Jamani friend zangu msinifikiye vibaya but mimi siamini mtu yoyote hapa duniani ila mungu pekeyake..hii simulizi imenimbusha mbali sana ankol jay thanks sana kwa simulizi nzuri sana hii ❤❤❤❤
The lesson for today:Tamaa mbaya,kuona bibi yake Jose kumuua kisa pesa, 2,mwajuma she was suppose to explain to the guy the circumstances 🙄 kama agemuambia mwajuma hagesubuka na hageagukia kwa hyo jamaa aliye muekea dawa na kumtumia🌝🌝 3,everyone need someone like Ramek alikuwa rathi kufa kisa kulinda pesa za mwajuma na ahadi aliyo muahindi baba mwajuma. 4,si kila mtu wakumuamini hasaa wanawake hubandilika kama kinyoga😊😁. 5,simulizi ilikuwa nzuri na tamu yenyee imejaa mafunzo kweli.good job Anko J.
Ila story nyingine bhna.yaan mtu anahela mpka anasubir majambaz waingie bila kupigia police apate ulinzi.ajabu lameck nae chumban anasimu anasubir mpka majambaz waondoke et ndo anataka apigie police.hii movie ya kibongo kabisa yaan
Mama Mwajuu bangi za utotoni moshi haukwisha ahaaaa
Jamaniii nimelia sana duuu tamaa mbaa.
Simulizi nzuri Na yenye mafuzo 🌹🌹🌹🌹🌹
Simulizi nzuri sana...kwel tamaa mbaya xana
Because of love 😻 Ni simulizi nzuri sana na yenye mafuzo Asante sana anko J
Anko achaaaaa kutuuwa mbavu my tumbagu my 🍅 my sabuni mamaeeeee 😅😅😅😅
Hahahah pole my Zawadi usiumie sana
Jamani friend zangu msinifikiye vibaya but mimi siamini mtu yoyote hapa duniani ila mungu pekeyake..hii simulizi imenimbusha mbali sana ankol jay thanks sana kwa simulizi nzuri sana hii ❤❤❤❤
Jamn nakupend bure anko j big up san
Eti Anko J wewe ni bikra kama Lameck 😀😃😄😁😆😅😂🤣
😂😂😂 hawezi kuwa bikra kwa hiyo sauti huhhh😮😮😮
Aiseee tamaa mbaya sana at
Nimejifunza vingi sanaa asantee auncle J umetishaa
Dhaa!! big up ancle jay.
izi njoo history bwana munapo koseyana pia kisaheyana naisha yanaendeleya
Ahahaaa anko pls acha kuimba nini lkn jaman😂😂😂😂😂
Nimecheka mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijui sauti ya ngapi hii anaimba 😂😂😂
🤣🤣🤣Apo kwa ku imba Mim hoyi tabani🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yaaaaanii umejuaje me Mpaka nikasema si Asimulie tu Sauti ya kuimba hana
@@jacklinemsafiri5948😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hukoseagi Uncle J
Simulizi nzuri zote
Weee napenda xn simulizi Zako keep up 💖💖💕💕
Kumbe Kuna kilele Cha mlima Kilimanjaro na hamsemii🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔watu wabayaa nyie😆😆😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣
Hahah njoo nikupeleke
Daaaah ximrinz nzr kwer nmejifunz kwer
Mimi leo wa kwanza 🥰🥰
Napenda na enjoy kukusikiliza anko
Imekwisha vizuri saana
ANKO JAY ARE YOU SERIOUSLY SINGING 😀😀😀😀👏👏👏. OMG THAT WAS FUNNY. WHAT A WONDERFUL STORY.
Anko Jay ana Vocal hatari lakini kulamba chumvi kunasaidia
@@ankojay8882 😃
🤣🤣🤣🤣🤣 I swear the singing took me out
Naenjoy kumsikiliza anko Jay
Waaaaau congratulation l like it be blessed all ❤🔥🔥🔥🙏
Mimi na anko jay sambamba yeye hapa mei pale sio kwa kumfatilia hivi jamani simulizi zako naskia ziko juuu kweli yani 😂 😂
umetisha uncle j uko vizur
🔥🔥🔥 🙏🏻 anko jj
Much love from Kenya🔥🔥🔥
Jamn wimboo uoo
Sauti ya ngapi hiyo🤣🤣
Napend sana story zak big up
Simulizi tamu sana
Simulizi tamu kweli
Ank j huko kuomba jamani nimecheka mpk bas
Daaah hongera
Ankojay turudishie pesa zetu ujui kuimba mmmmm haya bana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wow very nice
Jamani lameck
Hahaha 🤣🤣🤣 ktk simuliz nichek ila hii nimechek sio kwa kuimba huko AnkoJ
Anko j hii iko pw unazidi kuleta vitu vitamu
Wadada wakazi tuache kujilainish jaman mmh
Anko J kuimba huwez banh 😂😂 bor usimlie t
Wow Hadi raha.mzuri sana
Dah simulizi nzuri
Sauti ya ngapi hiyo
Mimi nakufa nasauti yako uncle J🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂anko jay singing what is that!!???????❤❤❤Love it?????
