NILIKUA NA DIDA ICU/SALMA DACOTA AELEZA MWANZZO MWISHO MPAKA DIDA ANAFARIKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 122

  • @ShaniBihoiki-lx9jl
    @ShaniBihoiki-lx9jl 3 หลายเดือนก่อน +9

    Naumia san 😢😢 Allah ampe kauli sabti 🥺 insha Allah ❤️ Allahum Amin 🤲 amin 🤲😢😢

  • @AminaKissawaga
    @AminaKissawaga 3 หลายเดือนก่อน +23

    Mwenyezi Mungu ampe kauli thabiti Dida sisi watu wakupita 😭😭

  • @mauaebby2257
    @mauaebby2257 3 หลายเดือนก่อน +7

    Innalillah linah wainna linah rajiun 💔😭ALLAH ampe kauli thabit na ampe KITABU chake kwa mkono wa kulia 🤲 KIFO NI FUMBO

  • @vikimartin9441
    @vikimartin9441 3 หลายเดือนก่อน +18

    Dida ana roho nzuri Toka tunasoma nae makongo sec kipindi Cha kipingu

  • @sophiamtego7887
    @sophiamtego7887 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit dada Dida

  • @HalimaHaji-b8z
    @HalimaHaji-b8z 3 หลายเดือนก่อน +4

    pole dada mungu akupe subra inshaallh

  • @RebecaAdrian-f8n
    @RebecaAdrian-f8n 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman nampend san dida ❤❤❤❤lakin ndo mungu kampenda zaidi

  • @SabraMadenge
    @SabraMadenge 3 หลายเดือนก่อน +2

    Polee da salma maneno yako ni ya kweli mpz

  • @mwanamisakulembwa1147
    @mwanamisakulembwa1147 3 หลายเดือนก่อน +2

    Inalillahi wainaillahi rajiun..kz ya mola haina makosa ..mungu kampenda zaidi😭😭😭

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 3 หลายเดือนก่อน +33

    Kifo ni ndoto ambayo kila binadam ataikamilisha😢Pole sana Salma Allah atupe mwisho mwema inshallah 🤲

  • @JayMongelah
    @JayMongelah 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu amempenda zaidi

  • @HalfanMahmood
    @HalfanMahmood 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyzi mungu ampe kauli thabiti

  • @EdithaJonas-k7v
    @EdithaJonas-k7v 3 หลายเดือนก่อน

    Hamna mim na hyoo didah hatujawahi kuonana rakin nimeumiaaa sanaaa💔💔

  • @vinanimwinyi3163
    @vinanimwinyi3163 3 หลายเดือนก่อน +6

    Innalillah wainna ilayhi rajiun Allah amjalie kauli thabit Ya Rabbi

  • @Allyganiii-j1z
    @Allyganiii-j1z 3 หลายเดือนก่อน +2

    mungu amlaze mahala pema peponi😭😭😭😭

  • @AsiaIssa-t8y
    @AsiaIssa-t8y 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezimung amhifadh mahala pema

  • @FatmaAhmad-s6f
    @FatmaAhmad-s6f 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mwenyez ampunguzie na khadhab ya kabur na ampe kauli thabit

  • @HawaJuma-s3q
    @HawaJuma-s3q 3 หลายเดือนก่อน +4

    Innalillah wainailalah rajiun Allah ampe kauri thabit kitabu chake ampe kwa mkono wa kulia

  • @Anamika-w1h
    @Anamika-w1h 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ailaze rohonyake mahali pema peponi

  • @FaridaMfinanga
    @FaridaMfinanga 3 หลายเดือนก่อน +2

    Inna Lillah Wainna Ilayh Rajiuun
    Allah amjalie kauli thabit

  • @RukiaMashaka
    @RukiaMashaka 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kifo ni ahadi Kila nafsi itaonja umauti. Mungu ampe kauli thabiti 😭😭 na atupe mwisho mwema kwani hakuna atakaye bakii

    • @sabihasalim942
      @sabihasalim942 3 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Ameen 🇬🇧😭

