Unadanganya mukubwa m23 siyo wa nyamulenge wa nyamulenge wanayishi [south] M23 wana ishi North DRC M23 wanaitwa Banyamasisi. Tena niwa Congomana wa tusi.
Samahani kidogo bwana news maker, your program is quite interesting, however the banyamulenge tribes or some sort of Rwandan speaking language in Congo been there for centuries, {kivu} and its territories was once Rwanda until 1910,these war zone areas where banyarwanda lives in Eastern Congo was part of Rwanda until the borders got cut on them. Mwalimu Julius Nyerere spoke about this topic in one of his messages. Thanks
SIO KWELI, HUYU JAMA HAJUI LOLOTE, HUYU YUKO NA TAARIFA ZA BBC SWAHILI RADIO YA WANGEREZA, NDO KOSA LENU WA TZ, TUULIZE SISI WACONGO TUWAAMBIENI UKWELI.
Huyu jamaa amajaribu kufafanua ingawa amechanganya haswa FDLR na M 23, Tena hakuna hata siku moja Rwanda inategemea FDLR kiuchumi, M23 angeifafanua kwa ile ya ukoloni
Ila wabongo kwa kujifagilia hamjambo! eti "ikumbukwe kuwa 2013 jeshi letu(JWT) liliwapiga m23 chini ya Brigadier Gen. Mwakibolwa" kwa wasio jua historia kidogo huyu jenerali aliongoza jeshi la umoja wa mataifa yakiwemo majeshi ya South Africa, Malawi, Namibia, etc kupigana na m23 so mtanzania kuchaguliwa kuongoza jeshi hilo hakuwa fanyi kuhodhi mafanikio yote. you were just a small part of the mission. DRC wenyewe wanamtambua Col. Mamadou Ndala kama shujaa wao alie washinda m23.
Mjue kwamba 2013 m23 ilikua kundi ndogosaana, wakaamia kujutoa vitani, sasa wame recruit vijana kutoka camps za wakimbizi ya wenyewe huko Rwanda na Ouganda nawana silaha za kisasa, hivi subiri mda kitambotuu majeshi ya TZ yatarudi wakiwa maiti na casualties, south Africa 97 wamepigwa kabisa, na raisi Suluhu ametambuwa kama m23 ya Leo ni Kali sana naameanza juta, ameanza kupanga mbinu zakuwarejesha.walionusulika, jeshi la Burundi karibu waishe, mfuatilie namna m23 yaendelea.kukamata eneo zilizo acwa na Sadac ,TZ, Burundi, Wagners etc..😂
Asante baba ule raisi wa burundi amesema kama inatoka Rwanda niho nuwongo mutupu ile haseme kama inatoka congo 🇨🇩 M23 inapiganiya ukwelo apo ninkwaho ,FDRL inakimbiliya kwao ikimaliza wa tusi wa Rwanda inaensa congo inatafuta fanya iyo amefanya Rwanda 🇷🇼
Banyamurenge awajatokea Rwanda Bali wanyamurenge niwatusi wa kivu kusini ndio wanajiita hivo...waliotoka Rwanda nakukimbilia Congo wanaitwa interahamwe
Mimi ni mukaaji wa Rwanda nataka niseme hapa yakwamba huyu jama hajui cocote kuhusu Congo , Rwanda , hâta Burundi wewe ni mgeni kabisa hakuna unaco kijua , kujifamya tu unaerewa lakini wewe mgeni
Congo wala sio Tanzania in hayo mazungu mnayoyakumbatia ambayo Jpm aliyapiga vita, ambayo Putin anayapiga vita. Congo in shamba la wazungu wezi... lakini kama tz inatumika basi ni hayo mazungu mahuni yamepenyeza kupitia hapa.
wagner wapo Goma Congo n'a wanalinda kwenye mpaka wa Gisenyi n'a Goma ila sio wengi wako kwenye mission maalum pâle n'a bila ile wagner kua pâle kama leo tunaongea mengine kuhusu Goma . Yerico uwe nafanya utafiti vizuri kaka nafataga sana mahojiano yako huwa apakosi kasoro nyingi hasa ukiongelea investigation . Mimi niliwaona wagner kwa macho yangu Goma mwezi 5 2023 . Yapo madudu mengi kwenye iyi interview ila ili ndo ninao usibitisho
Ingelikuwa zingine inchi za africa zina akili zingejifunza politics ya tanzania kama africa nzima ipo salama,tanzania ongera sana siasa yenu juu ya wana inchi,vita kuvianza ni rahisi sana ila kuvimaliza ni tabu sana kwa hiyo Mungu awabariki sana
😮jameni mtanzaniya vita siku hizo siyaleo tafautisha myaka iliyo pita na siku hizo natena kumbuvsikuzilizo pita hamujya washinda wa hasi hawo Leo mtapata kicapo hamujyaona mwa maisha yenu
Mimi nitakujibu swali lako: kama Congo ahito pata suluisho basi tambuwenu pia na Tanzania itakua kwenye mfumo wa Rwanda mfano leo Ouganda 🇺🇬 ipo chini ya Rwanda , pia Burundi 🇧🇮 ipo chini y’a Rwanda Kenya pia bref watu watakula nchini y’a utawala wa kitusi mfumo uho upo na sio kwa kongo tu ndo mkataba wa Rwanda kwa mabebro.
