Baba alieshtakiwa Polisi na Mwanae azungumzia kifo cha Mama Anthony, watoto 20

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 679

  • @devisekadesh6764
    @devisekadesh6764 หลายเดือนก่อน +41

    😭😭😭 kama umerudi hapa2024 kuhakikisha huyu kijana alitoka mbali gonga 👍

    • @ronaldkimengich8958
      @ronaldkimengich8958 หลายเดือนก่อน +1

      Am happy the boy is now heading to secondary

    • @Leah-mbilizi
      @Leah-mbilizi หลายเดือนก่อน

      I’m crying seeing his current video 😭😭😭 God is good 🙏🏽

  • @SuperCamle
    @SuperCamle 6 ปีที่แล้ว +10

    Millard Ayo. Nifuatilia sana habari ya mtoto Anton. Nawashukuru sana kwa kuliibua suala hili kwa uhalisia na ufanisi mkubwa sana. Ukiwangaila wale watoto wengine, utaona kuwa wengi wao wana hali kama ya mtoto Anton. Hivi kwa upande moja mmeibua hali halisi ya maisha ya watanzania huko vijijini, ambayo bila shaka wenye dhamana na nchi yetu hasa Mh. Rais, kipenzi cha wanyonge watajipanga kukabiliana nayo. Kwa upande mwingine mmeibua vipaji vya mtoto Anton ambavyo vimenishawishi sana kumsaidia ili afikie malengo yake, ambayo yeye mwenyewe anayafahamu vizuri sana.It's so amazing!!! Ninaungana na kila moja aliyeguswa na hali ya maisha ya mtoto Anton ili kilio cha mtoto huyu cha kuhamishwa toka kule mbali na kupatiwa makazi bora, yaliyo jirani zaidi yafanikiwe. Mchango wangu: Mtoto Anton afunguliwe account maalum ili tulioguswa tuanze kumchangia na kuwashawishi wengine kutoa michango ili mtoto Anton akapate shule itakayoweza kuvitambua, kuvienzi na kuvilea vipaji vyake, kwa manufaa ya familia yake na taifa letu kwa ujumla. Nipo pamoja nanyi naendelea kuwafuatilia ili nijue tunafikia wapi na suala hili. Castor kutoka Florence-Italy!

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +15

    Mackini, inasikitisha sana, kwanza uyu Baba nampa pongezi pamoja na shida zote ajawatekeleza watoto wake, 😨😨😨😨 inauma sana, Allah hawasimamie katika kila zito.

  • @ruthotaba747
    @ruthotaba747 6 ปีที่แล้ว +1

    Wow this is life..nawapenda sana wale watoto..imenigusa sana moyo wangu...wish could adopt them as my own..mola ampe nguvu babayao..na amuongezee siku zakuish duniani...

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 6 ปีที่แล้ว +3

    Millard Ayo mambo! Jamani nimeguswa Sana na hii familia! Asante Sana kutuletea vitu unique Kama hivi, umesafiri Hadi huko jamani! Nawezaje kuipata hii familia nkitaka kuisaidia japo kwa kitu kidogo

  • @happygervas5941
    @happygervas5941 6 ปีที่แล้ว +5

    😢😢😢😢Eeeh Mungu Gusa hii Familia na familia zoto Dunian zilizopo ktk mazingira magumu na hatarishi Gusa baba gusa🙏

  • @emmanueljohn7
    @emmanueljohn7 6 ปีที่แล้ว +26

    Big up mtangazaji, hakika kazi yako njema, sio Hawa wanaotuletea Habari za kina Hamorapa, sijui kafanyaje sijui uwoya,... Cha msingi weka namna ili tuweze msaidia Dogo

    • @txbcamengdg7021
      @txbcamengdg7021 6 ปีที่แล้ว

      emmanuel john Nitafute Kwenye hii namba nikuelekeze jinsi ya kuchangia +96879063286 wasap

    • @hamasikatv7713
      @hamasikatv7713 6 ปีที่แล้ว

      dat true

    • @vianeykyaman3778
      @vianeykyaman3778 6 ปีที่แล้ว +1

      +TxbcAmen Gdg we choko nn namba hiyo niya uarabun tena Oman, mtu yup kagera tnz unasemaj akutft umwelekez jnc ya kuchangia? kafirwe uko tapel mkubwa