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada ni rafik ake sana dida na hata dida alkuwa anapenda sana kumpaisha na pole sana

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน +3

    ingawa anasema Dida ameacha funzo kwenye upendo na kujaliana, hili litaenda baada ya wiki kupita mambo ni yale2. Hi kitu sio maneno inanguvu yake

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu🙏wewe ni mkui💔😭

  • @Didaahsaid005
    @Didaahsaid005 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ampunguzie adhabu ya kabri

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 3 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢 Inalilaahi wainalilah rajighun pole jaman

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 3 หลายเดือนก่อน +12

    Umlee mtoto wake kama wako

  • @edmondraymond52
    @edmondraymond52 3 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU AMLAZE PEMA AMEEN

  • @Swamyhassan_sy
    @Swamyhassan_sy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Innalillah wainaillah rajiun Allah ampe makaz mema peponi 😭😭😭

  • @AkilinyoMussanyo
    @AkilinyoMussanyo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tujiandae nahiii safali hakuna atakae bakia kwenye hii dunia

  • @KIBONGEMAYELEe
    @KIBONGEMAYELEe 3 หลายเดือนก่อน +2

    innalilah wainnalilahrajn allah ampe mapumziko

  • @زينهاا-ش4د
    @زينهاا-ش4د 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allah ampe Kauli thabit😢

  • @dermaboy-c5g
    @dermaboy-c5g 3 หลายเดือนก่อน +1

    R.I.P dada khadija shahibu may ur soul rest in peace amen🙏🏾🙏🏾

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 3 หลายเดือนก่อน +34

    Tuishi nawatu vizur jamna ona dida alivyo na watu na anaongelewa kwa mazur maana ake alikua mtu watu,,mtu mwema Allah akupe kauli thabit polen ndug na marafiki na sisi pia hakika kifo n mawaidha😢😢😢

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 3 หลายเดือนก่อน +2

      Haswa akuna haja ya kujikweza wla kujifanya bora zaidi ya watu wngine😢😢😢😢

    • @Aiisha901
      @Aiisha901 3 หลายเดือนก่อน +2

      ni kweli kabisa maneno unayo sema ni sahihi kabisa ata na mimi naona sana kwa marehemu mume wangu Allah amrehemu alikuwa akisema ishi na watu ata ukiwa hupo tena watu wakuongelee vizuri na ata familia yako atalindwa watoto wako

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hata wew ukifa leo utasemwa na mazuri

    • @HasssanMdula
      @HasssanMdula 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wew unafkili ukifa utaongelewq vby

    • @MellanierChristian-wn9mw
      @MellanierChristian-wn9mw 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kila msiba marehemu hua nimtu mwema aliekua akiish vizur na watu mpole hana tatizo na mtu hata wew ukifa leo watasema ivo ivo

  • @HalimaHashim-lc4iv
    @HalimaHashim-lc4iv 3 หลายเดือนก่อน +3

    inalilah waina ilaha rajiun hakika ss sote tutalejea kwake

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 3 หลายเดือนก่อน +2

    Poleni sana

  • @TonyMasterog
    @TonyMasterog 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole dada😢😢😢

  • @omanmct135
    @omanmct135 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana dada

  • @ShaniaKing-o5d
    @ShaniaKing-o5d 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asilimia kubwa majina ya hadija hua wanaroho nzuri

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 หลายเดือนก่อน +4

    Innalillah wa innaillah rajiun.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @ShabaniAlly-tm6bn
    @ShabaniAlly-tm6bn 3 หลายเดือนก่อน +8

    Tumrudie mola na tuishi vyema na wazazi wetu

  • @fatumakidoa4006
    @fatumakidoa4006 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kifo ni fumbo hakuna anayelifumbua

  • @MADAMMACKTV
    @MADAMMACKTV 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allah ampe kaulii thabit amiin

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 3 หลายเดือนก่อน +2

    Innalillah wainnailayhi rajioun 😢

  • @hudhaimarajab9103
    @hudhaimarajab9103 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ibada muhim jmni kifo kipo tusijisahau