Ujinga Ni kwamba Kagame akianguka tu Rwanda your itavurugika arafu Tz uwez fananisha na hizo nchi zote ulizozitaja hapo ameweza huko lakin Tz kachelewa hatuwez kwasababu historia yet na hizo nchi Ni tofaut Sana rwanda Congo na Uganda hao Kuna vitu wanashare ndyo maana unaona wapo katka Hal hyo
Historia huyo jama anachanganya mambo wanyamulenge hawajawahi kua waasi wa Rwanda waasi wa Rwanda ni FDLR na hilo ndo linashirikiana na jeshi la congo kupigana na M23
Nyie watu wa mataifa ebu muogopeni mungu mkumbuke mliumbw nayeye mnapouana kinyama kisa pesa mtakufa mtaviacha hapahapa duniani mnakoenda napo mtaenda kuchomwa moto jehanam inawasubili mnadhambi kubwamno .
Pili Switzerland ansmskundi ya watu pale Congo kusafisha dhahabu hadi Uganda hakupakiwa na ndege za Emirate hadi Switzerland na kusema dhahabu ya Switzerland
Ndugu hujuwi hisoria ya m 23 ,baba wataifa ya Tanzania alisema ukweli WA M23 hamna ukweli jifunzeni vizuri Makena ni mkongo halisi eneo LA mashariki mwa Kongo ni LA watu WA masisi
Nyinyi watanzania munajifanya walimu wa kivita munapigania fdrl ambao wanauwa wa mama na watoto sasa musubiri M23 itawapa mafunzo ya kivita tunaitaji kikwete afike kiwanjani tumupe mafunzo
Ananias naomba sikumoja tuzungumuze ana kwa ana .ndipo mutakapoweza kucabua huu mugogoro.Tena wenzangu mugogoro huu usipotaturiwa mutashangaa yakaukuta hata nyinyi.Niwakumbusheni :Mwalimu Nyerere hutamka bayana"Munajivuniya ukabila!!!!" Mugogoro ndo huwo.musiwadanganye wanainci wa EAC
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kuitazama camera na kuongea uongo namna hii bila soni.. I am very disappointed in you Yericko, nilikuwa nakuona mtu msomi na muelewa.. dah haya sio matango pori tu yaani umeboronga vibaya mno..shame
Umesema kweli.., Amezungumza kuhsu makomando 6 wa Tz kuchukua rada ya kijesh ya Burundi jambo ambalo kidiplomasia sio sawa kuliweka public. Lakn pia M23 hawajawah kuwa waasi wa Rwanda, uongo mkubwa. Amechanganya FDRL-Interahamwe na M23-Banyamulenge. Banyamulenge ni wakongo wenye asili ya Rwanda..!
Jamani ile makundi yote aliyakamata akayaingiza katika jensi RDC akakamata M23 peke yake nikusema iko na ubaguzi ,njo mana M23 inawapiga sana ata watanzaniya wiko nakufa,aa rwanda inawasaidiya na moto na mayi ni rwanda inawakisha njo mana habawezi funga.ata ivi M23 ilifunga pote kwenye chakula inafika Goma ivi ni rwanda inawapa chalula
Nilivyosukia na mtu WA Rwanda ambaye alikuwa serikalini, Kagame anajua kuna wahutu wako Goma, anahisi wanataka au wanaweza kuji organise kuja kumpindua, anacho fanya, ana wafadhili hao M23 ambao ni watusi Kwa manufaa yake I mean hao watusi wasije ji organise. Nahisi ni kweli au .......
Hii Stori haina Relevant yoyote , huwezi kuhamisha radar kutoka nje ya nchi kama burundi bujumbura mpaka Tanzania tena DSM ukiwa na makomando sita tu radar is very huge piece of machine . radar sio fimbo ya bunge useme kwamba wali ibeba mgongon aisee . pia taarifa kama hizi huwa ni highly classified huwezi kuzijua kirahisi na hata ukizijua huwezi kuzisema wazi hivi youtube.
Lakini mbona watawala wa zamani walizibiti nchi zao zaire ilikuwa imara sana ila baada ya mapinduzi na kubadilisha jina toka zaire kuwa congo machafuko yalianza
Ebwane mufafanuziwako anasema wongo kuhusu mambo yakongo hajuwi kayumba nyamwasa ni munyarwanda nawanyamurenge sio wanyarwanda niwakongomani na M23 wanapiganiya uhaki wawo kwakunyanyaswa kuhusu niwatusi
Je, watanzania kama serikali ya DRC wajiunga na wauwaji wa FDRL(Interahamwe) kuendelea na Genocide zidi ya Watutsi, kimakusudi ao hawaelewi chanzo cha mgogoro inchini DRC?
