Huyu amefaulu Dunia na akhera yake na Allah amtaqabalie swadaka zake...hata kama ana dhambi anafanya za siri basi watoto hao ndo watetezi wako siku ya Qiyama.... Mashaallah walahi hadi napata wivu wa namm nifanye kama hayo Yaa Allah nami nijaalie mali niwe pamoja na watoto na wajane
ALLAH AKBAR ❤tena ALLAH akujaliye kila la heriii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
HUYU MZEE LUGUMI MCHAWI MKUBWA SAANA😂. HAPA SIMAANISHI MCHAWI WA KIJINGA. YAANI MGANGA WAKE NI MUNGU HUYU. ATAKALO MUNGU ANAMSIKILIZA ASIPO MPA HAPA ATAMPA AKHERA HAJA ALIOIOMBA. YA ALLAH TUJAALIE NA SISI TUWE NI WENYE KUANGALIA YATIMA
Kupitia maneno yako mazuri haya nasi tunamuomba MUNGU(S.W.) akujaalie uwe ni mtu wa kumkimbilia yeye tu kila kwenye haka zako, akufungilie mambo yako na akuingize jannah. ALLAHUMMA amin.
Ndo maana tunaambiwa ukitaka utajiri jenga undugu, huyu kk inaonekana katoboa kwa kuelewana na watu, mpaka anakopeahwa izo ela bila riba make ni wameshibana. Tujitahidi kuongea na watu vizuri
Mungu akutunze sana, lakini Mbona kama naona watoto wa kiislamu tu wakristo hawakukufaa au wote wanajiweza au ni haramu kusaidia watoto wasiojiweza wa kikristo...? Labda anayefahamu kidogo anisaidie tafadhali...
Amabacho hakijui ndugu yetu nikwamba anataka aone wanavaa kama wakristoo ndugu yangu wakristo wapo ila. Utaratib wake avae mavazi ya heshima kama Iman yake inavyomruhusu hawez kukubali watoto wavae mavazi ambayo hayaendani na Iman yake kwahiyoo wapo ila wamevaa kama waislm ndugu yangu
MAA SHAA ALLAH.LUGUMI UMEONYESHA NA UMEFANYA JAMBO KUBWA,AMBALO,MWENYEZI MUNGU MWENYEWE,ALIYEKURUZUQU NEEMA HIYO YA KIPATO CHA FEDHA NA MALI NYINGINE,TUNAIMANI KABISA,ANA KUFURAHIA,KWA WEMA UNAOUFANYA WA KUWAJENGEA MAKAZI MAZURI NA YA KISASA.WATOTO YATIMA!! HAKIKA NI JAMBO KUBWA NA MWENYEZI MUNGU ANARIDHIA MATENDO KAMA HAYO.NASI PIA TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU KWA HURUMA YAKE,KATIKA ULIMWENGU HUO MPYA,TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU NAWE AKAKUFURAHISHE,KAMA UNAVYO WAFURAHISHA WATOTO YATIMA,AKAKULIPE MIONGONI MWA MAJUMBA YA KIFAHARI HUKO PEPONI,AMBAYO MASHEIKH,WATUAMBIA MATOFALI YAKE NI YA DHAHABU NA FEDHA!! HAYO NDIO MAISHA BORA KABISA TUNAUOMBA ALLAH AKAKULIPE KWA MATENDO YAKO MAZURI KAMA HAYA!! YATAKAYOKUWA NI YA MILELE TUNAMUOMBA ALLAH,SIKU HIYO NAWE AKAKUFURAHISHE,KAMA WEWE UNAVYO WAFURAHISHA WATOTO YATIMA!! AAMIIN!! LUGUMI WEWE NI MFANO WA KUIGWA NA UNA MOYO!!MAA SHAA ALLAH.ASANTE SANA LUGUMI,ALLAH AKUZIDISHIE KHERI NYINGI.
