WATOTO KUTEKWA SHULE YA MBURAHATI, KAMANDA MULIRO AFUNGUKA "TUNAFUATILIA, NI UZUSHI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +4

    Watafutwe wazaziwa hao watoto walotekwa waseme kamanikweli au laa wasiwewanatekwa alafumnafuchaficha hukuwatu wanaisha. Allahatujaalie mwishomwema atulindie nchiyetu. AMANI.isitoweke Tz. Amyn

  • @albertswai7153
    @albertswai7153 หลายเดือนก่อน +1

    Duu wazazi kazi kwetu zakuambiwa changanya na zako

  • @Answar.
    @Answar. หลายเดือนก่อน +1

    Hakika sasa tunaona hatuna umuhimu kuwa na jeshi la usalama inaonyesha halina msaada kwa kauli za kukanukanusha wakati watoto wetu wanapotea

  • @badrumirraj8464
    @badrumirraj8464 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wanapotea kweli acheni siasa zenu ...sasa taharuki gani hapo watu wanakufa acheni ubabaifu

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 หลายเดือนก่อน +1

    Mheshimiwa mm kuna mtt wa mdg wangu huko mbagala alipotea alasiri na asubuhi kakutwa kafa huko kingamboni

    • @evelynezonga2684
      @evelynezonga2684 หลายเดือนก่อน

      Poleni sana jamani nyie wenye ushahidi muje mbele ya camera msibitishe

    • @gerevasliyunga9831
      @gerevasliyunga9831 หลายเดือนก่อน

      😂​@@evelynezonga2684

    • @user-jn3uv4mf1u
      @user-jn3uv4mf1u หลายเดือนก่อน

      ​@@evelynezonga2684😏

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni vita baridi inatisha hii hali jamani, ukweli pia upo

  • @ceciliaonyango5367
    @ceciliaonyango5367 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani jamani msifiche hiki kitu haya

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 หลายเดือนก่อน

    Hili la kutekana linachafua hata wasiohusika. Jamii inabidi ijitazame vizuri. Lilisemwa sana wakati wa JPM, sasa naona limekuwa kubwa zaidi

  • @RichardKilepo-xj1sy
    @RichardKilepo-xj1sy หลายเดือนก่อน

    Hatari

  • @luqmanomary3558
    @luqmanomary3558 หลายเดือนก่อน

    Hiz kauli za polisi tunafatilia zinachosha sana inakuaj watu wanatekwa na hakna maelezo sahihi juu ya uhain huu,

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g หลายเดือนก่อน

    Sasa Hawa wazazi wanaotoa taarif kwenu nyinyi police kuwa watoto wao wametekwa kwahiyo wanasingizia??

  • @yeseeliudi9099
    @yeseeliudi9099 หลายเดือนก่อน +2

    Kwaiyo wazazi washakuwa vichaa au

  • @angelnicholaus9248
    @angelnicholaus9248 หลายเดือนก่อน

    Cha kushangaza ni kwa nini hawajakamatwa mpaka sasa maana wanatumia mitandao inakuwaje mtu atoe matukio ya kushtua jamii utafutaji uchelewe kiasi hicho?!

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @Evodiabuchard
    @Evodiabuchard หลายเดือนก่อน

    Serikali inatuulia watoto arafu wanakanusha uku mbeya watoto wamepotea sana jamani kwann wanaficha iki kitu 😭😭

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 หลายเดือนก่อน

      Acha upumbavu wewe serikali ikuulie watoto kwa kilipi acha kurupoka au nyie ndio vilaza ambao hajaenda shule

  • @pasianuspatrick9967
    @pasianuspatrick9967 หลายเดือนก่อน

    Nina Iman na Jeshi la polisi, naomba yule ambae anajua kapoteza mtoto kwa kuibiwa basi afike kwenye kituo cha polisi kuripot tukio, sio kutoa taaruki kwa wananchi

  • @lwinikojames
    @lwinikojames หลายเดือนก่อน

    Ndo Tanzania yetu hii walahi sihami

  • @latifalayla9990
    @latifalayla9990 หลายเดือนก่อน

    Chalamila, na Muliro kuna watu wanataka kumwaga ugali wenu kwa nia mbaya tu ya Madaraka mkiwabaini na nyie mwageni mboga twende sawa. Hao ni mashuwain tu wamejificha kw migongo ya watu wanata nafasi zenu. Au wao waonekane ni bora pale walipo kwa sasa.

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n หลายเดือนก่อน

    Jamani..

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd หลายเดือนก่อน

    sasa mbona sielew hiii imekaaje

  • @SerahGlam
    @SerahGlam หลายเดือนก่อน

    Nimetoka kibaha leo nako wanalalamika watoto kupotea sasa mnatuchanganya

  • @samwelnjau301
    @samwelnjau301 หลายเดือนก่อน

    Si msemeukwel to

  • @user-kv8sq6qz7g
    @user-kv8sq6qz7g หลายเดือนก่อน

    Wanaoleta taharuki mkiwajua na mmewajua tayari wanatakiwa kuadhibiwa tena kimya kimya

    • @WahidSalem-cq5jn
      @WahidSalem-cq5jn หลายเดือนก่อน

      Dunia tunapita na mlipaji afii,mbona mzazi wa yusra yule bint ilionekana maiti yake imebebwa mtandaoni na waumini kwenda kumzika,uku baba yake akilia kwa uchungu ,

  • @ZalkhaRawahi
    @ZalkhaRawahi หลายเดือนก่อน

    Mbona ni tunataka tuone video tujihakikishie km ndie afande mwenyewe anaongea hatutaki audio hii ni kututhibishia kweli hili swala lipo eka video tujiridhishe mana pia mwaeka video sauti haina muelekeo na anaeongea hapo ndio tunaona nyinyi ndio waongo

  • @HajraHamis
    @HajraHamis หลายเดือนก่อน +1

    Jamnii nyie dah

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 หลายเดือนก่อน +1

    Waliyopotelewa na watoto na ndugu zao waje hapa

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 หลายเดือนก่อน

    𝐇𝐚𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐤𝐳 𝐧 𝐤𝐮𝐤𝐚𝐧𝐮𝐬𝐡𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐮 𝐳𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐬𝐤 𝐰𝐚𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐰𝐚𝐨 𝐰𝐚𝐭𝐞𝐤𝐰𝐞 𝐧𝐝𝐨 𝐭𝐮𝐨𝐧𝐞 𝐰𝐚𝐭𝐞𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐬𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐢𝐳 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐧 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐤𝐞𝐧𝐲𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐨

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 หลายเดือนก่อน

    𝐒𝐞𝐦𝐞𝐧𝐢 𝐭𝐮𝐮 𝐧 𝐮𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐦𝐢 𝐬𝐡𝐮𝐥𝐞𝐧𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐲𝐞𝐬𝐨𝐦𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐚𝐦𝐛𝐢𝐰𝐚