Wewe upo unapotosha watu hujuwi kabisa historia ya Congo, na M23. Uko muongo kabisa, ata radio Nafikiri uwa usikilize, naomba mtangazaji ufate watu wengine ili usiendelee kopoteza watu. Huyo jamaa hajuwi kabisa. FDRL ni wale walie fanya mauwaji ya kimbali ya wa Tutsi, M23 ni wazaliwa wa Congo, walio zaliwa huko, kivu hiyo ilikuwa Rwanda zamani. Jamaa huyo muongo saana. Hafai.
Jameni, uchambuzi wenu si wakweli. Kuna mambo kazaha mu mekoseya. # Wanyamulenge ni moja ya makabila ya wa congomani. Ila siyo kundi lawapiganaji kama vile ulivyo zungumuziya. Apana. Iyo ni uwongo mutupu.
Oh my goodness!! Hivi kweli hii Dar24, ina Cheif Editor kweeli au ni TH-camr tu!! Mpaka inatia aibu kabisa. Inakuwaje mnaruhusu mtu kama huyu anayejiita mchambuzi anakuja kuongea uongo katika historia kiasi hiki kweli!! Harafu kwa confidence!! What a shame!! Wanyamulenge wamekuwa DR Congo (southern Kivu) kuanzia karne ya 15, wako tofauti na M23; yaani anaongea pumba, uongo wa wa kitoto usio na akili hata kidogo mpaka mtu amakosa aanzie wapi kumkosoa!
Matatizo ya Congo , mhusika mkubwa na shida ya Congo cyanzo na mhusika mkubwa ni Kikwete! Alichochea Kisekedi, Ndayushimie, na SADC, lengo lake eti chuki mbaya alionao zidi ya Mtutsi na zidi ya HE Kagame!
Rwanda Ina utajiri zaidi ya EST African yote...utauliza vipi ? Kwanza ni kabila Moja lugha Moja usalama Hali ya juu,,, namwisho kabisa Wana elimu yakuweza kuilinda inshi Yao...
Nakubaliana na wewe baadhi ya mambo ila yangine napiga, kweli ukitazama ukabila na rasilimali hayo mambo ndio anaharibu Congo, vile vile huwez kumaliza vita kwa kuizima M23 tu, nisichokubaliana na wewe ni kua katika makundi mabaya mno uliotangaza hukutaja makundi ya kina Mai Mai.... Hujataja matatizo yaliyopo baina ya Congo na Angola, ukitaka kujua mgogoro wa Congo anzia historia kuanzia karne ya15,, Mzee Mai Mai ndio kundi ambalo hatari mno, vile vile marekani yaijawahi kufunga misaada ya kijeshi kwa Rwanda wala Burundi Bali walipunguza bajeti tu ili kufunga watu macho
Kama ikiwezekana mgelinda na mali za nchi zinazo ibiwa kwa kalamu nchi inabaki mashimo na watu wana jimilikisha laslimali vita kwetu imeamia kwenye mikataba sasa jeshi letu lina simamaje apo
Wa congomani wenye asiri ya Rwanda au wanao zungumza kinyarwanda ni raia wa DRC kwa asilimia 100%. maana wakoloni warigawa mipaka 1884--1885 huko Berlin coference. Warijikuta huko Congo si kwamba, walihania huko, hapana, ila walichukuliwa huko na wakoloni. itakuwa kosa kubwa kufikilia kwamba utawafukuza watu, ubakize ardhi yawo? Hayiwezekani kamwe
Uongo ndugu wanyarwanda wameingiya congo kipindi wa rwanda wali wuwana wao kwao wao ndio 1996 kuna wa utu na watusi walingiya kama wa kimbizi akuna mtusi mkongo wala muhutu mwenye asili ya congo ndudu akuna kitu kama icho
@@mimiraia2531 . Discrimination against minorities in DRC especially Tutsi / Banyamulenge is one of main root cause of conflict in DRC . Berlin conference plants seeds of conflict by dividing Africa unfair . Let us leave in Peace ✌️.
❤❤❤❤we were umesema ukweli kabisa..... Iakinihalitawezekani ikiwa kicks niAmerika.... Asante kaka Hussein kagesho kutoka 😮😮😮😮😮😮😮KENYA
Unadanganya mukubwa m23 siyo wa nyamulenge wa nyamulenge wanayishi [south] M23 wana ishi North DRC M23 wanaitwa Banyamasisi. Tena niwa Congomana wa tusi.
Congo ni wabantu watupu, ukisikia mtusi basi sio Mkongo.
Toka uko amedanganya kwa nini iyo ni uhaki ,njo mahanq watu hawasikiya ,
@@kilungahamis1270wapatiye wengine anani ao wapatiye kwaho wahachunge peke yaho
Samahani kidogo bwana news maker, your program is quite interesting, however the banyamulenge tribes or some sort of Rwandan speaking language in Congo been there for centuries, {kivu} and its territories was once Rwanda until 1910,these war zone areas where banyarwanda lives in Eastern Congo was part of Rwanda until the borders got cut on them.