  • @seifsmg3713
    @seifsmg3713 6 ปีที่แล้ว +15

    Dah.. nimefuatilia hzi story z hyu dg nafamilia yke nimeona miujiza ya mwenyezi mungu. Emagine km hyu dg acngepewa akili alizokuw nazo na ujasiri hao dada zke wangekuw kwenye hali gn?. Baba yake anasema Anthony ndio baba yangu. Mtoto wa miaka 10 kuwa baba wa familia dah🙌. May Allah bless you boy 🙇‍♂️

  • @leticiamafuru6072
    @leticiamafuru6072 6 ปีที่แล้ว +3

    Jaman kaka millad mungu akupe mwanga uzidi kuwafikia watu kama hawa be blessed

  • @nashonmgaya1601
    @nashonmgaya1601 6 ปีที่แล้ว +1

    Mpongezi nyigi kwako mirad ayo kazi nzuri umefanya ombi watu wengi wapo tayari kuchangia wekeni utaratibu wakuchangia haya yakisimamiwa na viongoz wa kiroho siyo serikari

  • @ahmedlatif3516
    @ahmedlatif3516 หลายเดือนก่อน +2

    Wallahy nimelia kwa furaha kumwona Antony anazungumza kiingereza na kupata Alama ya A

  • @petermim
    @petermim 6 ปีที่แล้ว +2

    Dah# aisee eeh Mungu kaa na hii familia wasaidie kwa kila hali# eeh Mungu muangalie Hutu baba# umri wake sio wakuteseka# msaidie baba Huyu kwa hapo alipofika# nyumba nyumba# spate nyumba na sehemu nzuri# Amina
    Jamani toeni namna tumsaidie Huyu baba#

  • @gracejungulu3694
    @gracejungulu3694 6 ปีที่แล้ว +22

    Hongera sana mtangazaji kwa kumfikia huyo mzazi.

  • @salhaahmad9346
    @salhaahmad9346 6 ปีที่แล้ว +2

    Allah akucmamie mzee wngu pa1 na familia yko, Kila kitu kinasababu naamini Allah kaamua kuptisha kwa hyo mtoto kwenda kukushtaki ili iwe sababu ya kupata nusra na wanao, mungu akutetee baba angu

  • @Estella122-m1v
    @Estella122-m1v หลายเดือนก่อน

    Kumbe ni baba yangu rwanda and burundi kwetu ila tumezatia tanzania na tukapewa uraia wa tanzania asante hayati nyerere na mh. kikwete na hayati magufuli❤❤❤❤❤

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 6 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mtoto jamani Ana kesho Kubwa sana may God hear the cry of this innocent boy....it's so sad...watanzania fanyani jambo kwa hii familia

  • @ibrahimmawazo7165
    @ibrahimmawazo7165 6 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ibariki hii familia... na ufungue milango ya ridhki kwao. Amin.

  • @leahwambui4037
    @leahwambui4037 6 ปีที่แล้ว +10

    Mungu wangu, I can we help the boy, from Kenya

  • @lydiasahar7667
    @lydiasahar7667 6 ปีที่แล้ว +1

    Ayo tv thax so much for help.Lydia from Uganda

  • @lucyaudax158
    @lucyaudax158 6 ปีที่แล้ว +3

    am in tears, this is so touching though kuna true love iliyopitiliza in this family.

  • @MegaMtanzania
    @MegaMtanzania 6 ปีที่แล้ว +21

    No comment!Anthon mungu atakusimamia.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 6 ปีที่แล้ว +113

    Hoooh Anthony anamwambia Baba yake,Baba sasa wewe nguvu zimeisha upumzike kulima,Hoooh ni Upendo wa ajabu kwa Mtoto Mdogo kuchukua nafasi ya Baba yake

    • @moshimongelwa7795
      @moshimongelwa7795 6 ปีที่แล้ว

      Diana Petzold true

    • @zainabufeka5723
      @zainabufeka5723 6 ปีที่แล้ว

      Maskini

    • @rashidjuma8161
      @rashidjuma8161 6 ปีที่แล้ว +1

      hakika nizaidi yashujaa huyu motto daaa

    • @stelasasala5972
      @stelasasala5972 6 ปีที่แล้ว

      Mwenye namba atoe walau nimtumie au tumchangie kidogo. ila Anthony nimemkubali.

    • @sabihasalim9102
      @sabihasalim9102 6 ปีที่แล้ว +2

      Watoto kama Anthony ni 1 in a million.