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Will???
The lesson for today:Tamaa mbaya,kuona bibi yake Jose kumuua kisa pesa,
2,mwajuma she was suppose to explain to the guy the circumstances 🙄 kama agemuambia mwajuma hagesubuka na hageagukia kwa hyo jamaa aliye muekea dawa na kumtumia🌝🌝
3,everyone need someone like Ramek alikuwa rathi kufa kisa kulinda pesa za mwajuma na ahadi aliyo muahindi baba mwajuma.
4,si kila mtu wakumuamini hasaa wanawake hubandilika kama kinyoga😊😁.
5,simulizi ilikuwa nzuri na tamu yenyee imejaa mafunzo kweli.good job Anko J.
Ankoj kwann unaimba lakin nimecheka sana😂😂😂😂😂🙌
@@khadijashana2788 hikio kipegele kilinikuta nikinywa maji lakini yalinipalia😊😊lakini sema kuimba kwake kulinifumbua macho
3h
@@malikyashekale8199✌
anko jay nakupenda kinomanoma 🥰 simulizi ni tamu
🎉🎉🎉 muimbaji wa kizazi kpy cio pw ank
🔥🔥💖💗💋👌🙏
Ahsante
Duuu hi simulizi ni atari sana
Nzuri sana ,nasikiliza kutoka Kenya 💕
Assante Sana Kwa Simuzili Zuri Sana
"unaishi na nyoka tena cobra" jamani anko J mbona sio CHATU
Daaaah hongera sana anko jay mashaallah🙏🙏🙏🙏
Sweetheart Nimekumis sanaaaaa Upo wewe
@@jacklinemsafiri5948 nipo kipenzi 🥰🥰🥰njoo usikilize simulizi ya chizi fresh kipenzi LISSA MWALLA anatoa vitu vikali kipenzi 🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰
Nipo nasikiliza hapa kipenzi changu 🥰
@@jacklinemsafiri5948 tuinjoi kipenzi na simulizi mix tunakuwa free hakuna stress ata kidogo 🥰🥰🥰🥰
Nzuri sana
Me wapili
Mimi wa tatu
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ✋✋✋
Good
Huyo .mama mwaju Yoko kam shetan mgu moja
Asante sana Anko Jy👌🤝
Anko wetu unajuwa kuimba sna ulikuwa muimbaji 😂😂😂😂😂 upewe mauwa🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kwa kweli simulizi tamu
😂😂😂
Duh uyu lameck jaman duh sio powa
Mmmh
Inasikitisha eliza balaa
Ahh leo nimekua m2 wa 69
Hatari
Hii simulizi haimake sense at all. how do you allow yourself to get killed when you have the power to protect yourself?🥶🤔
Eti si ushenzi huo
Hata mm nashangaa nimesikiliza kwa sababu Kuna sauti ya anko j
Anko j acha uongo ujawai kufanya
🌹
Sasa kwanini baba mwaju haja julisha polici ?
Asate sana simlizi mix ako j
🔥🔥🔥🙏🙏😊
Acha kuimba sauti gani hiyo?😂😂😂
Nimecheka kifara
@@nervnerv470 😂😂😂😂
Yaaaaanii Nimecheka
Kwaiy faidant naye anamtak le.
😘😘
Asant San anko j kwa simulizi tamuuuu💝💝
❤❤🇹🇿
Ila story nyingine bhna.yaan mtu anahela mpka anasubir majambaz waingie bila kupigia police apate ulinzi.ajabu lameck nae chumban anasimu anasubir mpka majambaz waondoke et ndo anataka apigie police.hii movie ya kibongo kabisa yaan
😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Kweli 😂😂😂😂kabisa bongo movie
Huyu muandishi ni kichomi mweeeh
😂😂😂😂
Alito or saprano
Ila anko j kuimba hujui mwaa😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
❤❤❤❤🤣🤣
❤️❤️❤️
Inauma sana
Asante Anko
Waooh nzuri sanaaaaaa 🥰🥰💞💕♥️♥️♥️
Nike Comores kisiwani nguazidja nisimulizi nzuri