Mwalimu Julius Nyerere spoke about this topic in one of his messages.
Thanks
Foolish
SIO KWELI, HUYU JAMA HAJUI LOLOTE, HUYU YUKO NA TAARIFA ZA BBC SWAHILI RADIO YA WANGEREZA, NDO KOSA LENU WA TZ, TUULIZE SISI WACONGO TUWAAMBIENI UKWELI.
Kamanda umetoa tarifa nzuri sana kuhusu congo
M 23 haijawai kua waasi Rwanda, M 23 wao wamezaliwa ndani ya Kivu, mchambuzi amechanganya FDLR na M 23.
Huyu jama muongo kbsa.
Huyu jamaa amajaribu kufafanua ingawa amechanganya haswa FDLR na M 23, Tena hakuna hata siku moja Rwanda inategemea FDLR kiuchumi, M23 angeifafanua kwa ile ya ukoloni
Ila wabongo kwa kujifagilia hamjambo! eti "ikumbukwe kuwa 2013 jeshi letu(JWT) liliwapiga m23 chini ya Brigadier Gen. Mwakibolwa" kwa wasio jua historia kidogo huyu jenerali aliongoza jeshi la umoja wa mataifa yakiwemo majeshi ya South Africa, Malawi, Namibia, etc kupigana na m23 so mtanzania kuchaguliwa kuongoza jeshi hilo hakuwa fanyi kuhodhi mafanikio yote. you were just a small part of the mission. DRC wenyewe wanamtambua Col. Mamadou Ndala kama shujaa wao alie washinda m23.
Mjue kwamba 2013 m23 ilikua kundi ndogosaana, wakaamia kujutoa vitani, sasa wame recruit vijana kutoka camps za wakimbizi ya wenyewe huko Rwanda na Ouganda nawana silaha za kisasa, hivi subiri mda kitambotuu majeshi ya TZ yatarudi wakiwa maiti na casualties, south Africa 97 wamepigwa kabisa, na raisi Suluhu ametambuwa kama m23 ya Leo ni Kali sana naameanza juta, ameanza kupanga mbinu zakuwarejesha.walionusulika, jeshi la Burundi karibu waishe, mfuatilie namna m23 yaendelea.kukamata eneo zilizo acwa na Sadac ,TZ, Burundi, Wagners etc..😂
@@RubayitaRukakam23 haina ukali wowote ni America inawasaidia wakiwa vitani kuona wanaopigana wanajipanga vipi
Umeanza vzr kbsa.Makovu ya ukoloni,rasili mali,ukabila.
Hauelewe Congo vizuri,
Mimi Niko mukaaji wa Congo mashariki, Goma
Hauna habari kabisa, haujuwi historia ya congo, unajidanganya kama unafikiri kwamba shida za Africa zitaturiwa na wa zungu
Haya we tuambie unae jua
Asante baba ule raisi wa burundi amesema kama inatoka Rwanda niho nuwongo mutupu ile haseme kama inatoka congo 🇨🇩 M23 inapiganiya ukwelo apo ninkwaho ,FDRL inakimbiliya kwao ikimaliza wa tusi wa Rwanda inaensa congo inatafuta fanya iyo amefanya Rwanda 🇷🇼
Jamani Wengine sikwaho M23 ni kwaho jamani soma history vizuri ,waho kukama bunduki ni kwaju FDRL iliwaanza kuwahuwa wakakimbiya,ndio watafuta uwaki waho
Hauna habari kbs !!!
Banyamurenge awajatokea Rwanda Bali wanyamurenge niwatusi wa kivu kusini ndio wanajiita hivo...waliotoka Rwanda nakukimbilia Congo wanaitwa interahamwe
Mimi ni mukaaji wa Rwanda nataka niseme hapa yakwamba huyu jama hajui cocote kuhusu Congo , Rwanda , hâta Burundi wewe ni mgeni kabisa hakuna unaco kijua , kujifamya tu unaerewa lakini wewe mgeni
Huyu ni mwanajeshi alikua kongo kwe
Naweye kuko kwenye umedaganya.,wauwaji ni FDRL. Njo walikimbiya
Tatizo la congo ni kagame na wazungu
Tatizo la congo hulijui kabisa ungelijua zaidi ungetupa evidence na namna yaktatua hilo tatizo bali wewe umekalilishwa tu
Sikweri kbx mutangazaji
Congo imekua chaka la magaidi
Congo wala sio Tanzania in hayo mazungu mnayoyakumbatia ambayo Jpm aliyapiga vita, ambayo Putin anayapiga vita. Congo in shamba la wazungu wezi... lakini kama tz inatumika basi ni hayo mazungu mahuni yamepenyeza kupitia hapa.
