SULUHISHO Short Film2017 Green Energy Jufe Film Production
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2017
- Filamu ya SULUHISHO imetengenezwa na JUFE FILM PRODUCTION chini ya muongozaji EDDY BEST na Cameraman SAID NEGRO,Usikose kuangalia na kushaire.
Mwinyi Mpeku anaamuaa kufanya biashara nyengine baada ya kuona kilimo hakina tena tija,Anakutana na Kitatange na kumtapeli pesa zake angalia nini kitatokea na kwanini Mwinyi ameona kilimo hakika tija?
USIKOSE!!!
Najuvuniya kuwa mpemba ilaik home 💕💕👍
Wazanzibar mpo vizur sana kwenye maadili yaani mpka Raha kuangalia kukosa huu muungano mngefika mbali
Kibatal Daaah Hhaaahaa Hongereni Kazi Mzuri
Hayo mambo yakibatali mnanikumbusha wakat tulipokuwa mdogo naishi pemba hongeren
Yassir Masoud vp poa
wenda china au wenda kojani
hahahahhahahaaa....alo hawajamaa TALENT jamani doh..!! MWINYI MPEKU & KACHARA ,KITATANGE kip it up MUTAFIKA MBALI SANAAA...
Hayaaa kashakizima kibatali c huyu time kashakizima kibatali tena mukupuwe na kapo kipembeni panajembe
Napenda mpka napenda tna❤good job
Dah chafya ya time imenikumbusha mbali Sana yani dah kipindi icho nasoma yani dah
Hhh imekumbusha wap
nime enjoy kwakweli kitatange anafurahisha hahahaaaaaa nimecheka sana eti waniuza bure...
Hongera sana kitatange pamoja na timu yako nakkbal sana broo
Kitatange noma sna😀😀😀😀hongereni sna wachezaji
Mukweleze vitanda mulale tena pakupuliwe hahahahhaaaaaa ni nzuri sana hii filamu
th-cam.com/video/0TtuuMjFvNo/w-d-xo.html
Mmeipenda staili ya mwinyi alipomalizia kula kipande cha mkate
bona uyu mzee mwinyi apati Tuzo. anajua sana tena saunti nzuri mazingira nice.
Hongereni sana mmeweza vizuri sana,mchezo una maadili mazuri,ujumbe muhimu,Siipendi ile michezo ya wabongo wasojijua wala kujali kiza chetu,Hongera wa Zanzibar.
Kassim Andrea Zanzibar hiross to kenya
hahahaha.
'hayaa kashakizimaa..!!'.
mko vizuri ktk kazi zenu.
hongereni
Alhamdulilah nimependa filamu zenu namimi nataka kuigiza na na nyinyi
film moja nzuri mno. inaelimisha, inaburudisha na haichoshi kuangalia. ni fupi na imebeba ujumbe mzito.
M
Qallllllllllli umetisha
Jamani ni nzuri sana napenda kwetu Pemba
Ali Abdallah
Dahh hii Kali nitwatafuta
Kazi nzuri hongereni sana waandaaji wa kipande hiki.
wanatubana tuu mabunju lakin nyumban kuzuri sana wallai
ras alpha mabunju wenyewe kwanza wazanzibar mnaubinafsi sana
kazi ni nzuri imetulia mwanzo mwisho hongeren wahusika wote kwa ujumbe mzuri wenye faida .Endeleeni kuelimisha jamii .Mwinyi ukalime karotii ,pilpili bogaa, tikiti majii na njugu zitakutoa, uko vizur kwa kuvunja mbavu za watu.
sawa
mm nipenda haidari
film zenu nzuri zinauhalisia Na maisha yetu good
haiyaaAa kashaa kizima nakupenda Sana nyumbani mana kuna rasilimali wasini wazuri ingawa siko pemba ilandiko ndiko wanakotoka wazazi wangu
kitatange ww noma uko vzur ndugu
Mashalla nimependeza Sana mimi saada majaruk
Hizo ndoo jeuri zkipemba,kama nina roho mbaya kapige wako,leo nimie nakesho niweyeweye
Suleiman Makame
Mbavu zangu mie jamani
Jaman sina mbavu kwa kucheka nikimuona kitatange tu namkubal sana
Shukran sana kwa Movie nzuri yenye Mafunzo, Hongereni sana kwa kazi nzuri.
