MAGUFULI : 'Eleza tu kama umekula pesa Nikusamehe'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 242

  • @bck8163
    @bck8163 6 ปีที่แล้ว +3

    Magufulification of Afrika should go forward Ben from Kenya. proud to beTz neighbour proud of you Magufuli.

  • @lugendondayanse4910
    @lugendondayanse4910 5 ปีที่แล้ว

    Mtu akifanya vzr, , muungwana atamuunga mkono, kinyume na hapo ashauri au asimamishe hoja. Gonga like kama unasapoti hii system ya Rais wetu kipenzi!!, Dr JPM

  • @mwaikadu7474
    @mwaikadu7474 6 ปีที่แล้ว +125

    Waah Hapa Kenya Hii haiezekani,, rais huwa anatuuliza "mnataka nifanye nini? "

    • @steveswakei9600
      @steveswakei9600 6 ปีที่แล้ว +7

      hata haulizi bwana. anauliza china tu ikiwa kuna pesa anaweza pata

    • @markmwiti1106
      @markmwiti1106 6 ปีที่แล้ว +1

      So you have not seen the president sacking ministers.Do you expect the president to sack a governor..?? Yet he got no powers

    • @raffraffie7799
      @raffraffie7799 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @elijahm.muthini
      @elijahm.muthini 6 ปีที่แล้ว

      Yesu😥

    • @loobkooblai3591
      @loobkooblai3591 6 ปีที่แล้ว

      Uhuru Kenyatta ndiye mfisadi mkuu. Ni mwizi na muuaji.

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 6 ปีที่แล้ว +37

    Mkurugenzi.uko vizuri kwa data na unajiamini. Mimi pia nakufagilia, mikono yako ni safi. Big up.👍👍👍

    • @mussanavas1283
      @mussanavas1283 6 ปีที่แล้ว

      Margareth Solomon jamaaa anaongea afu anajiamini sana nimemkubali 👌

    • @charlesotwalo4882
      @charlesotwalo4882 6 ปีที่แล้ว

      Mussa Navas Mkurugenzi uko vzri maelezo ina ridhisha heko na Mungu akulinde safi sana

    • @shadwakoli
      @shadwakoli 5 ปีที่แล้ว

      Margareth Solomon daah

  • @girukwishyaka
    @girukwishyaka 6 ปีที่แล้ว +8

    This guy sounds vwry humble, respecful, professional and smart. Big up sana and I hope you're innocent!!!

  • @crazyaboboz8687
    @crazyaboboz8687 6 ปีที่แล้ว +26

    If Kenya is able to thrive and lead east Africa with that level of corruption. Imagine how far we would have gone if there was no corruption

    • @saibiu7201
      @saibiu7201 6 ปีที่แล้ว +3

      Its becouse of that corruption that all multinational companies invest in kenya and all drug dealers and money laundering cartels prefer to call it home

    • @mwangikimani3970
      @mwangikimani3970 6 ปีที่แล้ว +1

      lets see in 10yr ... 15yrs time if it will still be leading. There is nothing special about Kenya anymore, we are in massive debt crisis, corrupt tribal leadership, unstable political environment. Even Egypt used to be the 2nd richest country in Africa, look at it now, a basket case.

    • @hhunglee5184
      @hhunglee5184 6 ปีที่แล้ว

      Corruption in kenya is part of the revenue

  • @balthazarymitti7571
    @balthazarymitti7571 6 ปีที่แล้ว +8

    Good DED yupo vizuri sana, anajiamini kweli kweli

  • @reflexminty
    @reflexminty 6 ปีที่แล้ว +1

    Who bewitched Kenya!!!! I need to see these happening home. Mkono wa mkurugenzi ni safi kama panda. Hongera sana

  • @stediusbernado2053
    @stediusbernado2053 6 ปีที่แล้ว +13

    Uyu mkurugenzi anaonekana yuko vizuri sana. Kajieleza vizuri sana

  • @ابوعبدالرحمن-س5ز3ض
    @ابوعبدالرحمن-س5ز3ض 6 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli hao viongozi usipe nafasi wabane tunataka tanzania yetu ibadilike na mungu akuhifadhi magufuli amin

