Mahusiyano unanini lakiniiii mbona unapenda unatuvurugia malengo yetuuu😭😭😭😭kira siku tuliye kisa wewe ebu jerekebishee basi au unataka tuishi bila mahusiyanooo😢
@@janethkomba4485 ohoo my godbless shoga nilikuwa naumwa my dear lkn story kama kawaida kosoro sijatomenti tu na sasa hivi ndo nasikiliza jema na sauti ipo
Watu wengine wanakujaga kwetu kama malaika lakini panapobidi kuchukua tahadhari ndio huwa inakuwa mtihani kutokana na kutokujua ukweli ni upi unakuja kukumbuka shuka kumeshakucha
James episode ya kwanza tu tayari majanga Ila kina James🙌🙌🙌🙌
Hii issue nasikia ipo kweli...imewapata watu sana Kuna wanawake Wana mikosi kishenzi
@@khorima Ila kingine kuna ushauri tulipewa tujaribu kuuchunguza maana kama angemsikiliza Yule mzee huenda asingefika huku yy akaishia kumpa 30
Hii ipo jmn😢😢😢 MUNGU atupe macho ya rohoni
Bas katika kusoma comment nion Kila Mt analalamika sauti nilitaka nigaili aiiii sauti ipo jmn😂😂😂😂😂😂😂 da Vero thanks ❤️
Nikweli hata mimi mda niliofungua haikusikika sauti
Nikaiwacha saivi nomeirudia tena ndo sauti imepatikana
Naitwa Joyce dodoma kiukwel Veronika saut nitsm mnooo!!!
Kazi iendeleee 👏
Ulipoharibu ni hapo kwenda kwa mganga. Sehemu zingine ni kawaida tu.
Mhhhh jmn dada vero unatusahau mno wa youtube jmn 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Katukomesha nimeitafuta saana hii
Big up wajina wangu♥️
Mungu akubariki sana dada yangu ❤❤
Duu kweli hii inaonekana simchezo tuendelee na sitoriiii
ayo maneno tungekuwa tuko siriasi kuyaftilia mapema tusingekuwa na ayo yanayotutafuna sisi wanaume ndio Yakina onesimo
Wewe ni mtu muhimu sana
Sant da vero
Asante
Kuna wanawake wengi sana wamebeba nuksi ama laana za ukoo wao ambao hawastahili kuolewa. Si kila mwanamke ni wa kuoa this is true kabisa!
Nzuri
Mbn saiv uweki mtandaoni
Dada Veronika napenda kusikiliza Mikasa yako na Kuna kitu najifunza Sana mungu akubaliki
😊1a+
Dada veronika nakupenda dada angu naomba simulizi uwe unalusha muda ule ule na sauti iwe kubwa jana sijalala nakusubiria
Yaaani mm naonaga bora zifike hata tatu an nikianza kusikiliza kila siku moja an nasikia km sijui nn maana da veroo huwa anaishia patam
Haina sauti jaman dada vero😢😢
Mmmmmmmh kumekuchaaa
Tuned 🇰🇪
Sauti
Ipo mbona
James am here for you let begin
Mahusiyano unanini lakiniiii mbona unapenda unatuvurugia malengo yetuuu😭😭😭😭kira siku tuliye kisa wewe ebu jerekebishee basi au unataka tuishi bila mahusiyanooo😢
😂😂😂😂
Ngumu kumeza
Mbona mimi nasikia
HASANTEE nasi twakependa pia
Akuna sautoli at kidogo.kimya kabisaaaa.
Ipo labda cm yako ina tatizo
Jana nilisubiri mpka nikasahau
Now men time ❤ welcome ❤
Mm naitwa mama hamza nipo mkoa pwani dada Veronika simulizi hizi zinatufunza na zinatutia moyo Sana
Sauti😢
Sauti ipo inasikika vizuri mbona ? Na simulizi itakuwa nzuri sana. Ila usirudie rudie huwa inachosha nyoosha twende
Inasikika vyema kabisa
Najifunza mengi kupitia simulizi zako dada Veronica
Maana j3 ya jana niliisubiri hadi nikachoka nikalala
Dada yangu kipenzi tafadhali naomba ulekebishe sauti aina hata kidogo
Alafu wewe simulizi iliyopita ujauzuria 🎤njo ujibu ulikuwa wapi mahan Veronica frank mpaka alinipigiy cm kuniuliza nikashindwa kumjibu🧘
@@janethkomba4485 ohoo my godbless shoga nilikuwa naumwa my dear lkn story kama kawaida kosoro sijatomenti tu na sasa hivi ndo nasikiliza jema na sauti ipo
@@billaaljabri9205Daaa🙆polee sanaaa🗣️kuumwa tunaskia ni ibada🙏
@@janethkomba4485 kabisa lkn alhamdulillah namshukuru Mungu niko sana
Oh kwa wote mi nilifikiri sim yangu imepatwa tatizo
❤❤❤
Ngoja niende uturuki nikachonge shape
😂😂😂etiee
Mc safari
Watu wengine wanakujaga kwetu kama malaika lakini panapobidi kuchukua tahadhari ndio huwa inakuwa mtihani kutokana na kutokujua ukweli ni upi unakuja kukumbuka shuka kumeshakucha
Mbona radio haiko hewani
Ngumu kumeza iyo😅
Dada veronica yani Sauti yako tu inaniachaga hoi acha naitwa bahati samweli kutoka buguluni
🇿🇼🇿🇼🇿🇼
kweli utu uzima ni dawa
Kama kawaida mapenzi kurun dunia
Tuendeelee na mdud mbay jamni sisiwanawake ninamikosi kumbe jamni
Pagumu
Mzee bwana eti walete wote hapa 😂😂😂😂
Asante kwa simulizi
Kwani hii ndo badala ya kuisha ile ya mke wa boss mtamu?
Ndio
Yes
Ndio
Haina sauti jaman dada vero😢😢
@@Shareandheal❤
Veronika tanga atukupati jaman tunateseka