KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA EVENING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 10/ 07/ 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA EVENING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 10/ 07/ 2024
    SEMINA YA NENO LA MUNGU:
    MADA:
    "HOFU YA MABADILIKO"
    (FEAR OF CHANGE)
    SOMO LA LEO:
    VITA YA MABADILIKO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO
    "MILANGO YA VITA YA MABADILIKO"
    Kutoka 23 : 33
    Kumbukumbu 12 : 13
    Waefeso 6 : 12
    NENO KUU:
    "UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
    KUMBUKUMBU LA
    TORATI 28 : 6
    &
    Yohana 12 : 24
    24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
    MAANDIKO YA LEO:
    Kutoka 23 : 33
    33 Wasikae katika nchi yako, wasije wakakufanya kunitendea mimi dhambi; kwa sababu ukiitumikia miungu yao, jambo hili halikosi litakuwa ni tanzi kwako.
    Kumbukumbu 12 : 13
    13 Ujihadhari usitoe sadaka zako za kuteketezwa katika kila mahali upaonapo;
    Waefeso 6 : 12
    12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

    Mhubiri: Ev. Paul Ringo
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
    Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
    Simu: +255 713 553 443
    TH-cam: Kijitonyama Lutheran church
    Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com

ความคิดเห็น • 5

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 17 วันที่ผ่านมา +2

    Amina Amina

  • @RehemaKhamis-g6x
    @RehemaKhamis-g6x 17 วันที่ผ่านมา +1

    Kila angano la kipepo lililofanyika kwenye maisha yangu ninafunga Leo Kwa damu ya Yesu.

  • @BensonTossiri
    @BensonTossiri 17 วันที่ผ่านมา +2

    Ameen

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 16 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @aqcqpissa6887
    @aqcqpissa6887 17 วันที่ผ่านมา +1

    😅usifanye maagano nao wala pamoja na miungu yao usitoe sandaka 😊.......