SIMULIZI MPYA - DAWA YA MSALITI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Ni maumivu yalioje kuishi na msaliti nyumba moja inahitaji uvumilivu wa hali ya juu, Ipi ni dawa ya tamaa kwa mtu mwenye tamaa ambae hajui thamani ya upendo linapokuja suala la pesa, Ipi ni dawa sahihi ya mapenzi.? Swali Hili alikuwa akijiuliza kijana Hance na hii ni baada ya usaliti aliofanyiwa na mke wake wa ndoa, je unataka kujua nini dawa ya mtu msaliti.? basi karibu kusikiliza kisa hiki cha mapenzi chenye kusisimua

ความคิดเห็น • 280

  • @ankojay_
    @ankojay_  11 หลายเดือนก่อน +14

    Part 02 Hii Hapa 👇 th-cam.com/video/WGXV3lYozFg/w-d-xo.htmlsi=DWT7TcQJMOnLsbHu

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 11 หลายเดือนก่อน +8

    Ankojay nikiboko duu yani alie olewa na anko ana enjoy mana sikwa mapesa hayo😂 unalala tz unaamkia ulaya😂❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 11 หลายเดือนก่อน +16

    Wakwanza mim leo naombeni like zenu tafadhali 🎉🎉❤❤❤❤

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 11 หลายเดือนก่อน +18

    binafsi mimi simulizi ikiwa na background ya music za kanumba huwa na enjoy zaidi 🥰🥰🥰

    • @RebeccaNduku-s5z
      @RebeccaNduku-s5z 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa dear 😅😅

    • @shamilakalinga437
      @shamilakalinga437 11 หลายเดือนก่อน

      @@RebeccaNduku-s5z yeah

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 11 หลายเดือนก่อน +5

    Simulizi hii nifuzo kubwa kabisa Ahsante AnkoJay tunainjoi sana simulizi zamafuzo🙌🙏

  • @mrsalma6299
    @mrsalma6299 11 หลายเดือนก่อน +8

    Daaah niliimiss sauti ya anko jay nyie 😂😂😂atimae Katuletea.simulizi mpya much love anko jay mihela🙏🥰

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 11 หลายเดือนก่อน +6

    shukrani anko jay na mwandishi wetu stephen zecharia kwani simulizi imekuwa nzuri hata haijachosha kuisikiliza ila mengi naendelea kujifunza hingereni nyote wahusika MUNGU azidi kuwapa mengi ili kutufikishia maana simulizi zimekuwa kama kilevi ndani ya nyumba za waarabu tulioko humo sisi ndio tuujuae utamu wake tuu

    • @RakaPk
      @RakaPk 11 หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa der

  • @CellespenceMuhavi-lf5rv
    @CellespenceMuhavi-lf5rv 11 หลายเดือนก่อน +5

    Nimejaribu Leo pia walai like zenu nipeni tafadhali 😂😂❤ mi Huwa wa mwisho

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z 11 หลายเดือนก่อน +3

    Dawa ya msaliti ni kuwachana nae kwa uzuri Anko jay simulizi mzuri sana hina mafuzo ❤❤❤❤❤❤ from Dubai but from Kenya 🇰🇪

  • @Rahmamadua
    @Rahmamadua 11 หลายเดือนก่อน +4

    Story nzuri saana❤❤❤MashaAllah mungu awabariki mzidi kutupa mambo mazuri zaidi❤

  • @salmamwagomba6529
    @salmamwagomba6529 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mm naomba2 ankojay simulizi zote mziki uwe wa kanumba yaani pambe sanaa🥰🥰🥰

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

      Watunzi sasa ni tofauti na huyu aliyetunga hii

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m 11 หลายเดือนก่อน +3

    Asantee maana mm mgonjwa wa sautiyako simuliz hata iweje kama hujasimulia naiacha kiukweli

  • @SalomeMeshackMabilika
    @SalomeMeshackMabilika 11 หลายเดือนก่อน +8

    Nyie watu mbona kila siku mnaniwah jaman,😂😂😂😂❤

    • @rizmwMwriz-mf2cu
      @rizmwMwriz-mf2cu 11 หลายเดือนก่อน +1

      Hahaha ukisema umerauka kuna wenzio wanalala kwa Anko J mapesa

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 11 หลายเดือนก่อน +3

    Heri mia Moja ya kila siku kuliko elfu ya siku moja,mimi ningempenda mumu wangu mana huyo raisi ni wa msimu na tamaa tu ndo imemjaa, siaribu ndoa yangu ya maisha kwa ajili ya tamaa ya siku moja

  • @jamilarimo5546
    @jamilarimo5546 11 หลายเดือนก่อน +29

    Nimewahii leo nipeni likes

  • @mariamguni2913
    @mariamguni2913 11 หลายเดือนก่อน +6

    Hivi mlisema mtu akitaka mwanaume kama herns anabonyeza ngapi

    • @KanadeMrangu
      @KanadeMrangu 10 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😅

