MGOMBA MWITU - MAU MPEMBA NA MAKAME NUHUSI -RAMADHANI 2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
    MGOMBA MWITU - MAU MPEMBA NA MAKAME NUHUSI -RAMADHANI 2021
    Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
    Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
    Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
    +255 777 001500
  • ตลก

ความคิดเห็น • 86

  • @Asili
    @Asili  3 ปีที่แล้ว +20

    Jamaa tahazarini na futari za ngomba mwitu.

  • @nabilsuleimanhaji2437
    @nabilsuleimanhaji2437 3 ปีที่แล้ว +5

    mau unaweza Allah akupe nguvu uzidi kutupa elmu kupitia video zako nimejifunza..kuowa xio sura nzuri bali kuowa ni tabia

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 3 ปีที่แล้ว +3

    Sufuria kuna uka nayoo jamaa yangu

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 3 ปีที่แล้ว +4

    Subuhanallah yarabi tupe kinaii ya roho zetu asanteni kwa mafunzo mazuri

    • @aminaibrahim4148
      @aminaibrahim4148 3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah mafunzo mazur sana na hekima kubwa ime tumika

  • @allyissa2744
    @allyissa2744 ปีที่แล้ว

    Hatriiii

  • @latifahabdul7717
    @latifahabdul7717 3 ปีที่แล้ว +3

    Pokeeni mapenzi ya dhati from mombasa

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 3 ปีที่แล้ว +1

    Dooh fundi wazidi chafukwa siku hadi siku

  • @marrowog8975
    @marrowog8975 3 ปีที่แล้ว +2

    Ba mau, huna huruma..c ungewasamehe tu... sio wizi hao..wamepitukiwa tu

  • @amarali05
    @amarali05 3 ปีที่แล้ว +5

    Ujumbe mzuri kwa jamii

  • @mwanaishahassan4578
    @mwanaishahassan4578 3 ปีที่แล้ว +3

    First to comment and second to vie

  • @awenasuleiman4519
    @awenasuleiman4519 3 ปีที่แล้ว +3

    Muko vizur jomon nawapend xn

  • @othmanomar9470
    @othmanomar9470 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah hii ni hekma kubwa sana aliotumia mau mpemba

  • @abrahmansuleiman9586
    @abrahmansuleiman9586 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzee chongoe👏👏👏👏👏

  • @saidisele6063
    @saidisele6063 2 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilahh kwa vidiyo mzuliii yenye mafunzo mazull ndann yake

  • @hassanhamad3827
    @hassanhamad3827 2 ปีที่แล้ว

    Sawaa mashallah kk napendaa Sana kuchek video zaooo

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 3 ปีที่แล้ว +1

    Njumbe hauwawii

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah

  • @ahmedrashid1923
    @ahmedrashid1923 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaa dondo😂😂🙌🏾

  • @allyissa2744
    @allyissa2744 ปีที่แล้ว

    Naam nimekubali nimepta funzo unapoambiw kitu chunguz kwnz n busara kubw alotumia kumtuma mtoto kupat uhakika wa alichoambiwa n mau

  • @mzeevuai
    @mzeevuai 3 ปีที่แล้ว +4

    hahhhhh salute sina maneno.

  • @nabilsuleimanhaji2437
    @nabilsuleimanhaji2437 3 ปีที่แล้ว +3

    😂😂Makame wee noma ety twalaalbadru alaynaa

  • @bbishatuale1150
    @bbishatuale1150 3 ปีที่แล้ว +1

    Mau mpemba muungwana ni kitendo.hilo litakuwa funzo kwa wengine🤣🤣🇰🇪

  • @mmadiausiy9810
    @mmadiausiy9810 3 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaha hii hadithi inanikumbusha mbali sana ni kweli yalitokea!

  • @abdillahkhalfan8186
    @abdillahkhalfan8186 3 ปีที่แล้ว +3

    One1

  • @khamissuleiman5010
    @khamissuleiman5010 3 ปีที่แล้ว +1

    Makame Nuhusi upoo upoo

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 3 ปีที่แล้ว +1

    Chongoweeeeee sufuria haipo

  • @fatmaali5540
    @fatmaali5540 3 ปีที่แล้ว

    Jamam mau ashinda w2 was bara

  • @suleyhumoud1896
    @suleyhumoud1896 3 ปีที่แล้ว +2

    mupo vizuri sana

  • @mamoulovecherry5121
    @mamoulovecherry5121 3 ปีที่แล้ว

    MASHAALLAH TABARAKAALLAH ❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🥰

  • @firdausmfaume1337
    @firdausmfaume1337 3 ปีที่แล้ว

    Kha mbavu zangu mie jaman

  • @abdullahwahabu2166
    @abdullahwahabu2166 2 ปีที่แล้ว

    Mzuri sana

  • @mariymukhatibu4919
    @mariymukhatibu4919 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @abdihaji22
    @abdihaji22 3 ปีที่แล้ว

    Asanteni kwa Ujumbe mwema. Wengi wetu tunaftar dhulma ima kwa kujua au kutojua..
    Allah atunusuru na Dhulma.