  • @wangondujohn1666
    @wangondujohn1666 6 ปีที่แล้ว +9

    Intimidation at it's best. Heri Kenya yetu. Huu upuuzi hauwezi kuonekana

  • @OgollaJr
    @OgollaJr 6 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli, Murathe... There is something special about M

  • @msigwadamson3645
    @msigwadamson3645 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Mkulugenzi Kweli Mkono Yako Ni Salama Big Up

  • @lazarokakondele7290
    @lazarokakondele7290 6 ปีที่แล้ว +13

    Yuko vizuri ,lakini ni kama kawaida yetu kaanzia mbali mwishoni ndio anajibu swali big up DED😂😂😂😂

  • @emmanuellaurent2234
    @emmanuellaurent2234 6 ปีที่แล้ว +5

    Hata kama umeiba, DED umefanya wizi wa akili... Big Up!

  • @maarufabdul128
    @maarufabdul128 6 ปีที่แล้ว +17

    Congratulations to Mr President Magufuli

  • @jumaramadhan3276
    @jumaramadhan3276 6 ปีที่แล้ว +1

    Am Kenyan BT napenda TZ.
    How I wish niget citizenship ya TZ. The best African country ever. Corruption free country

  • @ibrahimmchumo941
    @ibrahimmchumo941 6 ปีที่แล้ว +1

    well done mkurugenzi. confident and to the point.

  • @sharifusharifu1935
    @sharifusharifu1935 6 ปีที่แล้ว

    mkurungezi yuko vizuri saana Kwanza anajiamini naana wasi wasi safi saana

  • @anthonyokwir6158
    @anthonyokwir6158 6 ปีที่แล้ว +1

    That's the best President ever in east Africa in this 21 century

  • @ابوعبدالرحمن-س5ز3ض
    @ابوعبدالرحمن-س5ز3ض 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali raisi magufuli wabane hao viongozi uliowachagua

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 6 ปีที่แล้ว +10

    kuja Kenya Magufuli

  • @innocentleon9918
    @innocentleon9918 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mbariki rais wetu

  • @elirehemalolo6690
    @elirehemalolo6690 6 ปีที่แล้ว +14

    Hongera sana mkurungezi.

    • @simonmwita7600
      @simonmwita7600 6 ปีที่แล้ว

      Serengeti oyeeeeee!!!!!!!!

    • @johnkaru8107
      @johnkaru8107 6 ปีที่แล้ว

      Ok. well, this indicates transparency and accountability BUT in a wrong damn shit manner, Fuck that!!! This ain't the right way to act, infact to me this is childish 'dude. Mr. president please try and use a proper way of addressing this damn issue. Huu Ni ujinga ati njuu amekupea kazi. Fuck that, "LMFAO"

    • @khalfanhemed9150
      @khalfanhemed9150 6 ปีที่แล้ว

      Muheshimua rais nakukubali sana piga kazi tu

  • @julieloves_arts
    @julieloves_arts 6 ปีที่แล้ว +2

    Tanzanians, I love your president..pliz come and take our entire government 🇰🇪 for free, we will add the entire police force too🙏.. all we want is Magufuli

    • @bonfacekaruga1885
      @bonfacekaruga1885 6 ปีที่แล้ว

      u never know in Kenya we r more democratic that a president can't sack someone anyhowly he will b taken to court n soon reinstated unlike Tanzania the president is a walking constitution n law

    • @bonfacekaruga1885
      @bonfacekaruga1885 6 ปีที่แล้ว

      u never know in Kenya we r more democratic that a president can't sack someone anyhowly he will b taken to court n soon reinstated unlike Tanzania the president is a walking constitution n law gg

  • @amanichao6759
    @amanichao6759 6 ปีที่แล้ว +1

    Mkurugenzi daah upo vizuri hao ndio viongozi, sio wale wanao jinga'atang'ata

  • @jfk2kennedy
    @jfk2kennedy 6 ปีที่แล้ว +2

    Please tag my president @ukenyatta tafathali ndiyo aone how to deal with thieves and not through the court circus we r used to hapa Kenya.

