🔴# LIVE:RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HAJI SEHEMU YA 2 - JAN 17 / 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024
  • 🔴# LIVE:RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HAJI SEHEMU YA 2 - JAN 17 / 2024
    #efmtanzania #jioniyaleo #live #ripotiyaleo
    - / @efmtanzania
    Muziki Unaongea 🎶
    -
    Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
    -
    Follow Us On:
    INSTAGRAM:
    efmtanzania
    TWITTER:
    efmtanzania
    FACEBOOK:
    efmtanzania

ความคิดเห็น • 65

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 8 หลายเดือนก่อน +6

    Eeh Mungu utujarie maisha marefu tuwalee watoto wetu😢

  • @GetrudaLusoko-e1j
    @GetrudaLusoko-e1j 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu ampe adhabu Kali uyo mama

  • @gracesuguta
    @gracesuguta 8 หลายเดือนก่อน +3

    Eee Mungu uwalinde watoto wanaolelewa na mama wa kambo

  • @lucymwinuka3541
    @lucymwinuka3541 8 หลายเดือนก่อน +1

    tuko pamoja

  • @mwasitijumaarafa9805
    @mwasitijumaarafa9805 8 หลายเดือนก่อน +5

    Hebu wanaume ambao wana watoto wanaishi na mamawakambo hebu muwe muna wachuguza

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 8 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo mama ana roho chafu sana tuned 🇰🇪 🇰🇪

  • @عايشةتنزانيا
    @عايشةتنزانيا 8 หลายเดือนก่อน +4

    Haya Maisha ya kuishi na Mama wa kambo omba Mungu yasikupate uyasikie tu kwa mwenzio 😢😢

  • @NyasatuKasoga
    @NyasatuKasoga 8 หลายเดือนก่อน

    Aisee! Hajj an moyo jmn me yangenishind

  • @HalimaOmary-e5f
    @HalimaOmary-e5f 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mung ampumzish baba angu wa kambo alikuw the best Dady ever 😢

    • @regnachume2619
      @regnachume2619 8 หลายเดือนก่อน

      Hongera Sana kwa kupata baba mwema hilo kwa wababa Ni kawaida kabisa kumlea mtoto km wa kwake japo sio wate pia

  • @LehemaMatola
    @LehemaMatola 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nimwema kilawakati tunajifunza kilaiitwaye leo

  • @AshaMohamed-s5v
    @AshaMohamed-s5v 8 หลายเดือนก่อน

    Dada Vero nimekuonaaa mwaaaaaah nakupenda dadaa

  • @zaytunsuleyman-pp3yl
    @zaytunsuleyman-pp3yl 6 หลายเดือนก่อน

    Kwan hii stor haina sehem ya kwanza mbona naitafta siioat

  • @BarakaMrema-eu9gi
    @BarakaMrema-eu9gi 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi vipindi muviweke kwenye mfumo wa audio au basi kama mtaacha video muondoe sehemu za matangazo na ibaki video za kipindi pekeake

  • @GetrudaLusoko-e1j
    @GetrudaLusoko-e1j 8 วันที่ผ่านมา

    Uyo mama dah kama shetani apewe adhabu Kali sana mbinguni

  • @eunicebuseni
    @eunicebuseni 8 หลายเดือนก่อน +2

    Aisee hii simulizi najisikilizia machozi yananibubujika nawaza mwanamke unapata ujasir wa kunyanyaswa mtoto wa mtu aiseee M/Mungu niwekee nimulee mwanang

  • @eunicebuseni
    @eunicebuseni 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wa kwanza Leo ❤

  • @ChristinaAloyce-pp6vj
    @ChristinaAloyce-pp6vj 7 หลายเดือนก่อน

    Vero leo hujaweka sumlizi yatarehe 18

  • @JudithMboje
    @JudithMboje 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mama anachokifanya ni zaidi ya roho mbaya 😢

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 6 วันที่ผ่านมา

    Mwanaume kumkubali mtoto Wa mwanamke ni Rahisi sana, ila wanawake Sasa.