  • @tullalutumo7293
    @tullalutumo7293 6 ปีที่แล้ว +38

    Unaweza sema nina shida, kumbe Kuna wenye shida kuliko wewe... Mungu asaidie huyu mzee na familia yake

    • @godfreysanga2405
      @godfreysanga2405 6 ปีที่แล้ว

      Tulla Lutumo umeonaee

    • @godfreysanga2405
      @godfreysanga2405 6 ปีที่แล้ว

      Inasikitisha sana japo nilipitia majaribu haya ya huyu dogo na familia yake yamezidi Sana Mungu awape wepesi

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +1

      Tulla Lutumo Wallah my dear

    • @dottoabdallah4353
      @dottoabdallah4353 6 ปีที่แล้ว

      Tulla Lutumo aide kwa kweli

    • @jacksonmganwa6948
      @jacksonmganwa6948 6 ปีที่แล้ว

      daaah na uanaume wangu wote nimeliaaa

  • @rosemarywanjiromugo9503
    @rosemarywanjiromugo9503 6 ปีที่แล้ว +4

    Oh my God. May you open doors for this family.

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 6 ปีที่แล้ว +1

    Inauma saana Anton mungu akupe umri mlefu umtizame bb yako na wadogo zako. Insha Allah

  • @agnesmchau5187
    @agnesmchau5187 6 ปีที่แล้ว +83

    Uchungu jamani yaani huyo mtoto naiyona kesho yake yenye mafanikio makubwa.

    • @annmicheal2773
      @annmicheal2773 6 ปีที่แล้ว

      Agnes Mchau kabisaaa

    • @prinahnathan337
      @prinahnathan337 6 ปีที่แล้ว +1

      Agnes Mchau kabisaaa Mungu awape nguvu

    • @Maftaha-k8m
      @Maftaha-k8m หลายเดือนก่อน

      Inshaallah,,mashaallah sas ivi amekua mkubwa

  • @emanuelndumukwa3073
    @emanuelndumukwa3073 6 ปีที่แล้ว +13

    Da!!so painfull...kweli utaratibu wakusaidia familia hii uwekwe...huyu Antony ndio chaguo la Mungu kuokoa familia yake

    • @txbcamengdg7021
      @txbcamengdg7021 6 ปีที่แล้ว

      Emanuel Ndumukwa Nitafute kwenye hii namba nikuelekeze jinsi ya kuchangia +968 79063286 wasap

    • @txbcamengdg7021
      @txbcamengdg7021 6 ปีที่แล้ว

      Emanuel Ndumukwa Nitafute kwenye hii Namba nikuelekeze jinsi ya kuchangia +96879063286 wasap

  • @willynkya
    @willynkya 6 ปีที่แล้ว +5

    shukran sana kwa Millard ayo teama ,kwa kutuletea hii,kama comment nyingi zinavyodai,please Ayo Tv tunaomba mtafute mbinu ya watu kuchangia kwa familia hii,uwezo wa Akili Anthony alionao unatakiwa kuthaminiwa na kuheshimiwa .Truly he is a HERO!!

    • @stelasianga9468
      @stelasianga9468 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu mwema walijengewa na watoto wanasoma...mungu nimungu

  • @kahyolomathias5073
    @kahyolomathias5073 6 ปีที่แล้ว +16

    "anton sasa hivi ni baba yangu"...inauma sana

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว

      Kahyolo Mathias yani we acha tu, hadi chozi limenitoka

    • @ameeraaljassim4138
      @ameeraaljassim4138 4 ปีที่แล้ว

      Naumia mimi daaa machozi yamenitoka mungu wafungulie jamani

  • @reemiiomar9386
    @reemiiomar9386 6 ปีที่แล้ว +13

    Kweli unaezaa zaa watoto kumi n wote wakawa hai ilaa mmoja tuu ndie atakaekujalie

  • @josephmwigulu1188
    @josephmwigulu1188 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mtoto kupata publicity sio bahati mbaya hii inaonyesha wazi ni kweli mungu humsaidia mja wake kwa njia ambazo hakuwahi hata kuwaza. Hembu fikiria how remote the place is, look how small the boy is, look how weak the father is, lakin Allah made it possible for some1 frm texas, frm united arab, from australi, from uk to see them and openly willingly to help. I am sure misaada itafika na maisha yao yatabadilika for good ameen.

