🔴# LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HAJJ SEHEMU YA 4 - JAN 19/ 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024
  • 🔴# LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HAJJ SEHEMU YA 4 - JAN 19/ 2024
    #efmtanzania #jioniyaleo #simulizizamaisha #live
    - / @efmtanzania84
    Muziki Unaongea 🎶
    -
    Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
    -
    Follow Us On:
    INSTAGRAM:
    efmtanzania
    TWITTER:
    efmtanzania
    FACEBOOK:
    efmtanzania

ความคิดเห็น • 51

  • @nancygitonga3282
    @nancygitonga3282 8 หลายเดือนก่อน +4

    Veronica thank for the good wotk. There is so much interruption dear, au ni network!

  • @Asiamohamedy-p6c
    @Asiamohamedy-p6c 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ASIA Nakupenda sana da Veronica nakusikiliza nipo uturuki

  • @abdulsalim1069
    @abdulsalim1069 8 หลายเดือนก่อน +2

    Eeeh ya yarrab "ALLAH" tujalie mwixho mwema inshallah 🙏🙏

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 8 หลายเดือนก่อน +3

    Bila Shaka hyu mama atakua mbulu wambulu wanaroho mbaya Sana jaman daah

  • @aishajuma6054
    @aishajuma6054 8 หลายเดือนก่อน +5

    Sisi tumeishi hyo live mpk kumwambia baba achague yeye au mimi kwa vile baba alitekwa mm nilifukuzwa

  • @GraceKibelenge
    @GraceKibelenge 8 หลายเดือนก่อน +2

    Leo wa kwanza da velo nakupenda sana mungu akulinde siku zote

  • @rahimaali8519
    @rahimaali8519 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ooh da vero imeniumiza sana maisha ya haji yamenigusa sana nafatilia ripoti ya leo nikiwa dubai

  • @RetisiaThomas
    @RetisiaThomas 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupata vizur sana da Vero nikiwa Oman nakupenda bure my dear

  • @SatwantHoogan-yu6oh
    @SatwantHoogan-yu6oh 8 หลายเดือนก่อน +2

    Looh! Uyo mama itakuwa chakula amekiweka sumu!😢hatari kweli kweli..

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 8 หลายเดือนก่อน +3

    Aminini wambulu wanaroho mbaya Sana Kama shetan

  • @AshaNchia
    @AshaNchia 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maisha niliopitia mama wa kambo nimeishi kwa kula Usiku tuu natoka shule unanuta vyombo na unaosha na unakuta wamekula, lakini wewe hukuti chakula toka la saba mpaka 4m 4 na ukuenda shule upewi hata mia maisha haya

  • @abdulsalim1069
    @abdulsalim1069 8 หลายเดือนก่อน +1

    "MOYO" wangu unaugua xana na hii simulizi ya haji "MOYO" unaniuma xan yaaan mmmh hatar xana

  • @neemahando6183
    @neemahando6183 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa Neema hando , nasikiliza kupitia youtube kutoka usa asante da vero but matangazo ni mengi sana.

  • @veronicamandepo245
    @veronicamandepo245 8 หลายเดือนก่อน

    Wajina ubarikiwe inasisimuq. Mbona sio part 5?

  • @JacklineNamahala-r4y
    @JacklineNamahala-r4y 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu haji angekuwa wa kike angekoma asa mambo ya ped ingekuwaje mmhh ila wanawake sisi 😢

  • @khorima
    @khorima 8 หลายเดือนก่อน +1

    Duh kweli jasiri haachi asili aisee huyu mama kumbe mshenzi eti eeh??

  • @dauditheking1312
    @dauditheking1312 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna wanawake wanaroho Mbaya sana...

  • @MechtildaNshange-ye8zy
    @MechtildaNshange-ye8zy 8 หลายเดือนก่อน

    Vero efm mwanza haisikiki kulikoni91.3???

