DIAMOND, HARMONIZE na RAYVANNY ndio wakombozi wa BONGO FLEVA? safari ya kwenda KIMATAIFA ipo salama?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • #diamondplatnumz #harmonize #rayvanny
    Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 23

  • @daxpcomandomz3450
    @daxpcomandomz3450 หลายเดือนก่อน +4

    Unaweza brow from 🇲🇿🇲🇿 Mozambique

  • @titoamani-e8b
    @titoamani-e8b หลายเดือนก่อน +4

    Diamond na WCB record Label yake ndio wahusika wa Bongo flavor kimataifa..amewatoa Harmonize ,Rayvanny , Zuchu, Mbosso...🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @eleven-in5qw
    @eleven-in5qw หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza harmo hiyo list hatupo..sijui kama atawaiivunja single again tena mwaka wa pili huyu.. Hana hit nyingine

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 หลายเดือนก่อน +3

    Nimefatilia interview mwanzo mwisho hao majamaa wawasafi nikama wamekaa ki WCB zaid hawatak kumkubari konde kwa kazi ambazo anafanya ila big up sana ndg mwandishi angalau umejua kumchombeza

  • @niyongendakosamuel858
    @niyongendakosamuel858 หลายเดือนก่อน

    Sio kweli Diamond sio level ya Davido Davido yiko mbali sanaaaaaaa

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk หลายเดือนก่อน +5

    Uyu anaakili mkombozi ni Alikiba na Mond bas wengine ni vijana walio watoa bado wanajitafuta

    • @SilonTweve
      @SilonTweve หลายเดือนก่อน +1

      Kwa akili yako alikiba ana weza kuupushi miki wa bongo freva iyo iyo ilikuwa zaman sio sasa kwasasa ni diamond na harmonize na chui

  • @user-yd8sp4es9n
    @user-yd8sp4es9n หลายเดือนก่อน

    Rayvany x justin Derullo🎉🎉❤❤

  • @Twigamedia
    @Twigamedia หลายเดือนก่อน

    Wasanii wetu wa bongo tuweke Sana jitihada kwenye Muzik wetu naimani tutafika mbali

  • @HenryWisaka
    @HenryWisaka หลายเดือนก่อน +1

    Justin Derullo👀 aya

  • @ramad3086
    @ramad3086 หลายเดือนก่อน +5

    Mbona unaogopa kumtaja harmonaize vp

  • @ramadanabdul7745
    @ramadanabdul7745 หลายเดือนก่อน

    Harmonize aliwekwa sehemu ndogo sana mimi nipo sudani kusini kaka sns naipenda lakini muwemunafatilia kwa ukalibu

  • @shabansued
    @shabansued หลายเดือนก่อน +7

    Bongo flaver kwenda International sio ya komasava

    • @deejayvlctz
      @deejayvlctz หลายเดือนก่อน +4

      Kaka acha chukii mziki wa sasa ni unaitaji vibe na uwekezajii mbona ngoma nyingi sana ziko viral why unataja komasava mbona hata marry me ilienda . support cha nyumbani acha kuponda.

    • @venasmlega6727
      @venasmlega6727 หลายเดือนก่อน +1

      I'm single umeisahau wanafiki nyie

  • @sharafijaribu5590
    @sharafijaribu5590 9 วันที่ผ่านมา

    Kwann konde hujamtaja

  • @ramadanabdul7745
    @ramadanabdul7745 หลายเดือนก่อน

    Wewe harmonize sio kiwanja

  • @mrenobishoo1118
    @mrenobishoo1118 หลายเดือนก่อน

    Amapiano ni bongo fleva!!

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 หลายเดือนก่อน

    Hata nwambino hakiemwa no 1 hanatamba akiefanya. Anatamba

  • @eleven-in5qw
    @eleven-in5qw หลายเดือนก่อน

    Haha hadi mchaga amepewa gari kweli wasafi hawatanii kitu.. Motion ni moja unyama mwingi

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 หลายเดือนก่อน

    ?sasa.Foa mbona illibuma mziki 1 tuu. Nfio?