Umefanya jambo kubwa sana lakin kumbuka mungu ni wawatu wote siyo waupande mmoja ungepaswa uwende kwa wakristu kuna watoto yatima wengi sana nawo wana uhitaji kama huwo huruma haichagui dini wala kabila
Kikubwa ikawe kher Isije ikawa hawa watoto wakawa sehemu ya project za kishetani,,, tunayaona huko duniani watoto kutumika vibaya sana ikiwemo biashara ya viungo nk
Mdhamini ni Saidi,shuuli lazima iendeshwe ki saidi,kama ambavyo angeandaa John lazima ingeendeshwa ki john john, (Kuna vituo vya watoto yatima vya kikiristo)
Kama unafanya kwa moyo Mungu anakubariki lakini kama unafanya ili kusafisha jina lako ambalo hapo awali halijawahi kua na taswira nzuri kwenye masikio ya watanzania juu ya fedha haramu za tenda feki ziliolipwa na watanzania masikini jua haitokusaidia chochote usije shangaa ikawa ni political mission tuh
Hahaha hata ruga ya kiarabu pia inakuumiza mim nimewaisana kukuelewa hofuyako hio ruga ni ruga ya dunia kwa ibada za ki Islam kwaiyo ukiona mtu kaandika mashallah unahuzunika sana ila ukiona mtu anaongea kizungu Aah unafurahia unasema huyo ni msomisaana
Mashaallah tabaraqallah Allah amzidishie said Lugumi, ALLAH anijalie na mm uwezo kidgo tu nieze kulea yatima ht km ni wachache
Allah ampe maisha marefu LUGUMI na kizazi chake very inspired🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mashallah Allaah akulinde na hasada na watoto waliopata ajali Allaah awafanyie wepesi wapone haraka
Huyu amefaulu Dunia na akhera yake na Allah amtaqabalie swadaka zake...hata kama ana dhambi anafanya za siri basi watoto hao ndo watetezi wako siku ya Qiyama.... Mashaallah walahi hadi napata wivu wa namm nifanye kama hayo Yaa Allah nami nijaalie mali niwe pamoja na watoto na wajane
Dini yenu ndio inawaambia hivo
Mungu ampe mwisho mwema yeye pamoja na sisi
Aamin rabbilg'aalamin
Hakika@@GeorgeChitemo-kt8sw
Mashallah
Tunafurahi kumuona mtu wapeponi akiwa ju ya ardhi. Allah akujalie muisho muema
Kabisa yaan
Masha Allah ,haya ndio maisha ninayoyataka maisha yangu.Yaa Allah nifikishe kwenye kutenda mema
Aya ndio Mambo ya kuacha apa Dunian
Alichokifanya lugumi ni zaidi ya ibaada Mungu akutunze
ALLAH Akuhifadh Atuzidishie mapenz ya watu wote wenye uhitaji🎉🎉🎉🎉
What a lucky guy.hongera sana mwajina
Mungu azidi kubariki Mr lugumi mana Kila Leo una jambo la kheri
Ewe ndugu yangu Muislam ambaye Allah amekujalia uwezo wa kipato tumia sehemu kwa kusaidia wenye mahitaji kama LUGUMI^Allah amzidishi heri nyingi
Inshallah
Daah Allah atufanyie wepesi 🙏 akufanyie wepesi kaka kwakila Jambo lako
Allah akuzidishe ktk kheir Yaarab,nas atujaalie tuwe ktk wale Wenje matendo yamrishishayo Allah
Manshaarah hakika umejiwekea Hazina mbiguni mungu akulinde sana akuongeze pale ulipoa
Mashallah tabarakallah malipo ni kwa Allah usisahau kuyafanya hayo kwa ikhlaswi bila shaka malipo yako ni makubwa kwa Allah
ALLAH AKBAR ❤tena ALLAH akujaliye kila la heriii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akuweke sana Lugumi,,,,ukisikia Mungu antenna kupitia watu, ndo hivi!
Allah akupe afya siha na tobaaa iliopokelewa .ww ni mfano mkubwa sanna kwangu.
Mzee lugumi ishi miaka mingi mzee MUNGU nimwema 🙏
Duh , alah akujalie Mr Lugumi. Nnashida mimi naitwa Mama Allen sijui naweza kukupataje. Nahitaji sana msaada toka kwako
Masha'Allah, Allah atakupa kivuli siku ya kiyama Amiin.
Mashaallah mungu akuhifadhi na akulinde kwa mabaya na akutangulizie kila jema AMIN
HUYU MZEE LUGUMI MCHAWI MKUBWA SAANA😂. HAPA SIMAANISHI MCHAWI WA KIJINGA. YAANI MGANGA WAKE NI MUNGU HUYU. ATAKALO MUNGU ANAMSIKILIZA ASIPO MPA HAPA ATAMPA AKHERA HAJA ALIOIOMBA. YA ALLAH TUJAALIE NA SISI TUWE NI WENYE KUANGALIA YATIMA
Kupitia maneno yako mazuri haya nasi tunamuomba MUNGU(S.W.) akujaalie uwe ni mtu wa kumkimbilia yeye tu kila kwenye haka zako, akufungilie mambo yako na akuingize jannah. ALLAHUMMA amin.
Mwenyezi mungu akuzidishie sana Kwa upendo wako Kwa watt
Alllah akulipe heri kwakuwafariji watoto yatima. Allahu akibarr😭
Allah akuhifadh Saidy Lugumi
Allah atakufanyia wepesi inshaallah upate hitaji lako hapa duniani na kesho Akhera inshaallah
Hongera sana Saidi Lugumi.