  • @regnachume2619
    @regnachume2619 8 หลายเดือนก่อน +2

    Aise hapana jamani huyu mama sio kabisa aise mpaka majozi yamenitoka kwa uchungu na wa mama tusiwaachie watu watutesee watoto wetu kiasi hicho jamani

  • @jumakingambe4323
    @jumakingambe4323 8 หลายเดือนก่อน

    MWENYE NO YA KUWASILISHA MIKASA ANITUMIE TAFADHALI

  • @rosekileo9389
    @rosekileo9389 8 หลายเดือนก่อน

    Mtu mwenye roo mbaya anaroo mbaya tu hajabadilika jamni

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 8 หลายเดือนก่อน

    HASANTEE. Mimi ni Mpenzi msikilizaji na mfuatiliaji mzuri sana kutoka Pakistan

  • @zuhura-xl6qd
    @zuhura-xl6qd 8 หลายเดือนก่อน

    Subbhannallah huyo mama mdogo ni nyoka mwenye sumu kali yupo kama panya anauma huku anapuliza
    Mm nipo oman muscat

  • @عايشةتنزانيا
    @عايشةتنزانيا 8 หลายเดือนก่อน

    Ila huyu mama amshukuru Mungu sana kapata kijana mpole ,mtaratib,mwenye hekma anamfanyia yote hayo yupo kwao tena na anamuacha tu pasipo kumshughulikia au kumtia adabu, angepata kijana mwenye akili anaye zijua mwenyew mbona angetiw adabu vizur tu, ila pole sana Haji

  • @FatmaAlly-w7p
    @FatmaAlly-w7p หลายเดือนก่อน

    Yaan mtt mkubwa half anafanya kazi vizur lkn bd humtaki kwa roho mbaya anataka watt wake tu ndio walelewe vizur

  • @vumi8371
    @vumi8371 8 หลายเดือนก่อน

    Eeeeh huyu mama kiboko mbona ana rohoo mbaya hivi 😏😏🥺

  • @NghwaniNkwabi
    @NghwaniNkwabi 8 หลายเดือนก่อน

    Milcah ,Nakusikiliza nikiwa Madale Atlas

  • @fora2009
    @fora2009 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama ni shetani sana from Belgium

    • @ishaumar99
      @ishaumar99 2 หลายเดือนก่อน

      @@fora2009 hello sorry Naweza pata contact yako pls au social media yeyote? I would like to ask something kuhusu Belgium pls

  • @AntiapaschalKalori
    @AntiapaschalKalori 8 หลายเดือนก่อน

    Davero huku mwanza atuwapati vizuri kupitia redio masafa ni yapi

  • @tungozarosedory2260
    @tungozarosedory2260 8 หลายเดือนก่อน

    Daaah huyo mama jamani shikamoo

  • @AntiapaschalKalori
    @AntiapaschalKalori 8 หลายเดือนก่อน

    Mwanza hatukupata masafa niyapi

  • @naimamalekela812
    @naimamalekela812 8 หลายเดือนก่อน

    Mama hana shukran huyu anataka nini jamn khaaa

  • @YacntaJohn-i7c
    @YacntaJohn-i7c 8 หลายเดือนก่อน

    Bonge akija mda kwishney

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 8 หลายเดือนก่อน

    Hanasifayakuitwa mama

  • @ufudhcjxc1359
    @ufudhcjxc1359 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupata nikiwa lraq da veronica ❤nasikiliza vizuri

  • @vumiliarichard9347
    @vumiliarichard9347 8 หลายเดือนก่อน

    Dodoma ata hausikiki da vero toka Christmas 😭😭

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 8 หลายเดือนก่อน

    Daah hii story imenikumbusha mbali😢

  • @Nuyusal96
    @Nuyusal96 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa kwann roho mbaya yake ni kweny chakula🥺🥺 yaan chakula bc 🥺kweli, hascdi hana sababu

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yani najiuliza ivi ingekua Haji ni mtoto wa miaka 2 naona angemunyonga maana uyu mwanamke ana roho nyeusi wanawake mnao waacha watoto wenu kwa wanaume wanapitia mengi

    • @winniefridamaiko2775
      @winniefridamaiko2775 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sana angemuua huyu

    • @vumi8371
      @vumi8371 8 หลายเดือนก่อน +1

      Daaah😭😭

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 8 หลายเดือนก่อน

      @@winniefridamaiko2775 kabisaaa

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 8 หลายเดือนก่อน

      @@vumi8371 😪

    • @rosekileo9389
      @rosekileo9389 8 หลายเดือนก่อน

      Nikweli nivile Haj anajitambua tu

  • @lovenessmjaka9754
    @lovenessmjaka9754 8 หลายเดือนก่อน

    Watoto uwaleVyo ndivyo akuavyo na furahi sana kuona watoto wamebadirika

    • @PricillahNinga
      @PricillahNinga 8 หลายเดือนก่อน

      Nimefrah piah🤗

  • @AntiapaschalKalori
    @AntiapaschalKalori 8 หลายเดือนก่อน

    Mwanza hatukupata masafa niyapi