  • @bintsalimalbimany9373
    @bintsalimalbimany9373 6 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah alaaa kunli hal jmn tumshukur Allah kwan wenzetu wanashida sana ukiona unapata chakula hata kwa ck mara moja sema Alhamdulillah

  • @johnhenjewele1521
    @johnhenjewele1521 6 ปีที่แล้ว +27

    Eeeee Mungu naomba uguse hii familia tena huyu mtoto Kesho yake iwe ya ajabu sana akawe bilionea nasikia uchungu sana

  • @khalidunited5978
    @khalidunited5978 6 ปีที่แล้ว +130

    naomba mwenye anajua familia hii inakaa ngara maeneo yapi allah akinijalia nikirudi tz niende mpaka kwao niwaone

    • @janethsadock4559
      @janethsadock4559 6 ปีที่แล้ว +4

      KAMA HAUTAJALI NIKUPE NO YA MHUSIKA AMBAE NI RAHISI KUFIKISHA UJUMBE NA MCHANGO WAKO PIA KUNA GROUP LA KUSAIDIA FAMILIA

    • @khalidunited5978
      @khalidunited5978 6 ปีที่แล้ว

      Janeth Sadock sawa nipatie

    • @janethsadock4559
      @janethsadock4559 6 ปีที่แล้ว +2

      0784 888227 ANAITWA STELLAH RUTAGUZA,PIA ATAKUSAIDIA KUJIUNGA NA GROUP LA KUMSAIDIA KIJANA!BARIKIWA SANA

    • @khalidunited5978
      @khalidunited5978 6 ปีที่แล้ว

      Janeth Sadock sawa shukuran

    • @txbcamengdg7021
      @txbcamengdg7021 6 ปีที่แล้ว

      Khalid United Nitafute kwenye hii namba +96879063286 wasap nikuelekeze jinsi ya kuchangia

  • @sehemunzuri
    @sehemunzuri 6 ปีที่แล้ว +7

    dogo ni concious sana.. God bless him

  • @mosesjnr8436
    @mosesjnr8436 6 ปีที่แล้ว +4

    Hapa duniani kila kitu kina sababu ya kutokea,Mungu ataleta neema kubwa na Baraka katika familia hii kupitia Mtoto huyu

  • @allenmrema2919
    @allenmrema2919 6 ปีที่แล้ว +2

    Millard Ayo kwanza Ahsante kwa kutupa taarifa kamili na kwa kuwa na Watangazaji wazuri.
    kuusu Anthony naona kwangu ni fundisho kubwa sana kuona Mtoto mdogo anajua kuchunga Mzazi wake na ndugu zake bila kujali Distance ya eneo anayoenda kuchukua chakula.
    tayari nimeona namba ya kuchangia pesa. #@millardayo TZ champion

    • @jaqlinemlinga4647
      @jaqlinemlinga4647 6 ปีที่แล้ว

      Nataka nimpe Anton mchongo wangu naomba namba za mawasiliano

  • @zafaranmohammed7272
    @zafaranmohammed7272 27 วันที่ผ่านมา

    Kwa kweli Mngu ni mwaminifu na hamuachi mja wake, God's time is always the best, Mngu apewe sifa🙏🙏🙏

  • @familylove5417
    @familylove5417 6 ปีที่แล้ว +34

    mungu wangu limelia kma mtoto tumbo linanisokota dah kma mazi allah tupe mrimrefu nanguvu yakumlea mwangu millard tunakuwamini naomba utangaze tuweze kuchangia kuwasaidia hi familia pls tunamia sna kila tukiendelea kuona dah naumia kwakweli

    • @txbcamengdg7021
      @txbcamengdg7021 6 ปีที่แล้ว

      Mwanamke Usafi Nitafute kwenye hii namba nikuelekeze jinsi ya kuchangia +968790632 86 wasap

    • @zuwenasarehe7909
      @zuwenasarehe7909 6 ปีที่แล้ว +3

      Mungu uwafanyie wepesi familia hii maskini mmmhhh

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 6 ปีที่แล้ว

      Mwanamke Usafi Nitumieni contact yake tumtumie misaada yetu bila kujali tafauti za dini aaaa jamani mbona hatuuini msaada wa Rais ju ya mzee huyo kama alivyo mpa msaada yule mwanamke watu wa Kagera Mbunge wa Kagera mko wapi tokea tukio hili limesikika hewani khatuwa gani za maana zimechukuliwa kuisaidia familia hii huyo mtoto ana akili na imani mashaallah MMungu amzidishie amhifadhi matajiri masheikh maaskofu mko wapi kulifuatililia hili tunakupeni changa ,moto mrusha kipindi weka namba yako nataka tuzungumze unipatie mtu wa dhamana atakaekuwa muadilifu na uchungu kukiwacha kichwa na kipaji hichi kiishi kwa taabu Mwenyezi Mungu tumuogopeni tuma hata email yako haraka sana mwanangu MMungu atakunyanyuwa daraja kwa hili ahsante Mwenyezi Mungu atakupa wepesi na hamasa ya kutuma details zozote zile zaidi email tuchukuwe hatuwa zinazofaa

  • @gracemednah8081
    @gracemednah8081 6 ปีที่แล้ว

    Woi Pole Mzee... Ningekua Tz ningekusadia hata kama ni Kidogo... God protect your family...

