VIDEO KUTOKA UTURUKI: NDEGE ILIYOMBEBA RAIS SAMIA na WAFANYABIASHARA ILIVYOTUA - CHEKI MSAFARA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 เม.ย. 2024
  • VIDEO KUTOKA UTURUKI: NDEGE ILIYOMBEBA RAIS SAMIA na WAFANYABIASHARA ILIVYOTUA - CHEKI MSAFARA...
    ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wafanyabiashara mbalimbali, abiria pamoja na baadhi ya Waandishi wa Habari wakati akiwa safarini kuelekea Jijini Ankara nchini Uturuki kwa ajili ya Ziara Rasmi.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 20

  • @salumnamjupa-sy6cm
    @salumnamjupa-sy6cm หลายเดือนก่อน +1

    Proud to be a TANZANIAN 🎉

  • @saidabdillahi8107
    @saidabdillahi8107 หลายเดือนก่อน +5

    Watanganyika mukitaka ku-enjoy life muuendelee kuweka Rais kutoka zanzibar bila hivyo yajayo yataendelea kusikitisha

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน

      Kwani huyo anaewaongoza zanzibar si katokea Tanganyika kuna utofauti gani kama muko tayari chukueni mtu wenu rudisheni wetu ngoma droo kwani ilipokuwa inchi haiyongozwi na mzanzibar kulikuwa hakuna maendeleo?

    • @Mapyatv
      @Mapyatv หลายเดือนก่อน

      Ivi uk siliaz maneno yak

  • @Bashiru-lz9el
    @Bashiru-lz9el 26 วันที่ผ่านมา

    Maashaallh

  • @rajabukipara3008
    @rajabukipara3008 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera MAMA MUNGU Akuongoze.

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mama

  • @josephsokhia
    @josephsokhia หลายเดือนก่อน +1

    Heshima kabisaaaa hii the wing of kilimanjaro this is our proud

  • @HabibuSaid-up5sn
    @HabibuSaid-up5sn หลายเดือนก่อน

    Masha allah

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z หลายเดือนก่อน +1

    Rais mzalendo hawezi kusema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake ,

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 หลายเดือนก่อน

    Oneni miji ya wenzetu barabara sie kwetu uchafu mtupu mwanzo mwisho maduka sehem yoyote😅

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 หลายเดือนก่อน

    Mumkumbushekwamba kwenyeNchiyake UmemendaniyaSaamoja unakatikazaidiyamara15 sasasijuihuundioutulivuwaNchi

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 หลายเดือนก่อน

    Hivi bongo hatujui kama kuna matatizo ya uchumi kila kona ya dunia hii. Hizi safari ni matembezi tu? One trip would build a Muhimbili in every district. Iko kazi kweli. Wawekezaji huwa hawatafuti, they come to you if you have good policies etc etc

    • @user-io2rj2yp5d
      @user-io2rj2yp5d 26 วันที่ผ่านมา

      We ni mwehu nenda Milembe utibiwe

  • @user-nt6fb2ky3t
    @user-nt6fb2ky3t หลายเดือนก่อน

    Mama anaupiga mwingi😂,had atoke madarakan ni nch chache atakuwa bado hajatembelea!!!

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 หลายเดือนก่อน

    Atutafutie na mikopo isiyo na Riba

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 หลายเดือนก่อน

    Inabidi kununua ndege nyingine.

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 หลายเดือนก่อน

    7 more years atamamıza kila nchi hapa duniani. Next trip to Jupiter

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji หลายเดือนก่อน +1

      Wacha atangaze nchi wewe BWEKA tu kazi iendelee SSH ❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