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

      Bonyeza true love

  • @patriciakyalo3454
    @patriciakyalo3454 11 หลายเดือนก่อน +4

    Ankol jay 😢najua utaniona msumbufu kwako lakini nakuomba hutujulishe jini mahaba itakuwa tayari lini

  • @joyceabeli3787
    @joyceabeli3787 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahahahhah sauti za wadada wa kazi anko j kweri ndohuwa wanaongea ivo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ytyg7261
    @ytyg7261 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kwaupande wng Anko Jay
    Dawa ya msaliti kupitia iyi simulizi
    Nibora Hassin angetembe na mtoto wa raisi apo ata kuwa amewapa dawa kamili

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wamwisho Kama kawaida ❤❤❤

  • @user-qw7un1nf2f
    @user-qw7un1nf2f 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah mimi wamwisho wacha tuone iyo dawa ya msalit

  • @user-tx7yd4jo2m
    @user-tx7yd4jo2m 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dah ankojay hii simulizi inaumiza sana hivi wanawake tunataka nini kwenye hii dunia

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

      Waulize wanawake wenye tabia hiyo

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 11 หลายเดือนก่อน +8

    Flora pumbavu sana wewe 😢eti rais ..naakwende na uraisi wake ila penzi la kweli umelikosa flora ..utakuja kujuta siku za mbeleni kwa kumuacha kijana alie kupenda kwa dhati ya moyo wake..Flora umeniudhi sana wewe😢😢

    • @NascoMudy-ju1to
      @NascoMudy-ju1to 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mmmmh na sie tunae lizwa kilasiku tukae wap

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

      Haswaaa

  • @LetisiaWilliammanyama
    @LetisiaWilliammanyama 11 หลายเดือนก่อน +4

    Wa kwanza leo naomba koment zangu

  • @estherimbotsi7553
    @estherimbotsi7553 11 หลายเดือนก่อน +6

    thanks Ankojay much love ❤❤❤❤❤from Kenya 🇰🇪

    • @babygirlAkALinah
      @babygirlAkALinah 11 หลายเดือนก่อน

      Wow ❤❤ mm pia from Kenya

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน +1

    Usalit ni mbaya sana jamn,isitoshe mumewe Flora alimpenda sana

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 11 หลายเดือนก่อน +5

    Dawa ya msaliti ni kuwachana naye ili iwe na amani ya moyo

  • @janekipsang425
    @janekipsang425 11 หลายเดือนก่อน +5

    Nawachukia sana wasaliti. 😢 Haijalishi ninani

  • @AishaJuma-wd8xd
    @AishaJuma-wd8xd 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani anko j sauti nzuri

  • @gladyssamba8370
    @gladyssamba8370 11 หลายเดือนก่อน +5

    Lakini ankol hiyo sauti ya wadada wa kazi huwa nikisikiya nacheka mwenyewe 😂😂😂😂😂maana hata nisiseme

  • @rachypsalms2869
    @rachypsalms2869 11 หลายเดือนก่อน +8

    Dawa ni dawa tu.... Thank you❤ Anko Jay, just bring Lucas more often 🥰🥰🥰

  • @JuliethKiligini
    @JuliethKiligini 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amazing

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ankojay mbon mm huwa napat simulizi kuchelewa jamni😢❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @pascalinaerasto9501
    @pascalinaerasto9501 11 หลายเดือนก่อน +2

    Pia cinderella part four jamani

  • @suhailaomar307
    @suhailaomar307 11 หลายเดือนก่อน +2

    Anko umepigwa kibuti nin😅😂mana so kwakuomba mukutane ivyo

  • @RHODAHWAMBUA-k7i
    @RHODAHWAMBUA-k7i 11 หลายเดือนก่อน +2

    Simulizi motomoto 🎉🎉🎉 kudos ila ANKo c poa kusema ETI twende Kwa bff zetu bil taarifa afu unaturuka 😂

  • @gladyssamba8370
    @gladyssamba8370 11 หลายเดือนก่อน +3

    Thanks sana ankol wetu mzuri ❤❤❤wacha tusikiye hiyo dawa ya usaliti na pia sisi tusisaliti

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza like zangu wapendwa

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 11 หลายเดือนก่อน

    Dawa ni ku move on na maisha mengine amjaribu Glory ili kulipa machungu na maumivu,au asamee amuachie mungu, congratulations BWANA anko Jay kwa simulizi yenye mafunzo mungu akubariki sana i salute you 💕😘❤❤❤❤❤