  • @benazirmohammed8761
    @benazirmohammed8761 6 ปีที่แล้ว

    Nimelia kwa uchungu sana eh Mwenyezi Mungu naomba binadamu tuwe wenye kushukuru kwa haya maisha yetu na tusikukufuru maana wapo wenye shida zaidi yetu. Mwenyszi Mungu a wasaidie

  • @amandusmark3060
    @amandusmark3060 6 ปีที่แล้ว

    Hii ndo hali halisi ya familia zetu nyingi huko vijijini. Tuskalie kujenga flyover mijini na kununua ndege tu jaman twendeni huko walau tukawape Maji, Umeme na barabara watanzania wenzetu walio wengi. Tukipendezesha mijini tu tutaishia kuvutia wawekezaji wanaokuja kupora rasilimali zetu na kuacha tukigawanyika tu kati ya wanaowasapot na wasiowasapot. Love You Tanzania and Proud to be a Tanzanian.

  • @purryselestine4000
    @purryselestine4000 6 ปีที่แล้ว +2

    😢😢😢😢😢😢😢baba anaitaji msahada jaman ata wakuamishwa kwenye watu kidogo uko ni vijiji sana 😢😢😢😢😢😢😢

  • @aripaliev1059
    @aripaliev1059 6 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😢aki hii familia imeniliza haswa pale mzee alivyo sema kua Anthony sasa nikama Babake😭😢.bora mtu atoe msaada kwa familia kaa hizi unapata baraka hapopapo kuliko kutoa kwa matapeli kanisani eti fungu la kumi.Ee mwenyezi mungu Baba ulie mbinguni nakuomba Baba uguse watu mioyo yao waweze kusaidia famili hii na nyenginezo zinazohitaji msaada Amin.

  • @audreyndukwe1504
    @audreyndukwe1504 6 ปีที่แล้ว +2

    watching from Kenya very sad story....

  • @shakiradnan2763
    @shakiradnan2763 6 ปีที่แล้ว +1

    Haya Bongo movie huyu ndio star mpya mwendelezeni ili aweze kuingizwa kwenye filamu

  • @saidishehoza150
    @saidishehoza150 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema atawaondoa ktk maisha magumu inshallah

  • @gastonamnon7005
    @gastonamnon7005 หลายเดือนก่อน

    DAAAH HAYA MAISHA KILA KITU KINAWEZEKANA 🎉🎉🎉🎉 2024

  • @collinselamwenya8028
    @collinselamwenya8028 6 ปีที่แล้ว +54

    Jamani nikirudi vacation kenya nitapiga camp Tz kwa siku 6 naomba kuona hii familia na niko tayari kuwachangia Dollar 500 haki imenitoa chonzi hii stori

    • @nurudovino7305
      @nurudovino7305 6 ปีที่แล้ว +2

      Collins Elamwenya hakika inatia hurumaa

    • @elizabethsuthelizabethsuth2049
      @elizabethsuthelizabethsuth2049 6 ปีที่แล้ว +1

      Collins Elamwenya nambaya zaidi ambao nimsaada walitangulia mbele ya Haki. Mungu zidisha ulinzi ktk familia hii

    • @aishamohamed9868
      @aishamohamed9868 6 ปีที่แล้ว +1

      Collins Elamwenya .

    • @collinselamwenya8028
      @collinselamwenya8028 6 ปีที่แล้ว

      Aisha Mohamed my email address collinselamwenya2015@gmail.com.....i need address location of that village....+971588320207 that my number

    • @zaitunibudzo8687
      @zaitunibudzo8687 6 ปีที่แล้ว

      Collins Elamwenya wallah ningekua na namba zaho huyo mzee ningemrushia pesa kidogo yani watia huruma mpaka wanitoa machozi vile niko Qatar lakini ningekua Kenya ningewapitia

  • @LydiaMwaipopo
    @LydiaMwaipopo หลายเดือนก่อน

    Hongereni kwa kazi nzuri ya kumsaidia maskini

    • @LydiaMwaipopo
      @LydiaMwaipopo หลายเดือนก่อน

      Mungu atawalipa

  • @maryannwatare9144
    @maryannwatare9144 6 ปีที่แล้ว +1

    I wish the Tanzanian government will help this family and give us a different story. I like the love they have to each other despite the poverty. The man is old and he needs total help at least the kids can get proper education. Antony is a blessed child in this family.

