiongelea hiyo nyumba siku nyingi, labda miaka kama miwili nyuma. Kila interview anasema yeye ni bahili anachopenda ni kuwekeza na kuongeza pesa na kujenga
Nashaur matangazo myaweke mwishon hatujaja kufata matangazo tumefata Habr
Watoto wa elf mbili
Gen Z 😂😂😂😂 mashangazi wanaongeza makalio 😂😂😂😂
Siri ya mafanikio ya mtu anaijua mwenyew msijipe tabu sanaa
tuambieni anafanya kazi gani ili tuweze kuipenda hiyo kaz tuige
6:40-45
Kaanza kuigiza akiwa mdogo huyo na hakuwa tegemexi kwao
Anashenyentwa
@@rodgersgregory7198😊😊😊😊😊😊q z❤. a
😂😂😂😂@@geofreysadok4823
Tafuteni mbinu mpya ya kutangaza wadhani either Kwa picha au maandushi,mnaongea sana mnaboa
Mh😅😅😅
Nipasu Kwa pasu Kwa Wolper n'a mume wake
Hatushangai maisha ya sasa utajiri upo kwenye camera,,,,hatusemi real life,,,but tumpe 🎉yake hakuna ajuae back ground yake before to now
Acha wivu sema mashallah 😊
@GiftAbduly wapiiiiiii
🤣🤣🤣🤣G ata wewe unaweza kutangaza unamilki mabasi 10000''kesho na tukasapot🤪
@@SakinaValy sio kila mtu anafeki
Sasa nyumba ya chino kama chino 😂
chino sio yake kapanga