  • @Kagimbi-Kagambi
    @Kagimbi-Kagambi 6 ปีที่แล้ว +1

    Mheshimiwa Rais...
    You are the best in Africa...

  • @MachariaWaKamauTV
    @MachariaWaKamauTV 6 ปีที่แล้ว +31

    hahaha they Shud come to Kenya where politician Rob us in broad daylight

    • @MrMaboboz
      @MrMaboboz 6 ปีที่แล้ว

      @@raffraffie7799 kidero, obado, yea these are kikuyus indeed

  • @rosemueni7362
    @rosemueni7362 6 ปีที่แล้ว +1

    We need magufuli in Kenya

  • @lavenderlucy3444
    @lavenderlucy3444 6 ปีที่แล้ว +1

    We wish tungekuwa na president Kama makafuli kwenye inchi yetu ya Kenya . Utaendelea tu kukuwa president cause watu wanaona uzuri wako

  • @nicksonbokello3580
    @nicksonbokello3580 6 ปีที่แล้ว

    We need such leadership in Kenya.

  • @brianochiengodhiambo8121
    @brianochiengodhiambo8121 6 ปีที่แล้ว +7

    Tz mmebarikiwa sana

  • @BornIn82
    @BornIn82 6 ปีที่แล้ว +1

    PR on fleek...

  • @plus254ke8
    @plus254ke8 6 ปีที่แล้ว +4

    Can see some Kenyans saying that Uhuru should act like Magufuli. Do you knw Kenya we don't have such a system and president don't have such power (Baba na mama wa Taifa). The freedom we are having here Kenya an MP can not answer such a question. They say the power belongs to the people. Ati sasa Uhuru aende 001 Mombasa aulize Sultan aje mbele aeleze vile ametumia pesa.

    • @raffraffie7799
      @raffraffie7799 6 ปีที่แล้ว

      ndo maana wakenya ni wezi kuruka. .Wanaiba kila kitu

    • @Kovmoc
      @Kovmoc 6 ปีที่แล้ว

      @@raffraffie7799 .. na bado !! Ukizidi kuongea hivo tutakukujia tukuibe

    • @raffraffie7799
      @raffraffie7799 6 ปีที่แล้ว

      +Barwan wolf , 😂😂😂😂😂😂😂

  • @1george
    @1george 6 ปีที่แล้ว +1

    Imagine the exchange rate... Now reflect on the progress. Kudos Magufuli...

  • @mutumadickson7617
    @mutumadickson7617 6 ปีที่แล้ว +22

    Tanzania ni kama baraza la wazee linaongoza. Kumsifu rais tu.

    • @ebronjeremiah4439
      @ebronjeremiah4439 6 ปีที่แล้ว +2

      Tukusifu wewe??

    • @estergilihe2313
      @estergilihe2313 6 ปีที่แล้ว +1

      Mutuma Dickson ulitaka tumsifu baba yako? mwenyewe unatamani kua mtz

    • @ebronjeremiah4439
      @ebronjeremiah4439 6 ปีที่แล้ว

      @@estergilihe2313 😂 😂 😂 😂.. na kweli aisee, labda alitaka hivyo

    • @mutumadickson7617
      @mutumadickson7617 6 ปีที่แล้ว +1

      Ujamaa uliharibu TZ. East Afrika mzima nyie ndio mnashika mkia. Mnaongozwa na dikteta na hamjaelewa. You need to be free people. Huu ni udikteta.

    • @paulosamson8998
      @paulosamson8998 6 ปีที่แล้ว

      Mutuma Dickson dikison

  • @ahmedmohamed-ge2nq
    @ahmedmohamed-ge2nq 6 ปีที่แล้ว +1

    ayyy! that is called integrity of the last. Tanzania itashinda Kenya siku karibuu

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 6 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli kaja na style mpya safi sana

  • @onewaytraffic5975
    @onewaytraffic5975 6 ปีที่แล้ว +3

    The Tanzanian people know nothing else apart from Magufuri ndiye baba na mama. Duh!

    • @pendomarco9307
      @pendomarco9307 6 ปีที่แล้ว

      hongera baba magufuri mwenyezi mungu akulinde ama kweli uyu ni rais wa wanyonge

  • @yerikoubalikiwemtumishiwam4097
    @yerikoubalikiwemtumishiwam4097 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana mkurungezi maelezo manzur

  • @powerplus1933
    @powerplus1933 6 ปีที่แล้ว +1

    Respect to jpm.God bless you.

  • @justinkipkoech5305
    @justinkipkoech5305 6 ปีที่แล้ว +1

    What was difficult in calling the two to his office to explain themselves?Naona huu kama ni ujinga.Am proud of President,ako na adabu sana.Haezi fanyia mawaziri wake madharau hivyo.

    • @envesjazz1198
      @envesjazz1198 6 ปีที่แล้ว

      Justin Kipkoech si madharau ni kazi wamepewa na hamna makosa kuulizwa hadharani after all ni pesa ya wananchi

  • @boscomuna6943
    @boscomuna6943 6 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations Rais. Wakenya wanakupenda sana.

    • @samwangai6063
      @samwangai6063 6 ปีที่แล้ว +1

      Wakenya wagani? sema wewe ndio unampenda.

    • @sultan-dy9kg
      @sultan-dy9kg 6 ปีที่แล้ว

      unajua jina bosco lina maana ya mbwa????? sasa wewe ni---------

    • @raffraffie7799
      @raffraffie7799 6 ปีที่แล้ว +1

      Bosco, kweli kabisa wakenya tunapenda magufuli. ..
      Hawa kikuyu wezi ndio shida

    • @raffraffie7799
      @raffraffie7799 6 ปีที่แล้ว +1

      +Sam Wangai , kikuyu mwizi

    • @raffraffie7799
      @raffraffie7799 6 ปีที่แล้ว +1

      +julius njonde , mwizi wewe

  • @kidsAnimation_network
    @kidsAnimation_network 6 ปีที่แล้ว +1

    Tunahitaji viongozi kama Magufuli Kenya

  • @eddylwanga6332
    @eddylwanga6332 6 ปีที่แล้ว +9

    Come to Uganda please

    • @Hamiduz
      @Hamiduz 6 ปีที่แล้ว

      Bro I pray the same thing ...if God wishes let this man be the next president of uganda

  • @elijahmwangi2153
    @elijahmwangi2153 6 ปีที่แล้ว +2

    Hii imepitwa na wakati inaonekana TZ iko nyuma sana iko tume hufanya hii mambo, this is one man goverment

    • @peterbaraka8160
      @peterbaraka8160 6 ปีที่แล้ว

      Nyie mlio kuwa mbele mna nini mpya, than talk bad about Tazania.. wa kenya poleni sana

    • @elijahmwangi2153
      @elijahmwangi2153 6 ปีที่แล้ว

      poleni uongozi wa dictatorship one man goverment everybody is worried of mapadlock

    • @fordmaxwell1450
      @fordmaxwell1450 6 ปีที่แล้ว

      Dictatorship ipo Kenya, Tanzania tuko free na uongozi wetu ndo maana Kenyans always wish wangekua na rais kama Magufuri but its already impossible. Poleni sana wakenya pambaneni na hali zenu

  • @theeye3903
    @theeye3903 6 ปีที่แล้ว +1

    Tazama, like, subscribe na nipe support. asanteni
    👇 👇
    th-cam.com/video/GjJYb5AhYa0/w-d-xo.html

  • @skyfish30
    @skyfish30 6 ปีที่แล้ว +7

    Duh! Samaka! I call this putting them on their toes, accountability 24-7.