Kwetu Pemba hatareee Hadi raha
Kwetu sote rahaa rahaa pemba
نصرى عبدالله vip
Mko vizur
Mambo
Hongereni wapemba wenzangu mkovizuri raha sanaaaa
Nnantia demani alipoingia t nnaawaa@@@@hhhhhhhhhhhhhhhhh kitatangeeee
Nzuri sanaaaa
Mimi nampenda kitatange na vituko vyake nikimuona tu nasheka
hahhaahha anachekesha sna wallah.....home sweet home
yaan wallah hujanishinda mimi.....
nzuri sana una ilimisha kweli....
pemba nawapenda mnavyoongea, mwanipa raha nazidi kufurahia move zenu
th-cam.com/video/0TtuuMjFvNo/w-d-xo.html
Wooooooow !!!! hii kali
asant mwinyi kitatange kazi nzur
Napenda znz nikaribisheni jmn😂😂😂😂
Abdullah A Dullaj karibuu
Karibu sana Abdullah
U welcome
Karib
Karibu zenj
safi sana
mkaa washikiwa pesa kabla yamakaa kuja
Mnh hadi raha
jufe film production naomba cd ya onyesho hili la suluhishom
Wallah nyumbani Rahaaaaaaaaaaaa
Hayaaa keshakizima si huyu time keshakizima kibatari hhhhhh😁😂
uyu mwinyi ana kipanji sana
Hahhahahhaha jamani kachara nimecheka mpaka mbavu zinaniuma
Profesa gogo upo
😀😀😀 Eti yuwant tu distroi ze miting kitatange bhan ww nma
😀😀😀Jmaa wakali xna asee
Jamani huyu kiswabi amependeza kuwa zezeta
Takupiga kibao chakubabatiza sasaiv
Kwetu raha
Hongera kwa kufunza jamii
Na Enjoy sanaaa I miss my hom
Nimecheka kwa kweli hii hahhahahahahaha mwinyiiiiiii et kina mama waote moto kwa jiko la gesi hahahahaha
Hahaha
Heweye mwinyi wanisema wagunya haya
Kkklkkkkkkkkllkkkkk Wstaka kudestroy meeting
Hahahaha kashakizimaah
Daaa muko poa sana Ilove Pemba my home
Nakumbuka home home is home
iko pw
Kitatange unajua mpaka nma asee
Mashaa Allah
Kwetu asa kuzuri
farid Ismail kwelu
inatisha sana
Tuntka mpya
Mie ndio wa kwanza 😂
hongera sana shukran kwa sapoti zenu tunawategemea sana
Hongereni
Mashallah
Tamthilia the city Azam two hd
Pink t shirt ya dongo...nisadieni kuisoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ama kwel vichekesho
NC from Zanzibar
Kashakizimaaaa
hahaha mzee mwinyi nampenda anavyoongea
th-cam.com/video/0TtuuMjFvNo/w-d-xo.html
amazing Zanzibar
Nice
🤣🤣🤣🤣🤣ayaaaa keshakizimaaaa,,mkupue kitandani hapooh msije ralia tandu,,pana jembe pemben hapoo hahahaha mnanikosha miee
EKAODAYO MAPEMA.
Kasha kizima hahahaha
maashaallah
Mbavu zangu
Mwinyi 😀😀😀 hausubri utengewe chkula
Sebu kelele😅😅😊
Duuuuuuuuuhhh
good job
ela ni mzur nicije toka kutafunwako ni kaja kumezwako
asanten san
Hhhhhh nice
Big upppppp the green island pba
mashaallah wapemba tunaendelea
Mkwaju
kake simba nakukubali
tena kidingi 😆😆😆
😀
kachara na mwinyi mpeku na kitatange mpo juuu sana😁😁😁😁
Mohd abdi
wa sita
Wanajuwa
Bakari Bakari
Endelea kufuatilia channel yetu kwa mengi yajayo
Jufe Film Production shukran sana ila twasubiri ssna vitu vipya
Jufe Film Production tunaomba mututiliye na nyengine hii kali sana
Jufe Film Production
Jufe Film Production mbn mwizi wa futari hamjaweka..!?
tena pakupuliwe haraka sebu keleleee Pemba raha jamani 🤣🤣🤣
Kashakipiga puaaa kibataliii