  • @omaryjuma-b7j
    @omaryjuma-b7j 8 หลายเดือนก่อน

    The story is so touching, haya mambo yasikie tu, omba yasikukute

    • @regnachume2619
      @regnachume2619 8 หลายเดือนก่อน

      Inonekana umeonja joto ya mams wa kambo

  • @Vanessa_Petro
    @Vanessa_Petro 8 หลายเดือนก่อน

    Mama wa kambo 😢

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 5 วันที่ผ่านมา

    Kuna wakati watoto inatakiwa tuwasikilize sana

  • @zuwenanyoso9110
    @zuwenanyoso9110 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmhhhh! Mungu tusaidie

  • @FoibeNicodemas
    @FoibeNicodemas 8 หลายเดือนก่อน +1

    mpaka nimelia machozi😢😢

    • @winniefridamaiko2775
      @winniefridamaiko2775 8 หลายเดือนก่อน

      Machozi yananitoka

    • @PricillahNinga
      @PricillahNinga 8 หลายเดือนก่อน

      Moyo unaniuma 😓​@@winniefridamaiko2775

  • @naimamalekela812
    @naimamalekela812 8 หลายเดือนก่อน

    Inaumiza sana

  • @regnachume2619
    @regnachume2619 8 หลายเดือนก่อน

    Aise mpaka majozi yamenitoka jamani eee MUNGU wangu wa mbinguni nisaidie nimlee mtoto wangu jamani sio kwa haya maumivu anayo yapitia haji pole Sana

  • @DosianaLulakuze-bv7fg
    @DosianaLulakuze-bv7fg 6 หลายเดือนก่อน

    Acha Nitaabike na watoto wangu acha nitaabike kabisa

  • @Lilian2023-pc1lr
    @Lilian2023-pc1lr 8 หลายเดือนก่อน

    Yan katika maisha yangu namchukia mtu mwenye loho mbaya ya chakula jaman 🥲

    • @MamaRoy-k6n
      @MamaRoy-k6n 8 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi

  • @zuwenanyoso9110
    @zuwenanyoso9110 8 หลายเดือนก่อน

    Mama.mdogo alishawaloga siku nyingi ndio maana hajji na baba yake walikua mazezeta tu juu ya huyo mama

  • @farajamsigwa4002
    @farajamsigwa4002 8 หลายเดือนก่อน +2

    Bora baba wa kambo wanajali sanaaaa jaman Mimi nina ushuhuda na baba angu wa kambo alikua ni baba mzuriiii sanaaaa kwetu pumzika kwa amani baba angu mzuriiii

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu baba haji angejifanya anasafiri halafu arudi kimya kimya ,angevizia ck moja, angejua ukweli

  • @kilungumsabaha3891
    @kilungumsabaha3891 8 หลายเดือนก่อน

    Eti kwishney hahahahahaaa da vero bhana🙌🙌 🇴🇲🇹🇿

  • @JacobNdauka
    @JacobNdauka 8 หลายเดือนก่อน +3

    Haya ni mambo ambayo wa mama wa kambo baadhi yao wanafanya dhambi kama hizo Ee Mungu wafinyange upya watu Hawa.

  • @PascalinaMarseli
    @PascalinaMarseli 8 หลายเดือนก่อน

    Duh hatari hiyo mungu atuweke jaman tu walee wanetu

  • @SalmaJafari-o7r
    @SalmaJafari-o7r 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo Mama ni zaidi ya shetani

  • @aishanyoha7591
    @aishanyoha7591 7 หลายเดือนก่อน

    Dada veronika nakupat vinz san nikiwa oman jamaan huy mama mbon nyoka ten nyoka mweusi pole san haji

  • @NghwaniNkwabi
    @NghwaniNkwabi 8 หลายเดือนก่อน

    Wamama wengi mpo hivyo rekebisheni Mungu atawapiga

  • @AishaSalum-l6c
    @AishaSalum-l6c 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani mbona yakwanza siipati

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mama wakambi baadhi Yao ni nyoka jamaniii😢

  • @suzanetilito8194
    @suzanetilito8194 8 หลายเดือนก่อน

    Nilimiss jana live sababu tulikuwa safarini 😢

    • @JOHNJOHN-pu7wb
      @JOHNJOHN-pu7wb 8 หลายเดือนก่อน

      Safarini wap ulienda?