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 3 หลายเดือนก่อน +2

    She was your best friend she is no longer your friend jaman Poleni sana

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 3 หลายเดือนก่อน +2

    R.i.p 😭😭😭😭

  • @MellisaKibanike
    @MellisaKibanike 3 หลายเดือนก่อน +1

    Duh mungu nisaidie nipite kwenye njia zako baba na pia nijalie niishi na watu vizur mungu wangu nakuomba umpe faraja mtoto wake na ndugu zake amiin😢😢

  • @LovelyDeer-en8hb
    @LovelyDeer-en8hb 3 หลายเดือนก่อน +11

    Alikuwa anaumwa nin jamnaii😢😢😢 inasikitisha mungu atupe mwisho mwema ishaallah

    • @D_shee
      @D_shee 3 หลายเดือนก่อน +1

      acha umaraya wako maswali ya kisenge msibani

    • @mamume710
      @mamume710 3 หลายเดือนก่อน

      We akili huna sasa matusi mazito yann km unajua kuna msiba si ungemueleza kistaarab ​@@D_shee

    • @taslimanyange2850
      @taslimanyange2850 3 หลายเดือนก่อน +1

      Vidonda vya tumbo

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Poleni kwa kweri wafiwa wote imetugusa sana

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 3 หลายเดือนก่อน +1

    From 🇧🇮 inalillah wa inalillah rajiun

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana ndugu Allah awape uvumilivu hii ni hatua ya wote, Allah amlaze mahali pema pepon, inauma tumuachie Allah ameen

    • @Salha-k6d
      @Salha-k6d 3 หลายเดือนก่อน

      "_, 😊D

  • @BeatriceKaaya-x9o
    @BeatriceKaaya-x9o 3 หลายเดือนก่อน +4

    Simfaham live dida ila nlikua nampenda napenda kumfatilia 😢

  • @mamuuthei-tx2et
    @mamuuthei-tx2et 3 หลายเดือนก่อน

    Innah lillah wainah illahi urajuin

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 3 หลายเดือนก่อน +1

    Rest in peace Dida sorry family 😭😭😭

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 3 หลายเดือนก่อน

    Dida hakua na hofu yamungu na mungu hatomsamehe

    • @SamiraMakame-w9c
      @SamiraMakame-w9c 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe unajua kilicho moyoni kwake ? Mbona unahukumu n kuhukumu ni kazi ya mungu omba usamehewe kwani wewe umekamilika au in uhakik wewe utasamehewa?

    • @christinashaban7262
      @christinashaban7262 2 หลายเดือนก่อน

      Kama chili vilemxiuu

  • @omanmct135
    @omanmct135 3 หลายเดือนก่อน +2

    Aaalllah mpepepo yarab

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 3 หลายเดือนก่อน

    Pole mamii Salma Dakota R I P dida

  • @SuleimanMohamed-j8v
    @SuleimanMohamed-j8v 3 หลายเดือนก่อน +2

    Inna lilahi wainna ilahi rajiun

  • @neemapaschal1372
    @neemapaschal1372 3 หลายเดือนก่อน +1

    Inalilah wainalilah rajiun

  • @BRAINMASTERTANZANIA-qs6ky
    @BRAINMASTERTANZANIA-qs6ky 3 หลายเดือนก่อน +2

    OUT OF MARKER UP

  • @D_shee
    @D_shee 3 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Polen sana

  • @antonykamau7711
    @antonykamau7711 3 หลายเดือนก่อน

    Katollewa kitowee

  • @NilhamHamisi
    @NilhamHamisi 3 หลายเดือนก่อน

    Mbele yake nyuma yetu kifo nifumbo😭😭

  • @rukiasaleh8208
    @rukiasaleh8208 3 หลายเดือนก่อน

    Inna lillahi wainailehy rajiun

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 3 หลายเดือนก่อน

    💔😭

  • @ColethaExuper-c9f
    @ColethaExuper-c9f 3 หลายเดือนก่อน +3

    R I P ....Alikua anaumwa nn jamani

  • @AishaSuleimani-k5o
    @AishaSuleimani-k5o 3 หลายเดือนก่อน

    Tuambiane tu ukweli ukifa kama ujafnya mema ujaswali ujajistri mtoto wa kislamu mafundisho ya mtume umeqcha hata waje mashekhe wakusomee usku kucha wewe wa motoni tu