MashaAllah ❤❤❤❤ Allah akuzidishie palipo punguwa
Ewe mwenyezi mungu nijalie na mm niweze kualea hata kama ni wa chache yaarabi
Mw. mungu akupe maisha marefu. maana kufanya hiro jambo ni wito wa mw.mungu.Kuna watu watajitokeza kukuchafua.
Mashallah tabarakallah takbiir Allah Akbar Allah akuongezee Mali zaid ili uendelee kulea mayatima
Allah akuzidishe bb angu. Somo w mwanangu
Mashallah mungu akubarik
Mashallah Allah akuongezee duniani na akhera
Ma Shaa Allah Tabarakallah Allah barik 🤲
Allah akuzidishiya na akufanyiy wepesi
Mungu akuzidishie ulipotoa ❤️❤️❤️
Masha Allah may Allah protect you and bless you sir❤❤❤❤
Allah akuzisishie katka kheri
Ndo maana tunaambiwa ukitaka utajiri jenga undugu, huyu kk inaonekana katoboa kwa kuelewana na watu, mpaka anakopeahwa izo ela bila riba make ni wameshibana. Tujitahidi kuongea na watu vizuri
Dah Allah akuongoze kaka na akujaalie zaidi na zaidi japo mimi hujawahi kunisaidia ila kwa haya Big up sana
Mungu akulinde inshallah 🤲❤
Mashaa Allah, Allah azidi kukubariki
Ww ndiyo role model wangu aisii
Huwezi kuondolewa dhambi na Mungu kwa kutenda mema.Hata mawakala wa Ibilisi wanatenda mema zaidi.Unaondolewa dhambi kwa toba halisi.
Hiyo ni kati yake yeye na Mungu wake na imani yake, baas. Kama imani yake inasema hawa watamsaidia kumuondolea dhambi, basi tuiache iwe hivyo!
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Lugumi kwa Kujali na kuwa na Moyo wa Kusaidia🎉🎉🎉
Enjoy the Beautiful Music from EGM
Mungu anijaalie nije kujengea yatima InshAllah an Allahumaa Amiin
Mungu akusimamie Kwa utu na upendo🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
ALLAH NAKUOMBA UMPE LUGUMI MAISHA MAREFU AENDELEE KUWAPA MWANGA WATOTO WASIO NA MAKAZI WALA MALEZI YA WAZAZI WAO (YATIMA) 🤲🤲
Allah akubariki sana na akupe maisha marefu na pia Allah aendelee kufanikisha mipango/miradi yako
Allah akuzidishie katika rizki ndug, unachokifanya unapaswa kuigwa
Masha allah Allah amuongezee
Allah amzidishie katika hayo hayafanyayo
🎉🎉🎉 Upendo🎉🎉🎉
From 🇧🇮 mashaallah ❤❤
Mungu akutunze sana, lakini Mbona kama naona watoto wa kiislamu tu wakristo hawakukufaa au wote wanajiweza au ni haramu kusaidia watoto wasiojiweza wa kikristo...?
Labda anayefahamu kidogo anisaidie tafadhali...
Mbona kasema apo au hujasikia umo mna watoto zaid ya Mia mbili wakristo
Amabacho hakijui ndugu yetu nikwamba anataka aone wanavaa kama wakristoo ndugu yangu wakristo wapo ila. Utaratib wake avae mavazi ya heshima kama Iman yake inavyomruhusu hawez kukubali watoto wavae mavazi ambayo hayaendani na Iman yake kwahiyoo wapo ila wamevaa kama waislm ndugu yangu
Jamaa mtu poa sana very hamble
Asee uyo brother mungu atunze
Hakuna ajuwaye mambo yarohoni zaidi ya mungu
Sijaona tusi umu alhamdulillah maana sisi waswahili.
Safiiii sanaa mwamba
Ukishabarikiwa nacho bc nawe jaribu kuwapa wengine wafurahie nawao kuwepo duniani
Mungu akutunze
Ila ih nchi ina matajiri ila we lugumi ni wa kuigwa seeeeee acha tu kaka
MAA SHAA ALLAH.LUGUMI UMEONYESHA NA UMEFANYA JAMBO KUBWA,AMBALO,MWENYEZI MUNGU MWENYEWE,ALIYEKURUZUQU NEEMA HIYO YA KIPATO CHA FEDHA NA MALI NYINGINE,TUNAIMANI KABISA,ANA KUFURAHIA,KWA WEMA UNAOUFANYA WA KUWAJENGEA MAKAZI MAZURI NA YA KISASA.WATOTO YATIMA!! HAKIKA NI JAMBO KUBWA NA MWENYEZI MUNGU ANARIDHIA MATENDO KAMA HAYO.NASI PIA TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU KWA HURUMA YAKE,KATIKA ULIMWENGU HUO MPYA,TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU NAWE AKAKUFURAHISHE,KAMA UNAVYO WAFURAHISHA WATOTO YATIMA,AKAKULIPE MIONGONI MWA MAJUMBA YA KIFAHARI HUKO PEPONI,AMBAYO MASHEIKH,WATUAMBIA MATOFALI YAKE NI YA DHAHABU NA FEDHA!! HAYO NDIO MAISHA BORA KABISA TUNAUOMBA ALLAH AKAKULIPE KWA MATENDO YAKO MAZURI KAMA HAYA!! YATAKAYOKUWA NI YA MILELE TUNAMUOMBA ALLAH,SIKU HIYO NAWE AKAKUFURAHISHE,KAMA WEWE UNAVYO WAFURAHISHA WATOTO YATIMA!! AAMIIN!! LUGUMI WEWE NI MFANO WA KUIGWA NA UNA MOYO!!MAA SHAA ALLAH.ASANTE SANA LUGUMI,ALLAH AKUZIDISHIE KHERI NYINGI.
