Daaa Mungu atusaidie Sana Ila Mzee Wangu unatakiwa kuelewa Neno la Mungu uwezi kulitafsri kama apendavyo mtu Fulani bibilia inasema Hakuna unabii ulikuja Kwa ajiri ya mapenzi ya mtu Fulani kulingana uonavyo unabii ulikuja Kwa ajiri ya mapenzi ya Mungu Kwa watu wake ivyo Neno la Mungu linaweza kulitumia kufundisha na Kuelekeza Somo Fulani ili kuwapa watu maarifa ya kujenga mwili WA Kristo ivyo basi ,Neno Hilo ulilofundisha wewe kuna mwingine anaweza kufundishia watu waelewe juu ya urithi WA mbinguni ,Ila cha ajabu unasema tafsri yako ndio IPO sahihi kuliko wengine Ni Jambo la hatari, Mungu sio Mungu wamachafuko ni wa Amani