    • @maryamabdallah7470
      @maryamabdallah7470 3 หลายเดือนก่อน +2

      Marehemu hasemewi ubaya wala mapungufu my dear sister in islam.Hata awe na makosa gani.Yeye amesharejea kwa mola wake,Tuombe mwisho mwema mimi na wewe tulobakia❤

    • @SamiraMakame-w9c
      @SamiraMakame-w9c 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu ndie hakiku weee ulijua akiwa humuoni akiwa na mungu wake nfanyaje?

  • @jumamnambangule1957
    @jumamnambangule1957 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna sehem sisi binadamu kwenye hii dunia tunajisahau sana..!!

    • @silverman6930
      @silverman6930 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe kumbuka

    • @ngashsam7586
      @ngashsam7586 3 หลายเดือนก่อน

      Yeye anajikumbukaa😢

    • @FloraAndrew-s5q
      @FloraAndrew-s5q 3 หลายเดือนก่อน

      @@silverman6930😃😃jaman watu mnamajibu 🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @AishaSuleimani-k5o
    @AishaSuleimani-k5o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sijui kwaninj mtu ukifa ndo unapewa sifa nzuri lakni ukiwa hai wala

    • @EstaDaffi-wg5cr
      @EstaDaffi-wg5cr 3 หลายเดือนก่อน

      Ssasa ukiwa hai we unajuaje kama hawamsifiii au kuna sehemu maalumu ya kwenda kuwa sifia
      Watu walio hai ukaona hawakwenda

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@EstaDaffi-wg5cr😊😊😊 jibu lako Esther limenichekesha

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@EstaDaffi-wg5cr😂😂😂😂😂

    • @EstaDaffi-wg5cr
      @EstaDaffi-wg5cr 3 หลายเดือนก่อน

      @@Catherine-mh8sw ety jaman

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน +1

    Khofu ya mungu mtu alikuwa anakaa uchi khofu ipi hiyo tena😢😢😢

    • @WitnessMaganga
      @WitnessMaganga 3 หลายเดือนก่อน +6

      Wew sio mungu au unayofanya yote upo perfect acha kujifny hakimu wa haki

    • @joycendanundanu9218
      @joycendanundanu9218 3 หลายเดือนก่อน +6

      Unamuita mwenzako mkaa uchi wakati hujui kati yake.na Mola wake, jee unajuaje kama dakika za mwisho katubu kwa Mola wake?😢😢au wewe ndy bora kuliko wengine?acha kuhukumu kabla hujahukumiwa.

    • @ngashsam7586
      @ngashsam7586 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mmh siku Yako na wew itafika mwaume punguza mdomoo khaa hujui hatma Yako

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kilaa mtu anadhambi zake , achaa kuhukumu wakati wew unayakooo sirini pyeeeeeeeee🤮

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      @@ngashsam7586 ndo shida ya dadazetu kuambiwa ukweli hamtaki mtoto wa kiislamu kukaa uchi ni makosa kwa Allah issue kama na ww ni wahivyo dadangu nakushauri mrudie mungu wako leo huyu kesho mimi na ww sasa hata ukimtetea wakati watu wanaposti picha za uchi ni hakuna siri hapo

  • @khadijamasoudmikidady1726
    @khadijamasoudmikidady1726 3 หลายเดือนก่อน +5

    😢😢𝑚𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑎𝑚𝑝𝑢𝑛𝑔𝑢𝑧𝑖𝑒 𝑔𝑎𝑧𝑎𝑏𝑢 𝑧𝑎 𝑘𝑎𝑏𝑢𝑟𝑖

  • @SalomeShadrack
    @SalomeShadrack 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni Sana

  • @ShabaniAlly-tm6bn
    @ShabaniAlly-tm6bn 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tumrudie mola na tuishi vyema na wazazi wetu

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 3 หลายเดือนก่อน

    Inna lilah waina ilayhi rajiun

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana