Asalam aleykum mimi nachanganyikiwa ikiwa wamekufa watu ambao hawakua katika safina ss inakuaje tena Mtume aishike urithi wa uzao kutokea kwa Ismail? km baba wa waarabu ni sam inakuaje katika waarabu kwamba kabila la (aariba) kizazi chao ni saam na (mustaariba) kizazi cha Isamil?. Naombeni majibu kwa mwenye uelewa na dalili pia
Aisha Said sawa ila nimeuliza wao wangenisaidia kumfikia sheikh mana wapo karibu naye wakikaa kimya wanakua wanakosea. mpk wanaweka video manake ukaribu wao ni mkubwa kuliko ukaribu wng mm na sheikh na sijui jinsi ya kumpata. basi wangeweka mawasiliano au njia za kumpata tukamuuliza km walivoweka video ila kukaa kimya sio sawa abadan. hata kunijibu wameshindwa kwamba nimeuliza vibaya ama. nimejiskia vibaya sana.
Sheikh othman maalim Allah akupe umri mrefu uzidi kutupa elim 🤲🤲🤲
Mashallwa mwenyez mungu akupe kila heri
Jazaka Allah kher Mola akuzindshe kila la kher
Mashaa Allah Allahumma baarik
حفظك الله شيخ
jazaka llahu lkheir sheikh
Mashaa Allah kawaida mazuri na yanamafundisho haswa Allah akuhifadhi sheikh Othuman
Masha Allah ❤❤❤
Mashalaah Allah akulipe kher
Sadaqta Sheikh Ma shaa Allah.
M/Mungu tujaalie mwisho mwema
nashkuru sana Sheikh Othman maalim kwa kazi yako nzuri...you have change my life
Amiiin,, kheri za Allah zikuzunguke inshaallah!,
@@omarykatongo4943 Amiin
@@mariamnuru9939 inshaallah
@@mariamnuru9939 inaishia wapi ukhut
@@omarykatongo4943 kenya but niko qatar ki kazi
ASSALAM ALAIKUM NAAM SHEKH UTHMAN MAALIM MASHALLAH...ALLAH AKUPE MWISHO MWEMA
Mashaa ALLAH
WachA Mb hata Gb ntamaliza Kwa kumskia Maalim wangu Othman maali
Allah akuzidishie UMRI MREFU inshallah
Jazakallahu kheri
Bismillah Rahman Raheem.Mwenyezi Mungu Mkubwa atawaonesha waliowaweka ndani miaka minane mashehe In Shaa Allah. Ya Rabi Allameen.
Mashaallah
Mashallah
MASHAALLAH
Allah Akulipen Kher Duniah na Akhera Riyadh TV... Mnakwama WAP kutuwekea Video Badala Ya kugandisha Picha????...
Now if i may ask,why are you uploading audio only...??? TH-cam is not meant for audio
wataka kuona nini? hutosheki na mawaidha
@@AHMEDHASSAN-pq9tg don't be silly bro.
I rest my case.
Alhamdulillah 😆😆😆😆😆😆😆
zayyati na faiza kumekucha riadhi tv vipi mumeamka vizur
mawaidha haya yanikumbusha marehem radio kher lakin tunamshukuru mungu kutuletea riadhi tv
mohamed saidy 😁
mohamed saidy nipo asnte
mohamed saidy zayyat sijui yuko natatizo gani
@@faizasaid8262 mwezako icje kua kafungiwa ndan n.a. shem maana tokea jana kimya
Mbona Video hatuoni
SUALI? KATIKA KISA CHA NUH VIUMBE WALIKAA KWENYE JSHAZI KWA MDA WA MIEZI 3 JE WALIKULA NINI?
Asalam aleykum mimi nachanganyikiwa ikiwa wamekufa watu ambao hawakua katika safina ss inakuaje tena Mtume aishike urithi wa uzao kutokea kwa Ismail? km baba wa waarabu ni sam inakuaje katika waarabu kwamba kabila la (aariba) kizazi chao ni saam na (mustaariba) kizazi cha Isamil?. Naombeni majibu kwa mwenye uelewa na dalili pia
Riyadh hamunijibu? au hamna jibu la hili
Mtafute sheikh mwenyew akufahamishe riyadh hawawezi kukujibu kwa sababu wao sio waliotoa mawaidha hii ni chanal tuu
Aisha Said sawa ila nimeuliza wao wangenisaidia kumfikia sheikh mana wapo karibu naye wakikaa kimya wanakua wanakosea. mpk wanaweka video manake ukaribu wao ni mkubwa kuliko ukaribu wng mm na sheikh na sijui jinsi ya kumpata. basi wangeweka mawasiliano au njia za kumpata tukamuuliza km walivoweka video ila kukaa kimya sio sawa abadan. hata kunijibu wameshindwa kwamba nimeuliza vibaya ama. nimejiskia vibaya sana.
waleikum salam watoto ni sam, Ham na yafidh ndio walikua watoto wa Nabii Nuh waliokua katika safina ...hakuna ismail skiliza kwa makini ndugu