  • @chibadinho9281
    @chibadinho9281 6 ปีที่แล้ว

    Big up bro Dullah umejitahid sana kufika

  • @merciolivier2983
    @merciolivier2983 4 ปีที่แล้ว

    Mungu amusaidiye yatima mwenzangu amupe mafakio katika maisha yake😍

  • @boazimbwaga8771
    @boazimbwaga8771 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu akulinde dg utakuamtu Mkubwa san badae

  • @ukumbushoadam5691
    @ukumbushoadam5691 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤Dogo yupo vizuri sana huyu

  • @angelnyigu
    @angelnyigu 6 ปีที่แล้ว

    😔😔😔😔😔 oooh God ...

  • @dinakidai4118
    @dinakidai4118 6 ปีที่แล้ว

    Antony Mungu akuzidishie baraka umtunze baba

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 6 ปีที่แล้ว

    Daaaah huruma jaman huyu baba kaniliza mwenzenu Mungu awaongoze 😢😢😢😢😢😢😢

  • @prosperpuro1712
    @prosperpuro1712 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana bwana mdogo Antony mwenyezi mungu akwa ngazie mwanga ukatimize ndoto yako kwaajili ya familia yako, dogo anaupendo sana inani uma sana 😭

  • @abdallahyusuph9151
    @abdallahyusuph9151 6 ปีที่แล้ว +20

    Inauma Sana Maisha Ya Huyo Mzee Na Wanae

  • @issadesmond477
    @issadesmond477 6 ปีที่แล้ว +10

    Inatia huruma sn taratibu ziko je zakusaidia jamani

  • @petermasangano401
    @petermasangano401 6 ปีที่แล้ว

    daaah mungu awafanyie wepes Anthony na family yake kweli kuna watoto wanapitia magumu

  • @wamberelove4722
    @wamberelove4722 6 ปีที่แล้ว +1

    if this was in kenya this family could be in a better place by now! I love my country people

    • @willynkya
      @willynkya 6 ปีที่แล้ว +3

      I think now is not the time to brag!!we are all human regardless of where we are from,if you would like to help this family just say so,and not just showingoff of what your country can do.

  • @lillianwanjiru1169
    @lillianwanjiru1169 6 ปีที่แล้ว

    pole sana baba God bless yu

  • @witedsugeleje7276
    @witedsugeleje7276 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa wandishi wa habari

  • @anastaziakasobi7036
    @anastaziakasobi7036 6 ปีที่แล้ว

    Asante ayo TV kwa kutuhabarisha

  • @mathewshedrack603
    @mathewshedrack603 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu aijalie hiyo familia Na mtoto huyo akuwe awasaidie wadogo zake

  • @ibrahimmkoko5850
    @ibrahimmkoko5850 6 ปีที่แล้ว +25

    Mwishoni muwe mnatoa maelezo ya jinsi gani watu wanaweza kuichangia hii familia..... Wengi wameguswa na wapo tayari kumsaidia huyo kijana na familia yake.

    • @txbcamengdg7021
      @txbcamengdg7021 6 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Mkoko Nitafute kwenye hii namba nikuelekeze jinsi ya kuchangia +96879063286 wasap

    • @lucymgulunde1955
      @lucymgulunde1955 6 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Mkoko amina kaka mungu akufungue zaidi

    • @prosperpuro1712
      @prosperpuro1712 6 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Mkoko kabisa kaka

    • @priscarjumanne8962
      @priscarjumanne8962 6 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Mkoko

  • @nurudovino7305
    @nurudovino7305 6 ปีที่แล้ว +1

    Mzee babu kweli uzima ndio kilakitu asant kwakukumshukuru mungu mwenye dunia yake

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 6 ปีที่แล้ว +52

    Hizi pesa za kaya maskini wanapewa watu wa wapi?huyu mtoto ili apige hatua kunwa kunahitajika msaada wa kibinadamu

    • @txbcamengdg7021
      @txbcamengdg7021 6 ปีที่แล้ว

      Mariam Faki Nitafute kwenye hii namba nikuelekeze jinsi ya kuchangia +96879063286 wasap

    • @jamesmbata8542
      @jamesmbata8542 6 ปีที่แล้ว

      nashangaa ata mm sjui hawa tasaf wanasaidia kaya zipi kama wanaishia hv

  • @salmadashlaquimanelaquiman4427
    @salmadashlaquimanelaquiman4427 6 ปีที่แล้ว

    Mmmmmh nakapenda Sana aka katotooo pia polen sana familia kiukwel wanahitaj msaada

  • @seckypanja1910
    @seckypanja1910 6 ปีที่แล้ว +4

    duh umasikini huu, ila Mungu aikumbuke familia hii na nyingine zinazoish maisha magumu

  • @frankkashner
    @frankkashner 6 ปีที่แล้ว +2

    Mpaka najihic kulia kweli kunamaisha Mungu ambariki Antony natamani hata kumchangia kdg nilichonacho

  • @zakhiamohammed1821
    @zakhiamohammed1821 6 ปีที่แล้ว +25

    Tuwekee namna ya kutuma misaada plz

    • @abuusufian6506
      @abuusufian6506 6 ปีที่แล้ว

      Zakhia Mohammed naam

    • @sophiamukirikirimi3581
      @sophiamukirikirimi3581 6 ปีที่แล้ว +1

      Mimi mkenya lakini niko outside the country,And I can help na kidogo ya chakula,kama kuna namna niambiwe

    • @joshuanyonyi8820
      @joshuanyonyi8820 6 ปีที่แล้ว

      Zakhia Mohammed itakuwa vzuri

    • @RomwardWM
      @RomwardWM 6 ปีที่แล้ว

      Millardayo angetupa maelezo mazuri na kumfungulia acc bank ili tutume pesa zimfikie Anthony

    • @sophiamukirikirimi3581
      @sophiamukirikirimi3581 6 ปีที่แล้ว

      Ama mmoja ajitolee aende shule ya huyu mtoto alafu mshahada iwe inapita thru there

  • @rahimarajab4306
    @rahimarajab4306 6 ปีที่แล้ว +4

    Duh inaskitisha sana poleni.

    • @jorgejorge5210
      @jorgejorge5210 6 ปีที่แล้ว

      nimelia kwa kauli hiyo..baba kunyenyekea kwa mtoto ambae nae hana uwezo wa kumtunza baba

  • @rarimirosecasper3002
    @rarimirosecasper3002 6 ปีที่แล้ว +1

    God take the wheel. .touch the kind hearts to help this family 🙏🙏🙏Tz citizens Fanyeni mambo

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 6 ปีที่แล้ว

    Dah Alhamdulillah...kuna watu wana shida..mungu wasaidie ..

  • @miriamngosha6856
    @miriamngosha6856 6 ปีที่แล้ว +8

    Yaan we mtangazaj usishie tu kutangaza fanya na mpango wowote hiyo familia ipate msaada please uyo baba mara gafla kafa jaman watot ni wadogo wataishje jaman

  • @sofiaahmed8880
    @sofiaahmed8880 6 ปีที่แล้ว

    very good boy! may God bless you and your family.

  • @MALKOLUCAS
    @MALKOLUCAS หลายเดือนก่อน

    Anton umetoka mbari mudogo wagu mwenyezi mungu akusaidie musaidie baba kakutoa mbari

  • @qaysimilanzi9354
    @qaysimilanzi9354 6 ปีที่แล้ว +1

    Kweli wote masikini lakini uyu kazidi du, mungu amsaidie mjawake

  • @sarahmollel4287
    @sarahmollel4287 6 ปีที่แล้ว

    Am in tears😭😭😭 maskini Mungu awasaidie

  • @marylema4715
    @marylema4715 6 ปีที่แล้ว

    Jmnjmn Mungu atusaidie utazani story kumbe ndo ilivyoooo

  • @jumangwandu9195
    @jumangwandu9195 6 ปีที่แล้ว +3

    Inaumiza sana 😭😭😭

  • @britonngale365
    @britonngale365 6 ปีที่แล้ว +2

    Hadi inatia huruma Mungu fungua milango ya Baraka kwa Anton

  • @tzben10m.f95
    @tzben10m.f95 6 ปีที่แล้ว

    He is very smart than me. I swear god .one day god gonna blessing this younger boy who take carry for his family . Imagine look who he live with his family. He has loved with family. Hoo god everything is for please look this is family with one heart .