Wewe muongo %hujyuwi ata istoria
wagner wapo Goma Congo n'a wanalinda kwenye mpaka wa Gisenyi n'a Goma ila sio wengi wako kwenye mission maalum pâle n'a bila ile wagner kua pâle kama leo tunaongea mengine kuhusu Goma . Yerico uwe nafanya utafiti vizuri kaka nafataga sana mahojiano yako huwa apakosi kasoro nyingi hasa ukiongelea investigation . Mimi niliwaona wagner kwa macho yangu Goma mwezi 5 2023 . Yapo madudu mengi kwenye iyi interview ila ili ndo ninao usibitisho
Wanyamurenge siyo wakimbizi
Kutoka Rwanda niwa congo kutoka myaka 800 inayopita lakini kincasa hakuitika niwa congole njomana congo inawaua wakajigombania peke wasimalizike 🙏
Acha ujinga wewe wanyamulenge walikuja Congo mu 1957 kutoka Rwanda acha ufała kabisa
Huo jama anataka ajulikane nayeye muongo sna
Tenaaa😢😢
Ndugu mtangazaji wa kongo waace ubaguzi duniya mungu kaitandika bila mipaka
Jamaniiii jamaniiii,askari wa TZ,M23 inawamaliza bure jamani
Asante washabuzi wa abari mungu awabariki
Nimimi kijana mukongomani ni muniji uvira jinalangu kangeta
Wabongo tunajua kujisifia tu kama tuko vzr mbona sahiv m23 imetushinda sahiv
93% I agreed what you said
Nice story
Kwani Samia kutwambia jeshi letu limekwenda kutatua mgogolo wa Congo tukifuatilia M23 ni uongo??
😊
Beans, haufahamu historia ya wale wamejiita "wanyamulenge".
Ingelikuwa zingine inchi za africa zina akili zingejifunza politics ya tanzania kama africa nzima ipo salama,tanzania ongera sana siasa yenu juu ya wana inchi,vita kuvianza ni rahisi sana ila kuvimaliza ni tabu sana kwa hiyo Mungu awabariki sana
Ameeeen tunawaombea na nyinyi mtoke kwenye hiyo vita
Amina mungu ataweka mkongo wake
Amina mungu ataweka mkongo wake
Nilicho jiffunza hapo tuu ni tundu lisu raia wa ubeligiji pia ni Jesusi😢wa Tz tuwe making na huyu mtu asipewe Kura
Jasusi au Jesus? Weka wazi tukuelewe chief
@@frankwilliam144 umesahau miwani naona
Mjinga wewe Wacha a na lisu fala
Mbona unaingiza vitu vya kijinga?
😮jameni mtanzaniya vita siku hizo siyaleo tafautisha myaka iliyo pita na siku hizo natena kumbuvsikuzilizo pita hamujya washinda wa hasi hawo Leo mtapata kicapo hamujyaona mwa maisha yenu
Ndugu yangu Tanzania sio nchi ndogo kivita sema tu Vita sio nzuri
Hizi ni stori zina chumvi nyingi hivyo hazina afya kwenye Taifa na maendeleo ya ukanda wetu.
Niwajinga sana hawaongei uhakiki ya Mambo😅
Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaah jama niliongo
Huyo jamaa anachanganya changaya mambo, story za kijiweni. Nadhani anafanya promo ya kitabu chake anachouza.
Leteni story zenu Basi ili nanyi tuwasikilize
Mimi nitakujibu swali lako: kama
Congo ahito pata suluisho basi tambuwenu pia na Tanzania itakua kwenye mfumo wa Rwanda mfano leo Ouganda 🇺🇬 ipo chini ya Rwanda , pia Burundi 🇧🇮 ipo chini y’a Rwanda Kenya pia bref watu watakula nchini y’a utawala wa kitusi mfumo uho upo na sio kwa kongo tu ndo mkataba wa Rwanda kwa mabebro.
kidogo umeongea points,kaka congo hakuna ukabila Wala kidini
Ujinga Ni kwamba Kagame akianguka tu Rwanda your itavurugika arafu Tz uwez fananisha na hizo nchi zote ulizozitaja hapo ameweza huko lakin Tz kachelewa hatuwez kwasababu historia yet na hizo nchi Ni tofaut Sana rwanda Congo na Uganda hao Kuna vitu wanashare ndyo maana unaona wapo katka Hal hyo
Historia huyo jama anachanganya mambo wanyamulenge hawajawahi kua waasi wa Rwanda waasi wa Rwanda ni FDLR na hilo ndo linashirikiana na jeshi la congo kupigana na M23
Nyie watu wa mataifa ebu muogopeni mungu mkumbuke mliumbw nayeye mnapouana kinyama kisa pesa mtakufa mtaviacha hapahapa duniani mnakoenda napo mtaenda kuchomwa moto jehanam inawasubili mnadhambi kubwamno .