Hakika Mwenyezi akuzidishie kingi zaidi na akupe afya njema ili wengi zaidi wanufaike.
MASHAALLAH 👏😘
Umefanya jambo kubwa sana lakin kumbuka mungu ni wawatu wote siyo waupande mmoja ungepaswa uwende kwa wakristu kuna watoto yatima wengi sana nawo wana uhitaji kama huwo huruma haichagui dini wala kabila
Kikubwa ikawe kher
Isije ikawa hawa watoto wakawa sehemu ya project za kishetani,,, tunayaona huko duniani watoto kutumika vibaya sana ikiwemo biashara ya viungo nk
Daaa nimeshindwa kusema chchote uyu hawezi kukosa kila atakachokiomba
Allah humma ttakabball duua ya rwabb
Hongera kwa kazi nzuri Mungu aendelee kukuweka. Naomba kuuliza huku kwa watoto yatima hamna wakristo?
Mdhamini ni Saidi,shuuli lazima iendeshwe ki saidi,kama ambavyo angeandaa John lazima ingeendeshwa ki john john,
(Kuna vituo vya watoto yatima vya kikiristo)
Wapo ila wamevaa kama waislm kulingana na Iman yake
Mwanangu nataka nimpe jina la Lugumi
Mwenyezi Mungu akuzidishie Said Lugumi na Mimi pia niwe kama wewe
Amiin mashallah tabarakaallah
Kama unafanya kwa moyo Mungu anakubariki lakini kama unafanya ili kusafisha jina lako ambalo hapo awali halijawahi kua na taswira nzuri kwenye masikio ya watanzania juu ya fedha haramu za tenda feki ziliolipwa na watanzania masikini jua haitokusaidia chochote usije shangaa ikawa ni political mission tuh
Natamani ata nikutane na wewe nikuambie jinsi nimeapriciate kwa kufanya ivo❤❤❤
Muombee Dua
Mueleze humu humu sio lazma mkutane au unataka umpge na ngeu?
Habar,
Nani anafaham namba ya huyu presenter?
Allah awazidishie
Masha Allah
Jambo la kheri❤❤❤❤
Mungu akulinde
Mungu amjaalie uchamungu ili ewe mtu wa peponi mtuhuyo amefanya jambo zurisana tena sio jepes anamoyo mzurisana tujifunzekwake
Alhamdulillah
mashaallah
Umetikea wapi
Kama Lugumi anadaiwa Mimi ni nani😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Watanziania munagonga kiarab huzuni
Na watanzania waogonga Kiingereza wao hawatii huzuni? Au Kiingereza ni lugha yetu au ya mababu zetu ya kiasili? Hebu tuache makasiriko!
Hahaha hata ruga ya kiarabu pia inakuumiza mim nimewaisana kukuelewa hofuyako hio ruga ni ruga ya dunia kwa ibada za ki Islam kwaiyo ukiona mtu kaandika mashallah unahuzunika sana ila ukiona mtu anaongea kizungu Aah unafurahia unasema huyo ni msomisaana
Ya Allah ya allha
Mbona ssa ni dining moja tu
Mashalahaa Alha akujalie kilalaeli akupe maisha malefu yenye manufaa
Mashallah, baraka llahu fiykum.
Haya ndiyo mambo ya kufanya na kuiga.
Kongole kwako.
Mzee najua wewe umefanikiwa
Big up broo
Wanalia humu humu baada ya kuuza watoto
Nimaomi yangu tujiandae kisaikolijia pengine anania njema au ovu matajori wakubwa wanasirinzito sanaaa
Uyu simswahili ni muarabu mweusi mswahili hanaroho kamahii
Apana mungu akitaka kukuongoa anakuongoa2
Huyu jamaa ni bro wa Chid benz au
Mashallah Allah akujalie kila la kheri fill dunia wall akheraa amin
Je hao yatima ni dini zote au