Maulid mpema aka mau mpembaa nakufuatilia sehem nyingii baba yangu lkn kwenye fumbuwa macho unanifundishaa na kunifurahisha Allah akuzidishie baba au kaka
Kwann w'ke mnaumia sana tukiwaolea mke wa pili, cc tunaoa kwa mashaka yenu, ata kama mtu hataki aoe bc kwa vitimbi vyenu mtu anaoa tu, emu msiwe na mashaka muone kama tutaoa mke wa pili maisha haya
Maulid mpema aka mau mpembaa nakufuatilia sehem nyingii baba yangu lkn kwenye fumbuwa macho unanifundishaa na kunifurahisha Allah akuzidishie baba au kaka
Asalam alaikum afadhali leo wa mwanzo
Hongera kwakuwahi nakesho jitahidi
Naomba kibendera upo juuuuuu
kazi nzr sana hongeren sana wasaniii wetu
Hongera mau kwa usharibmzur😂😂❤
Safi sana nakubali kazi
Woow!! Nice iyo kweli dawa yao, na uko ndani unatakiwa umpige hasa zaidi apigike vizuuri 😊
Wa pili Leo mm
Wamwisho
Dongo dongo dongo.chaguwa ubavu unao laliyaa.hahahaaa😅uko juuu dongo
Sku hizi mnachelew kutuekea lakin kaz nzur
Ila dongo unajua sana aisee eti chagua ubavu unaolalia mmoja nataka uvunja
Jmn da Hasnat tulikumiss sanaaa😍❤
Ile flm uungwana mbn vp jmn da hasnat
Haha nimependa mwisho chezea mke mwenza mau kiboko
much love
Naomba umezidi kwa umbeya aaaaa ukiaamka chai ni umbeya tuu na mke wa maguo yumo kazini. Maana umbeya wataka nafasi mungu awabariki washiriki nyote
Eeee fundi wee wazidi chafukwa
Kikanzu hhujui kama ni dira au ni kijora😮😮
Ila nawakubali sana mko kiuhalisiya ktk maisha ya kizanzibar hususan kipemba
TAWIRE NA TAWIRE IKUTAWIRE😅😅
Hatupoi
Pemba kuna wanawake wazuri bwana 😊
Katafute uowe
Na wana maneno mengi
Kombo kichwa ni mumeee😂
😂😂😂
Duuh naomba shkamoo cjapata hata ukengele😂😂😂😂
😂😂
Kumekuchaaaa
Pemba moja ioo swapingi
chezea nyumba ndogo, bora apigwe 😂🤣😃😄😆
kazi njema sana 🎉🎉
fisadi weye😂😂😂😂
Naomba haki 🔥
Well doun wenzetu wapemba
Mbavu zangu ilaa mau ni mtuu ❤❤❤ maan si kwa ushaur uwo jamaniii wajuwaa kwamba wanawake ukimwambiya mke 2 ni kosaaa😅😅😅😅😅😅😅😅
**Ela mumewe kankiona kile kidera, umetisha sana hongera**
Kwann w'ke mnaumia sana tukiwaolea mke wa pili, cc tunaoa kwa mashaka yenu, ata kama mtu hataki aoe bc kwa vitimbi vyenu mtu anaoa tu, emu msiwe na mashaka muone kama tutaoa mke wa pili maisha haya
Tunkwenda ude kwa ude..🎉🎉🎉
Mie wa 7
Fisadi wamotoni 😂😂😂😂😂 Kumbe yupo
Hahahaha 😂😂😂🤣 mau wahera watafutwa ukauze ufuta
Kwani NAOMBA NA MAU KIUHALISIA NINDUGU? MANA WAMFANANA MIMACHO😂😂
Mchezo uko vzr
Njooni pemba ,pemba kutam
Naomba punguza uongo khaa🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 et bichwa nalifanya mto
Kombo kichwa aonewa...et nzinga ule kutafta kuja kukutipukia😢😢
😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri sana
Wa kwanza 😊😊
Hao wahusika wapya wanatakiwa wanolewe Hadi waive maana naona wasani niwachache sana
😂😂😂mau
👍
Naomba nzuri
Ma Shaa allaha
Ama nshapitwaa
Izo nguo mbadilishe au ndo matirio
😊😊😊😊😊😊😊
Nzinga ule kujakutafuta kukurupukia
An darahamani wapemba saluti
mm napenda location tu
Ilike this voice😂
Hhhhhhhhh dongo ajapigana vita vya majimaji
Nina nyumba 3 dar es salaam pia Nina gari 5 Nina biashara natoa cm Dubai naleta Tanzania na Kenya namtaka shuuu nimuoee
Gia tu hizo hhhhhh
@@ashakhamis9093 kwer sio uongo
Kwaza Pemba yetu hupewi mke kwa sifa ya mali utapata kwa dini na madili
@@OmanOman-ky2oo dini ninayo sihaba
Tumemiss kitatange
😂😂😂😂😂😂😂😂daa hatari
Dongo and wife 😂😂😂😂😂😂😂 wife iko na job ya umbea😅😅😅😅😅😅
Et kombo kichwa ni mumee au wataka kuripukiwa
Mashallah
Hahhahaha
Mbona hatuoni viatu vipya bwana mau unakwama wp yakhee
😂😂🤣🤣🤣🤣😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂🎉🎉🎉
Hahahaaa
fisadi weye😂😂😂😂
👍
😂😂😂😂😂