Inawezekana
Pili Switzerland ansmskundi ya watu pale Congo kusafisha dhahabu hadi Uganda hakupakiwa na ndege za Emirate hadi Switzerland na kusema dhahabu ya Switzerland
Aise hii chanel idumu sana
Safi sana Mdupange
Ndugu hujuwi hisoria ya m 23 ,baba wataifa ya Tanzania alisema ukweli WA M23 hamna ukweli jifunzeni vizuri Makena ni mkongo halisi eneo LA mashariki mwa Kongo ni LA watu WA masisi
Nyinyi watanzania munajifanya walimu wa kivita munapigania fdrl ambao wanauwa wa mama na watoto sasa musubiri M23 itawapa mafunzo ya kivita tunaitaji kikwete afike kiwanjani tumupe mafunzo
Ananias naomba sikumoja tuzungumuze ana kwa ana .ndipo mutakapoweza kucabua huu mugogoro.Tena wenzangu mugogoro huu usipotaturiwa mutashangaa yakaukuta hata nyinyi.Niwakumbusheni :Mwalimu Nyerere hutamka bayana"Munajivuniya ukabila!!!!" Mugogoro ndo huwo.musiwadanganye wanainci wa EAC
Uyojamaa nimchambuzi mzuri katika vitavya mchiyangu Congo
Hiv ni kwanini congo inamachafuko sana?
27:54 😂 apo tunapigwa matango pori antananarivo ni mji mkuu wa madagascar
Ujaelewa😢
Wewe mwongo kenya haipo drc
Irikua sai ishatoka
sasa wewe kabisha nini?...mulikuwa Congo,...na nyinyi wakenya watapeli sana...tuli wafukuza.
This interview itakufanya utusuwe au ujutee watuu wakubwa dunia hiyii watakupenda au watakuchukia
they can resolve problems peacefully
Neema usiongee usichokijuwa wanyamulenge warikimbia nini kumbuka kaburaya nterahamwe kukimbilia Congo ndoakaanza kuwauwa wanyamulenge wanadaikuwaniwatutsi
muache uongo jamani et wanajeshi 6 wachukue rada ilivyo nzito jama huyo muongo
Fuatilia kuhusu makomando utaelewa
Kariakooo ndio dubai ya ista Africa
Semeni Bwana ...! Changanua habari hizo nivizuri tuelewe mzozo wa congo ume anzaje...?
History nzuri, lakini mwambiye awe makini sana nama jina za watu, mfano: apo kwa FNL gen nyamwasa niwa rwanda, Angesema Rwasa
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kuitazama camera na kuongea uongo namna hii bila soni.. I am very disappointed in you Yericko, nilikuwa nakuona mtu msomi na muelewa.. dah haya sio matango pori tu yaani umeboronga vibaya mno..shame
Umesema kweli.., Amezungumza kuhsu makomando 6 wa Tz kuchukua rada ya kijesh ya Burundi jambo ambalo kidiplomasia sio sawa kuliweka public. Lakn pia M23 hawajawah kuwa waasi wa Rwanda, uongo mkubwa. Amechanganya FDRL-Interahamwe na M23-Banyamulenge. Banyamulenge ni wakongo wenye asili ya Rwanda..!
Watusi wanataka kutawala ma enewo yote ya africa mashariki nakati, wakisayidiwa nawayahudi
Sio Banyamurenge ni Interahamwe ... Unajua ukitaka kumanisha hivyo. Hayo ni makosa ya kawaida .. Banyamurenge ni WATUTSI wa CONGO.
Apna
Acha kudanganya watu ww
Ila tuwajulishe kwamba M23 ni Rahiya kamili na wazaliwa congo bila shaka...
Kama unayosema ni kwel ss wanabiganishwaje na wazalendo wenzao????
Tunakufurahiya sana wakongomani nikweli red Tabara yaburundi n'a m23 yarwanda ,n'a ADF ya Uganda zina tesa wa congomani
Kwa Mtu muelewaa...
Huyu Jamaa anapotesha kwanza sio Mtanzania...
Ukisikia rafuzi yake...Ni Mnyarwanda Pia....achunguzwe....
Jamani ile makundi yote aliyakamata akayaingiza katika jensi RDC akakamata M23 peke yake nikusema iko na ubaguzi ,njo mana M23 inawapiga sana ata watanzaniya wiko nakufa,aa rwanda inawasaidiya na moto na mayi ni rwanda inawakisha njo mana habawezi funga.ata ivi M23 ilifunga pote kwenye chakula inafika Goma ivi ni rwanda inawapa chalula
Kuna mijitu miongo sana, eti rada imeibiwa na watu 6 tu. Pelekeni uhuni wenu huko mbali
wewe una akili timamu. ani mimi niliposikia hivyo tu ,nikasema kwisha habari hapa ni hakuna wachambuzi
Tatizo nimataifa yanayo shikiza Kongo kupigana iri wazidi kuiba mafuta na marizao😢
Alakini wana dini hapa kongo wanaelewana sana hamuna tatizo
Kagame hawezi kuwatafuta wanyamurenge kongo ye mwenyewe ni mnyamurenge ye anatafuta intera hamwe ambao ni wahutu (wabantu)
Nilivyosukia na mtu WA Rwanda ambaye alikuwa serikalini, Kagame anajua kuna wahutu wako Goma, anahisi wanataka au wanaweza kuji organise kuja kumpindua, anacho fanya, ana wafadhili hao M23 ambao ni watusi Kwa manufaa yake I mean hao watusi wasije ji organise. Nahisi ni kweli au .......
