![Islamic Kindness](/img/default-banner.jpg)
- 279
- 1 142 044
Islamic Kindness
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 28 เม.ย. 2020
ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ
Kwa jina la Mwenyezi mungu mwingi wa rehma mwenye kurehemu
Shukrani zote njema zinamstahikia Mwenyezi mungu muumba Mbingu na Ardhi ambaye ametupa uhai baada yakuwa ametufisha na kwake yeye (Allah) ndio tutarejea.🙏🏿
***********************************************************
Islamic Kindness ni channel ambayo inakuletea Mafundisho,Mawaidha na Matukio mbali mbali ya Dini ya Kiislam.
SUBSCRIBE,
LIKE,
COMMENT,
SHARE
Ili kupata Mawaidha na Mafunzo kutoka kwa Masheikh mbali mbali.
Inshallah 🙏
***********************************************************
"Twalabul ilmu faridhwatun a'lakuli muslimin wal muslimat"
#Kutafuta elimu ni lazma kwa kila muislam mwanaume na muislam mwanamke #.
Asante
Kwa jina la Mwenyezi mungu mwingi wa rehma mwenye kurehemu
Shukrani zote njema zinamstahikia Mwenyezi mungu muumba Mbingu na Ardhi ambaye ametupa uhai baada yakuwa ametufisha na kwake yeye (Allah) ndio tutarejea.🙏🏿
***********************************************************
Islamic Kindness ni channel ambayo inakuletea Mafundisho,Mawaidha na Matukio mbali mbali ya Dini ya Kiislam.
SUBSCRIBE,
LIKE,
COMMENT,
SHARE
Ili kupata Mawaidha na Mafunzo kutoka kwa Masheikh mbali mbali.
Inshallah 🙏
***********************************************************
"Twalabul ilmu faridhwatun a'lakuli muslimin wal muslimat"
#Kutafuta elimu ni lazma kwa kila muislam mwanaume na muislam mwanamke #.
Asante
Maangamizi ya Allah 2 - Sheikh Nassor Bachu
Darsa/Mawaidha: Maangamizi ya Allah yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu).
#SheikhNassorBachu
#newyears
#uislam
#Mawaidha
#IslamicKindness
#SheikhNassorBachu
#newyears
#uislam
#Mawaidha
#IslamicKindness
มุมมอง: 51
วีดีโอ
Maangamizi ya Allah 1 - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 14716 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Darsa/Mawaidha: Maangamizi ya Allah yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #newyears #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Mwaka Mpya katika Uislam - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 18114 วันที่ผ่านมา
Darsa/Mawaidha: Mwaka Mpya katika Uislam - Sheikh Nassor Bachu yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #newyears #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Rukya ya Uzushi katika Siku ya Ashuraa - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 9421 วันที่ผ่านมา
Darsa/Mawaidha: Rukya ya Uzushi katika Siku ya Ashuraa yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #rukyah #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Kutosheka na Quran na kuacha Hadithi - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 197หลายเดือนก่อน
Darsa/Mawaidha: Kutosheka na Quran na kuacha Hadithi yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #quran #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Masiku kumi ya mwezi wa Dhulhija - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 347หลายเดือนก่อน
Darsa/Mawaidha: Masiku kumi ya mwezi wa Dhulhija yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #hijja #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Mambo yaliyo wajibu kwa Mgonjwa - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 682 หลายเดือนก่อน
Darsa/Mawaidha: Mambo yaliyo wajibu kwa Mgonjwa yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #mgonjwa #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Fardhi na Sunna za Safari - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 1212 หลายเดือนก่อน