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      na hata watoto wetu tunazaa haramu kwa kula haramu . ( kuna watoto wa haramu na watoto wa zinaa ) mtoto wa haramu anapatikana km hivi kula kwa njia ya dhulma, ikisha ukampa mkeo mimba siku hiyo mtoto atakuwa haram . sasa tujitizame tuna watoto wa haramu wangapi ndani ya majumba yetu? na ndio maana watoto wetu hawatambulikani kwa vituko vya kiajabu ajabu kumbe uharamu unamuhangaisha.

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaallh

  • @khamissuleiman5010
    @khamissuleiman5010 3 ปีที่แล้ว

    Mau sasa apoo iiyo ndizi umeiba au ni ya kwako maana muna utumbo Wa watu

  • @khamisbuda8884
    @khamisbuda8884 3 ปีที่แล้ว

    Mau ww namba moja 😆😆😆😆😊😊😊😊😊👌

  • @hassanhassan6998
    @hassanhassan6998 3 ปีที่แล้ว +1

    Saf san kwakwel

  • @huszarb7865
    @huszarb7865 3 ปีที่แล้ว

    Ziwani iyo mau

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 3 ปีที่แล้ว +3

    Kadondoo kusoma hutak😂

  • @dulandulan8584
    @dulandulan8584 3 ปีที่แล้ว

    Maashalla

  • @yussufamir6627
    @yussufamir6627 3 ปีที่แล้ว

    Hhhhh Yan Hadi raha

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 3 ปีที่แล้ว +1

    Chongowe ataka nyamayeeee🤣🤣

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +1

    Funga zenu zina mtiani😂😂😂

  • @kitaaofficial4119
    @kitaaofficial4119 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂Atar sna!!!

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃jamani mau

  • @is-hakajuma1479
    @is-hakajuma1479 2 ปีที่แล้ว

    Mau kachukua ndizi yake lkn kaiba sufuria na utumbo

  • @swalekhabdulkadir4144
    @swalekhabdulkadir4144 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub6865 3 ปีที่แล้ว +1

    Kadondo😄😄😄😄

  • @lidriclidric4247
    @lidriclidric4247 3 ปีที่แล้ว +1

    🤩🤩🤩🤩

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 3 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ndio act za mafunzo

  • @neelamviriyala9121
    @neelamviriyala9121 3 ปีที่แล้ว +1

    Mau nouma Sana 🤣🤣🤣👳

  • @mekkyymohd1541
    @mekkyymohd1541 3 ปีที่แล้ว

    Dishi lyangu la pwaga😅😅😅

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid6839 3 ปีที่แล้ว +2

    Mali sana

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha hahahaha hahahaha daah

  • @rashidomar8787
    @rashidomar8787 3 ปีที่แล้ว

    Ibrahim

  • @husnaali1785
    @husnaali1785 3 ปีที่แล้ว

    Kaadondo😆😆😆😆😆😆

  • @yussufamir6627
    @yussufamir6627 3 ปีที่แล้ว

    Hhhhh kaondoka weeeee

  • @zainabkhamis813
    @zainabkhamis813 3 ปีที่แล้ว

    Hhhhh nimechek kwel ap

  • @ramarasheed3453
    @ramarasheed3453 3 ปีที่แล้ว +1

    sas hiyo ndiz unaenda nayo wapi si chongowe ata lal na njaa😂

  • @albassambakili3757
    @albassambakili3757 3 ปีที่แล้ว

    haya suka ukili mama akatafute

  • @nurujackson4018
    @nurujackson4018 3 ปีที่แล้ว

    Vitobwesha sijafaham

  • @jumaaomary4949
    @jumaaomary4949 3 ปีที่แล้ว

    Mau hilo toonge

  • @suleyhumoud1896
    @suleyhumoud1896 3 ปีที่แล้ว +1

    suka ukili kalababu sio mchezo

  • @khalidboyka6059
    @khalidboyka6059 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwani muhogo una nn jaman hhhh

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣kadondo kusoma hutaki

  • @komboomar581
    @komboomar581 3 ปีที่แล้ว +1

    4

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 ปีที่แล้ว

    😅😅🤣

  • @ronyobetty7375
    @ronyobetty7375 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣

    • @ronyobetty7375
      @ronyobetty7375 3 ปีที่แล้ว +1

      Thanks Mau, greetings from USA 🇺🇸 Texas

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 3 ปีที่แล้ว

    Hahah 😂

  • @aliseif8729
    @aliseif8729 3 ปีที่แล้ว +3

    Kadondo hatakisoma🤣

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 3 ปีที่แล้ว +1

    😅