  • @paulomotto3394
    @paulomotto3394 11 หลายเดือนก่อน +3

    Yani kaka umenifanya ningekuwa mlevi wa simlizi kwa kweli

  • @nuriatqueen5575
    @nuriatqueen5575 11 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks Ankojay🙏🙏😍😍🇬🇧🇬🇧

  • @anjelinandambuki-fi4ip
    @anjelinandambuki-fi4ip 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hayaa tumefika wadau

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 11 หลายเดือนก่อน +2

    Oyaaaaaaa leo nimelalia bahati ooooyaaaaa ooyoooo kuwahi nako

  • @aishasalum3372
    @aishasalum3372 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn nilimnisi san ankojay mana kupitia simulizi zak nimekuwa jasiri zaid ya san kwakweli nakupenda nimerudi ten kukufatilia mwanzo mwisho 😊❤

  • @LisaYvette-k1u
    @LisaYvette-k1u 11 หลายเดือนก่อน +1

    l been waiting Anko J to come back thank you so much Anko j l love his voice ❤️❤️❤️

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 11 หลายเดือนก่อน +2

    Dawa ya msaliti nikuachana naye simple😅
    Thanks Ankojay much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 11 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa hivi mapenzi ni biashara,mwenye dau kubwa anachukua nafasi😂😂😂😂😂😂😂😂😂inaumiza sana

    • @KanadeMrangu
      @KanadeMrangu 10 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 3 หลายเดือนก่อน

      Inaumiza sana hasa kwa huyo mwenye upendo wa kweli

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe kwakitumy lovely ❤❤❤😂😂😂😂

  • @user-ps1sj8mx7e
    @user-ps1sj8mx7e 10 หลายเดือนก่อน

    yes anko. asanteni. iyo tam

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 11 หลายเดือนก่อน

    Shukran anko J kwa simulizi nzuri sana ❤❤❤

  • @LovenessLucas-r2x
    @LovenessLucas-r2x 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda anko j jamniii❤

  • @ndihokubwayobrigitte6757
    @ndihokubwayobrigitte6757 11 หลายเดือนก่อน

    Thank God bless you ❤❤❤

  • @TimaSiri-f7s
    @TimaSiri-f7s 11 หลายเดือนก่อน

    Shukran Ankojay big love...... from Kenya .

  • @yusrambodze3804
    @yusrambodze3804 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimechelewa lkn nimefika hatima nimemic sana hio sauti anko asantr🎉🎉🎉🎉

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 11 หลายเดือนก่อน

    Wow amazing story

  • @LillianMollel
    @LillianMollel 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sanaa anko jay kwa simulizi tamutamu❤❤❤

  • @PatricalBeti
    @PatricalBeti 11 หลายเดือนก่อน

    Ahsante kwa burudani Anko Jay ubarikiwe

  • @sabinamasangwa293
    @sabinamasangwa293 11 หลายเดือนก่อน

    Ahantee sanaa anko mungu azid kukuwekaa🙏🙏🙏

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu 11 หลายเดือนก่อน

    Dhuuuuuh asante sana Anko J Kwa kigongo kipyaaa naenjoy ety👏👏

  • @bibizainab-fk4bt
    @bibizainab-fk4bt 11 หลายเดือนก่อน +1

    Siwezikumsaliti,usaliti mbaya ,pesa zinakuja nakwenda

  • @jamilarimo5546
    @jamilarimo5546 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante anko j

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wow 😊salut kwako

  • @nduguwaweruh9448
    @nduguwaweruh9448 4 หลายเดือนก่อน

    Ankojay.. sio wote, wengine nko na mapenzi ya thati tu.. ila tu, some love money but not love..

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 11 หลายเดือนก่อน

    Ahasante Kwa mwendelezo anko jey

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nivile mm sijawai kupata mwanaume wakunituza nakunijali yani ningempata kama huyo hans mm hata ajenani siwezi kusaliti ndoa yangu kwa sababu ya pesa tuu.

  • @mumbikibathi7036
    @mumbikibathi7036 หลายเดือนก่อน

    VIP Mumbi Wa Naivasha ako Ndani wapi likes

  • @PendofandekengaPendo
    @PendofandekengaPendo 11 หลายเดือนก่อน

    Dawa ya msaliti nikumuacha 😮😮😮 kwaku watu walisema mwenda pole hajikwai❤❤❤

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 7 หลายเดือนก่อน

    Bit yakanumba naipenda sana kwenye smlizi za ankoj mapesa ndo dawaa ankoo wee wa

  • @zainabjordan5659
    @zainabjordan5659 11 หลายเดือนก่อน

    Thanks 👍❤❤❤

  • @jadenchris5506
    @jadenchris5506 10 หลายเดือนก่อน +1

    Taamazina tupotocha sana sisi wanawake tuwe namsimamo basi

  • @Mziwandaa
    @Mziwandaa 11 หลายเดือนก่อน

    Wow nice 👍

  • @user-be2nx5ks2l
    @user-be2nx5ks2l 8 หลายเดือนก่อน

    Frola kumbuka wema ni akiba na dunia ni mti mkavu àcha tamaa❤😅we bwege

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn 11 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzur

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 11 หลายเดือนก่อน

    Mashalla ancojay

  • @stellahrobert5
    @stellahrobert5 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani nimechelewa

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 11 หลายเดือนก่อน

    Thanks 🙏🇴🇲

  • @user-ps1sj8mx7e
    @user-ps1sj8mx7e 10 หลายเดือนก่อน

    jambo anko jay. asante sana kwa store muzuri ya wasaliti

  • @FadhilunMohamed-je8en
    @FadhilunMohamed-je8en 11 หลายเดือนก่อน

    Ngoja tujue dawa5

  • @user-ps1sj8mx7e
    @user-ps1sj8mx7e 10 หลายเดือนก่อน

    iyo tama ya kiduniy Ile flora a life nya vibaya sana kweli anko j

  • @AyshaTanzania-b2s
    @AyshaTanzania-b2s 11 หลายเดือนก่อน

    Jamani uruma Sana du anamoyo

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 anko jay hata baskeli ya urisi huna 😂😂

  • @GoulchenMoukhtar
    @GoulchenMoukhtar 11 หลายเดือนก่อน

    Jamen jamen 🎉

  • @user-ps1sj8mx7e
    @user-ps1sj8mx7e 10 หลายเดือนก่อน

    pole kaka Hanisi

  • @LizzybethMellejacky
    @LizzybethMellejacky หลายเดือนก่อน

    Hansi inatakiwa achukue glory ili raise nae asikilizie maumivu wakati yupo na Flora nae ajipoze na glory pia raise inatakiwa ajue Hilo hapo anaweza jifunza,

  • @GraceBakari-wo8ly
    @GraceBakari-wo8ly 11 หลายเดือนก่อน

    Asante anko jay

  • @PendofandekengaPendo
    @PendofandekengaPendo 11 หลายเดือนก่อน

    Thanks ankojey❤❤❤ jameni musamaha nikwa mutu yoyote aliye kukosea😮😮 33:43

  • @MariaMa-n5b
    @MariaMa-n5b 11 หลายเดือนก่อน

    Vyuma ju ya vyuma asante sana ankojay

  • @THEDONSIMULIZI
    @THEDONSIMULIZI 11 หลายเดือนก่อน

    Ohooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥moto mwingine umewashwa thanks Anko jay

  • @user-vl1ts1eh8s
    @user-vl1ts1eh8s 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa Ema ni wanaume hatar sana tena hawatosheki na mwanamke moja yaana wangu ni msaliti hadi basi.. Na nina mchukia sana..

    • @KanadeMrangu
      @KanadeMrangu 10 หลายเดือนก่อน

      Poleeeee😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @user-it9ml8rl8h
    @user-it9ml8rl8h 11 หลายเดือนก่อน

    Flora acha tamaa hayo ni Mapambo ya Dunia na utayaacha hapa hapa mavumbi utaingia na hayo sio mapenzi mumeo alikupenda sana huwezi kumsaliti

  • @melissaivanyi
    @melissaivanyi 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani mbna uwongo hapo pasauti kwa sababu iyo sauti ndogo ndiyo yangu 😂😂😂😂😂

  • @jokhajj
    @jokhajj 11 หลายเดือนก่อน

    Wow❤

  • @user-ps1sj8mx7e
    @user-ps1sj8mx7e 10 หลายเดือนก่อน

    iyo ni mafunzo kwe tu anko asanteni

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 10 หลายเดือนก่อน

    Tumefikwa Ankojay's

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 11 หลายเดือนก่อน

    Woyooooo leo nimewahi 😂😂ama kwa hakika kunguni kwenye mkeka wameniamsha 😂😂Ahsante Anko jay kwa kigongo kipya..chukua mauwa yako 🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷⚘️⚘️⚘️⚘️⚘️⚘️⚘️⚘️🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻

  • @vailethmwakipesile6698
    @vailethmwakipesile6698 6 หลายเดือนก่อน

    Tàfadhali ank tunaomba simuliz ya x sehemu yapili mapigano tumemiss idi bhn

  • @fentafesh9790
    @fentafesh9790 10 หลายเดือนก่อน +1

    💯👏👏👏👏✨

  • @Syviahalex
    @Syviahalex 11 หลายเดือนก่อน

    Waaah heee wa 25,kunani na dawa ya msaliti, much love anko

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c 11 หลายเดือนก่อน +1

    Achiya part 2 jamani❤❤

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov 11 หลายเดือนก่อน

    Mmmh ....nimelet but twende nalo pamoja❤❤❤