  • @lightymmary22lightymmary27
    @lightymmary22lightymmary27 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli Haji mpumbavu ulishindwa kumsema huyo kwa baba yako

  • @mwasitijumaarafa9805
    @mwasitijumaarafa9805 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yani paka machozi yame nituko wanaume munaroho gumu sn

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 8 หลายเดือนก่อน

    Daah hii story ni ya uchungu sana

  • @maryumamapunda8910
    @maryumamapunda8910 8 หลายเดือนก่อน

    Wababa mjifunze kupitia maisha ya haji

  • @aminamaulid9931
    @aminamaulid9931 8 หลายเดือนก่อน

    Naskia kulia tu hapa Kwa hasira Yani 😭

  • @aminamaulid9931
    @aminamaulid9931 8 หลายเดือนก่อน

    Roho ya kishetani kbs hii

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu wana roho ngumu sana, Mimi ningeondoka hapo bora ningekuwa mtoto wa mtaani nikaomba omba, Nadhani baba angenielewa.

  • @HappynesJovenary
    @HappynesJovenary 8 หลายเดือนก่อน

    Mama wakambo wanamoyo ya paka hiv nikwanini sio kama wababa wa kambo wanamoyo mzuri

  • @vickymallessa4543
    @vickymallessa4543 8 หลายเดือนก่อน

    Wanaume mjifunze kufuatilia mambo nyumbani mwenu. Sio watoto tu hata ndugu mnaoishi nao

  • @ephuraziabweye4161
    @ephuraziabweye4161 8 หลายเดือนก่อน

    Hatukupati Da Vero kule tulikozoea

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂Eti Asira yababa kwishinery baada yakuskia sauti nzuriii yamamdogo😢

  • @fora2009
    @fora2009 8 หลายเดือนก่อน

    Hii dunia kuna watu sio wa kawaida

  • @GroliaLymo
    @GroliaLymo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wa pili 😂😂😂

  • @johnbenben
    @johnbenben 8 หลายเดือนก่อน

    Wanaume mliooa wanawake wengine amba wanakaa na watoto zenu embukueni nakini achen ujinga

  • @doricehungu5817
    @doricehungu5817 8 หลายเดือนก่อน

    Hii speed ya simulizi ya simulizi naickia mm tuu au??

  • @JOHNJOHN-pu7wb
    @JOHNJOHN-pu7wb 8 หลายเดือนก่อน

    Uyo mama kabila gani???? 😅

  • @HaniffaOmary-v5r
    @HaniffaOmary-v5r 8 หลายเดือนก่อน

    Yani sisi wanawake tunakuwaga kama tumelogwa unamchukia mtoto bila sababu haununui unga haumlipii ada lakini unaweka chuki

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 8 หลายเดือนก่อน

    Wakina mama wa hivi wasichojua ni kuwa wanajipalia makaa juu ya vichwa vyao.
    Hapo anachofanya huyo mama kwa matendo yake hayo ni kumpa kibali na kupalilia mibaraka ya Haji. Na kwa kufanya hivyo anawaweka wanae pabaya kwa siku za mbeleni alichotakiwa kufanya ni kupalilia mibaraka ya wanawe kwa kulipa fadhila ya kumlea vzr kijana wa huyo mwanaume aliyemsitiri yeye na wanake.
    Na kwa hilo litamcost mbeleni coz watu wa namna hii huwa hawafi mpaka washuhudie yale waliyoyapanda kwa wengine.
    Wababa huwa mnawakosea sana watoto wenu kwa kitochunguza vitu vidogovidogo vinavyoendelea majumbani mwenu. Matokeo yake mnafarakana na damu zenu na kuneemesha damu za kinamwafulani.