Darsa/Mawaidha:Fardhi na Sunna za Safari yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #safari #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Muuza na Anayeuziwa - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 2482 หลายเดือนก่อน
Darsa/Mawaidha:Muuza na Anayeuziwa yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #Mambo5yanayohuishanyoyo #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Mambo 5 yenye kuhuisha nyoyo - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 1493 หลายเดือนก่อน
Darsa/Mawaidha:Mambo 5 yenye kuhuisha nyoyo yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #Mambo5yanayohuishanyoyo #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Unafki na Ujana - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 2273 หลายเดือนก่อน
Darsa/Mawaidha: Unafki na Ujana yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #UnafkinaUjana #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Shirki Kubwa- Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 2343 หลายเดือนก่อน
Darsa/Mawaidha: Kuhusu Shirki Kubwa yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #ShirkiKubwa #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Shirki Ndogo - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 1393 หลายเดือนก่อน
Darsa/Mawaidha: Kuhusu Shirki Ndogo yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #ShirkiNdogo #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Husda - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 4594 หลายเดือนก่อน
Darsa/Mawaidha: Kuhusu Husda yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #Husda #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Qiyamul Layl 4 - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 1504 หลายเดือนก่อน
Darsa/Mawaidha: Kuhusu Qiyamulayl yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #QiyamulLayl #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Kinga ya Mabalaa - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 1.9K5 หลายเดือนก่อน
Kinga ya Mabalaa - Sheikh Nassor Bachu
Kheri za Dunia na Akhera - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 1.8K9 หลายเดือนก่อน
Kheri za Dunia na Akhera - Sheikh Nassor Bachu
Usalama wa ndoa - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 1.7K9 หลายเดือนก่อน
Usalama wa ndoa - Sheikh Nassor Bachu
Kukoga Mume pamoja na Mkewe (Fiqhu Sunnah) - Sheikh Nassor Bachu
มุมมอง 46610 หลายเดือนก่อน
Kukoga Mume pamoja na Mkewe (Fiqhu Sunnah) - Sheikh Nassor Bachu
Mambo ambayo humsaidia mke kupata sifa za wanawake wema 11/13 - Sheikh Abdallah Humeid
มุมมอง 18610 หลายเดือนก่อน
Mambo ambayo humsaidia mke kupata sifa za wanawake wema 11/13 - Sheikh Abdallah Humeid
Kujibidiisha kumridhisha Mume katika kila njia iwezekanavyo 10/13 - Sheikh Abdallah Humeid
มุมมอง 14510 หลายเดือนก่อน
Kujibidiisha kumridhisha Mume katika kila njia iwezekanavyo 10/13 - Sheikh Abdallah Humeid
Kumshukuru mume na kutozitoa nguo zake katika nyumba isiyokuwa yake 9/13 - Sheikh Abdallah Humeid
มุมมอง 10611 หลายเดือนก่อน
Kumshukuru mume na kutozitoa nguo zake katika nyumba isiyokuwa yake 9/13 - Sheikh Abdallah Humeid
Kutokutoa Mali bila ya Ruhusa ya mume (Sifa Mke Mwema) 8/13 - Sheikh Abdallah Humeid
มุมมอง 21011 หลายเดือนก่อน
Kutokutoa Mali bila ya Ruhusa ya mume (Sifa Mke Mwema) 8/13 - Sheikh Abdallah Humeid
Kuhifadhi Siri na Kujipamba kwaajili ya mume (Swifatu Zaujatu Swaalihah) 7/13 Sheikh Abdallah Humeid
มุมมอง 16211 หลายเดือนก่อน
Kuhifadhi Siri na Kujipamba kwaajili ya mume (Swifatu Zaujatu Swaalihah) 7/13 Sheikh Abdallah Humeid
Allah akufanyie wepesi ktk maisha yako na akulinde na Shari za usiku na mchana
Channel nyingi sana wanaweka contents za huyu Sheikh TH-cam wanatengeneza hela. Lakini kwa contents zake leo huyu angekuwa Billionaire ametengeneza contents kubwa sana na nchi zote zinazo ongea Kiswahili anapendwa sana lafudhi yake.