    • @anthonymabele95
      @anthonymabele95 6 ปีที่แล้ว

      Mungu akupee nguvu mheshimiwa Rais
      Hii ingelikuwa Kenya tungekuwa tumepanda Kwa uchumi

  • @mutulehephsiba5961
    @mutulehephsiba5961 6 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania dont need judges,,,Magufuli napenda your criteria ,wish all African leaders wangekuwa kama wewe,,tungekuwa so so far

  • @athumanimangura869
    @athumanimangura869 6 ปีที่แล้ว +2

    Mkurugenzii upoo vyemaa hongera

  • @honestyfirst2165
    @honestyfirst2165 6 ปีที่แล้ว +1

    This president I recommend him for MO foundation award for best performing African presidents. He is out to confront the key problem retarding development in African countries -corruption.

    • @tifu678
      @tifu678 6 ปีที่แล้ว

      +Abdilkadir Abdisalam, public shaming is not the proper way to manage Government funds. Whatever happened to accounting and financial audits? Exactly how is Magufuli confirming the facts he is being given here in public?

  • @samwangai6063
    @samwangai6063 6 ปีที่แล้ว +8

    Hizi places za Tanzania zina majina funny sana....

    • @raffraffie7799
      @raffraffie7799 6 ปีที่แล้ว

      malaya wewe

    • @williamkazimoto6548
      @williamkazimoto6548 6 ปีที่แล้ว

      matusi ya nini sasa boss....sidhan kama kaongea kwa ubaya

    • @silviapamba3756
      @silviapamba3756 6 ปีที่แล้ว +2

      Those are the original names, u know in Kenya British walibadilisha majina ya almost everything like Mt Kenya is one of them

    • @gasparlawrence3640
      @gasparlawrence3640 6 ปีที่แล้ว +2

      I thought Kenyans were supposed to be Smarter than anyone in East Africa.... But you sound dumber than I thought

    • @dangj62
      @dangj62 6 ปีที่แล้ว

      Mkenya hapa na nipo ubonga kuzuri majina ni freshi Kama kawa

  • @thelorsamphils
    @thelorsamphils 6 ปีที่แล้ว +3

    Eleza umekula pesa ngapi

  • @twenzetumbuganitanzania1260
    @twenzetumbuganitanzania1260 6 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍

  • @BornToShine101
    @BornToShine101 6 ปีที่แล้ว +2

    Raisi mshenzi sana, why treat grown ups like your little kids.

    • @raffraffie7799
      @raffraffie7799 6 ปีที่แล้ว +1

      kikuyu bure. ....akili yako imejaa corruption na wizi tuu

    • @Jimmie88
      @Jimmie88 6 ปีที่แล้ว +1

      Because "washenziKE" are born of pure corruption and do not want to be reprimanded!! No wonder the KE president asks.."Munataka nifanye nini" ghasia tu!

    • @silviapamba3756
      @silviapamba3756 6 ปีที่แล้ว

      Like in Kenya we treat them like adults but they treat us like kids, kutufanya wajinga

    • @BornToShine101
      @BornToShine101 6 ปีที่แล้ว

      Huyu makufuli fombe anafaa afundishe adabu... Pesa za nchi kwani ni za mamake? Jameni ndugu zanguni poleni mko na shinda

    • @makungwadominico3374
      @makungwadominico3374 6 ปีที่แล้ว

      so u need what

  • @Brian-ul2mw
    @Brian-ul2mw 6 ปีที่แล้ว +1

    Si mtuachie huyu rais wenu aongoze nchi yetu Kenya

  • @rhodahnyambu5847
    @rhodahnyambu5847 6 ปีที่แล้ว +5

    Big up honorable

  • @BW-re1vs
    @BW-re1vs 6 ปีที่แล้ว

    To end impunity in Kenya Magufuli akuje

  • @winniemagori1406
    @winniemagori1406 6 ปีที่แล้ว +2

    He is so confident

  • @spacenettechnology5364
    @spacenettechnology5364 6 ปีที่แล้ว +2

    daaa!!! kenya hata mbunge hawezi kuwa na idadi ya maendeleo ameyafanya katika eneo lake!!