  • @blantinamlelwa8453
    @blantinamlelwa8453 6 ปีที่แล้ว

    jaman pole sana mmh amakweli maisha nisafari ndefu

  • @shabanhamudu1875
    @shabanhamudu1875 6 ปีที่แล้ว

    Kwakweli inatia huruma sana Allah awafanyie wepesi innshaalah

  • @annamtapila5761
    @annamtapila5761 6 ปีที่แล้ว

    Inaumiza sn jamani. Mungu ameshaonekana kwao kwa namna hii. Mbarikiwe kwa kazi njema. Wekeni namna ya kufikiwa kwa familia hii wapate nyumba bora wasije bomokewa na hiyo.
    Mm nakuomba ndogo wake Anton nimsomeshe. Mungu husaidia mtu kupitia mtu.

  • @fatumaomari8115
    @fatumaomari8115 6 ปีที่แล้ว

    Allah ata wasaidia kwa kweli ilaa ina uma sana asante san kaka mtangazaji millardyao

  • @rashidjuma8161
    @rashidjuma8161 6 ปีที่แล้ว +1

    hakika mungu niwawote zidisha maombi yako kaka yangu hakika wewe nimtoto shujaa sana ila unanipa raha pale unapo penda kumshukuru mungu kwa hata hivyo ulivyo daah mungu akupe nguvu

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 6 ปีที่แล้ว

    dah kweli mtu unaweza kudhani unashida Sana lakini usijue kuwa unawatu wanashida zaidi yako!!! mungu wangu awaangazie nuru yake!!! amen

  • @alikiba9723
    @alikiba9723 6 ปีที่แล้ว

    Ndo kwamana kila kucha uwa nashauria watoto wangu shukuruni #Mungu kwa aya maisha madogo tunayo kuna watu hapa chini ya juwa wanateseka, je mimi nikijiita mkosevu ama maskini iyi #familia itaitwa aje?? Tumshukuru Mungu kwa ile rizki ndogo tunayo pata.... Mungu awabariki #MillardAyo Chozi limenimwagika kiukweli dahhh😭😭 +1

  • @lailachuku6227
    @lailachuku6227 6 ปีที่แล้ว

    Mungu kaonekana kuwasaidia kwa njia hii.tuaminini kweli Mungu huonekana kwanjia ya ajabu.Amen amen amen!

  • @abdornephotidas3848
    @abdornephotidas3848 6 ปีที่แล้ว

    Dah!! familia hii inatia huruma sana.... Lkn pia millard hongera kwa kutuletea habar km hiz

  • @jumasalim4894
    @jumasalim4894 6 ปีที่แล้ว

    ..waaaaah really feel this ,am a Kenyan but I feel the whole world is one,I met have a little but it can help out in this,tears flowing now please let me know how to contribute anything I wish to

  • @neemathomas2656
    @neemathomas2656 6 ปีที่แล้ว +1

    Imenigusa sana mungu bariki hii familia

  • @shukurumwangosi9011
    @shukurumwangosi9011 6 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana Ayo TV
    hatuwezi pata namna ya kuorganise michango naguswa kusupport hii familia.
    moyo wangu umeniuma sana.

    • @kenya-yj3eq
      @kenya-yj3eq 6 ปีที่แล้ว

      Shukuru Mwangosi mimi pia imenuma sana jamani Mungu awasaidie but nigepewa huyo mtoto msichana nigelia

    • @shukurumwangosi9011
      @shukurumwangosi9011 6 ปีที่แล้ว

      Zahara Zuhura aiseeh unalifahamu Hilo eneo?

    • @kenya-yj3eq
      @kenya-yj3eq 6 ปีที่แล้ว

      Shukuru Mwangosi sijui uko mimi ni mkenya

    • @shukurumwangosi9011
      @shukurumwangosi9011 6 ปีที่แล้ว

      Zahara Zuhura oooh it's oky.
      natamani sana kupata even mawasiliano Yao. Na tunahitaji kuisupport hii familia hata kwa kidogo tulicho nacho.

    • @kenya-yj3eq
      @kenya-yj3eq 6 ปีที่แล้ว

      Shukuru Mwangosi huyo mtoto msichana yatakikana apate mama amlee kama hakuna aunt zake wanipe mimi.wajuwa uko unipeleke niogee na baba anipe mtoto

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 6 ปีที่แล้ว

    Mimelia mungu.hawasaidiye 😢😢😢😢😢

  • @munayanga3686
    @munayanga3686 6 ปีที่แล้ว

    Pole baba mungu akupe subra