Kagame hana uezo wakupigana nchi kwa nchi anauezo wa kupigana vita yakuvizia!!
Sasa mbone hamusemi FDRL imeuwa watu 1994 ikakimbila Congo nando chanzo cha shida ya M23
Hakuna FDRL aca uongo ilo kundi unasema wameja katika GV ya Rwanda vita ya congo ni zahabu coltan na ilinium
Hii Stori haina Relevant yoyote , huwezi kuhamisha radar kutoka nje ya nchi kama burundi bujumbura mpaka Tanzania tena DSM ukiwa na makomando sita tu radar is very huge piece of machine . radar sio fimbo ya bunge useme kwamba wali ibeba mgongon aisee . pia taarifa kama hizi huwa ni highly classified huwezi kuzijua kirahisi na hata ukizijua huwezi kuzisema wazi hivi youtube.
Ni haibu kubwa kwamtangazaji au mchambuzi anaongea habari zamitaan au za kwenye kahawa kama ukweli,bila facts
Nimefuata uchambuzi wenu ila kuna mahali pengi mmekosea sana mnapochambua hitoria ya Rwanda.
Lakini mbona watawala wa zamani walizibiti nchi zao zaire ilikuwa imara sana ila baada ya mapinduzi na kubadilisha jina toka zaire kuwa congo machafuko yalianza
M23 wanapiganiya haki yawo Hawa wanafukuzwa Kongo kuhusu niwatusi wanawuriwa kirasiku nakunyanyaswa sababu yawukabira ndio mana yakushika bunduki
Umejidanganya kundi lilohusika na Genocide Rwanda 1994 ni FDRL sio M23 kama msemaji alivyojidanganya
Uwongo warudi Hawana Rada
Watafute sisi turioishi na Baba wa Taifa ktk ukombozi wa afrika
Huyu mtangazaji hata mimi simuelewi kuhusu radar mbona anajizalilisha historia anajua kidogo nakuomba ujipange kwanza kabla hujaenda kuongea
Ebwane mufafanuziwako anasema wongo kuhusu mambo yakongo hajuwi kayumba nyamwasa ni munyarwanda nawanyamurenge sio wanyarwanda niwakongomani na M23 wanapiganiya uhaki wawo kwakunyanyaswa kuhusu niwatusi
Jambo mutangajaji cakwanza ujuwe sio congo wenyewe kwawenyewe ni Rwanda na uganda wamevamia congo
Hey brother. Kunasehemu jama anakoseya Kwa maelozo mengi ajapatiya
USIMUACHE KIKWETE RAFIKI YANGU KAMA HUJUI FANYA UTAFITI
Viongoz wa makundi hayo washawekwa hotelin kinshasa kwa mazungumzo ila gvt ikawatelekeza according to Rwanda
Je, watanzania kama serikali ya DRC wajiunga na wauwaji wa FDRL(Interahamwe) kuendelea na Genocide zidi ya Watutsi, kimakusudi ao hawaelewi chanzo cha mgogoro inchini DRC?
Ndugu mtangazaji ungetoa number ya simu yako ili upate habari kamili hapo ndipo utafanya uchambuzi wa kweli.
Wewe upo unapotosha watu hujuwi kabisa historia ya Congo, na M23. Uko muongo kabisa, ata radio Nafikiri uwa usikilize, naomba mtangazaji ufate watu wengine ili usiendelee kopoteza watu. Huyo jamaa hajuwi kabisa. FDRL ni wale walie fanya mauwaji ya kimbali ya wa Tutsi, M23 ni wazaliwa wa Congo, walio zaliwa huko, kivu hiyo ilikuwa Rwanda zamani. Jamaa huyo muongo saana. Hafai.
Kwani waliokufa Rwanda ni watusi tu wahutu hawakufa. Usipotoshe watu.
Hiyu ni mchanga kwa.mambo ya geopolitics anacamganyaambo
Tunaomba link ya ufafanuzi wako ili tuone unayojua
Nch jirani za Congo ndio adui mkubwa wakwanza wa Congo
Amekosea sio kivu kwarwanda wasi M23 nitafauti waasi warwanda ni FDRR
Hiyoswali unaliongea ikosawa sasakwakulindamipaka wafwate mufumowalumumba waweke rahisiwatatu njowalindemipakayao viletu unaongea congo aitakuwanahamani 🇿🇲aponakusikiasana🙏
Channel Rusakaza TV iko pamoja nanyi
CjAfurai na huyu..
Jamaa mbona anajua Mambo mengi ya Siri za nchi...
Na usalama wa Taifa mpo...kamtafuteni mumuoji...
Jameni, uchambuzi wenu si wakweli. Kuna mambo kazaha mu mekoseya.
# Wanyamulenge ni moja ya makabila ya wa congomani. Ila siyo kundi lawapiganaji kama vile ulivyo zungumuziya. Apana. Iyo ni uwongo mutupu.