  • @alexbiketi8842
    @alexbiketi8842 6 ปีที่แล้ว +1

    there is no formula for fighting corruption...nasa hao JPM

  • @yassinabdy8962
    @yassinabdy8962 6 ปีที่แล้ว +7

    Kila mbuyu na shetani wake ,magufuli ameoga hapo kkkk

  • @guluc2005
    @guluc2005 6 ปีที่แล้ว +1

    please come to Somalia and give us ur experience

  • @mercyhinju3218
    @mercyhinju3218 6 ปีที่แล้ว +1

    daah kweli unastahiri pj

  • @marymanda5657
    @marymanda5657 6 ปีที่แล้ว +5

    Wewe ni Rais bola African njoo Malawi, ma Rais wetu Malawi anakula hera tuu.

  • @jobkiage10
    @jobkiage10 6 ปีที่แล้ว

    Hapa ni kazi tu

  • @samnjoroge
    @samnjoroge 6 ปีที่แล้ว

    We need such in kenya

  • @janetnjeri1260
    @janetnjeri1260 6 ปีที่แล้ว +4

    hii ni ujinga.......na vile wako nyuma...... treating governers like... class 1 pupils....mwenye ame iba kalamu ya mwenzake

    • @peterbaraka8160
      @peterbaraka8160 6 ปีที่แล้ว

      wewe una jua nini pambana na nchi yako

    • @janetnjeri1260
      @janetnjeri1260 6 ปีที่แล้ว

      @@peterbaraka8160 nkt

    • @Kovmoc
      @Kovmoc 6 ปีที่แล้ว

      @@janetnjeri1260 Nko na Kuma Tamu .... NKT

  • @abdulazizali5308
    @abdulazizali5308 6 ปีที่แล้ว +1

    we want president Uhuru Kenyatta to be like president magufuli

  • @muddymwakatika8659
    @muddymwakatika8659 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimeshabonyeza.

  • @benardanthony8510
    @benardanthony8510 6 ปีที่แล้ว +1

    Ajajibu swari la magufuri....ela zikowapiii

  • @desmondkipkoech1318
    @desmondkipkoech1318 6 ปีที่แล้ว

    Pedestrian Leadership. African Sithole Qualities on display!

  • @jeyrock
    @jeyrock 6 ปีที่แล้ว

    Twahitaji Rais Magufuli Kenya.

  • @erastokavindi5645
    @erastokavindi5645 6 ปีที่แล้ว +6

    asante

  • @lilhuslle5670
    @lilhuslle5670 6 ปีที่แล้ว

    Kuja Kenya wanakula yote mpaka naibu rais

  • @benitochaula3254
    @benitochaula3254 5 ปีที่แล้ว

    mkurugenzi bg up

  • @saleemkatundu4696
    @saleemkatundu4696 6 ปีที่แล้ว

    iyo siasa yako yakizamani mugufuli

  • @nicholasyego351
    @nicholasyego351 6 ปีที่แล้ว +1

    Hapa Kenya watakuambia pesa sio ya mamako bwana!!!

  • @tifu678
    @tifu678 6 ปีที่แล้ว

    Africa is in trouble if this public attempt at shaming officials takes the place of properly supervised, independent financial audits. No wonder all these so-called leaders regularly line up to fly over to China for the conditional handouts. Africa is for sale, and it is shameful that those in power are responsible due to their incompetence!

  • @kirurisimon3760
    @kirurisimon3760 6 ปีที่แล้ว +2

    Sasa billioni ishirini za tz ni kama elfu mia mbili za kenya...😂😂

  • @steventhomas672
    @steventhomas672 6 ปีที่แล้ว +1

    Mambo haya yangelifanyiwa kwa maofisi lawama zingezidi kwa sana. Heri hadharani shetwani aaibishwe na aanguke afe. Those who are aggrieved by wat Magufuli has done, you will not understand, I'm afraid you must be corrupt and all you want are under table talks. Nonsense

  • @salumshaban486
    @salumshaban486 6 ปีที่แล้ว +1

    sawaaa

  • @georgekarobia4279
    @georgekarobia4279 6 ปีที่แล้ว

    Rsis wa Kenya asema....mjaribu Tena mtaona natayari Kuna ushidi wakutosha!!!

