MAU MPEMBA KWANINI RAMADHANI SEHEMU 1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 มี.ค. 2023
- #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500 - ตลก
Gonga like hapa umeikubali😮
Nakukubali sana mau mpemba kaka Allah akujaalie kila lenye heri
Qaswida nice Masha Allah and movie yenye mafunzo pia ❤
Kazi mzuri wajina pamoja sana.
Proud of you zanzibarian comedian
Mashaaallah good
Mau tunakutambua huku kenya❤
Dalila from pemba pamoja sanaa ❤
Napenda sana kuangalia movie Kama hizi Hasa Ramadan naomba iyendele sehemu Mpaka 30 Inshaallha
Saw hawa
Naomba nakupenda sana dada unanifurahisha 🤣
Tupemuendelezo kaka, nakubali kazi
Safi sana kazi nzur
Dah woot mastaa Wamo duh safiii
Mashaallah
Mashaallah vjana kz mzur sana
Shadra shadra shadra umejitafut umejipata God bless you
Kazi mzuri mau ila umepotea sana hadi tumekusahau ki comedy
Ahsanteni mungu Azidi kuwapa kheri inshaAllah
Nawakubali mola awabariki
Mashaallah jazakumllah kheir amiin
Hongereni sana kwa kuenzi tamaduni zetu
Mchezo mzuri sana huu tunaomba muendelezo
Mashallah
Mnajua sanaa
Kiungo Mahfoudh
Nice one😊
Pamoja sana wapendwa mashaAllah
Mie nampenda sana naomba
MashaLLAH ❤
Mau uko vzr
Hongera maulid
Mashaallah ust juma faki allah akupe kher na azidi kukikuza kipaji chako pia hongera sana mau mpemba kwa filamu bora
Wa mwanzoooooo
Nzuri
Kaka mau dogo nk nawakubali sana
Swafiii
Hakika hiiii iyetu wapemba
Hamuna baya mau na kikosi chake
perfect
❤❤❤
Inaendelea lini
Huna mby kak
Sehemu ya pili saa ngapi unaishusha
🚀
❤
❤❤❤❤❤❤
mashaallah
Mashaaallah mchezo mzur
Hongera sana dada naomba upo vixur mashaallh mashallh mashaallh ❤❤❤😂😂😂
Mau mm km ww Niko sawa kaka 😂😂😂
♥️♥️
Kidundo yuko wapii?
Naaam
Mau tunakujua huku Saudia waarabu sote
Haaaa mau ashafanya tamaa ramadhi ni mwezi wakuchuma lakini sio tunavyo chuma siye umati w a sasaivi
😂😂😂😂❤
Fundi wazidi chafukwa Sasa kunaamua
M napendaga wapemba wanavyo ongea 😅😅
😅😅😅
Upo kaka naona ulikua kmy
Tuletee muendelezo
B shuu nakuona Asante mwalimu wangu
Mungu akuongo mwalimu wangu
Kachara yuwapi?
Kanlala
@@musaqdeschwaz2071 naona
Shadra umejitafut umejipata good bleeding you
Kachara kiboko yko ww Mau hujui kuwekting 😂😂😂😂 hufai 🎉🎉🎉hta KIDOGO 😅😅😅😅
ACTING ZAKO ZOTE MBOVU HTA CIJUI NANI KAKUSAPOT😢😢😢😢😢😢
Mbona zako hatuzion au ndio uokosi tu maan Binadam tuna hasad za kila aina
Ili igizo kwa kiwango kikubwa limegusia uislam na lazim watu kama wee shetan achukie man shetan kuna wa kibinaadam pia
Husda si jambo zuri hata kidogo
Yako wewe hipo wapi???
Na wala hukulazimishwa kuangalia mpuuzi Mkubwa wewe
❤❤❤