Assalamualaykum,lslamic kindness kuna ramadhan fulani miaka miwili au mitatu mulituma AHKAMUL JANAIZ darsa za huyu sheikh nitazipataje mi nazihitaji.
Waalekum salam warahmatullah, zipo humu katika chenell au ulikua unazitaka vip
@@IslamicKindness Najaribu kuzitafuta lkn sizipati zote,au nikizipata sizipati kwa mpangilio kama mlivozituma,vp haiwezekani kuzituma tena ili tukajifunza tena kama tupo darasani? Mana mm nakua na kitabu nasoma kabisa
Allah atosha
Allah amrehem
Masha Allah
رحمه الله تعالى
Rahimahu-llahu a'layh
Rahiimahullahu
Allah Atufanyie wepesi Insha Allah🙏🙏🙏
MashaAllah
Allahu magfir LLAHU warahamahu
Hii mada tayari mulishaiweka zamani tuwekeeni mada za maulid, hitma, FIQHU SUNNA. RIYADHI SWALLIHIN. AU ZOZOTE ZA SHEKH NASSOR BACHU. ALLAH AFANYIE WEPESI HUKO ALIPO HAKIKA DAW'A ALIIFIKISHA
shukran
Masha Allah
❤
شُكْرًا
ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ ٱللَّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ Ahsanteni kwa kazi nzuri ya kuendelea kutukusanyia tapes za shaykh Nassor Bachu (رَحِمَهُ ٱللَّٰهُ) Allah azidi kuwapa nguvu ya kuendeleza kazi hii, na awalipe ujira mwema.
Amin
Allah kujalie pepo inshaallah qiyaman tukutane
Yaarab tuepushe na madhambi na atujaalie mwisho mwema
Mashallah
Alimhamdulillah nimefarijika sana Mwenyezi Mungu akufutue madhambi Yako yote amiin
Masha Allah kwa kukuwa na ufasaha wamaneno na kuzungumza na mtu hufurahi kuzungumza lakini swali langu nimoja nimoja kwa zamahizi hizi za mitandao tunanaambiwa tusiamini kila linalozungumzwa nauliza je hii ilmu yako niwapi umeisoma ili kuhakikisha unayoyazungumza insha'Allah.
Allah tunakuomba tuifadhi😂😂
😂😂tulipoteza sheikh mkweli
Allah akulipe pepo ya juu
Amenn
Allah ninakuomba lijalie kaburi lake liwe miongoni mwa viwanja peponi,muondolee adhabu ya kaburi,msamehe pale alipokosea,na siku ya kiyama umpe kitabu kitabu chake kwa mkono wa kulia na umuingize katika pepo ya firdaus kwa Rehema zako.Amiina
Allah akurehemu sheikh
Hakuna kama sh othman maalim ktk ulimwengu. Othman ni mmoja2 ktk ulimwengu mashallah nampenda sana. Allah amuongoze ktk maisha yke. Na amjaalie pepo iwe do mahala pale inshallah amin
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Allhamdu lillah
Allahumma ghufrillahu warhamhu
Asalaam alaykum. Mbona kimya sana hamupo hewani, Tuwekeeni Bachu angalau kwa siku mada moja
waalekum salam warahmatullah wabarakatu inshallah tutajitahid.
Maashaallah
Huku bongo watu wanafunga lkn wengi hawaswali kabisa
May Allah grant sheikh the highest heaven, yarab bless sheikh bachu and his offsprings.
Mungu akujalie husni lhatima
Allah akuhifadhi othman maalim❤
Mashahallah Allah akuweke othoman maalimu
Mashalwah, mwenyezi mungu akupe umri mrefu na afya njema shekh othman maalim
Aamen
Allah akulaze mahala pema peponi shehe
Sh ninayemoeda
Alhamdulilah
Mashaallah Allah akujaze kher shegh
Masha Allah
Mungu aukubaliki shekhe mselem ally
MashAllah 😊
Alhamdulilah
❤
Alhamdulilah kwa neema ya uislam