Brother rudi shule ninavyo kuona bado uneweza ukasoma historia naamini hata huyo huyo alie kualika naye bado zakwake mbovu sana
Kusema kweri hana byakuogeya huyu jama hajuwi kitu kbs afuge hajuwe M 23 niya Congo ni WA kogomani toka
Wanajeshi watanzania wanachinjwa kama Kuku unaongeya nini? Kwanza bila Museven musingemuweza Amini. M23 yasiku zile sio yaleo
Kengevwewe hawuna hakiri timamu unasema maneno ya kishenzi sana soma kabra yakuja kubwabwa maneno yakishenzi
Oh my goodness!!
Hivi kweli hii Dar24, ina Cheif Editor kweeli au ni TH-camr tu!! Mpaka inatia aibu kabisa.
Inakuwaje mnaruhusu mtu kama huyu anayejiita mchambuzi anakuja kuongea uongo katika historia kiasi hiki kweli!! Harafu kwa confidence!!
What a shame!!
Wanyamulenge wamekuwa DR Congo (southern Kivu) kuanzia karne ya 15, wako tofauti na M23; yaani anaongea pumba, uongo wa wa kitoto usio na akili hata kidogo mpaka mtu amakosa aanzie wapi kumkosoa!
Matatizo ya Congo , mhusika mkubwa na shida ya Congo cyanzo na mhusika mkubwa ni Kikwete! Alichochea Kisekedi, Ndayushimie, na SADC, lengo lake eti chuki mbaya alionao zidi ya Mtutsi na zidi ya HE Kagame!
Acha uongo ngoja JWTZ imeshaingia northern Kivu sindano itawaingia tu wait and watch it!
Rwanda Ina utajiri zaidi ya EST African yote...utauliza vipi ? Kwanza ni kabila Moja lugha Moja usalama Hali ya juu,,, namwisho kabisa Wana elimu yakuweza kuilinda inshi Yao...
Bro wakati wanajeshi 6 tu wa Tanzania wanachukuwa rada ya jeshi la Burundi waliichukuwa aje waliiba au walipigana walitishia ilikuwaje
Hivi hiyo rada inabebeka kwenye mfuko au waliwezaje kuibeba na isionekane na nikubwa sana
😂😂imagine😂😂
@jacksonmartin8485 anatuona mjinga😂
Nakubaliana na wewe baadhi ya mambo ila yangine napiga, kweli ukitazama ukabila na rasilimali hayo mambo ndio anaharibu Congo, vile vile huwez kumaliza vita kwa kuizima M23 tu, nisichokubaliana na wewe ni kua katika makundi mabaya mno uliotangaza hukutaja makundi ya kina Mai Mai.... Hujataja matatizo yaliyopo baina ya Congo na Angola, ukitaka kujua mgogoro wa Congo anzia historia kuanzia karne ya15,,
Mzee Mai Mai ndio kundi ambalo hatari mno, vile vile marekani yaijawahi kufunga misaada ya kijeshi kwa Rwanda wala Burundi Bali walipunguza bajeti tu ili kufunga watu macho
Kama ikiwezekana mgelinda na mali za nchi zinazo ibiwa kwa kalamu nchi inabaki mashimo na watu wana jimilikisha laslimali vita kwetu imeamia kwenye mikataba sasa jeshi letu lina simamaje apo
Nimekusikiliza but sijakielewa .how comes tumuite makenga or Bilal wakati hawa ni chawa? Nionavyo Mimi wakuita ni hawa wanaowafadhili
Muongo sana uyo jaama
Anaongea ukweri.....
Wa congomani wenye asiri ya Rwanda au wanao zungumza kinyarwanda ni raia wa DRC kwa asilimia 100%. maana wakoloni warigawa mipaka 1884--1885 huko Berlin coference.
Warijikuta huko Congo si kwamba, walihania huko, hapana, ila walichukuliwa huko na wakoloni. itakuwa kosa kubwa kufikilia kwamba utawafukuza watu, ubakize ardhi yawo? Hayiwezekani kamwe
Wewe itakuwa ni Mtutsi, unayetetea uhalamia wa Watutsi wa Rwanda huko DRC.
@@mimiraia2531this tusis are also grabbing land in Uganda because museven is a tusi
Uongo ndugu wanyarwanda wameingiya congo kipindi wa rwanda wali wuwana wao kwao wao ndio 1996 kuna wa utu na watusi walingiya kama wa kimbizi akuna mtusi mkongo wala muhutu mwenye asili ya congo ndudu akuna kitu kama icho
@@mimiraia2531 . Discrimination against minorities in DRC especially Tutsi / Banyamulenge is one of main root cause of conflict in DRC .
Berlin conference plants seeds of conflict by dividing Africa unfair .
Let us leave in Peace ✌️.
Faida yarayisi wenyu bana kuwa unasema ukweri
Mayimayi ni wanyarwanda si wa congo roka kwa Mobutu