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 5 ปีที่แล้ว

    X
    Tulisema huko nyuma. ..mukatuona sisi si WAZALENDO.sisi NI WAPINZANI.sasa Moto unaingia kila sehemu.
    hao wachambuzi wa uchumi wanatuambia UFISADI ULIOPO SASA NCHINI TANZANIA NI MKUBWA NA UMEZIDI MARA 7 YA ZILE AWAMU ZA URAIS WA MWINYI.MKAPA NA KIKWETE.
    YAANI AWAMU ZOTE ZIKICHANGANYWA BADO UFISADI WA AWAMU HII UMEFUA DAFU.
    BADO KUNA MAPUNGYFU NA KASORO ZA IKULU NA CCM ...CAG AMELAZIMISHWA ASITUMBUE HADHARANI...
    KUMBE KUNA MATRILIONI HAYAJULIKANI YAMEPOTEA WAPI. YANI NI SAW A NA $ 98 BILIONI ZA KIMAREKANI.
    HUYO NDIO MAGUFULI : MTETEZI WA WANYONGE. ANAEWAFUNDISHA NA KUWALAZIMISHA WAKUU WA MKOA NA MA DC NA WALE WAKUU WA POLISI NCHINI WAVUTE BANGI. ..WAVUTE BANGI......WAVUTE GANJA. ..
    ILI WAWE WAKALI.
    KUMBE RAIS WETU HUWA ANALIKOKA AKIAMKA TU ASUBUHI...NDIO MAANA SAA ZOTE MACHO MEKUNDU.NA HASIRA KAMA MBWA! !

  • @legitvictor
    @legitvictor 6 ปีที่แล้ว +1

    hahahaaa what? how? Vote in Magu for president of Kenya 2022

  • @khalifakanyawana1680
    @khalifakanyawana1680 6 ปีที่แล้ว +1

    Suba star boy

  • @manuelhustle
    @manuelhustle 6 ปีที่แล้ว

    This is unparagooned and out of phraseology. The president is taking over judiciary.

  • @antonybaya2837
    @antonybaya2837 5 ปีที่แล้ว

    Come to kenya

  • @hasamlawatv9790
    @hasamlawatv9790 6 ปีที่แล้ว +3

    Safi

    • @tefloneibeat3076
      @tefloneibeat3076 6 ปีที่แล้ว

      Hasa nishakuona kutoka kenya. Uu mrembo so siri..

  • @tamaduni
    @tamaduni 6 ปีที่แล้ว +2

    Rais wa Kenya..alisema hajui afanye nini kuhusu ufisadi...aliwaacha wana inchi waliwe na fisi...

  • @barakavisent7278
    @barakavisent7278 5 ปีที่แล้ว +1

    hivi hawa onii kwetu wilaya ya mafisadi Itigi singida

  • @masakaupdate1488
    @masakaupdate1488 6 ปีที่แล้ว +1

    jamaa kajielezaa vzr

  • @julinization
    @julinization 6 ปีที่แล้ว +1

    So where's the rest of the video?

  • @wakilinjogu1727
    @wakilinjogu1727 6 ปีที่แล้ว +1

    haha Pombe is so high when fighting corruption

  • @geraldsanzala8119
    @geraldsanzala8119 6 ปีที่แล้ว +1

    Khaaaa mbona anajibu asichoulizwa hahahaaa

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 6 ปีที่แล้ว +4

    leta raha magufuli

  • @husseinramadhan8468
    @husseinramadhan8468 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mbunge ni mim kabisaaa

  • @saleemkatundu4696
    @saleemkatundu4696 6 ปีที่แล้ว

    izo zote toli wEwe magufuli mlevi wAdanganye tz

  • @samuelgithika
    @samuelgithika 6 ปีที่แล้ว +3

    Cheap public relation exercise and pettiness.